JINSI YA KUCHOMA PWEZA ( NA VIKODEZO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 77

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  5 років тому

    IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLEASE FOLOW THIS LINK ua-cam.com/video/Nu9cp8SKs9w/v-deo.html

    • @mamymusa6288
      @mamymusa6288 5 років тому

      Kichwa hakiliwi?

    • @hawawambui6151
      @hawawambui6151 5 років тому

      Ma sha Allah

    • @sofiaerilleey3467
      @sofiaerilleey3467 5 років тому +1

      Mansha Allah dadangu inapendeza kweli. Tafadali niwekeyee SUBSCRIBE kwa channel yangu mimi no youtuber mpiya asante saana

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому +2

      Sister sorry I just saw your comment and I went to your channel but you speak somali and I do not understand the google subtitles are not right.

    • @sofiaerilleey3467
      @sofiaerilleey3467 5 років тому

      @@aromaofzanzibar is OK sister that is fine hakuna shida since most of my subscription prefer Somali, is why I choose but I am trying to do both I am just a newly and learning little by little I also have many others from different type of people from all over every where and some still speaks their own languages and we are connected. So usijali dadangu ni vile pia naongea kiswahili kemenivuta kwako na pia of course tuko mandugu for Allah's sake insha Allah will keep in touch but thank you🙏🙏🙏😍😍😍🤗💞💞😘😘😘😘 so so so....!!!! Much🙏🙏🙅🙅

  • @isaacgadiye9183
    @isaacgadiye9183 4 роки тому +3

    Nadhani hii itanisaidia kuboresha biashara yangu ya supu ya pweza. Kuna kitu cha ziada nilichojifunza hapa.. Asante sana Dada😋🙏

  • @maryammussa2002
    @maryammussa2002 5 років тому +1

    Umenitamanisha Wallahi. This weekend I should go to Chinese store to buy mine. Shukran for recipe

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx Рік тому

    Mapishi yako nayapenda snaaa mashaallah maana unafahamisha unaeleweka vzr.

  • @undertraderforex7230
    @undertraderforex7230 4 роки тому +1

    I have a new favorite youtube channel....I miss my mum and Tanzanian food and listening to Swahili in general. Thank u sis

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 роки тому

      Most welcome dear, glad you to know you are enjoying the recipe

  • @nasmasaid5500
    @nasmasaid5500 4 роки тому

    Mashalah yummy yummy ntajaribu shukran habibty kwakutufunza mapishi

  • @ShunasKitchen
    @ShunasKitchen 5 років тому +2

    MashaAllah mtamu mpaka nimemtamani

  • @masoudchile1302
    @masoudchile1302 5 років тому +2

    Nice one mashallah allah akupe umri mref uzidi kutujuza

  • @halimamohamed3747
    @halimamohamed3747 5 років тому

    Shukran likuwa natafuta sana receipe ya pweza wakuchoma mashaallah

  • @rukiahhdbdn4798
    @rukiahhdbdn4798 5 років тому

    Maa shaa Allah mi nimpwani kweli but pweza Annishinda lakini ampendwza daa Aroma hasbunallah wow nikiwa lebanon

  • @ukhtyashurasakinamnyoti1786
    @ukhtyashurasakinamnyoti1786 5 років тому

    Masha Allah nimefurahi kuona jinsi ya kumpika pweza huwa natamani nijue lakini nlikuwa cjui pakuanzia

  • @patoklaus4485
    @patoklaus4485 5 років тому +1

    I love your recipe so much.I have actually tried almost all of them and people love them but I wanted to ask you to please do a video about making drinks like coffee or anything you want coz it has really been a while and I have no idea

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому +1

      Thank you for your support and glad to now that you enjoy the recipes , am not really a coffee person perhaps some tea , I have shared couple of juices last summer let me do some brain storming

    • @patoklaus4485
      @patoklaus4485 5 років тому

      @@aromaofzanzibar Thank you aroma of zanzibar you are an angel

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 5 років тому +1

    uwiiii umenitamanisha habibty jamani.. maashaaAllah

  • @sadiqosiman5284
    @sadiqosiman5284 5 років тому +1

    Wow nice video thank you for sharing stay to connected

  • @ibtysaam3398
    @ibtysaam3398 5 років тому +1

    I like it

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому

    Masha Allah, shukran

  • @noellyamuya3844
    @noellyamuya3844 3 роки тому

    inapendeza sana

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 5 років тому +1

    Mashallah

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 5 років тому

    MashaAllah shukran sis

  • @ahlamverynice.3605
    @ahlamverynice.3605 5 років тому

    Thank you habibty napenda mapishi yako my dear 😋👌🏼

  • @nureyna629
    @nureyna629 5 років тому

    Maasha-Allaah nimemtamani

  • @sarahmwajuma4839
    @sarahmwajuma4839 4 роки тому

    Naipenda sana sauti yako

  • @estherpie8985
    @estherpie8985 5 років тому +1

    Mmm Yummy yavutia 😋😋😋👌

  • @ukhtyashurasakinamnyoti1786
    @ukhtyashurasakinamnyoti1786 5 років тому

    Ahsnte sana dada kwa mafunzo yako Allah akulipe kila la kheri

  • @mams1892
    @mams1892 5 років тому

    Masha Allah

  • @nassorhamad5872
    @nassorhamad5872 5 років тому

    nzuri sana mashaallah mamy

  • @sadaameenasadaameenna9274
    @sadaameenasadaameenna9274 5 років тому

    Kapendaza sana sana

  • @halimatajiri2993
    @halimatajiri2993 5 років тому +1

    Yummy yummy

  • @hanunarashid4677
    @hanunarashid4677 5 років тому +1

    Shukran habibty tuonana forodhani😜

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому

      Laiti ingekuwa ingekuwa rahisi hivyo 😊😊😊

  • @alikhamis4055
    @alikhamis4055 5 років тому +1

    mambo ya pwani 😍😍😍

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 років тому

    Jamani nakula kila kitu ila hao pweza wamenishinda jamani. Naogopa hata kumshika, anaonekana anateleza 🙈🙈😂😂😂😂 kudo's Aroma of Zanzibar na mnaoweza mpk kumpika jamani

  • @salmahassan617
    @salmahassan617 5 років тому

    Mate yanitoka wallah kwajins nilivyo mmiss

  • @WilliamAlfredIrockItHere
    @WilliamAlfredIrockItHere 5 років тому

    Dish nzuri sana. Unaweza kutupa translation ya viungo kwa kiingereza kwa sisi tulio nje? Na recipe ya urojo wa ukwaju pia

  • @Wardaskitchen1
    @Wardaskitchen1 5 років тому

    Mhhh mashallah

  • @aminasalamalekumamina6217
    @aminasalamalekumamina6217 2 роки тому

    Salam alekum mashaallah

  • @intyswaridrissah1409
    @intyswaridrissah1409 5 років тому

    Hi Dear.....uchomaji wa mkaa una chomaje na iyo kutengeneza ukwaju.......unatengenezaje

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому

      Uchomaji wa mkaa ni kama unavyochoma nyama choma au mshikaki mie sina huku kwa hivyo sitoweza kukuonyesha, na ukwanju mbona nimonyesha jinsi nilivyo tenegeza kwa kusaga nyaya, na pilipili n.k

    • @intyswaridrissah1409
      @intyswaridrissah1409 5 років тому

      OK.....Ahsante

  • @ThisNthatDesignbyRahma
    @ThisNthatDesignbyRahma 5 років тому

    Yummy 😋

  • @Wardaskitchen1
    @Wardaskitchen1 5 років тому

    Mhhh yummy mashallah

  • @vumiliyamwinyi1457
    @vumiliyamwinyi1457 5 років тому

    shukuran kwa pweza mtamu supu ya pweza hiyo nzur

  • @mamymusa6288
    @mamymusa6288 5 років тому

    Tam tam

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 Рік тому

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @hanunarashid4677
    @hanunarashid4677 5 років тому

    Sasa huu unga unasaidia kuwa mlaini au?

  • @tatujuma4912
    @tatujuma4912 5 років тому +1

    Upate na chips mama weeee

  • @tatujuma4912
    @tatujuma4912 5 років тому

    Ila family yk inafaidi jmn

  • @managerleetv6408
    @managerleetv6408 4 роки тому

    Jaman nataman ila mikoani kuwapata ni shida hasa iringa

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 5 років тому

    Pweza mtamu bwana wee ah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому

    😜

  • @ummunifaljabry2266
    @ummunifaljabry2266 5 років тому

    Unga enafanya nini

  • @hanunarashid4677
    @hanunarashid4677 5 років тому +1

    Kwanini tunakosha vitunguu?

  • @sumyahkalama
    @sumyahkalama 5 років тому

    Raha