ChobisTwins - Yanga Bingwa (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 250

  • @mashakajohn9365
    @mashakajohn9365 2 роки тому +3

    Xaut nmeipenda bule bonge la ngoma hongereni wadada

  • @SaumedenmashallaSaumeden-gw3te

    Naupenda sawa wimbo wenu mmetisha

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 2 роки тому +5

    Yanga tamu yangu bingwa congaration my team.poleni makolo

  • @fixedmatches5320
    @fixedmatches5320 2 роки тому +23

    Mimi ni shabiki.wa.simba ila wimbo.wenu ni mzuri HONGERENI sana

  • @chiburmchafutz9276
    @chiburmchafutz9276 2 роки тому +10

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nyimbo Qaliiih Ngoja Nikapge Mswaki kwanza Arf Ntarud Kuja Kucoment Tena🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @agustinebayyo532
    @agustinebayyo532 2 роки тому +10

    Ngoma nzuri sana mabinti hawa mmeua

  • @nasrikilapo5945
    @nasrikilapo5945 2 роки тому +10

    Duuu nilikua siwajui awa wadada memtisha Sana🏆🏆🏆🏆

  • @ayubulukumay7300
    @ayubulukumay7300 2 роки тому +3

    Dah nimeikubaki ngoma hii saiv naipokelea simu💚💚💚💚

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 2 роки тому +14

    Nimewapenda Bure Hawa watoto mapacha✅🧡🧡💕💕💚💚

  • @calvinkobelo4335
    @calvinkobelo4335 2 роки тому +4

    Mmetisha

  • @benjamindenice53
    @benjamindenice53 2 роки тому +22

    Yanga mnasifa jaman. Simba sisi baridi na viongoz wametulia inauma sana

  • @francisnmkimu6806
    @francisnmkimu6806 2 роки тому +3

    Goma linaburudisha mwili na Roho ile mbayaaa

  • @shabanichaye8255
    @shabanichaye8255 2 роки тому +11

    Chobis twins 🔥🔥🔥🔥 YANGA rahaaaaaa sanaaaa

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 2 роки тому +10

    Wanainchiii nyimboo tamuuu bna😚

  • @philipocoutinho9899
    @philipocoutinho9899 2 роки тому +6

    Good sana na beauty

  • @KAPONDART
    @KAPONDART 2 роки тому +3

    Woo i mean since nimeisikiya woo nice real nive mnahitaji ku zawadiwa na yanga twins the best

  • @tcunyamatv6196
    @tcunyamatv6196 2 роки тому +9

    Mnajuwa sana hongereni kwa kazi nzuri

  • @samwelsaningo
    @samwelsaningo 2 роки тому +12

    Twin sisiter!
    Wananchi goma letu hlooo hapoooo!!!!

  • @christopherjonas9933
    @christopherjonas9933 2 роки тому +8

    Hatari sana 😂😂 yanga bingwa 💚💚😆🥇🏆

  • @shabansaid4154
    @shabansaid4154 2 роки тому +6

    duh matwis mmetisha Sana Nina zawad yenu Kwanza warembo kinoma nawapenda

  • @allanadam8866
    @allanadam8866 2 роки тому +11

    Wanangu saaaana mmetisha Na chama letu Machampions of all time🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fatumamtukane44
    @fatumamtukane44 Рік тому +1

    Wawili nyiee hatary sana

  • @davidchalambo9746
    @davidchalambo9746 2 роки тому +7

    Jangwan poaaaa🔰💚💛🇹🇿🌍

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz Рік тому +1

    Young African 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ernestjophreymalaba3374
    @ernestjophreymalaba3374 Рік тому +6

    For me this is best Young African's Song ever

  • @evrawoisso6308
    @evrawoisso6308 Рік тому +1

    Nimerudi tena hapa

  • @mwanaidihussein6887
    @mwanaidihussein6887 2 роки тому +2

    Yani nyimbo haiboi hii naisikiliza kila siku kama dozi

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 роки тому +6

    Yanga oyeeeeeeeeeeee, yanga bingwaaa

  • @elibarikjohn3457
    @elibarikjohn3457 2 роки тому +30

    ngoma halichoshi kusikiliza ,yanga bingwa 💚💛💚💛

    • @KAPONDART
      @KAPONDART 2 роки тому +1

      This million dallars wark mna hitaji zawadi wanchi ikiwa yanga hawa kuwapakitu wanchi tuwa zawadiye chochote hawa mimi natowa dollar 50 canadian 4 sure

  • @alliyselemani838
    @alliyselemani838 2 роки тому +7

    Ili goma litaishi miaka mingi Sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +9

    Jamn yanga oyeeeee ma twins mmetisha💃💃💃🔥🔥🔥💚💚💛💛💚💚💛💛

  • @mpwamtaa5173
    @mpwamtaa5173 2 роки тому +3

    Ngoma kaliii sana hiiii,,💝

  • @rahmaamgoo7919
    @rahmaamgoo7919 Рік тому +12

    💛💚💛💚✌✌✌✌✌💃💃💃💃💃💃💃💃💃 wanayanga wote leteni like kwa wimbo wetu wa Yanga 💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛

    • @chingaa918
      @chingaa918 Рік тому

      💚💚💛💛💛💚💚💚🖑🖑🖑

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 2 роки тому +10

    Bonge la Ngoma Yangaaaa 💚💛💚💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💛💚💛💛💚💛💚💛💚💛💛💚💛💛

  • @latifamohammed61
    @latifamohammed61 2 роки тому +7

    Asante wadada wazuri kwa wimbo hii wa. Mabingwa💛💚💛💚

  • @laurentruge4366
    @laurentruge4366 2 роки тому +1

    Hapo Salamanda goma hili...lilipagawisha sana...halafu sisters wapo vizuri..burudaaaaniii

  • @sheisjeny
    @sheisjeny 2 роки тому +8

    Hatari sana💣💥🔥🙌

  • @wananchii
    @wananchii 2 роки тому +15

    Mmetisha sana nichekini nina zawadi yenu.

  • @winnykilua6524
    @winnykilua6524 2 роки тому +5

    Yanga bingwaaaaaaaaa

  • @mziyaibrahim7403
    @mziyaibrahim7403 2 роки тому +6

    Mmetisha sanaaaa🔥🔥 wanangu wa chobis twins 💪💪

  • @hamzahassan2079
    @hamzahassan2079 2 роки тому +3

    Wachumba zangu
    Mnauweza musc nakaziyenu ipovizurii Mambo poa Yanga juuuu

  • @mgayamwananchi
    @mgayamwananchi 2 роки тому +8

    Yanga BINGWAAAA mmetisha warembo 💥💥💥💥

  • @erastosanga2664
    @erastosanga2664 2 роки тому +7

    Excellent song keep up chob twins

  • @maulidiagent7225
    @maulidiagent7225 2 роки тому +1

    Kazi nzuri sana

  • @hammyrashidi5820
    @hammyrashidi5820 2 роки тому +6

    Mabingwa mala zote...... YANGA YA MOTO

  • @honestgroup2116
    @honestgroup2116 2 роки тому +5

    Ooh!! Yanga bigwa 😂😁😀

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 2 роки тому +1

    Kazi nzuri

  • @kidravanmsodoki9946
    @kidravanmsodoki9946 2 роки тому +8

    🥳🥳🥳🥳yanga bingwa, 💚💚💚😊🕺

  • @khadijaabdala6876
    @khadijaabdala6876 2 роки тому +6

    Yanga bingwa 💛💚💛💛💚💞💞

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 2 роки тому +5

    Bonge la ngoma!

  • @oscarelion4394
    @oscarelion4394 2 роки тому +6

    🔥🔥🔥🔥 hatari sanaaaaaa 💚💛

  • @omarmatata9219
    @omarmatata9219 2 роки тому +2

    hii ndio nyimbo Bora ya mwakA haina kufeli loves sana chobis mwaaaaah😘😘🥰💚💚💚💚

  • @rshidally7353
    @rshidally7353 2 роки тому +2

    Kali atariiii

  • @jumamsabaha3081
    @jumamsabaha3081 2 роки тому +6

    Noma🔥🔥🔥

  • @jacktons8614
    @jacktons8614 2 роки тому +7

    Yanga Bingwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paulkennedymnuwa8621
    @paulkennedymnuwa8621 2 роки тому +1

    Nasuuzka knoma yaan mmmm we yangaaaaaa

  • @sonkotouchez1
    @sonkotouchez1 2 роки тому +7

    One again 🇹🇿 ONE Kama hutack bx❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @ezrawilson7696
    @ezrawilson7696 2 роки тому +2

    Goma Kali San hongeren

  • @nakondama4059
    @nakondama4059 2 роки тому +1

    kazii nzurii mmetisha

  • @adelaidashayo7943
    @adelaidashayo7943 2 роки тому +4

    Safi sanaaa👏👏👏

  • @mkalywagoka9913
    @mkalywagoka9913 2 роки тому +1

    Yaani nomaa,,Mwanchiiiiiiiiii

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 2 роки тому +13

    Yaan nimekusaka mpaka nimekupata😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hiyo ngoma siku ya kongamano nzur sana na maspika kama nawaona siku hiyoo kuwa mbali napo tunakosa maengi

  • @revinussureboy3320
    @revinussureboy3320 2 роки тому +11

    Unyama 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @abdulahabdi480
    @abdulahabdi480 2 роки тому +7

    Yanga champions 28🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆💚💛💛💛💛💛💚💚💚🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🕺🏻🕺🏻🕺🏻🕺🏻🕺🏻🕺🏻🕺🏻

  • @hajikombo6763
    @hajikombo6763 2 роки тому +1

    Fei twoto 💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛love

  • @majutomwasibila8082
    @majutomwasibila8082 2 роки тому +10

    Sweet song indeed

  • @jumamsabaha3081
    @jumamsabaha3081 2 роки тому +4

    Noma🔥

  • @hajiubaida904
    @hajiubaida904 2 роки тому +2

    Hataaaaareeeeeeeeee💛💛💛💚💚💚💚💛💛💚

  • @hasaniramadhani6476
    @hasaniramadhani6476 2 роки тому +6

    Kamautaki bassss🤣💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @kennethmhaiki8957
    @kennethmhaiki8957 2 роки тому +1

    Niliusikia siku ya Yanga hakika mumeutendea haki, na ile siku mulitawala jukwaa

  • @popinobabylon1725
    @popinobabylon1725 2 роки тому +9

    Unyamaaaaaaa 🔥

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 роки тому +2

    Makolo wpaooo💚💛

  • @hajikombo6763
    @hajikombo6763 2 роки тому +1

    Yanga poa sana

  • @joycepetermollel7855
    @joycepetermollel7855 2 роки тому +5

    Yanga bingwa💚💛💚💪

  • @mkalywagoka9913
    @mkalywagoka9913 2 роки тому +1

    Nalisikiliza hili goma kutwa nzimaaa

  • @anoldmakata9455
    @anoldmakata9455 2 роки тому +4

    Ngoma kali very good ❤❤❤❤❤❤❤

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 2 роки тому

      Edit hiyo rangi ya makopa ya Makollo!!

  • @joshuarichard5434
    @joshuarichard5434 2 роки тому +6

    I love you yanga 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @meldamartini6125
    @meldamartini6125 2 роки тому +4

    It's what it's love it

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 2 роки тому +1

    huu wimbo ni zaidi ya nyimbo zilizoimbwa twins 👏👏👏👏👏

  • @planethakunamatata5254
    @planethakunamatata5254 2 роки тому +9

    My new favorite 😍😍😍😍

  • @idayaisumaili2727
    @idayaisumaili2727 2 роки тому +1

    Safi sana

  • @justicesemundi9573
    @justicesemundi9573 2 роки тому +1

    Nouma sana

  • @haridipeleu9155
    @haridipeleu9155 2 роки тому +5

    💥💥💥🥰

  • @zabibuz2881
    @zabibuz2881 2 роки тому +1

    Yanga bingwaaa

  • @mbizaboy6863
    @mbizaboy6863 2 роки тому +3

    Mmetisha 👍👍👍

  • @khamisakisatudon493
    @khamisakisatudon493 2 роки тому +1

    Jaman 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚nakup asilimia zot 💛💚💛💚💛💚💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @samwelsaningo
    @samwelsaningo 2 роки тому +9

    Let's goooo champions!!!!!

  • @nakondama4059
    @nakondama4059 2 роки тому +1

    an sichok kusikilaa tamu kwelii ilii gomaaa

  • @sethsingah7331
    @sethsingah7331 2 роки тому +4

    Chobis twins mnahataaar Jaman duuh👏👏👏👏😂

    • @yurrymzava8049
      @yurrymzava8049 2 роки тому +2

      Mwaka wetu
      Tumewapiga uwanjani
      Mpaka kwenye
      Nyimbo
      Yanga tuna nyimbo nzuri

    • @richmartin6722
      @richmartin6722 2 роки тому

      Hahaha dah huu wimbo nimeulewa vibayaaa nina zawadi yenu.

  • @JamesMeshack-y8
    @JamesMeshack-y8 7 місяців тому

    Tunakuomba utufanyie remix Kwa ajiri ya hiki kikosi cha Sasa maana ni cha moto🔥🔥🔥 Hongera Kwa nyimbo nzuri imekuwa kama mswaki kila asubuhi🔰🔰🔰🔰naipenda

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 2 роки тому +1

    Ngoma pambeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hassankurwa464
    @hassankurwa464 2 роки тому +1

    Wimbo Bora kwa 2022 siku ya Wananchi huu utaleta balaaa

  • @barakajkadu2023
    @barakajkadu2023 2 роки тому +2

    Noma Sana kaka goma Kal la kibibgwa

  • @ahmmedmboweto8203
    @ahmmedmboweto8203 2 роки тому +1

    Good sana

  • @dayanajeremia7412
    @dayanajeremia7412 2 роки тому +4

    ver nice 👏👏👏💛💚

  • @noelkasembe747
    @noelkasembe747 10 місяців тому

    Hongereni sana kwa kazi nzuri

  • @angeloss_tz5901
    @angeloss_tz5901 2 роки тому +1

    Moto🔥🔥🔥

  • @wazirimwanazuoni5567
    @wazirimwanazuoni5567 Рік тому +1

    Best song for the citizens

  • @barackamichael1474
    @barackamichael1474 2 роки тому +1

    Mimi ni simbaaaa ila hii nyimbo nimeikubaliii

  • @salumchoma8731
    @salumchoma8731 Рік тому

    Twins oyeeee mmetisha sana