MYAHUDI ANAENDELEA KULA KICHAPO MZIMU WA GAZA SIO MCHEZO
Вставка
- Опубліковано 8 лис 2024
- Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.
Hongera mualimu Benson kila msema kweli kwa wengine huchukiza endelea na ukweli ❤❤❤
Swadakta mwalimu uko sahihi asili 💯💚💚💚
Yes it is very nice to all whose mindset is clear
Wewe mwamba nakukubali sana.
Saluti.mwalim.
Muisrael kama anataka maisha yake aondoke kwa ardhi ya wapalastine hizi vita hazitaisha ikiwa muisrael atakuwa kwa ardhi ya wapalstine
😇mkuu wa afrika asante
Mwalimu wa walimu naomba utufafanulie kuhusu hatua ya hispania tunaona kachukua hatua ya Imani na ya kipekee kupeleka msaada kule Gaza hii ni baada ya unwrk kusimamishwa na mataifa zaidi ya kumi kujitoa kwenye kusaidia kule Gaza upande chakula
Kweli
Mwalimu unaongea ukwli....hebuwaelimishe wakirsto bro....mungu akubariki
Swadakta mwalimu wetu
Nice work
Mwalimu upo sahihi
Congratulations
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kaka umeongea point to point kwa hakika hapo ulipo sema alie kutawala kisha akakuacha ufuate lako na yeye afuate lake huyo ni muhimu kuliko yule ambae hataki kukuachia huru kimawazo kimaendeleo na mipangilio huyo hana ubinadamu
Upo SAHIHI hupendelei na mnyonge mpe haki yake hawa manyangau wanaona wao ndio wenye haki ya kuishi kuliko wengine
Upo sahihi mchambuzi
Kuna mayahudi benson akiongea inawauma wavumilie kaka
HAO WATUMWA WA FARAO WAPIGWE MPAKA WASAMBARATIKE LAANA HAO 😂😂😂😂😂
Mwalim endelea kutuelemisha wafrika wote tungekuwa na hii ilimu yako ingekuwa rahisi kujikomboa kwa mdomo ya hawwa manyangau
Mwalimu hapa tunabishana tunaomba ufafanuzi maana Moja anasema wazungu magaidi na ndio wakristo hio mwingine anasema warabu magaidi na ndio uislam wenuewe hebu tupe jibu
Ulaya magharibi na marekani wanasimamia haki mdomoni lakini moyoni niwauwaji
Kwa wale ambao hawana any other source of information,wataamini unacho ongea.But mambo Kwa ground ni tofauti sana.
Unachongea ukijui chanzo cha habari unachoongelea nikipi kilamtu anafuatilia Napiatunasikiliza anachoongea uyu jamaa kwasababu hakunatofauti kati Ya anayoongea na haliilivyo
@@mirajihassani2952 Northern Gaza inakaribia kuchukuliwa na IDF bro.Khan Yunis ndio hilo eneo IDF wameingia kufunga mchezo,watu bado hawaoni
@@mirajihassani2952 HILO SENGE JEUSI LIKO ULAYA LIMEOLEWA NI KIBARAKA WA WAZUNGU.
Usifuate historia broo carne zimebadilik
kwan wewe hujui tanganyika imepata uhuru mwaka gani!? hio nayo sio historia acha ujinga wewe.
Mwalimu hata hilo la waarabu kututesa lilichagizwa na wazungu kwani hao watumwa waliochukuliwa Afrika hawakupelekwa uarabumi Bali walikwenda kutumikishwa Ulaya na marekani hivyo mwarabu ni kama alikuwa anatuiwa tu na wazungu
KINACHO SUMBUWA WA KRISTO NIKI MOJA UKI TAKA KANISA LAKO LIWE NA WATU WENGI BASI WE KILA SUNDAY TUKANA SANA WA ISLAM HAPO WAUMINI WATA KUPENDA SANA NDO AKILI ZAO ZIPO ILA UKIWA PASTA HUTUSI WAISLAM WALA HU FANYI MIUJIZA BASI WANA KUTUSI
Kila msem kwer huw na maadui
huyu maswali yake hayaendani na kichwa cha habari
Mwalimu isaya wewe unatosha, unatuwakilisha vyema katika kuelezea ukweli endelea kuwaelimisha tuko pamoja nawe.
Kutugawa ili watutawale nani wa kulaumiwa?
Tumee elewana
Mwakilembe wewe mkr isto wa KWELI, hupepeesi Wala humungunyi maneno,
Et haki za binadamu walikataza watoto wasichapwe ss wamekua panyarodi wanauliwa
Utapendwa tuu na waisilamu wenzako waabudu shetani kila siku ni muyahudi tuu ndio anapigwa acha uongo
WEWE SHOGA MACHO YA DAGAA ACHA USENGE KUFIRWA UNAONA SIFA
Mwalimu wasiotaka kujua hawatajua,nipo na weqe hata marekan aliwalanghai wakenya wakayakanyaga kwa alshabab wakipewa sila na midola na marekani lakin baada ya mda wakenya wakakatiwa misada ya silaha na walivyodai wakaambiwa waachane na hilo kundi maana lishafubaa halina nguvu tena ,jamani adui niwakushoofisha au ni wakummaliza?
Mwalimu huyu mtangazaji mwenzio dini ingie sana, Mungu kwanini umeweka Mataifa mengi wote ametuumba. Mtangazaji wa dini imemkaa sana Wayahudi wa sasa ni wametoka Europe. Sio wale wenyewe Zionists chama yao
Unasema sawa baadhi ya wakristo ni brain washed
Ebu niambie mwalm wa neno la Mungu kwa nini uarabuni hakuna Black Arab na kwa nini America wao kuna Black America? Na kwa nini Africa ni lazma wawe tegemezi ? Waliojaribu kujitegemea walifikia wap ?je kuwapinga wazng nchi za dunia ya tatu mawazo yako ya uafrica wa kujitegemea kvitendo inawezekana?
Warabu wako weusi tena wengi
Kunakombe La Mpila linachezwa Uarabuni linaoneshwa Azam Sport 2HD Timu ya mpira ya UAE 🇦🇪 Umoja wa Kiarabu walicheza Na Korea Kaskazini lakini Wachezaji Kalibia Wote wa Timi ya Mpila ya UAE 🇦🇪 ni Weusi Kaangalie
Usipende Kubisha
Unatakiwa Usikilize pia Kubali Kujifunza Kitu Kipya Usikalili vitu Ambavyo Ulikalilishwa Zamani Jifunze Vitu Vipya
NENDA AMERICA HALAFU UWAITE BLACK AMERICA UWONE WATAKAVYO KUTIA ADABU MMBAGUZI WEWE UNAITA WATU KWA RANGI ZAO KWANI WAO NI WAPUMBAVU KAMA WEWE HAWAJUWI WALIPOTOKA???
Brother wadanganye wasiyo soma huna source yoyote ntiriri wew.
We jamaa ni muongo sana
Wewe tatizo lako inaweza kuwa ni shoga juu mashoga ndio hawwpendi huyu mwalim wa neno la Mungu
@@makhanguwakhutu2408😅😅😅 shoga huyo mana ma shoga ndo tatizo leo kutukana
@@yusafbayu7016 HALAFU SHOGA HALIJIFICHI UKILIONA UTALIJUWA TU.
Nani aliye anzisha vita, ilikuaje hata vita vikatokea Na Nani aliye anzisha haswa mpaka ikafikia hapa kuna Egypt Kuna Iran Kuna iraq kuna lebanon kuna Na Syria mbona wamefunga mipaka yao mpaka Palestine hawezi kuvuka hata upande wapili Wa mpaka mbona wame wakata wavuke
DOGO TULIYA HUJUWI KINACHOENDELEA WACHA KUROPOKA ROPOKA
KA ANZISHA MZIYONIST 1947 KWA KUIVAMIA PALERSTINE.