Majibu mazito kwa Yussuf Diwani na mtangazaji wake||Muhammad Bachu.001

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

КОМЕНТАРІ • 369

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 3 роки тому +3

    Aaaaaah diwani kajitakia mwenyewe na hicho kimtangazaji kina kiherehere sana sasa amekutana na Sheikh nasoro bachu mdogo ila tulilia sana kwa kufariki sheikh nasoro ila ALlah kaleta mbadala wake MashaAllah namkubali sana sheikh muhadith Muhammad bachu حفظه الله

  • @mohamedjabirimrisho3587
    @mohamedjabirimrisho3587 3 роки тому +24

    Umeeleza kwa utulivu na hekma kubwa Ma shaa Allah. Allah aendelee kukupa utulivu zaidi ili kubainisha uongo wa wapotoshaji. Wanapotosha kwa kutaka sifa na maslahi yao

  • @kombomakame5778
    @kombomakame5778 3 роки тому +4

    Hoja zako zimesimama na kueleweke Sheikh. Baaraq llahu fiiqa.

  • @kuambianakassimu4993
    @kuambianakassimu4993 2 роки тому

    Subhanna allah Mashekh wanaharibu dini asa kulikuwa na haja gani sisi kuwafanyia daawa wasiokuwa waislamu

  • @mohdaliy7836
    @mohdaliy7836 3 роки тому

    Muhammad bin Bachu. Masheikh wa bakwata njaa had. Alhad no yussuf na wezake wahuni. Wanatakiwa wastaghafiru kwa Allah allah tunusuru allah waoneshe Njia iliyoo booka. Bachu Allah akuepushe na husda

  • @youngdaddy3085
    @youngdaddy3085 3 роки тому +5

    Sheikh tulikua pamoja na babaako na saiv tupo pamoja na ww simama na haki twahitaj ilimu sio ushabiki..mtume alisema watu watatamani vyeo kisha watavitumia vibaya ndio kama hv....juz kati hapo tuliskia ashindwe katika jina la yesu leo hii tunaambiwa haleluyah...subhaaanallah

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 3 роки тому +3

    Allah akuhifadhi shaykh Kazi uifanyayo Ni nzito sana waislamu tumuombee thabat yeye na mashaykh wengine wa haki

  • @ummesaniyah
    @ummesaniyah 3 роки тому +2

    SubhanAllah...kama maneno haya ni ukweli basi hii... Ni aibu kwa sheikh Diwani na jopo lake... Basi wamuogope Allah....wao be msamaha.. Allah anasamehe...

  • @shikivokochabunu8011
    @shikivokochabunu8011 3 роки тому +16

    Allah nikiongozi ya wale walioamini huwatoa katika giza Na kuwapeleka katika noor Mohammed bachu Allah akupandishe daraja za juu Na awashushe masheikh kama hawao wanafi

    • @faisalashraf8031
      @faisalashraf8031 3 роки тому +1

      Namkubali she muhamad bachu Allah akuzidishie ghelimu ili uzid kuongoza wasio jua dini vizuri

  • @allywaziry7489
    @allywaziry7489 3 роки тому +2

    Jazakaallah khair,,,, Mwenyezi Mungu akujaze kila l kheri khekh Muhammad Bachu kwa ubainifu huo... Inshaallah

  • @khalidjmaftah9449
    @khalidjmaftah9449 Рік тому

    Subhanallah, wameshikh wanapotosha bila uoga, 😢! Sheik Mohammed Allah Akuhifadhi

  • @yusufuhassan6524
    @yusufuhassan6524 3 роки тому +8

    Kuna shida kwenye swarfu kwa mashekhe wa bidaa...shukran shekhe Allah atakulipa

  • @hashimusalum9852
    @hashimusalum9852 3 роки тому +1

    Shekh mwenyezi Mungu akupe Elimu zaidi ili uendelee kutuelimisha.

  • @seifalihassan9837
    @seifalihassan9837 3 роки тому +1

    Allah akupe wepesi inshallah sheikh Mohammad ameen

  • @LizaLiza-sd5uu
    @LizaLiza-sd5uu 3 роки тому +3

    Mungu tupe wepes tusio na elimu..

  • @zigzag4487
    @zigzag4487 3 роки тому +2

    Sheikh nimekuelewa vizur umetema point

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 Рік тому

    Laa ilaha ila LLAHU
    Muhammada Rasulu LLAHU.
    ALLAH ATUJAALIE KAUL THABIT..
    ATUJAALIE MWISHO MWEMA
    AMIN

  • @habibuiddi3859
    @habibuiddi3859 3 роки тому

    Masha Allah shekh Mohammad waelimishe, kwa hakika Haq na baatil havikai pamoja.

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 роки тому +12

    ALLAH akulinde na hasadi na akulipe kheir na akujalie mwisho mwema inshaallah Amiin

  • @ahmedmalick2862
    @ahmedmalick2862 3 роки тому +3

    Sheikh Allah akuhifadhi uzidi kutetea katika njia ya Allah

  • @omg2026
    @omg2026 3 роки тому +8

    MashaAllah! May Allah protect and preserve you and increase you in knowledge. Continue to defend the religion of Allah.

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 роки тому

    Mshllh sheikh mtt WA shkh bachu
    Uciwakosoe Kwa mitandau
    Wafuate pengine shetwan kamchukuwa mkamilif Allah
    Anaona Hy kukubali km kakosea
    Kulingana na cheo chake
    Na walojibu pia wanakosea
    HT ulimkosoa zuneldin
    Ni kweli alikosea mfuate muislam mwenzio kuliko ktk mitandao
    Wafuate wanao kosea au watume wazee wamfuate
    Kuliko kuwasdhir na utapata hasad ndugu yngu Kwa Ajili ya Allah

  • @rashidminani5378
    @rashidminani5378 3 роки тому +8

    Nime jifunza mengi kutoka kwa mashekhe ulio warekebisha. Lakini kila uliye mrekebisha, umetoa hoja wazi ambazo mtu yeyote anaye elewa lugha uliyotumia , amejua ukweli uko wapi . Watakuita majina tofauti lakini haki haifichiki. Jazakallahu khaira.

    • @halimajumanne5145
      @halimajumanne5145 3 роки тому

      sikuzote salafi n suni niwatu wahaki najivunia kuwa salafi hata watu waikashifu vipi lakini waliesoma wanajuwa kinanani wanasema kweli

  • @abdillahsleyyum2768
    @abdillahsleyyum2768 3 роки тому +4

    Maaa Shaaa Allah!
    Sheikh Allah akupe nguvu na elimu zaidi kubainisha ukweli

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 роки тому +1

    Sheikh Muhammad Mia fil Mia uko sawa

  • @fadhiliyusuph7731
    @fadhiliyusuph7731 3 роки тому +1

    Masha Allah Allah atakulipa elimisha jamii shekhe tunaona matunda ya shekhe Nassoro

  • @nyamuraomary9939
    @nyamuraomary9939 3 роки тому

    subhanallah ndugu zanguni waislamu hawa majamaa wa Bakwata ni wapotoshaji na wako kimaslah waliojificha wala msipate tabu

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 3 роки тому +4

    Wallah saiv masheikh wetu wanatumia cheo chao kujinufaisha kwa watu subhanallah tena huyu sheikh wa mkoa mara nyingi anakosea tena kukiuka kbs misingi ya kiislam kwa kweli ni mtihan sjui wanatuelimisha nn jamii

  • @khamistv922
    @khamistv922 3 роки тому

    Umejibiwa hiyo ni lugha ya ki ibraniaa,shekh Bachu hem jitahidi kufanya tafiti kwanza kabla ya ku kosoa watu,tena uliambiwa elimu ni bahar weye ukisema umesoma kuna waliosoma zaidi yako,jitahidi kujifunza kwa kupata elimu,jifunze lugha nyingi utapata mengi in sha Allah..

  • @omarsaid8633
    @omarsaid8633 3 роки тому +4

    Subhanaallah walai wanawapoteza ummah mungu atuongoze kwa kilaa mwenye kutaka uongofu

  • @awadhhadi446
    @awadhhadi446 3 роки тому +2

    Masha Allah shekhe wetu muhammad bachu upo vzuri usibishane nao hao hata kusoma qur an hawajui unabishana nao nn achana nao

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 роки тому +1

    Shekh
    Hawa qatu wa bidaaa waltudanganya sanaa nahıc sasa uongo wao mungu anawabaınısha vıjana hatutakı tena ujınga wala misaa ktk din ya Allah
    hatıangalii mzee cheo wala nn ukıpotosha tunakuweka sawa tu ( rad za elimu )
    Allah akulunde Muhmmad Bachu Na amrehem mzee wetu Bachu ilm aliyokuachıa inatosha sana kuutengeneza umma huu!

  • @maryamshuraim4163
    @maryamshuraim4163 3 роки тому +2

    Yussuf Diwani wewe huna mpya...wafundishi wanao hiyo haleluya

  • @jsabood
    @jsabood 3 роки тому

    Kuwa shekhe is daraja kubwa kwa mungu. Haya mnayojadili mtandaoni ni mambo yanahusu dini. Mwenyezi mungu amebainisha katika quran kwenye kuhitalifiana. Ningeomba mashekhe mjadala huu ufanyike nje ya mtandao na wanaohusika. Tukumbukeni kuwa binadamu atakaye msitiri binadamu mwenzake, mungu atamsitiri duniani na akhera.

  • @wamanja5572
    @wamanja5572 3 роки тому +1

    Allah Akupe Nguvu na Afya Sheikh Mohammad ktk kutetea Haki Sisi tunaofuatilia Hizi hoja Tuna Akil na uchache Wa kusoma ila Kwa Kutumia Akili Ndogo Tu Unapambanua na jibu Unalipata. Tunafuata Quraan na sunna za bwana mtume Sio Mtume issah A.s na Paul. Msiba mzito huu

  • @ummykheyr8325
    @ummykheyr8325 3 роки тому +4

    Masha Allah akhy Muhammad,,, tusome kwaajili ya Allah.JazakAllah kheyr

  • @binahmedjuma8681
    @binahmedjuma8681 3 роки тому

    Mashaallah, Fadhilat Sheikh Moh'd Bachu, Allah atuhifadhi. Kwa upande wangu umeelezea vizuri sana mwenye kuelewa na aelewe na mwenye kupinga na apinge. Huyu Shehe wa mkoa Alhad Mussa kiukweli simwamini na ni muongo muongo sana, kwa minajili ya alichokiongea Je tukiwaslimisha Wakristo kuingia katika Uislam wakati wa kuslimu tuwaambie waseme Haleluya?
    Alhadi Mussa ni mtetea tumbo. Faqat.

  • @muslimmassoud2673
    @muslimmassoud2673 3 роки тому +1

    Mashallah jazakaAllah kheir sheikh Muhammad bachu

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 3 роки тому +2

    Mashaallah Mashaallah Mungu akuhifadhi shekhe Muhammad bacho akuzidishiye ilmu Mungu akulinde in inshaallah..kutoka Kenya khadija said Nahdi mld

  • @amrimzee7492
    @amrimzee7492 3 роки тому +1

    Allah awabariki mashekh wetu na awasamehe makosa yao

  • @maulidimanzi9964
    @maulidimanzi9964 Рік тому

    Allah atie taufiq maneno yako shekhe wangu

  • @ياسمينياسمين-غ2ص
    @ياسمينياسمين-غ2ص 2 роки тому

    Mnatuchnganya mamuma wenu aleluya mana yake mtujalie tujue mana hata mtu asiye jua kizungu ukimwambia God hawezi jua kama unamanisha ni ALLAH TATIZO LUGHA

  • @sibwaafernandes2012
    @sibwaafernandes2012 3 роки тому +5

    Sheikh Mohammed bachu ww uko vzr saana allah akulipe kwa hili inshaallah kwan unafanya kitu ambacho ni bora kwa ummah wote wa uislam

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 3 роки тому

    Hao wote bakwata wanajulikana vibarakatu wajuwetu kwa Allah hakuna kibaraka nihukumutu manaake unajuwa hasa yeye nuuyo mweziwe kama wametumwa unawahisi wanachuki naubinafsi Allaa awaongowe muache kutumiliwa.nahuwo unafki muache domana waislam Tanzanian wanateswasana wanafik niwengisana wananjificha kwakutumiya dini kube niwanafik nawazushi wengine watazuka sihaotu mana wapo wengi watu waainahiyo wanao tetea maovu Allah atupe mwisho mwema AMEEN

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому +6

    😃😃😃 mashaallah mtoto wabachu uko vzr

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 3 роки тому +3

    Subhanallah wanapotosha umma bila kumuogopa Allah
    Kweli kabisa sheikhe watoe andiko

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 3 роки тому +1

    Masha Allah! Kwanza wajifunze kutoka kwako namna yakujibu. Iko dhahiri walivyo kujibu hawakuja kutufahamisha bali wamekuja kuku gombeza. Allah yu pamoja nawewe na usiwakubaloe watu kama hao kuja kupotosha uma Allah akulinde nachuki na wanao kutakia mabaya

  • @Binahmed1234
    @Binahmed1234 3 роки тому +2

    Ma Sha Allah ammi,wwe ammi sema tu kweli coz unajuwa Allah atakupa nni kwa dunia na ahera,kitu ya pili ammi fundisha vijana wenzako pia wapite hapo hapo ammi,Baraka Allahu fiik

  • @mohammadshaban848
    @mohammadshaban848 3 роки тому

    Allah tujaalie sisi na mashekhe wetu...uwasamehe....Yusuf diwani na shekhe wa mkoa...wanababaika na dunia ..tizama tunavopotoshwa...sijui tunaelekea wapi...hata mimi nilioishia tabbatiada..sikubali kwa kauli hiyoo

  • @adensir630
    @adensir630 3 роки тому +1

    Sheikh Mohammed bachu Allah akulipe kheri Aamiin ya rabb

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 3 роки тому +1

    Masha Allah.....Allah atakulipa

  • @mussafeisal7565
    @mussafeisal7565 3 роки тому

    Nimekuelewa vzr

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 3 роки тому +8

    Allah akulipe kher shekh wangu

  • @mustafashaban6007
    @mustafashaban6007 3 роки тому +1

    Sheikh washakuelewa Kama hawajakuelewa mm nimekuelewa ukweli huwahauhitaji nguvu nyingi barakallahufik walasisifa yaukweli kupendwa na watu Zama hizi

  • @suleimanjuma4443
    @suleimanjuma4443 3 роки тому +7

    sheik hawa mashehe tumbo usiwawache kwa uwezo wake Allah wanapotosha uma na namin hwana cha kujibu dah!!

  • @fadhilimussa5067
    @fadhilimussa5067 3 роки тому

    safii sana ngongaa misumariii humohumoo mpk waelewee

  • @herihamisi4574
    @herihamisi4574 3 роки тому +1

    Nakubari sheikh wangu uko saii kabisa sio ao masheikh ubwabwa

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 роки тому +1

    Allah atuongoze sote katika njia ya HAKI
    Na sheikh bachu Allah akuhifadhi
    Allahumma ameen

  • @shajjaraimmu7122
    @shajjaraimmu7122 3 роки тому

    Maana ya aleluya kwa kiebrania, kiswahili ni mungu mkubwa au (wa juu) Kama sijakosea

  • @mohamadmaulidngava1510
    @mohamadmaulidngava1510 3 роки тому +4

    Shekh nakupenda kwaajili Allhwa.safi sana kwa elimu yako Mungu akulipe kwa elimu yako ya kheri.

  • @sulesumry9766
    @sulesumry9766 3 роки тому +1

    Ma shaa Allah shekh bachu,na hao wengine Allah atawalipa kwa wanachokitafuya maana kupotosha umma ni jambo kubwa kwa Allah

  • @mohammedsalim974
    @mohammedsalim974 3 роки тому +4

    Ma sha Allah tumeielewa vizuri tupo tunasubiri maana sahihi kwa hao wliotumwa na yy mwenyewe msemaji pia alhadi ili tupate kuelewa

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 3 роки тому +2

    Ewe ALLAH tuwekee Kijan huyu na umhifadhi na pia utuletee vijana wengine wengi kama huyu kwa maslahi ya uislamu na waislamu

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 3 роки тому +2

    Daah huyu Yusuf diwani nimpotoshaji sana
    Allaah azidi kumuongoza kwakweli

  • @ummaryam1020
    @ummaryam1020 3 роки тому +4

    ما شاء الله تبارك الرحمن محمد باش

  • @khadjahakamali-njufsk-7827
    @khadjahakamali-njufsk-7827 3 роки тому

    Allahu Akbar, hawana hoja, ila kupotosha umma, hawaogopi siku za hesabu, siku hiyo wala mama, baba hawatakusaidia ila amali zako, na wawo wanamtetea sheikh wao, Muogopeni Allah.

  • @nassorali8040
    @nassorali8040 3 роки тому +4

    Tuko pamoja ostadh mohammad Allah akuhifadhi

    • @arafazahor3760
      @arafazahor3760 3 роки тому +1

      Alla akuzidishie elimu uzidi kutuelumisha inshaallah

  • @mussapatrick8101
    @mussapatrick8101 3 роки тому +10

    Shekh yoyote aliejiriwa kwenye serekal ya kikirosto bas uyo anatetea tumbo lake tu

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 роки тому

    Swadaqta sheikh wng Mohammed Nassoro , Mungu akulinde na akupe umri uzidi kutufikishia Nasaa

  • @MusaChambi
    @MusaChambi 2 місяці тому

    Mashallh alaa akuhifathi

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 3 роки тому

    DAAAH SIO HILO TUU ALIFIKA HATAA KUOMBA DUWA KWA JINA LA YESU KWAKWELII SHEKHE. AL HADI MKUUWA MKOWA YUMO YUMO TUU HASAA.AKISHAWAONA ILEE MI BWANA ZAKE WA SERIKALI YA C.C.M NDIO KABISAAAA AKILIYAKE HUWA HAIFANYI KAZI
    Shek wetuu ndugu yetu MUHAMMAD BACHU hao mashekhe wa serikali haoo wapo hapo kusaka tonge tuu za mitumbo yaoo

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 3 роки тому

    Kamwe watu wa bid'aa hawawezi kuwa sawa na wenye kuipinga bid'aa kwa kuwa wenyekupinga wana elimu na kila wanalosema na ushahidi juu .wazi kabisa.HAWA NI WAGANGA ,BATILI NA HAKI WANACHANGANYA SANA .HAWAJALI KABISAAAA KUMCHA ALLAH.

  • @kamalmukaddam1297
    @kamalmukaddam1297 3 роки тому

    Bakwatt njaa inawafanya kumsahau mungu kuposha waislam

  • @hafidhuayubu6256
    @hafidhuayubu6256 3 роки тому

    Maashaallah sheikh type vitu usikate tamaa

  • @gshdhvdhf8283
    @gshdhvdhf8283 3 роки тому

    Haki uondowa batwili elimu safi ufuta Elimu chafu...nakuelewa sana sheikh kila unapokosowa wenzako elimu yako iko wazi kabisaa na Yeyote aliepitia masomoni anaelewa nani mjanja wakupigania masilahi...kawaida ukichanganya msilahi na ukweli wakati wote lazima uteleze.....

  • @abuutasniym2675
    @abuutasniym2675 3 роки тому

    Jamani hebu mda mwengine tuache ushabiki tusome ikiwa kweli wewe unaweza kusoma maandishi yakiarabu na umemfuatilia mwanzo hadi mwisho basi utaona neno hilo lilivyo tafsiriwa ktk kamusi la kiarabu na limeandikwa vyema kabisa na limeelezewa kua neno HALLELUJAH/HALELUYAA (هَلِّلُوْيَا) nineno la kiibraania kwa lugha ya kiarabu ni HALLILUU (هَلِّلُوْا) kwamaana semeni: "Laa Ilaaha Illa Allaah (قُوْلُوْا: لَا إِلَهَ إِلَّا الله)"
    Nikama vile mtu kusema kwakiarabu: "SABBIHUU (سَبِّحُوْا)" yaani semeneni: "SUBHAANA ALLAAH (قُوْلُوْا: سُبْحَانَ الله)".
    Kwahio hio ndio hali tusomeni nasio kufuata tuu mkumbo naushabiki ili kutafuta umaarufu

  • @jumamuna2315
    @jumamuna2315 3 роки тому

    Wao na huu umma wa sasa wanafauata maneno ya paulo au ya nabii issa watuambia na hilo

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 роки тому +1

    MashaaAllah Sheikh hawakuwezi na endelea kutuelimisha....Allah akuhifadhi sheikh wetu. Fajazakumullah khairan 😊

  • @khamismussa6308
    @khamismussa6308 3 роки тому +1

    Allah tuongeze njia ilionyooka,

  • @anasmalongo6449
    @anasmalongo6449 3 роки тому

    لا شك فها hao wametumwa ila hoja zako sheykh zimenyooka na zinaeleweka sana

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 роки тому

    Allah akuifadhi kaka yangu ukweli utazidi kuwa ukweli

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 3 роки тому +3

    Sheikh nimekukubali kwa ufafanuzi. Na nimeamini hata wale walio itia mikono taurat hakika walianza kama hawa mashehe wa mkoa. Umefanya sahihi sheikh

  • @ibtisamabdulrahman4246
    @ibtisamabdulrahman4246 3 роки тому

    Alhamdulillah,Sheikh Sabas Kubra,alimaliza mzozo wa Haleluya.

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 3 роки тому

    Wallah sheikh hojazako ni nzito wameshindwa kuzivunja,wanatetea unga wao,lakin kaburin Kila mtu ataenda kivyake,Diwani acha mzaha,Allah anakuona,kama aleluya ni lailla ilaha.....mbona mnawalingania wkrsto kuslmu??nyinyi niwanafik wallah,ombeni toba kabla muende akhera,sheik Nasoro uko swa shikilia apo

  • @najashrk3738
    @najashrk3738 3 роки тому

    Limekoseya Diwani...eti amekuja kukutega linajizimuwa ....tubiya baba uwendako sikuzurihuko unamkoseya Allah...Bachu wawekesawa masufuhawo wazee wa bidaaaa

  • @abdillahmbarak7418
    @abdillahmbarak7418 3 роки тому

    Mashaallah umeeleza tu vizuri ila vizuri mungerekebishana uko kando masheikh wetu mutafutane muelezane lakini ivi sio poa

  • @ahmadijuma7703
    @ahmadijuma7703 2 роки тому

    Mashaalllah

  • @issaswalehe200
    @issaswalehe200 3 роки тому

    Shekh wa mkoa kakosa kijana Mohammad umepata

  • @jumamuna2315
    @jumamuna2315 3 роки тому +6

    Hao wanatetea maslah ya matumbo yao nasio din ya allah ,na huyo mtangazaji asilete ushabiki kwene mambo yadini tutashughulishwa na makafir hadi kiyama kwa kutopendana nakutetea wakubwa

  • @maryamibrahim4039
    @maryamibrahim4039 3 роки тому +1

    MashAllah,umeongea kielimu.

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 3 роки тому +9

    Nikweli, ninani anasilimishwa akaa mbiwa sema aleluya?

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 3 роки тому +3

    Subhaana Allah na hii ndio hatari ya ahlul bidaa😱😱Yaani wanaishi kwa kuwasifu ulamaa wa kisufii ndio waishi

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 роки тому

    MashaaAllah Sheikh Muhammad ....Wikipedia habari zake nyingi sio maneno swahihi....na hio haleluya kwa maandisha ya kiarabu bila shaka imefasiriwa na warabu wakiristo ili kuwapoteza waisilamu.

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 3 роки тому

    Ma Shaa Allah sheikh Mohammed bachu kwa hakika nimefaidika na hoja zako zilizo na yaqini 🙏🏼Allah akuzidishie elimu
    Na pia nimependa ile punch ya kuchanganya miziz ya dawa za kienyeji 😂😂

  • @dullahmihuri
    @dullahmihuri 3 роки тому

    Akhuy sheikh muhammad Allah akuhifadhi na akupe nguvu zaid na elimu kubwa zaid. IPO SIKU WATAKUELEWA VIZUUURI

  • @abuhafs4774
    @abuhafs4774 3 роки тому

    Nasema kumwambia alhadi musa kama alivo sema imaam ahmad kuwaambia masheikh wa muutazila
    عزيزٌ عليّ أن تُذيبَ الدنيا أكباد رجالٍ وعت صدورهم القرآن
    Naona uzito sana nakuhisi uchungu kuiona dunia inayeyusha maini ya watu ambao vifua vyao vimebeba QUR'AAN ...

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 3 роки тому +1

    نستفيد والله، بارك الله فيك وأطال الله بقائق

    • @kongasaidi545
      @kongasaidi545 3 роки тому +1

      Hakika ya waladiy ibnu khamisi

    • @saiditara7235
      @saiditara7235 3 роки тому

      @@kongasaidi545 maa shaa Allah upo kumbe mzee

  • @harunarabai1512
    @harunarabai1512 2 роки тому

    Ustath muhammad bachu upo kweny haki. Huyu yusuf bachu nilikuwa namkubali sana ila kwahili nimeshamtoa katika watu ninaowakubali , jaman nyinyi ndo maustadh vioo vyetu kama mtume alivosema , sasa kama ndo kwamtindo kulinda maslah mnatupeleka wapi? Jaman subuhanallah muogopen allah

  • @allysalimsalim4965
    @allysalimsalim4965 3 роки тому

    Sheikh Allah akuhifadhi waambie wakristo hawako na Allah ila yesu kwahyo haleluya inakusudiwa nani

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 3 роки тому

    Sheikh wewe unaeleweka Sana lakini hao watu wanaonekeka hata hio elim hawana zaidi yaushabiki tu
    Mungu akulinde na Kila Shari