Inawezekana ila Camera inasemekana zilitolewa manake sasa kuna uwezekano mwenye nyumba waliokua wanaishi huyo nae anahusika maana mwenye uwezo wakutoa Camera ni mwenye nyumba
Dereva alianza kuhisi kama wanafuatiliwa kabla hawajapaki gar kwann asimwambie bos wake mapema, Kuna nn hapo, pia na hao walinz husika wa eneo hilo kwa siku hiyo walikuwa wap
siwezi kusema kama dereva alihusika ila kwa haraka tu alishiriki shambulizi la Lissu, kwa maelezo yake ni kama alishaona viashiria vya hatari kwa zaidi ya nusu saa kabla ya shambulizi, ni uzembe gani huu wa kushindwa kumwambia boss wake na huku anakiri kabisa kuwa alikua anafahamu kwamba mh Lissu alikua anawindwa kwa muda mrefU?
Kama risasi inaweza kwenda umbali mita 100. Inashindwaje kutoboa upande wa kushoto na kupiga mguu wa kushoto unajua ukiwa.fisiemu lazima uwe na roho mbaya
Lissu ameumizwa na risasi vibaya sana upande wa kulia ambao wewe ulikaa mbona wewe hukuumia kabisa? Na tisasi zilipenya vipi kwenda kwa Lissu bila kukupigia wewe uliyekuwa upande huo? Kuna kitu kingine kimejificha
Kwenye hatari lazima ulalie tumbo kwa hiyo alikuwa amegeuka ,ndio maana alipigwa mguu wa kulia,,,siyo rahisi sana ,,,mshukuruni Dereva alijitahidi sana
Tatizo sio sisi wa African, Bali tatizo Lipo kwao wazungu, Wana tulazimisha tujione wajinga wasio na elimu, Wana tulazimisha tujione maskini, akija kiongozi akasema tubadulike sisi sio maskini na sio wajinga tujitegemee hawapendi, mfano alikuwepo Muamar Gadafi, wakachukia wakamuua, akaja Magufuli Tanzania akasema sisi sio maskini na tuache kutegemea vya wazungu, pia hawakupenda. Hakuna Rais atakekuja kuwaambia wa Africa kuwa sisi si wajinga na sio maskini wakakubali, lazima wamfanyie zengwe.
Watu Wapumbavusa Wanao Mshutumu huyu Jamaa Angekuwa Yupo kwampango ule Wangefanikisha Zoezi Jiulizeni tu Camera zilienda wapi alafu Siku hiyo walinzi waliend wapi
Kuna baadhi ya watu wanatulazimisha cc wtz tuwe wajinga kiasi wanavyota wao. 1. Lissu aliripoti police kuwa anafuatiliwa. 2.Getini hapakuwa na walinzi cku hiyo. 3. Kamera ziliondolewa baada ya tukio. 4. Huduma za kibunge zikazuiliwa. 5. Kufutwa ubunge. 6. Wazri mkuu aliwahi kumjibu Mbowe bungeni kuwa hakuna haja ya kuleta vyombo vya nje kuchunguza bali tuwe na imani na vyombo vyetu vinaendelea na uchunguzi, lkn hadi leo ni 0000!! Tafadhali jamani mnaonufaika na ukatili kupitia nafasi mlizonazo msitulazimishe kula vinyesi vyenu mnavyo comment.
Vilaza sisis tunataka dereva atwambie ni kwa nini hakutoa taarifa police na wala kumwambia boss wake kuwa kunawatu wanamfuatilia,na kwa nini hakujitokeza wakati police wanataka atoe ushahidi wa tukio na vije risasi ilipigwa upande wake ila yeye hakuguswa hata moja sinazosemekana zilikiwa 16.?.kama yeye hausiki?
Hii story ni true kijana ndio shahidi mkubwa katika hilo tukio kiufupi serikali ya tanzania aibu sana kwa Mbunge wao Tundu Antiphas Lissu kushambuliwa area ya security services Dodoma VIP area,huyu jamaa kama angelikuwa tanzania angepigwa sindano ya sumu kupoteza ushahidi,kwanini serikali haitaki waje FBI,SCOTLAND YARD,NA INTERPOL INTERNATIONAL CRIME ? hawataki kuruhusu uchunguzi wa wataalamu wa kimataifa
Nani aliwatoa walinzi. Na nyumba waliyoikaa ikilindwa masaa 24 nani alimtoa. Ni kikosi ulinzi gani kilichokuwa kinahusika kuwapanga walinzi na kuwasambaza. Nani siku hiyo.mlinzi wa gatini, ni nani alimpigia simu asiende, au nani alimwondoa ule mchana.
Lakini walio husika mtaumbuka sana watakufa wao LISU watamwacha duniani mungu ndo anajua ila swala la LISU ccm mehusika siyo bure kwa sababu serikali walikataa kumtibu magufuli ni jembe lakini kwa hili la LISU nilimzarau kabisa
unapokuwa unahisi kitisho sura huwa unaelekeza wapi juu au chini. Alijeuka na kuelekeza sura chini. hivyo hakuwa tena amekaa alilala kwa tumbo maana siti ya gari walinyosha na ndio maana majeraha hayakua juu ya tumbo yalikuwa chini ya kiuno. na wahalifu hawakujua hilo ndio maana walihangaika kupiga upande ule wa mbele kwa abiria.
Kwa akili ya kawaida tu,huyu dereva anaelewa kila kitu!
Ndugu imekuwaje Lissu aumie mguu wa kushoto upandenwa ndani wa paja na wewe usiguswe na risasi hata Moja?
Kwani hua inakuaje ajali ya gari moja wengine wanakufa na wengine wanapona tena bila kupata majeraha? Tafakari hyo utapata jibu na Umsifu Mungu daima.
Msituletee movie toka tukio limetokea c mnge mhoji kwa upelelezi mlikuwa na msaada gani
Dereva mpiga dili huyo😲😲
Dereva anahusika...kwa lile tukio lilivyotokea uyu dereva anahusika kabisaa
Inawezekana ila Camera inasemekana zilitolewa manake sasa kuna uwezekano mwenye nyumba waliokua wanaishi huyo nae anahusika maana mwenye uwezo wakutoa Camera ni mwenye nyumba
Ukiwa na degree 1 udhamuelewa,sio mpaka uende cuba
Ukimwamgia machoni,anasoma alichoelekezwa
Dereva alianza kuhisi kama wanafuatiliwa kabla hawajapaki gar kwann asimwambie bos wake mapema, Kuna nn hapo, pia na hao walinz husika wa eneo hilo kwa siku hiyo walikuwa wap
Gemu tu kwani wachunguzi wa tz awkupata muda waswala hili risas moja ata isimjerui dereva 😂😂😂😂wacheni mchezo
Ajabu
Tuombe wataalamu bobezi wafanye uchunguzi tujue ukweli. Au wameshamaliza uchunguzi?
Waziri Mkuu Sokoine alikufaje ?
Nnamashaka kidogo kwanini hamjapuga simu polisi ili kupata masada wakati mmepata mashaka ya kufuatiliwa??
Hayajakufika
Sina imani na upigwaji wa risasi wa tundulisu , kama walio karibu nae hawahusiki
we una akili kubwa sana
Yaani wewe ulifanikiwa kutoka nje ukamwacha boss wako peke yake kwenye gari. Halafu aliumiaje mguu wa kulia upande wako?
siwezi kusema kama dereva alihusika ila kwa haraka tu alishiriki shambulizi la Lissu, kwa maelezo yake ni kama alishaona viashiria vya hatari kwa zaidi ya nusu saa kabla ya shambulizi, ni uzembe gani huu wa kushindwa kumwambia boss wake na huku anakiri kabisa kuwa alikua anafahamu kwamba mh Lissu alikua anawindwa kwa muda mrefU?
Huyu ndie anahucka wa 100%
Huyu anahusika ndio maana amefichwa hiko
Kafichwa na nani? je walinzi wa viongozi siku hiyo walikuwa wapi katika malindo?
Acha ujinga
Dakika 10 ni nyingi hukuweza hata kumpigia mbowe au kiongozi yoyote kuna hali ambayo hatuielewi hapa
Kwanini hukumwambia boss wako kuwa mnafuatiliwa? kwa kawaida lazima ungemwambia ili atoe wazo namna ya kujilinda na hao wafuatiliaji.
Muulize Kangi Lugora yaliyomkuta kutaka kukagua cctv camera za nyumbani kwa Lissu!!
Wewe dereva kama ulihisi mapema unafatiliwa kwanini usimwambie boss wako akakupa ushauri mzuri mfanye nini au kukimbia kituo cha usalama wa police
KWANU WE IMESAFIRI?.
Kama risasi inaweza kwenda umbali mita 100. Inashindwaje kutoboa upande wa kushoto na kupiga mguu wa kushoto unajua ukiwa.fisiemu lazima uwe na roho mbaya
@@rebekakulwa6159 kwanza iyo gari ni right drive au left drive Kuna vituko vingine maagizo yake ni HATARI
Risasi inatembea mita 2000 , na inaua mita 1500 ,,, ila hizo mita nyingine za juu itaua kutegemea na maeneo ilio pigwa
Umbali huo wa risasi ni kama haijakutana na kizuizi chochote !!
Maswali ni mengi sana. Tuombe wataalamu maalum wafanye kazi ya uchunguzi tupate majibu.
@@1961nungwi majibu lisu alietengeneza Dil na dereva wake walishauriwa nawazungu
@@EmmanuelMlowe-u1vWe mjinga kweli acha ushamba mbona unakuwa mpumbavu
Kweli mh. Tundulisu anasemaga ukweli sikuzote
Lissu ameumizwa na risasi vibaya sana upande wa kulia ambao wewe ulikaa mbona wewe hukuumia kabisa?
Na tisasi zilipenya vipi kwenda kwa Lissu bila kukupigia wewe uliyekuwa upande huo?
Kuna kitu kingine kimejificha
Huezi shiriki mauaji eti wewe ukae umeshika Target watu wapige ukipigwa ww je hivyo hao ni bahati zao tu hawakufa kwenye shambuliz
Kwenye hatari lazima ulalie tumbo kwa hiyo alikuwa amegeuka ,ndio maana alipigwa mguu wa kulia,,,siyo rahisi sana ,,,mshukuruni Dereva alijitahidi sana
Dereva dereva alishirikishwa katika njama za mauaji mapema.kwa hide alikuwa akijua kinachoendelea.na indigo mana ata hakupata jeraha
Hata ajali mbaya huwa kuna wanaosalimika. Mf. Titanic au ndege nk
Hadileo imejulikana kwasababu kma unaweza kukataa watu kuandamana kudai hakizao ila ukashindwa kulinda watu wako nibonge la tatizo ila kitajulikana
😮..
Nyie jamaa huwa hamna current news
Tatizo sio sisi wa African, Bali tatizo Lipo kwao wazungu, Wana tulazimisha tujione wajinga wasio na elimu, Wana tulazimisha tujione maskini, akija kiongozi akasema tubadulike sisi sio maskini na sio wajinga tujitegemee hawapendi, mfano alikuwepo Muamar Gadafi, wakachukia wakamuua, akaja Magufuli Tanzania akasema sisi sio maskini na tuache kutegemea vya wazungu, pia hawakupenda. Hakuna Rais atakekuja kuwaambia wa Africa kuwa sisi si wajinga na sio maskini wakakubali, lazima wamfanyie zengwe.
Muongo huyo maelezo yake tu hayana maana
ulipenda aonge nini cha kukufurahisha
Haiwezrkani ipigwe risasiI upande wako wa kulia usipate jeraha hata moja
Wewe naye kwani hauelewi wapi kasema hilo eneo kuna walinzi na cctv camera zipo wapi
Ilikuwa je dereva aende Nairobi na ikuwaje miezi 4 usirudi Tanzania na kwanini nani nani alie mshauri aende na yeye ubelgiji
Taarifa ya zamani
We ndo ulimpiga na wenzako
nadhani utakuwa kichwani haupo sawa.
Unahusika wewe
Haya alitasema siku nyingi. Sasahivi hana mwonekano huo. Yiko kivingine kabisa.
Watu Wapumbavusa Wanao Mshutumu huyu Jamaa
Angekuwa Yupo kwampango ule Wangefanikisha Zoezi
Jiulizeni tu Camera zilienda wapi alafu Siku hiyo walinzi waliend wapi
camera lakin c zilion aliyekata jicho
Kuna baadhi ya watu wanatulazimisha cc wtz tuwe wajinga kiasi wanavyota wao.
1. Lissu aliripoti police kuwa anafuatiliwa.
2.Getini hapakuwa na walinzi cku hiyo.
3. Kamera ziliondolewa baada ya tukio.
4. Huduma za kibunge zikazuiliwa.
5. Kufutwa ubunge.
6. Wazri mkuu aliwahi kumjibu Mbowe bungeni kuwa hakuna haja ya kuleta vyombo vya nje kuchunguza bali tuwe na imani na vyombo vyetu vinaendelea na uchunguzi, lkn hadi leo ni 0000!!
Tafadhali jamani mnaonufaika na ukatili kupitia nafasi mlizonazo msitulazimishe kula vinyesi vyenu mnavyo comment.
CCTV ndo msema ukwel kwann polis wasiitumie kuchunguza
camera zote zilizimwa
Na Waziri Kangi alipotaka kufuatilia aliipata fresh...!!
Nyinyi vilaza mnataka ushahidi upi?
Kwanini hukupiga simu polisi kabla kuomba msaada baada ya kuona mnafuatiliwa kwa muda mrefu?
Mwongo lisu walimtobolea sehem nyingine ndowakaenda pale huu niwongo
Dereva wa lesu anajua kwamba walipanga na lisu mwenyewe nawazungu wa u erigiji
@@EmmanuelMlowe-u1vKwani Lissu kafa au yupo hai? Yy ajui alishambuliwa wapi?
Muda hausemi uongo iko siku litajulikana tu.
Huyu fala kweli kutoa maelekezo police ni shida mpaka unajificha akili ya dereva sijawahi kua nzuri
Huwezi kuacha kumwambia mtu Mlipewa naye kwenye gari Kama Unaona hali ya hatari. Umeendesha mwendo mrefu na adui nyuma yako ukakaa kimya? Kwa mini?
Hili swala la cctv linafumbiwa macho wal halitolewi maelezo na vyombo vya usalama kwa niniiiiiiiiii
Km ilikuwa unaona Hari zinakufuata kwann haumwambia boss waki?
Angalau ungepata mafunzo ya JKT
Vilaza sisis tunataka dereva atwambie ni kwa nini hakutoa taarifa police na wala kumwambia boss wake kuwa kunawatu wanamfuatilia,na kwa nini hakujitokeza wakati police wanataka atoe ushahidi wa tukio na vije risasi ilipigwa upande wake ila yeye hakuguswa hata moja sinazosemekana zilikiwa 16.?.kama yeye hausiki?
Hivi unajielewa kweli yan akatoe maelezo ili naye afe nawakat waliohusika ni haohao
Wongooooo
Wewe ni muongo uje kwenye vyombo vya usalama "polisi" ili utoe ushirikiano ili kijulikane.
Hii story ni true kijana ndio shahidi mkubwa katika hilo tukio kiufupi serikali ya tanzania aibu sana kwa Mbunge wao Tundu Antiphas Lissu kushambuliwa area ya security services Dodoma VIP area,huyu jamaa kama angelikuwa tanzania angepigwa sindano ya sumu kupoteza ushahidi,kwanini serikali haitaki waje FBI,SCOTLAND YARD,NA INTERPOL INTERNATIONAL CRIME ?
hawataki kuruhusu uchunguzi wa wataalamu wa kimataifa
Hawawezi kuruhusu maana ndiyo wahisika
Usiseme tulishajua tunafuatiliwa wakati umesema hukumwambia boss kuwa mnafuatiliwa. Kwa hiyo hakujua
Sasa dereva alijificha kwa nini? Sababu alikuwa anatafutwa japo anasema alikuwepo.
Huyu angepatikana basi ujue angeuawa
Inakuwaje hii habari ni ya kitambo naiyona hapa eti imetoka masaa tisa iyopita??? Acheni uhuni. Mnatumalizia pesa zetu tuuu.
Nani aliwatoa walinzi.
Na nyumba waliyoikaa ikilindwa masaa 24 nani alimtoa. Ni kikosi ulinzi gani kilichokuwa kinahusika kuwapanga walinzi na kuwasambaza. Nani siku hiyo.mlinzi wa gatini, ni nani alimpigia simu asiende, au nani alimwondoa ule mchana.
Huyu alipanga na lisu kumtoboa na kitu siyo risasi huyu dereva anajua
Pumbavu wewe
Anaemhoji mwenyewe nikama tim lisu maana mashwali yakijinga sn
Unatupanga tu
Mbona kama hii video ni yazamani.
Umesubiri dakika kumi kwenye hatari bila hata kuita polisi? Haileti maana. Kuna kitu kimejificha
Lakini walio husika mtaumbuka sana watakufa wao LISU watamwacha duniani mungu ndo anajua ila swala la LISU ccm mehusika siyo bure kwa sababu serikali walikataa kumtibu magufuli ni jembe lakini kwa hili la LISU nilimzarau kabisa
Yaani hukumwambia boss wako Lissu wala kuomba msaada polisi wala hukuumia wala japo risasi zilipigwa upande wako
Bado kunashida alipaswa kuondoa gari haraka hapo walisubiri hatari
Hayajakukuta
Chuma hichi kapewa ungo sasa
Sanaa hiyo,mguu wa kulia ulipigwaje risasi wakati gari lilitobolewa kushoto?
Swali zuri sana
unapokuwa unahisi kitisho sura huwa unaelekeza wapi juu au chini. Alijeuka na kuelekeza sura chini. hivyo hakuwa tena amekaa alilala kwa tumbo maana siti ya gari walinyosha na ndio maana majeraha hayakua juu ya tumbo yalikuwa chini ya kiuno. na wahalifu hawakujua hilo ndio maana walihangaika kupiga upande ule wa mbele kwa abiria.
Mbona kama maelezo ya kutunga hayo unatafuta maneno
Nimepitia comment humu watu wanarahisisha wengine mnacheka sababu hayajawakuta ishu ya mh.lissu sio la mzaha
Kwaiyo mnataka kusema amejipiga risasi ua??😢😢
MANYUMBU NATION
Kwanini hukuja Tz kuhojiwa? Kama unajiamini.
Maelezo hairidhishi
Ulimpatia nauli? Unawaza upumbavu tu!