😢😢😢😢 this is so painful hakuna prank hapa unatoa mtu Panti unamdara alafu useme prank n hata ulisimamisha ingekua n mm haungekua n makende unachezea feelings za mtu Angie b single mothers n wengi this is a red flag jipende
@@dorcusmutemi9902 so disgusting na anaeka tu Kwa camera hata kama ni content anatafta 🥺 sijaiona mmoja anafanya hivo na cheating pranks actually naona na yeye wa kwanza. Zii hapo amekosa heshima kabisa 😒
Hiyo siamini kama n prank mimi juu wangeanza intro fast and also kama walikwa wamepanga juu aggie akukwa around awangeongea hizo vitu wanaongea mbaka wanakiss kama aggie ayuko so hiyo si prank
This is a redflag😢Angie this man Noooooo,,,Aiiii hi n disrespect🤌 Nonsense,,,Prank peleka kwenu Brighton ww n fisi,, Remember you have a child,,, Style up dude🥺💔
Angie atchana na yeye jikaze na mtoi .lakini amekufanyia matharau . labda akona tamaa ya wasichana. Pia mimi nilikuwa na chukia Brighton 😣 .pia Hugo msichana anaka pepe tu 😁 .Angie natakukuambia mnafanana na mtoi 😍😍 .jikikaze hata yeye atakuja kuaplogise,na pia kujua uchungu no mini? Pia nasema pole sana . Mungu akubarki .pia naeza kuwa rafiki yako?🙄🙃🙃🤗
Tell your kamba girlfriend to be careful with this kamalaya atakuja kulilia kwa choo siku moja, hii ni red flag na Aggie anakuaga desperate sana kwa hii ng'ombe, unatoa mwanamke pad na unasimamisha eti ni prank, this is too much
I hate this kisii man with passion,shetani yeye,yaan dem anakupenda ady anakuzalia nyangau ya mwanaume haiwezi tosheka na mwanamke mmoja😢,yaan am really hurt😢am a kamba gal and i feel for angie yaan ady mtoi ni mdogo ananyonya na mwanaume ni fisi tuh😢😢😢😢shenzi sana Brighton my FOOT
Kunakitu nilichunguza kwa huyu kaka..hupenda kufanya prank na madem tofauti.. na bibi yake ukijaribu kufanya prank na maboys hukasirika hadi anaweza mpiga ..
Angie pole Sana dr wanaume wanakuwaka Tu hivyo so is pain full but prary God is everything Dr na ww briaghton ufanyi poa Imagen uko mke mrembo then nn unafanya surly am pain with you family 😭😭😭😭😭
Weeeeee ogopa wanaume mm siezi amini mwanaume unlesss mwenye nimezika walai😭😭😭this was real huyu dem alitaka kuchoma na kuharibu nyumba ya mwenzake lakini.
Ingekua prank hakuna vile Pl angekua anasema usirecord!!! Then even if ni prank unashikashika dem ivo????? Ukidaradara dem!!! Dem mwenyewe style alikua ameketi hata kwa nyumba shosh alot!! Dress code!! She was up for it!! Ooops!!!
Izi ujinga zenu kwa jina ya sijui prank , huwa mwatiana midole afu waenda shika mtoi kumueka chira😢😢😢,afu c prank ju mnakaa mmetiana sio kwa mlegeo huo wa macho mmh , mi siyawezi
Sometimes ni vizuri kujiheshimu atakama ni prank.......hii ni umalaya akonayoo
Ukweli tena umalaya wa hali ya juu,i rather stay single
Aki niukweli
Ni umalaya na saizo anaambia bibiyake akafunzwe adabu
And it's true 😂😁
😂😂😂😂
Angie Rudi soko mama 💔💔💔uyu Malaya wko atakuletea ugojwa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ati malanya wake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Endeni pale Tuko extra muone Angie B na Brighton, she said he has cheated, he violent, abusive, 😭 i just feel 😢her
N hivi inaanzanga then next twazikwenda,the girl looks like wanakulananga,Angie be careful 😢😢😢😢😢this not prank
😢😢😢😢 this is so painful hakuna prank hapa unatoa mtu Panti unamdara alafu useme prank n hata ulisimamisha ingekua n mm haungekua n makende unachezea feelings za mtu Angie b single mothers n wengi this is a red flag jipende
Noooooooooo, this is painful 😭😭😭 hiii sio prank aki, akhhhhhhhhhh. Sorry Angie. Am feeling your pain , wooooiiiiii,. Aki wewe pl umekosa sanaa
Unamtoa adi thong....😅😅😅😅😅😅Ata cijui nacheka nn ..too bad
Brighton you must man up...otherwise..with this kind of pranks...sioni mkimaliza this yr mkiwa pamoja..mark my words
Which prank and it's reality 😢,,,,pranks za kutoa panty kwa gari
@@roznicemukosibuana na hio kukaribiana sijapenda hata kama ni prank 😢😢😢😢 hii ziiiiiiii
Hakuna prank ingine hapo
Hawa wamekulana, unatoa aje mwanamke mwingine pad
@@dorcusmutemi9902 so disgusting na anaeka tu Kwa camera hata kama ni content anatafta 🥺 sijaiona mmoja anafanya hivo na cheating pranks actually naona na yeye wa kwanza. Zii hapo amekosa heshima kabisa 😒
Brighton, this is not the good idea 😢😢 walai umeoverdoooooo 😭😭😭😭😭
This is not a prank guys let's help Angie b she is a girl with a vision
Hii nayo apana 😢at least brighton ungebia dem afanye kila kitu, how can you undress someone in the name of prank😒😒
🎉🎉
hii nyang'au imekulwa na ikaletwa kw nyumba ... hii Malaya inataka kuharbia Angie nyumba ushindwe
Aki wewe pl be serious remember this girl has gone through a lot of things
Tunaelewa you must prank each other for content lakini not at an extent of hurting someone this deep aki. I feel for her
This is not prank it's real unatoa aje Dem mwingine pant surely ziii nmekataa
Prank or not,the closeness is too much
This prank is beyond repair 😢hii nayo hapana
It's not a prank guys ... just hear there words
It's not a prank
@@wakhonyadavid2817 imagine it is angalia video mwisho
@@mugalapriscilla it is huko mwisho wa video ndio anasema ni prank
Hiyo siamini kama n prank mimi juu wangeanza intro fast and also kama walikwa wamepanga juu aggie akukwa around awangeongea hizo vitu wanaongea mbaka wanakiss kama aggie ayuko so hiyo si prank
I feel pain when i imagine what angie went through in the labor room😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔
Pl; we're heading to the end of 2023....I need peace in your family....hii mchezoo....chokeee. ikome pls
Nilikua nimekuchukia brighton but n sawa tu,Angie mamah I love you❤😢
This is very painful 💔 😢. I hate Brighton with a very big passion 😢 💔
It was a prank😂😂😂
@@colletaatieno3487which prank Hadi wanatoana suruali surely 😢😢
Ladies mjifunze kudrive if you have a family car. Hapa ningechukua gari niende niwaachanishe
Imagine this is not a prank ray hangesema this is too much shame on you pl 😢😢
Nigekua ni Mimi nigemfanyie kitu a regret maisha yake yote
Hii ndio upuzi niliwambia waache this type of pranks kesho watakulana 😂😂😂hadi brighton ako na macho ya red
Hii ziiii 😢😢😢ona vile dem amedunga halafu ushike shike mapacha it's not fair 😢😢
Angie don't be convinced,, this is not a prank ju ata intro hakuna
I feel u angie ..hii nayo si prank
This is a redflag😢Angie this man Noooooo,,,Aiiii hi n disrespect🤌 Nonsense,,,Prank peleka kwenu Brighton ww n fisi,, Remember you have a child,,, Style up dude🥺💔
Hiii siyo prank,mbona wameeka introduction mwisho ju wameshikwa,hawa wanakulananga na wanekulana tena
@@Anguludiana5340 Ata mm nlishuku hio ,,Ata wanakiss surely??? Aiii redflag hio
@@priscillahnyambura walahi
Najua atachukia ray but no problem bora angie ajue ukweli
A man is some one who can collapse ...cry but still lying .... fear men guys ..if he can do to her baby mama ..... true love never exit.....
Hawa walikuwa washakulana.....dem akarecord later...wakashikwa bfre prank
Angie b hio si prank run for ur life huyu atakuletea ukimwi walae
Lkn mnakulananga tunaona tu Sisi Sio wajinga, feelings sikikuja hakuna njia ingine hapo.😢😢
Mpaka anaita angie babby mama 😢
😢😢😢🙆🙆🙆🥺👿 devil is a lier walai ,we pl kumbuka huyu Angie kwenye mmetoka naye
Angie tafuta mwanamme wa kukuoa wachana na huyo malaya ata nmeanza kumchukia
A typical narcissist
Angie atchana na yeye jikaze na mtoi .lakini amekufanyia matharau . labda akona tamaa ya wasichana. Pia mimi nilikuwa na chukia Brighton 😣 .pia Hugo msichana anaka pepe tu 😁 .Angie natakukuambia mnafanana na mtoi 😍😍 .jikikaze hata yeye atakuja kuaplogise,na pia kujua uchungu no mini? Pia nasema pole sana . Mungu akubarki .pia naeza kuwa rafiki yako?🙄🙃🙃🤗
Hii imeenda!!❤❤❤🔥
Usifanye huu upusi trishy heshima inaanza na wewe mwenyewe
Weuh juu unaweka emoji za love don try this bullshiet in the name of prank
Trish plz musiwa fanya prank kama hii hii ni kuaribu ndoa surely hii ni nini aty ni prank na ni ukweli
😂😂😂😂😂imeenda kwa Heartbroken😢direct
Tell your kamba girlfriend to be careful with this kamalaya atakuja kulilia kwa choo siku moja, hii ni red flag na Aggie anakuaga desperate sana kwa hii ng'ombe, unatoa mwanamke pad na unasimamisha eti ni prank, this is too much
Ata kama ni prank, that's nonsense wallai, heri prank ingine but si kama hiyo, utakuja kuregret baadaye bro 🤗🤗🤗🤗
Sasa hizi ni gani pranks😮😮😮ya kutoana pants shually this hectic episode i never seen 😂😂😂😂😂prank guy's😂😂
Aki hii siyo prank hii ni ujinga ajiheshim 😢😢anashikana then anaenda kushika mtt anataka kuuwa mtt 😏🙄
😂😂😢No no
@@CarojemoJemo but ss hizi ni pranks ngani aki 😂😂😂😂😂😂
I hate this kisii man with passion,shetani yeye,yaan dem anakupenda ady anakuzalia nyangau ya mwanaume haiwezi tosheka na mwanamke mmoja😢,yaan am really hurt😢am a kamba gal and i feel for angie yaan ady mtoi ni mdogo ananyonya na mwanaume ni fisi tuh😢😢😢😢shenzi sana Brighton my FOOT
Pl you have lost my subscription,shit
You not alone aki ..I hate him alooooooot
@@harrietmunene7819 alf anasema aty prank
Iyo prank walai ajasafisha
Walai team Angie tunawakujia that is sad😢
Tupushi mama na prank ya kuleta mwanaume kwa kitanda yao pia yy afanyie action huko kwa bed.that will hurt this silly man
😂😂😂😂 sijui mbona nasikia kucheka my fellow trees let's gather here and give them fresh air
😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂this not prank wanataka kukulania kwa gari
Angie don't be convinced, this is too much can't be a prank,,,I feel the pain akh
Aki kweli hii inauma I feel her pain akitoka hapa atapenda mpiga nyumbani huyu n fisi
I feel that pain kweli mwanaume niyuleyule2
Unafaa upigwe nikulize ukpata dem yko aki cheat utafeel aje..?what comes goes around
Hii ni prank turns around. Wewe c ulimpeleka hadi Airport kumprank. But Brighton wewe unatake advantage had unakiss live 😂😂😂
Kuna mahali nlimsikia akiambia Dem utanipea lini tena
@@peninanjeri7755mm nmeskia sio ykwnza hio wakuchukua waliklna kma hii prank mbna pl haseme asipost pl ako in love wtu sio wajinga nwtu wamekua wakiklna agie hii sio mapenzi
Angie aligojeka kitambo n vyn hawezi jua
Kunakitu nilichunguza kwa huyu kaka..hupenda kufanya prank na madem tofauti.. na bibi yake ukijaribu kufanya prank na maboys hukasirika hadi anaweza mpiga ..
Ukimwi reloaded Angie b achana n uyu shetani
Brithon hii ata kama ni prank ni ya ujinga wa hali ya juu sana leave it 😮😮😮😮
What abouy before waanxe kurecord💔💔💔💔💔💔
Nakam niprank dem alikuwa aki record ajiekee Kwa sm hii nimbay san niprank naunaacha mkeo akipinga nduru jinga sana😂😂😂
Angie pole Sana dr wanaume wanakuwaka Tu hivyo so is pain full but prary God is everything Dr na ww briaghton ufanyi poa Imagen uko mke mrembo then nn unafanya surly am pain with you family 😭😭😭😭😭
Men are not like this,this one is immature ,toxic and narcissistic...
Rey mungu akubariki brooo
Weeeeee ogopa wanaume mm siezi amini mwanaume unlesss mwenye nimezika walai😭😭😭this was real huyu dem alitaka kuchoma na kuharibu nyumba ya mwenzake lakini.
I can feel your pain mama ....
Brighton this is too much aki..usifanyie Angie pranks za kucheat utamuua na pressure 😢😢😢
Good job Ry
Ingekua prank hakuna vile Pl angekua anasema usirecord!!! Then even if ni prank unashikashika dem ivo????? Ukidaradara dem!!! Dem mwenyewe style alikua ameketi hata kwa nyumba shosh alot!! Dress code!! She was up for it!! Ooops!!!
PL NIMESENCE DANGER🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kumbe. Brighton nimaraya. Mukubwa. Munguwanguweee
For real Brighton unatoa dem pantie na unasema ni prank? Nooo
Izi ujinga zenu kwa jina ya sijui prank , huwa mwatiana midole afu waenda shika mtoi kumueka chira😢😢😢,afu c prank ju mnakaa mmetiana sio kwa mlegeo huo wa macho mmh , mi siyawezi
Prank manyoa😂😂😂😂😂😂 hii sio prank manzee
Usiwai chukwa pesa zko ukachanganya naya mwanaume ati unanunua kitu then mtatumia 😂😂😂😂😂😂🙄
Hugo mschana alikuwa anaka pepo .Halo ndio nilikuwa nimekosea
Ile slap huyu dem angepata angeregret kutumika for the so called prank
😂😂😂😂😂
Hii si prank hadi kutoa panty na kuchum😢😢 my poor Angie and my favourite Avyianna
Sijapenda 😢😢
Kwa hvo uko hvo Brighton ,anakwambia htarecord unaonekana ka unakubali weeeeeeee!!!!
This is so embarrassing..sorry our girl angie this is more than a prank
WAH!
So painful 😢, this is beyond expectations😮.😅😂😮
They turned reality into a prank 😏😏😏,hii si prank
This is so sad,i feel for this babygirl this not a prank bro man up
This is painful aky 😢
Waaaah Linet and Angie B my schoolmates ,,,,Pl this too much,,,,I feel you mummcy ,,,such kinds of pranks nooooooooooooo
😂😂😂😂😂Mm nitacheka msikie vile watu huskia wakifanyiwa loyal test ,,l hope you have feel better soon l hope umeskia vile watu huskia😂😂😂😂😂😂
Angie Aki c we n mpole ingekua mm Aki nafeel vibaya naskia kufikia huyu Brighton
😂😂😂 Brighton torakorera Angie buya tata zijapenda baba 😢😢 team Angie we are coming for you
Hii nayo si prank, waaa true love never exist
Ikue prank ama sio this is nonsense😏😏😏
Kabisaa
Exactly 💯 huu ni ujinga sana
Hapa enyewe ziii
@@Morinodhiambo-b5p hadi anatoa mwanamke mwingine surwali
ujinga kabisa
Unainua dress ya dem juu na unasema ni prank in fact this is life prostiution of high quality alafu unamshika matiti and still kumlalia eish
Hata kwanza Brighton amesimamisha this is not prank😳😩
True
Mama angie kujia mtoto wako this is to much 🥲😭😭😭😭😭😭😭
No, this is not a good prank 😢😢
Waaa thnk god sio ukweli weeee i was shocked 😲
Jesus christ hii ni prank ya aina gani kweli
Pl wait our comeback utajua ujui na vile nlkua nalia na Angie B
😂Brighton na Angie wanajuanga ku act
True
Brighton huo n umavi hata kaa n prank hadi utoe huyo kinyangarika suruali respect your wife
Ray ur agood friend indeed thanks for saving Angie,s life coz this is not a prank its real
Hii ni mbaya sana at ni prank
@@MaryMmm233-yh3hfhaki sio prank Ray nimependa sana
@@kadzosaid9376 siumesikia Ray akisema hivyo ndivyo huekangwa na wakifanya mambo yao aki kisii man weee aki niwajanja sana.
Waaa kimemuramba Pl sio pow ivo unafanyia Angie B
Hii atakama ni prank hapana nimekataa utavuja mboma yako bro
Na
Content zimefika hapa sasa wueh 😒😒😒🫴
This can't be a prank
Haiiii hii si prank aje yaani dem apitie hiyo yote akw'a hosi thn unamplay aki kwanzia leo we c fan wanguu shiet
😂😂😂😂utafutwa kazi bro
Hivi ndo mlifanya ety mumekudnapiwa 😅😅😅 😅 nikalia yangu yote juu ya huyo mtoto wenu mwenye alikuwa anateswa😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
I feel the pain of this Lady 😞 😢 💔
That was a prank😂😂😂❤
Angy uko na nguvu ya kukubali kushikwa mm swezii jarbu akuache apo aendeeee na gari na uyo dem swezii jarbuu
Hii is more than a prank😂😂😂😂😂😂😂
Iyo n ujinga sana mnajialibia nyinyi aibu kubwa kwa team strong
Ngumi naweza kula huyo Dem ,angejua kweli me ni mmeru wa igembe 😌
Huyu mwny amekol Angie ni mcuuteee uweeeh