Shamaru : Sheikh Hafidh $ Dida $ Mudyru

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Ni Qaswida maalum ilioandaliwa kwenye sherehe ya harusi ya Shamaru ili kuonesha upendo wa pamoja kwenye shughuli hiyo maalum.

КОМЕНТАРІ • 182

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 3 роки тому +9

    Kwa wale wanao sikiliza kaswida zenji na kusoma comment naombeni like zenu jamn safi sana haishi hamu hii kasida 😘

  • @omanoman-zd2dq
    @omanoman-zd2dq 4 роки тому +3

    Mashaallah Sema habity dida uko vizuli allah akuongoze inshaallah

  • @fatimahasan6689
    @fatimahasan6689 3 роки тому +2

    Mashallah mashallah qwaswida nzuri mungu hwazidishie kipej inshallah

  • @salmaismail9425
    @salmaismail9425 6 років тому +4

    nice kabisa mwandada una saut nzr mashaalla

  • @abalhassan7794
    @abalhassan7794 6 років тому +5

    Hee mashallahu kaswaida nzuri sana hongereni sana mungu awajalie kila la kheri kwenye kazi zenu

  • @user-hx8yd9gp2q
    @user-hx8yd9gp2q 5 місяців тому +1

    ماشاءاللہ

  • @jumawaziri4738
    @jumawaziri4738 6 років тому +4

    Mkiona itapendeza mpaka peponi niutam mtupu mashaallah fanyeni hivo

  • @muharamiibrahimu3029
    @muharamiibrahimu3029 5 років тому +4

    Walilahilhamdu mnafanya vizuri nawaombea Kila lakheri nyote fani izidi nariziki pia izidi

  • @halimajuma5515
    @halimajuma5515 6 років тому +5

    mmmmmhhhh hadi raha...
    zanzibar n njemaaaaa..... maasha allah!!!!!!

  • @nassragharib9636
    @nassragharib9636 6 років тому +4

    Mashallah did a nakupenda sna napnda saut yak nataman cku1 nkuone nikusomee kasida zako zoooooooteeeee

  • @suleimankombo
    @suleimankombo 6 років тому +3

    Masha Allah Qaswida nzuri nimeipenda Allah awazidishie

  • @bintibinti9620
    @bintibinti9620 6 років тому +5

    ma shaa Allah..soo nice&lovely

  • @rashidikarisa8679
    @rashidikarisa8679 5 років тому +2

    Allah awape nguvu na uwezo zaidi na afya njema daima katika mioyo yenu mzidi kufanya vizuri daima inshaallah

  • @aldanaudana2633
    @aldanaudana2633 6 років тому +4

    Mashallah nzuri mahadhi yake

  • @AsyaNgwali-r6b
    @AsyaNgwali-r6b 8 днів тому

    Mashallah nzuri sana

  • @rayaalmas8311
    @rayaalmas8311 6 років тому +7

    yaanii mwezenu napenda sana saut ya did a Masha Allah mungu ampe kila LA kheri

    • @MudyruAbdi
      @MudyruAbdi 6 років тому

      Raya Almas amiin

    • @anilmohd6280
      @anilmohd6280 4 роки тому

      Mm mwenyew napend sana sauti ya dida mashaallah allah amzidishie

  • @salmahassan3211
    @salmahassan3211 6 років тому +2

    Masha Allah kaswida nzuri sana, nimeipenda sana

  • @rehemabakari6403
    @rehemabakari6403 6 років тому +3

    Maashaallah hakika kaswidq nzuri sn ongera sn shekhe afidhi na ukhty dida

  • @hafswamwinyi
    @hafswamwinyi 6 років тому +3

    Amazing...great job dida n team. Mashaala tabarakaallah...n big up to bro ibrahim fr posting soothing qasidas....jazaakumullahu kheiran👌👏👍

  • @ayshahams7373
    @ayshahams7373 6 років тому +5

    Mwenyezmung awajaalie umri mrefu na macho ya husda awaepushie

  • @mahijakapingu395
    @mahijakapingu395 6 років тому +4

    ManshaAllah Qaswida nzuri

  • @zaynabsanga6157
    @zaynabsanga6157 6 років тому +5

    Kaswida nzuri sana haipiti siku bila kuisikiliza

  • @user-ed1lo4mu2c
    @user-ed1lo4mu2c 6 років тому +2

    Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah tabarakallah taàla fiykum

  • @husnaomar2802
    @husnaomar2802 6 років тому +2

    Nzuri mashaallah. ....sauti sasa ndio inanimaliza mie

  • @kessyjuma4617
    @kessyjuma4617 5 років тому +1

    Umetisha sana hafidh mwenetu

  • @elenestjackson129
    @elenestjackson129 6 років тому +6

    Mungu akupe bidii zaidi hapo mdongo wangu dida unanikosha Sana nikisikiya sauti yako by hemedi from kivuugo pemba

    • @rashidabdallah8912
      @rashidabdallah8912 6 років тому

      Mashaallah mola awazdishie kaswaida mzur sana mnatokosha haswaaaaaa

    • @azizamustaffer1256
      @azizamustaffer1256 4 роки тому

      We boya nn,,, we mkristo na dida wetu ni muislam,, kwqnza we na qaswida wap na wap

  • @abermeyzocom6997
    @abermeyzocom6997 6 років тому +5

    Mshaallh nipo vinzur sn

  • @nurudinisalim4220
    @nurudinisalim4220 3 роки тому +1

    Kila la kher mwenyez awabarik allahuma amiyn

  • @AshirafuAbuda
    @AshirafuAbuda 5 місяців тому

    Nimeipenda kwasweda hii sana

  • @suleymanally3929
    @suleymanally3929 6 років тому +3

    mashallah fantastic

  • @massoudsaid8844
    @massoudsaid8844 6 років тому +1

    Mashallah, Mudyru& Dida & Hafidh master wakutana ktk Qaswida Moja Raha ilioje

    • @MudyruAbdi
      @MudyruAbdi 6 років тому

      Massoud Said shukran

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 6 років тому +1

    Mashaallah..qaswida nzuri..shukran

  • @mussaalbahassin4080
    @mussaalbahassin4080 6 років тому +4

    Mnzur sana kasida

  • @badisaidi3172
    @badisaidi3172 2 роки тому

    Dida umetufanya tusisikie nyimboo ww nipumbao tosha one love dida💘💘💘

  • @hajimabrouk1157
    @hajimabrouk1157 5 років тому

    Kiukwel nawapenda sana hafidh na ukht dida wanatizamana muongozo ktk ndoazetu allah awalipe

  • @fatihiaramadhani62
    @fatihiaramadhani62 6 років тому +1

    mashallllhhh nice qaswida

  • @kassimomar8176
    @kassimomar8176 6 років тому +2

    Maa shaa allah

  • @mwanabitibogoyo4884
    @mwanabitibogoyo4884 6 років тому +2

    Maasha Allah 👏👏

  • @ashlookhamis7630
    @ashlookhamis7630 6 років тому +3

    Ni mzuri mno kaswida hii

  • @allymrimi4274
    @allymrimi4274 6 років тому +2

    Nzuri sana

  • @anilmohd6280
    @anilmohd6280 4 роки тому +1

    Mashaallah qaswida👌

  • @user-ip2dd3ws4s
    @user-ip2dd3ws4s Рік тому

    Mashaallah

  • @muhinamnyanja4080
    @muhinamnyanja4080 3 роки тому

    Shukrani wote Allah awabarik inshallah

  • @swabrinamasoud106
    @swabrinamasoud106 6 років тому +1

    Masha Allah qaswida nzur nawapenda sana😘😘👌

  • @user-nq9cg8xl9z
    @user-nq9cg8xl9z 9 місяців тому

    Mashallah ❤

  • @eshasalim1232
    @eshasalim1232 6 років тому +1

    MashaAllah nice qaswida

  • @iddymdachi5864
    @iddymdachi5864 5 років тому +2

    inshallah

  • @ashakinyogoli8108
    @ashakinyogoli8108 4 місяці тому

    nakupendaaga sana

  • @alimuhamad8267
    @alimuhamad8267 6 років тому +3

    Tume farijika soteee. Hongereni sana. Kwa qasswida mzuuuri mno

  • @ajeyfandhealthy8842
    @ajeyfandhealthy8842 6 років тому +4

    Thanks for paying attention on my comment.

  • @shemsaninependaame3853
    @shemsaninependaame3853 6 років тому +2

    mashaallah nzur sn

  • @ashileyramsey5384
    @ashileyramsey5384 6 років тому +1

    Masha Allah

  • @latb2747
    @latb2747 6 років тому +8

    yaan hii kasida ni hatareee mno👍👏

  • @iddidida9495
    @iddidida9495 2 роки тому

    ماشالله يارمضان

  • @yusraibrahim8218
    @yusraibrahim8218 5 років тому +3

    Mashaalah 💋❤❤❤❤

  • @seraphetid
    @seraphetid 6 років тому +2

    Mashallah

  • @alifadhil5241
    @alifadhil5241 5 років тому +1

    maashallah km icshe vile
    ipo vzr xnn qsd hongeren

  • @MudyruAbdi
    @MudyruAbdi 6 років тому +3

    Ahsanteni sana kwa fikra zenu mbali mbali na support yenu kwa lolote inshallah mnaweza kutupa ushauri moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii

    • @kimolomwajabu4668
      @kimolomwajabu4668 6 років тому

      Mudyru Mohamed mashaaalaaah nice qaswida

    • @MudyruAbdi
      @MudyruAbdi 6 років тому

      Asante kimolo

    • @kimolomwajabu4668
      @kimolomwajabu4668 6 років тому

      Mudyru Mohamed
      mi naziomba kaswida zenu nazipataje huwezi nitumia wthaspp 0675182747

    • @MudyruAbdi
      @MudyruAbdi 6 років тому

      Nichek

    • @user-bh4ns6so2f
      @user-bh4ns6so2f 5 років тому

      Hii kaswida haichuji miaka yote sema naomba hii kaswida na nyengine zote kupitia namba hii
      Km utojali lkn samahani kwa usumbu
      +968 91745441 NAOMBA

  • @Sakhira-tl6wi
    @Sakhira-tl6wi 4 роки тому +1

    Sichoki kuiskiza😍😍

  • @agnessdaud6250
    @agnessdaud6250 6 років тому +3

    mashaa Allah!!

  • @fatmakhamis1018
    @fatmakhamis1018 5 років тому +17

    kama yupo anaesikiliza hii qaswida hadi leo pitia hapa wajue tuwajuze ili wawatoe kazi kama hizi

  • @shakivumanyasa2018
    @shakivumanyasa2018 6 років тому +2

    hii qaswida nimeipenda bule

  • @mahijakapingu395
    @mahijakapingu395 6 років тому +1

    ManshaAllah

  • @karimmfinanga3190
    @karimmfinanga3190 5 років тому +2

    yan mmetisa kweli mol awajal kila laher

  • @fadhilmaganga8166
    @fadhilmaganga8166 4 роки тому +1

    Safi sana

  • @mwajumaali4866
    @mwajumaali4866 6 років тому +2

    hongereni

  • @alihabibu1812
    @alihabibu1812 6 років тому +1

    Nasubiri video

  • @boscojohn1873
    @boscojohn1873 2 роки тому

    Mko vzuri

  • @ajeyfandhealthy8842
    @ajeyfandhealthy8842 6 років тому +4

    Notification zako sipati mkuu. pamoja collabo iko mashallah

  • @maryamkombora9543
    @maryamkombora9543 4 роки тому

    Mashaallah! Hatari

  • @saumtengeza509
    @saumtengeza509 3 роки тому

    Mashaallah nimependa Sana kama kuna group naomba muniunge

  • @farabint8630
    @farabint8630 5 років тому +2

    I love Dida l wish her good marriage

  • @ashakinyogoli8108
    @ashakinyogoli8108 4 місяці тому

    mashallah

  • @khadijasaid6747
    @khadijasaid6747 5 років тому +1

    mashaallah dida unaweza

  • @OMIYMOHD-hc5qm
    @OMIYMOHD-hc5qm Рік тому

    nice

  • @znzfabietto7472
    @znzfabietto7472 4 роки тому +1

    Mpo sawa bin sawia

  • @chebalaphael7311
    @chebalaphael7311 4 роки тому +1

    Mashall dida

  • @raihamhamad9138
    @raihamhamad9138 6 років тому +2

    Nnavo kupenda dyda

  • @mohamedali-gl3xk
    @mohamedali-gl3xk 6 років тому +1

    wow it is so beautiful

  • @ngonyaniabbasi8185
    @ngonyaniabbasi8185 6 років тому +2

    Shekh hafidh umeua kaka wewe ndio mwalimu wa waimbaji kasida wote zanzibar

  • @ShamisYussuf
    @ShamisYussuf Місяць тому +1

    Kasida imepata mafundi ndio maana ikawa imetisha mno

  • @husralfighter346
    @husralfighter346 11 місяців тому +1

    Uhakika vichwa mahiri vimekutana na kufanya kitu Cha uhakika

  • @mdogokalanje3484
    @mdogokalanje3484 5 років тому +1

    maaxhaallah

    • @jasmingogola4486
      @jasmingogola4486 4 роки тому

      Sautiyakikehaitakiwiisikikehasakwawanaume
      Wengineunawaumizanasauti
      Mwishounaingiakubaya

  • @rahmakhamis111
    @rahmakhamis111 6 років тому +4

    mash Allah

    • @omarrashid5610
      @omarrashid5610 5 років тому

      Hawa jamaa wanatisha wopo vizuri mashallah

    • @rehemaomari3301
      @rehemaomari3301 3 роки тому +1

      Mashaallah tabarak qaswida nzuri nalipenda saana mwenyezi mungu awajali mwisho mwema maishani na pia awaondolee macho za husda

  • @halimajuma2459
    @halimajuma2459 6 років тому +2

    Respect sheikh khalifa

  • @khaalidbinwaliid5689
    @khaalidbinwaliid5689 4 роки тому

    Love hafidh

  • @amourchacha116
    @amourchacha116 6 років тому +1

    Hafidh kabebwa hajui asaaaaaa

  • @yahyasuileman7892
    @yahyasuileman7892 5 років тому +1

    Didaa sauuuuuuty kinandaaaaa

  • @harunamohamed3870
    @harunamohamed3870 6 років тому +3

    mashallah helwah Qaswida ❤❤

  • @alisalum1687
    @alisalum1687 6 років тому +5

    Jamani huyu hafidh tena hata cjui tumpe nn tena ninavompenda mm cjui hata ni mawazo nn yaani hana mbaya kwangu

  • @mamahafsa2867
    @mamahafsa2867 5 років тому +1

    Masha,allah haziishi ham,jamani shekhe hafidh mbona hatukuoni hauonekani hakuna mpya hata tunawaona kina juma tu vp?

  • @salmajumaa1523
    @salmajumaa1523 6 років тому +1

    maxallah

  • @jumasheha6424
    @jumasheha6424 6 років тому +4

    Kasida nzuri mno lakini Diyda katisha sana

  • @issabnmaryam1132
    @issabnmaryam1132 5 років тому

    congratulation

  • @ashagood3909
    @ashagood3909 6 років тому +2

    nataman kudanlod Ila sjui

  • @danahasan1649
    @danahasan1649 6 років тому +4

    Mafahali lazim tukubali

  • @shemsaninependaame3853
    @shemsaninependaame3853 6 років тому +1

    naomba unitume

  • @zondomariam228
    @zondomariam228 6 років тому +1

    👌👌👌👌

  • @hamisikama2731
    @hamisikama2731 5 років тому +1

    Aslam Alyikmu.

  • @chutaridondo6754
    @chutaridondo6754 6 років тому +1

    Iko poa