Holy Trinity Studio - Mvua ya Baraka (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA
PAROKIA YA YOHANE MBATIZAJI
JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI
AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS
VIDEO BY: HOLY TRINITY STUDIOS
MTUNZI : THOMAS JOSEPH
KINANDA: RICHARD WABOMBA.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
Tamu sana. Mvua ya baraka inyeshe maishani ya kila mmoja mwenye anasikia huu wimbo na kucomment. Amina.
The quality music production Kenya was lacking..
Mpenye zaidi..🙏
Hongera sana ustadh mtunzi wa wimbo huu, mvua ya Baraka...na kikosi chako chote.
Nimeusikiza Kwa mara nyingi na kila wakati naupata ukiwa mtamu wala siezi kuacha kuutazama.
Kazi nzuri kutoka Kwa wanakwaya wenzangu wa Mtakatifu kizito Riruta .
Kila n'napouskiza ninapousikiza baraka zanimiminikia
Kazi safi riruta
Wabbz and the team, great job👊👊👏
waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaooooooooooooooooooooooh
nice song
Kazi nzuri st kizito kwa kweli fabian amewatengeneza....
Kazi nzuri HT. Hongera wanakwaya wa St. Kizito Riruta
Utunzi mzuri saaana..production nzuri pia..hongera waimbaji
Well done Mt Kizito Riruta 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi saafi kabisa
Kazi safi wanakwaya pamoja na producer..@Wabbz keep up the spirit you doing awesome 👏👏
Kazi nzuri aisee 💯💯. Hongera kwa wanakwaya na production team .
Alto 💯💯
Kazi nzuri sana💪💪💪💪💪
INAPENDEZA SANA KUMWIMBIA MUNGU ALIYE JUU PONGEZI KWENU.
Hongera wabomba na timu yako
Wow❤️...good work
Clean work done 🔥🔥🔥🙏🙏
HT🔥🔥🔥
Ukitoa mathia mulumba st kizito nairobi is the best .... Sichoki sikiliza this song morw blesses
Wonderful song. Congratulations KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA
PAROKIA YA YOHANE MBATIZAJI
Hii ni Moto sana
Heko Kwa wanakwaya🔥🔥. Kazi amazing
Asante HT na mtunzi🎶🎵
Sidi the great Fan,indeed goodwork
Safi sana wabomba and the entire group,,, hongereni
Hongera kwa utume
Finally Kenyan choir is singing.
I can now sit relax and enjoy the Kenyan choir with this Productions... Hongera sana
Wow. This is so amazing 😍🔥🔥🔥🔥
Eric kobia my school mate, njoo tuimbe huku Riruta
Nice, hongereni sana
Kazi safi Mwalimu Thomas....
Very soft yet clear voices . Kongole kwenu wanakwaya
Good work my vocal trainer..Thomas Joseph
Inapendeza sana kutoka 🇰🇪
Well done St Kizito- Riruta . blessings
Riruta 🇰🇪🔥
Wow! A nice from my country. Asante sana HOLY TRINITY. Mbarikiwe sana wanakwaya
Kazi nzuri sana
Mbarikiwe sana
Wabomba!! Bro hizo vinanda
Kazi nzuri sana,
Kazi nzuri 🔥🔥
Safi sana
Kazi nzuri saaana team Riruta 👌
Holy Trinity and Rajo production never disappoints... great production@Holy Trinity
Wow...sweet melodies from Mt.Kizito Riruta.Keep the fire burning buddies 😍
Good work KMK 💥
nice song
Nice song. Congrats 👏👏
Great
Kazi safi😍,kazi legit🔥
Nice job, we did it tro our almighty God wanakizito God bless you all.
Nice blend.
Can't get enough of this song, lets keep going
Hongera kwa kazi safi.
😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥
Wow! Just wow!
Good job st Kizito Choir Riruta. God blessings be upon you as you continue evengelising through singing. Kanda safi 🙏
Kenyans finally doing it right...kazi safi sana hii 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
This song is so sweet!!i cant get enough of it! kudos st Kizito!!
Wow! What a great song, sweet voices and great video. Asanteni Sana wanakwaya wa Mt. Kizito Riruta na kongole kwa Holy Trinity. Thanks so much Holy Trinity for putting Kenya juu.
Good job,,,
Wonderful
Bringing audio and video quality to Kenya
Hii sasa ni legit biznez 🤩
Hongera Holy Trinity kwa kuendelea kupasua anga kwa sound records and Productions... najisikia kuwa Nyumbani kwetuu...
BWANA NA ABARIKI KAZI YENU..
With great love from Berlin German..
Tanzanian production is very unique than Kenyan ones let the truth be said. Can't believe this is kenyan choir singing
Finally Tanzania imeingia kenya kwa mpigo
Waaaaoooh....what do I say
Good job guys,I love the song 🙏
From Tanzania 🇹🇿 hongera sana Mt Kizito Roruta my favourite song
Well done. Wabbz, kongole Ndugu👏👏
The organist waaa👌
Whaaaat!much love to my country people
Nipo pamoja nanyi Amen
I have also seen one from Tanzania, otherwise it is nice song,up up,
Hongereni kwa wimbo huu wa baraka.
Good work KMK. And it's still coming down in waves🔥
Waow...........so sweet song, Be Blessed St. Kizito
Hongereni sana Wanakwaya na wote walioshiriki kuandaa wimbo huu mzuri sana.. "Mvua ya baraka" Kwa kweli nimepata baraka za moyoni na za mwilini pia kwa kunyeshewa mvua ya baraka... Big up all, .. Exactly test of Catholic choir like Tanzanian
👌👌,well-done wangwana.I have replayed it countless times.Ask n it will be given..."tunyeshee mvua ya baraka",wat a prayer 🙏.
Weeuweee!!! Great work my former choir. I'm so proud of you good people
Great Blend!!
Music brings together people from different nationalities and races. I dare to mark no difference with the way we sing here in Tanzania. Congrats Nairobi choir shine like stars in the sky. 👏👏
Wonderful...well sung..congratulations
Leta not tuuimbe kwetu
Wow. So lovely and calming ❤️❤️❤️❤️❤️big love guys.
Very smart brother Ogembo please keep it up. Happy to see you prospering.
Wabomba 🔥🔥🔥💪🏽
Wowo good song with good message congratulations 👏 all of u
Holy Trinity never fails. Good work our Kenyans
Good job😍😍👏👏👏
Wabbz uliona upeleke odi dance huku😜😜
Kumbe umenotice😅😅
😂😂😂😂😂lazima atuwakilishe
This song is so captivating and inspiring. The symbolism of rain to depict God's immeasurable blessings to us in on point! It is such a danceable & joyful piece 🙏🙏
This is so beautiful 😍
Must we copy Tanzanians, can't we be original with our own style
🔥🔥
🔥🔥