EXCLUSIVE: ALLY KAMWE SIMZUNGUMZII AHMED ALLY/ YANGA HATUNA NJAA ILA MASHABIKI WETU WANA UPENDO SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2022
  • Share, Support, Subscribe!!!
    Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ
    UA-cam: / hzbtv
    Twitter: / harakatizabongo
    Facebook: / harakatizabongo
    Instagram: / harakatizabongo
    Google Plus: plus.google.com/+harakatizabongo
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 28

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 Рік тому +9

    ALLY upo vzr sana kwa majibu, na asiyekuulewa ana shida kwenye medula yake, na umeeeleza vzr sana kuhusu utamaduni wa WANANCHIIIIIIIIIII ni kupendana

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 Рік тому +4

    But sometimes waandishi wana maswali yasiyo na kichwa na ndiooo maaana Prof. NABII anawaeleza direct.

  • @fatmahamisi1303
    @fatmahamisi1303 Рік тому +3

    Hongera kaka unajua kuongea ninakukubal unasauti yakiume hongera Sana kuwa msemaji wa yanga

  • @deusygorayyanga3490
    @deusygorayyanga3490 Рік тому +3

    Aise Ally Kamwe Una Majibu Mazur Kaka Hongera Kwa Kwa Promo Zako Wana Inchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiíiiiiiíiiiiiiiiiiiiiiiiíiiiiiiiiiiiiiiiiiiiíiiiiiii iiiiiiiiiiiíiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiíiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiíiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiíiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Karibu Sana Kwa Mkapa Tutawapiga Kama Ngoma Iwe Juwa Iwe Vuwa

  • @HassanAli-fu6nb
    @HassanAli-fu6nb Рік тому +1

    Mungu akuongoze kaka Ally

  • @christopherngereri76
    @christopherngereri76 Рік тому +4

    ..kumbe nawapa laik...nimegunduaaaa

  • @iddfundikira9761
    @iddfundikira9761 Рік тому +5

    Alafu dogo anasauti ya kiume kabisa sio Kama upande ulee Wana sauti za kisichana

  • @eddyrich.3312
    @eddyrich.3312 Рік тому +3

    Big up ALLY KAMWE and keep it on.
    I expect to hear more and more from YANGA. 💪💪💪

  • @aminasalim8708
    @aminasalim8708 Рік тому +2

    Naaam naaam💃🙏

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 Рік тому +2

    Nkubaliii

  • @omarihamadumetishasanalava4725

    Sawa

  • @ollenyhawatwa6309
    @ollenyhawatwa6309 Рік тому +2

    Simba mbona makasiriko

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 Рік тому +1

    Semaji lamabingwa

  • @christopherngereri76
    @christopherngereri76 Рік тому +1

    Hueleweki....maana ....

  • @mahonadotto4777
    @mahonadotto4777 Рік тому +4

    Ally kamwe tunakutegemea

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Рік тому

    Alli kamwe anapokataa Kila Madhaifu ya yanga ujui Huisaidii yanga Kuna mengini ukubali Tuu

    • @iddfundikira9761
      @iddfundikira9761 Рік тому +1

      Sio kazi yake hiyo ni kazi ya Benchi la ufundi zungumza jingine

    • @pilihamis970
      @pilihamis970 Рік тому +1

      Kazi ya afisa habar ni kutoa habar mambo ya kiufundi sio Kaz yake ndio maana kwenye mahojiano yake ya kwanza pale wasaf alisema kama msemaji hana limit bas anaweza akajikuta anazungumzia mpk mikataba ya wachezaji kitu ambacho sio Kaz yake

  • @christopherngereri76
    @christopherngereri76 Рік тому

    Jimmy Kawa dodoki....

  • @zubedaali4155
    @zubedaali4155 Рік тому

    Mmechemuka mbwa nyinyi marofa tu

  • @christopherngereri76
    @christopherngereri76 Рік тому +2

    Dogo ongeleeno yanga mambo ya Simba achanani nayo...Badonanuka maziwa ya mama....

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 Рік тому +1

      Bora ye ananuka maziwa wewe unanuka wazungu ! Do not talk shit bro ur are nothing either!

    • @gastonponera7962
      @gastonponera7962 Рік тому

      @@azizymachadeson3577 heeeh‼️ mbona makacirico⁉️
      Mashabic wa Al Hilal gonga laik hapa tujuane mapemaaa ‼️🤣 Utôporo watagongwa kama ngomaaa‼️😥😂🤣🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣😂😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😢🤣😢🤣😢🤣😢🤣😢🤣😢🤣😢😢🤣😢🤣😢🤣😖‼️😖🤣😖😖🤣😖‼️

    • @jumannemsengi2195
      @jumannemsengi2195 Рік тому

      @@gastonponera7962 mbona una support upuuuzi kwani mtu mzima kumwambia hvyo huoni ni kumtusi?

    • @alodiarukyaa3392
      @alodiarukyaa3392 Рік тому

      @@jumannemsengi2195 tumepata msemaji jembe

    • @pilihamis970
      @pilihamis970 Рік тому +1

      🤣🤣 mwaka huu mtakonda wengi na BADO ndo kwaaanza kaanza kazi

  • @iddfundikira9761
    @iddfundikira9761 Рік тому +2

    Alafu dogo anasauti ya kiume kabisa sio Kama upande ulee Wana sauti za kisichana