KIJANA KAWAPIGA WAREMBO NA KITU KIZITO
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Usikose kutazama HELLO MR RIGHT kila jumamosi ifikapo saa 4 kamili usiku kupitia @stbongotv ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (Antena) CH 401 (Dish) #HelloMrRightShow2 #Mara100Zaidi
Umetisha sana 🔥🔥
Safi sana jamaa kajua kuwa komesho kudadekii mringo kwishaaa
Hahaha 😂😂😂😂😂 wallh huyo boy akii
Namuunga mkono jamaa hakuna wa kumuangalia mara mbili hapo
Kaka nimekukubali umeupiga mwingi sana.Binafsi nmekuelewa,mbona wao hao wadada huwa wanawakataa wakaka wanaokuja hapo kua hawajavutiwa na wanasema kabsa,lakn hongera kaka kwa kusema ukweli,sema jinsia ya kike huwa wengi wao hampendi kuambiwa ukweli.
Hapo usema japo mimi napenda kuambiwa ukweli
Basi sawa kama uko upande wa ukweli barikiwa sana
Wamezidi mashauzi
Main jak sasa😂😂
Natamani huyu kaka angekuwa wangu
Jamaa kaenda kuwanyoosha
Dah we jamaa umewakomesha safi sana yan hapo hamna pic ni uchafu tupu sijaona dem Apo sula zenyewe zimejaa poda hakuna dem mwenye ngozi asilia
Kweli kabisa alichokiongea
Hyu mwamba ni actor hawamjui ama n vip😂
Wako uchi sana hata hivyo hovyo sana
Bwan sultani
Mwanamke huletewa posa nyumbani sio hapo na mavazi ya ajabu ajabu
Hamuna thamani sasa hivi baadhi yetu wanawake
Yupo sasahihi
hahaha garab nimefurah
Ukwel wanavaa uchi sana
Kevin
😂😂😂😂😂😂😂amewakomesha
Mbn ni Kelvin ama
Wabaya aahhahahaha
Mbona mwamaliza vibaya hatuelewi
😂😂😂 mamae umetisha muuni walete kati
Kaka umeongea point tupo pamoja hakuna mkeo hapo wapo wadangaji
Kbs mwanamke anae jitambuwa atanzaje kwenda hp kutafuta mwanaume
Weeee eeeeee 😂
Kijan waovyo mpaka uku wapo kumbe
Ila wanawake jamani hii dunia mwaipeleka wapi huyo kaka kasema kweli ila nae yumo kenda fata nini huko....wengine mwavaa husu Uchi eti wenza tafuta mme jamani nyie muogopeni mungu nyinyi
@@kadzosaid9376 na kiliwaramba kweli😂😂😂😂
Kuna mda wanatakiwa kuchangamshwa na vichambo
Haaaaa
Ni ukweli lakini mwanaume Ana haki ya kuchagua mke
Anayo sema asiseme ivo
Hii Ni hatar🙊
Mtu mwenyewe kibaka mzoefu hata salam yako inanuka
Hadi huyu nae kafika huku
Huyu ndo ana akili
Sa mbona Ana zalilisha wanawake
🤣🤣🤣🤣🤣
Alienda kufuata Nini na yeye kama sip kahaba la kiume
Nataka kushiliki hichi kipindi
🤭🤭🤭🤭🤭😂😂😂
Hawa waigizaji wameamua kuja kutuchanganya
Kabsa
Hakika hamna kitu hapo cha kuangalia mara mbili
Huyo hata akinisimamisha tu sitosimama hakuna mtu hapo huyo n muhun kama wahuni wengne tu
Mamae zake hamna wa kuangalia ulifata nn shenzi mkubwaaa ww, mm tu sikutazam ata sekunde fyuuuuuuuu 😏😏😏😏😏
Acha kumtusi mtu kwa maamuzi yake kama hajamuona changuo ulitaka afanye nin
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona fupi
Aisee jamaa kakosea sana kawazalau kiasi kikubwa kumbuka wewe fala aoni mamazetu pia
Kwahiyo kama hakuna alie mpendwa ajirazimishe Kisha ni wakina mama ww vipi Kuna wanawake na wandangaji Hao wote hapo wadangaji
@@fatmaabdul2712 Hahaha hatawawe wadangaji sikupendezwa nakauli aliyoitumia kasha sinzuli kwa mwanadam wa aina yeyote au anamakosa kiasigani ikoivo
😢😢hata mimi sijapenda alichokifanya huyu kaka
Hapo badoo mpaka usemeee😂😂😂😂😂
kama hakuna wa kumuangalia mara mbili hap ulienda kufany nn wakati kweny tv unawaona shobo t ww mwenyewe hufai hata kuambiwa mamb matako yako
He! Jamani matako yake tena