YESU WA TONGAREN AWABEBA WANAFUNZI WAKE KWA TINGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 215

  • @RamadhanMwawila-n5l
    @RamadhanMwawila-n5l 7 місяців тому

    Wallah shekh' RAMADHAN KULYA. Huna mfano ktk wahubiri. Una khekma yahali yajuu sn ktk kuzungumza nahawa jamaa zetu! NAWASHAURI Waislaam wote tumpe nguvu shekh' Ramadhan' kiuchumi. TUMCHANGIE SHKH RAMADHAN KULYA.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 11 місяців тому +17

    Mung atupe mwisho mwema yarabbil kwa kila musilamu 🤲🏽🤲🏽❤❤

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 11 місяців тому +13

    Allah kuhifazi sheikhe Ramadan akujalie kila la kheir na baraka na afya njema InshaAllah uzid kuelimisha dini haki mbele ya Allah

  • @salimmaina2754
    @salimmaina2754 11 місяців тому +6

    ALLAH amuongoe ajue njia ya haki na umsalimie ABDI KARIM washalom

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 11 місяців тому +7

    ❤❤❤Mashallah sheikh,Allah akulipe kheri Inshallah

  • @kijakaparare2074
    @kijakaparare2074 11 місяців тому +12

    Mungu atupe mwisho mwema na siku rohoyangu ikitoka itoke nikiwa nadiniyangu ya uislam🕌🕌🕌🕌🙏🙏🙏

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 11 місяців тому +1

      Amen tuombe mwisho Bora inshallah Hawa wajui wislamu ndio Noor peke ya mwanadamu duniani na Ahera Mungu awasamehe awape njia 😢😢

    • @nin-geed-saaran
      @nin-geed-saaran 11 місяців тому

      Ameen

  • @OscarGare-wm7cz
    @OscarGare-wm7cz 11 місяців тому +13

    Ramadhan unajua kuhuliza maswali na unakuaga makini sana.

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 11 місяців тому +8

    Mungu Amuongoze njia ya haki. Ni mtu wa heshima na hana kiburi.

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 11 місяців тому +2

    Ramanzani nakupenda sana uko na hekima sana na Akili mingi

  • @RamadhanMwawila-n5l
    @RamadhanMwawila-n5l 7 місяців тому

    Shekh Ramadhan' ASalaam Alaykum! Kwakweli shekh' unapitia mambo yasiyofikirika. Mpk mwenyewe unafikia mahala unashikwa nacheko lkn wajizuia. ALLAH NA AKULIPE KILA LAKHERI In Shaa Allah.

  • @hassadube225
    @hassadube225 11 місяців тому +16

    Mash Allah miss you sheikh Ramadan

  • @salmaminja7714
    @salmaminja7714 11 місяців тому +1

    Allah Akbar. Mashallah kazi nzrr. Allah akujalie umri mrefu uzidi kuwatoa watu gizan wajue dini ya khaki. Allahumma Amiiyn

  • @saudahassan3804
    @saudahassan3804 11 місяців тому +9

    Innalilllah wainàlillah rajoon, msiba kweli

    • @amsodewiz4901
      @amsodewiz4901 11 місяців тому +1

      Msiba tena msiba mukubwa sana

  • @RamadhanMwawila-n5l
    @RamadhanMwawila-n5l 7 місяців тому

    Naitwa RAMADHAN RAJAB. ALLAH Akinijaalia nitatoa ktk shm yamali yangu kukuchangia In Shaa Allah. Mm nimtanzania lkn Niko pamoja nawe. Pole SHKH RAMADHAN kwamaneno unayokumbana nayo yasiyoeleweka. Mash Allah wafanya JUHUDI sn ktk njia ya ALLAH.

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 11 місяців тому +9

    Et weee yesu unatisha😂😂😂😂...Allah akueke sheikh Ramadhan....nakupenda kwa ajili ya Allah ❤❤

    • @am_fashabi3888
      @am_fashabi3888 11 місяців тому

      😂ALLAH AMUONGOZE HUYO YESU

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 11 місяців тому

      Huyu pastor amue tuh aislamike na wafwasi wake apate Nuru Mungu atamsamehe na atakuwa amepona hiyo siku ya kiama😢😢😢😢

    • @am_fashabi3888
      @am_fashabi3888 11 місяців тому

      ameen
      @@zahraabdul9652

    • @mustaphabussinescenter4127
      @mustaphabussinescenter4127 11 місяців тому

      Au yesu kala mpepe 😂

  • @producergoodman
    @producergoodman 11 місяців тому +51

    Mimi mkristo lakini napenda sana Ramadan, jinsi anvyo uliza maswali... anapofanya interview

    • @amsodewiz4901
      @amsodewiz4901 11 місяців тому +7

      ❤❤❤❤ welcome

    • @mangeraalbert7982
      @mangeraalbert7982 11 місяців тому +4

      Bro nehema ya haqi ni uisilamu ingia msima wacheni kuogopa marafiki wanafiki,

    • @abduljaffer
      @abduljaffer 11 місяців тому +5

      Silimu pia twakuombea

    • @mahdiyusuf3431
      @mahdiyusuf3431 11 місяців тому +2

      Welcome to Islam the faith of Jesus Christ son of Mary prophet of Allah

    • @ramla6068
      @ramla6068 11 місяців тому

      karibu katika uislamu

  • @rajabmusa8949
    @rajabmusa8949 11 місяців тому +1

    Taqibiri

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 11 місяців тому +4

    SUBHAHNAALLAH ukija ukiskia kwambia kuna watu Bado hawaja pewa nema na Allah nikama hawa watu Yani kama hujafunguliwa kifwa chako ukamujuw Mungu basi utakuwa umekosa kitu muhimu nisawa saw na huna macho 😭😭 Yani maneno anaongea haya eleweki ant ame tembea

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 11 місяців тому +2

    Sheikh wetu Ramadhan Mungu akwepushie shari na aendelee kukuongoza watakao skia watapata njia ya noor watakao puuzia basi watapotea milele atupe mwisho bora yarabil Alamin inshallah 🤲🤲😢

  • @panafrican.nation
    @panafrican.nation 11 місяців тому +1

    Utotoni mwangu humu Nairobi tulikuwa tunasema kwa mzaha "haleluya, Yesu ni Mluhya". Hatukujua kwa kweli, sio mzaha

  • @amnembarak
    @amnembarak 11 місяців тому +5

    Wallahi ni mtihani mkubwa Allah awaongoze ktk njia za kweli na haki

  • @KampangaKampanga
    @KampangaKampanga 11 місяців тому +3

    Sub haanallah 😂😂 nimecheka kama fala
    😂😂😂
    Mungu amuongoze Aamiin

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 11 місяців тому

      Amina😂😂😂😂😂😂😂😂 walahi hii Dunya Ina mambo Allah atupe mwisho Bora na Nuru Hadi peponi walahi .

  • @ggv866
    @ggv866 11 місяців тому +2

    Allah akujalie kila la Ustadhi Ramadan

  • @ramla6068
    @ramla6068 11 місяців тому +1

    huu ni khabari ya yesu wa tongaren
    na mukhtasari wake ndio mambo jinzi ilivyo aminaaaaa

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 11 місяців тому +5

    Leo😂😂😂 Ustadh wetu....amechanganiykwa. alipelekwa Makkah bila kujua😅😅

  • @jumamsembe1213
    @jumamsembe1213 11 місяців тому +3

    Huyu jamaa alinganiwe sana Insha Allah anaeza badilika siku moja..

  • @richardotieno7146
    @richardotieno7146 11 місяців тому

    Pilau sio shinda ndugu zangu Waislamu ,ila IMANI ndio kitu muhimu sana kwa Binadamu ,tuwache porojo za Dini .Ila tudumishe AMANI kwa Mataifa Yote love your show from Portland Jamaica

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 11 місяців тому +1

    Sheikh Ramadhan Allah akulipe wewe nawezako kilakheri Amen Amein.

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 11 місяців тому +4

    Yesu ana bonge la tambi hela za miuwa mungu awabarik🇲🇿🇲🇿 mozambiki

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 11 місяців тому +10

    Asalamu alekumu Masha musalimie yesu

  • @Musyoks
    @Musyoks 9 місяців тому

    I endorse the need to disagree for purposes of sharing diversity, seeing new perspectives and ultimately realising and correcting errors. However, the art of disagreeing ought to be respectful, full of compassion and even empathy, coupled with dignified language that seeks to build others up rather than tearing them down. Love remains to be the best way to contend for one's faith. There is so much that unites us compared to what divides us. Good work Ramadhan.

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 11 місяців тому +1

    nimeipenda sana miwa ya yesu ,imenawiri sana.na ana shamba kubwa sana .

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 11 місяців тому +1

      😂😂😂yesu analima sasa atawachukua lini watu wake

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 11 місяців тому +1

      @@athumanfuko199 😅😅🤣🤣

  • @abdiabdullahi2937
    @abdiabdullahi2937 11 місяців тому +1

    Ramadhan mungu akuzidishie

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 11 місяців тому +7

    Mungu Amuongoze njia ya haki

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 11 місяців тому +5

    Allah amuongoze

  • @RutexNalex
    @RutexNalex 11 місяців тому +3

    Haki huyu Mzee Na ako to seriouse eti alikuwa carpenter na baba Mungu wangu,shukran Sheikh kwa yale unayafanya❤

  • @pekeetv
    @pekeetv 11 місяців тому +4

    Yesu kajipanga Maashaallah lkn kajisahau tu kwamba kuna watu wanamsubiri awachukue kupelekwa mbinguni

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 11 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @Awatee
      @Awatee 11 місяців тому

      😂😂😂😂

  • @martoo539
    @martoo539 11 місяців тому +1

    Nakukubali sana ramadhan huu mzee huwa anamkasirishaa Mungu sana ,,,,,,bona watu wamsujudie 👍👍ati ASIFIWEE YESU aminaa❌❌❌❌shetaaani ,,,he is shaming christianity🤜🤜🤜

  • @guledmohd8088
    @guledmohd8088 11 місяців тому +2

    Walahi nime enjoy kuwatch hii clip nimecheka yangu yote haha 😂😂 subhanaAllah

    • @Awatee
      @Awatee 11 місяців тому

      😂😂😂Yesu wa kenya mtihan ALLAH atuongoze ktk njia ilio nyooka kwa sote 🤲

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 11 місяців тому +1

    Masha Allah Ustaz Kuria

  • @omarmuhamud3302
    @omarmuhamud3302 11 місяців тому +1

    Huyu yesu wa tongareni ni mkiristo na ukitaka kujua mkiristo wa kweli ni wale amabao hawana kiburi na tunamshukuru ndugu yetu Ramadhan kwa namna mzuri na hekma anavomlingania, mungu atuongoze sote. Aaameeen

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 11 місяців тому +4

    SUBHANALLAH wallahi nacheka kambae ni mazuri,sheikh umetembezwa dunia nzima nahaujui hilo😅😂😂😂🙄.Mm najiuliza huyu mtu n mzima ama ni kusudi ili maisha yamwendee😮

  • @momadentambo8955
    @momadentambo8955 11 місяців тому +1

    Nimeipenda iyo nze ramadhan

  • @Aminedanisman76799
    @Aminedanisman76799 11 місяців тому +1

    MashaAllah.Allah akuzidishie afya na umri uzidi kulingania dini yake ya haki

  • @modyhass5009
    @modyhass5009 11 місяців тому +7

    As salaam aleykhum my bro Ramadan

    • @amsodewiz4901
      @amsodewiz4901 11 місяців тому

      Walaiykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 11 місяців тому +9

    Wakristo kila kitu kwao kinafanyika kiroho ila kutoa pesa za sadaka huwa hawatoi kiroho

    • @sophiajuma6798
      @sophiajuma6798 11 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 11 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @martinemaganga5253
      @martinemaganga5253 11 місяців тому +1

      Hakuna watu wanaotoa sadaka kama wakristo

  • @joeltarus13
    @joeltarus13 11 місяців тому +7

    I'm a Christian but I love Islam teachings and it's practice

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 11 місяців тому

      Welcome to islam

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 11 місяців тому

      Welcome to islam

    • @nathanjoseph267
      @nathanjoseph267 10 місяців тому

      You dont know where Islam came from and the author of Islam is still in the grave. Why follow, a dead person. Jesus Christ is alive and He lives in US today.

  • @ggv866
    @ggv866 11 місяців тому +3

    Endeleeni kupotoswa na uyo yesu tongareni

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 11 місяців тому +1

    Kwani hakika si macho yanayo pofuka, lakini zinazo pofuka ni nyoyo ziliomo vifuani. Quran 22:46. Allah awaongeze katika uislamu wale wasio kuwa waislamu na Allah atupe khatima njema tufe tukiwa ni waislamu. From green and spice island Zanzibar.

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 11 місяців тому +3

    Ma sha Allah

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 11 місяців тому +4

    Anabidi yesu mashala

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 11 місяців тому +2

    Hawa ujanja wa uongo uko ndani ya nyoyo zao wamepotea kuliko hara wanyama alowasifu M.mungu.

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana 11 місяців тому +1

    Wewe unaejiita yesu Allah akuongozee

  • @OsmanAdhan
    @OsmanAdhan 11 місяців тому +2

    Ramadhan somehow comedian....yesu mweusi😂😂😂😂

  • @fahimabeid6953
    @fahimabeid6953 11 місяців тому +2

    Masha Allah shukran

  • @AuntDotcom-sk5lo
    @AuntDotcom-sk5lo 11 місяців тому

    Jazzak Allah khair

  • @judithagiso5339
    @judithagiso5339 9 місяців тому

    Ningependa kukutana na huyu yesu aniambie mbona niishi haya maisha ya mateso ilhali yeye yuko na sisi...

  • @JacksonMbaluto-og9ct
    @JacksonMbaluto-og9ct 11 місяців тому

    Yesu ni WA tongaren ama ni WA Dunia mzima

  • @jaaconteceu7348
    @jaaconteceu7348 11 місяців тому

    Hongera kwa wahusika wote hawa kwa kuunda mazungumzo ya amani. Naamini Waislamu wote wangekuwa hivi wasingeweza hata kujiunga na vikundi vya kigaidi vinavyohubiri maangamizi ya Wakristo na wapagani.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 місяці тому

      Zinduka ndugu, hao watu huwa wanaandaliwa na wamarekani wakishirikiana na mayahudi kuharibu image ya Uislam ulimwenguni ili wasiokuwa waislam wauchukie Uislam pamoja na waislam. Lakini tambua ktk mafundisho sahihi Uislam unakataza kuuwa watu wasiokuwa na hatia.

  • @zaitunirashidi5532
    @zaitunirashidi5532 11 місяців тому +6

    The fact tha he is having something to do , i love him ila aache huo uyesu

    • @josephwasike5281
      @josephwasike5281 11 місяців тому +1

      😂but it has nothing..he didn't say Jesus Christ..but jesus of tongareni

  • @khamistv6138
    @khamistv6138 11 місяців тому +1

    Huyo yesu ukimpa pilao atamla kiroho

  • @AngoSheriff-be5mq
    @AngoSheriff-be5mq 11 місяців тому +1

    APA kuna Imani kali

  • @ggv866
    @ggv866 11 місяців тому +4

    Yesu wa tongareni wacha zako

  • @omarmakame3027
    @omarmakame3027 11 місяців тому +2

    Kila kitu "Aminaaa, Aminaaa, Aminaaa nimecheka apoo 😂😂

  • @salimakida95
    @salimakida95 11 місяців тому +1

    Huyu shekh ramadhani Ana hekima na subra anapoouliza maswali yake

  • @Naw89
    @Naw89 11 місяців тому +3

    Sheikh kua makini na Yesu asije kusafirisha na ungo

  • @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm
    @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm 8 місяців тому

    Namshukuru Allah kwa neema ya uislamu 😂 22:58

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 11 місяців тому +2

    MashaAllah AllahuAkbar

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 11 місяців тому +3

    Majani ya kenya makali kweli shekh ramadhani umefikishwa israeli bila kujijua

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 11 місяців тому +5

    Wanatawadha kiroho lakini wanasali na uchafu wao surualini.

  • @abisalomwasike8280
    @abisalomwasike8280 11 місяців тому +1

    Mmi mkristo bt love ramadan how asking questions

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 11 місяців тому +1

    Eeee ramanzani alifukuzwa Maka eee😂😂😂😂😂

  • @HafsaMohamed-tq7je
    @HafsaMohamed-tq7je 11 місяців тому +1

    Masha Allah❤❤

  • @Adm9464
    @Adm9464 11 місяців тому +3

    Kwa huyu Yesu kila kitu ni Roho. Ajabu

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 11 місяців тому +2

    🤣🤣🤣🤣nacheka jamani mbona hehee

  • @fatmaali6780
    @fatmaali6780 10 місяців тому +1

    Shk Ramadan mbona hujatuambia ulifika kadar

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 11 місяців тому +5

    Shekh RAMADHAN umeenda makkah pamoja na yesu wa tongareni na hutuambii🤣🤣🤣🤣🤣

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 11 місяців тому +2

      🤣🤣🤣

    • @kawtharalbarwani1337
      @kawtharalbarwani1337 11 місяців тому +2

      😂😂😂

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 11 місяців тому +1

      😂😂uyu mzee anajichetua tu ili maisha yaende

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 11 місяців тому +2

      @@mimahmimah1595
      🤣🤣🤣ana stori za abunuas na wafuasi wake hawaeleweki wanachoongea

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 11 місяців тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 Namuomba mungu anipe afya njema na mwisho mwema

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 11 місяців тому +1

    Asante Sheikh Ramadhan.....lakini huyu mtu kujiiita Yesu na kuabudiwa ndio shida na changamoto

  • @silvamoz6299
    @silvamoz6299 11 місяців тому

    Kuria ramathan mwalimu wako ni ndacha, yesu wa tonge ni mzaha tu.

  • @TreyJames-re5sl
    @TreyJames-re5sl 11 місяців тому +2

    Kila kitu aminaa😂😂

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 11 місяців тому

    Huyu jamaa ni Comedian kama hamjui😅😅😅😅

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 11 місяців тому +1

    Wallahi mtihani, lkn kila nikimuangalia huyu yesu wa mchongo mie na😂😂

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 11 місяців тому

      Yesu kanenepa yaonekana sadaka ni nyingi😂

  • @kennethogola2181
    @kennethogola2181 11 місяців тому +1

    Straight path I like your video you don't edit your video . like other Muslims debate video .

  • @headboy7768
    @headboy7768 11 місяців тому +1

    aaamina

  • @KangaShedrak
    @KangaShedrak 11 місяців тому

    Kamwe simuachi Yesu kristo wa mbinguni

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 11 місяців тому +5

    Ustadh hutaki kutuambia ulienda Azebaijan na hukutuambia wewe na yesu 😂😂😂

  • @Issu-isserAhmed-tz8sh
    @Issu-isserAhmed-tz8sh 11 місяців тому +1

    Tangu mjuane , aminaaaa😅😅😅

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 11 місяців тому

    InshaaAllah apige shahada

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 11 місяців тому +1

    Yani ukisikiliza unacheka ila kuna masikitiko makubwa sana.

  • @abdulJambe
    @abdulJambe 11 місяців тому +3

    Aminaa😂😂

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 11 місяців тому +2

    😅😅😅😅😂i don't know why I'm laughing

  • @JeremayerDaniel-w3i
    @JeremayerDaniel-w3i 11 місяців тому

    Mbona yesu anahepa maswali

  • @Adm9464
    @Adm9464 11 місяців тому +3

    Total confusion and lies huyu Yesu wa kubandkiwa

  • @khamistv6138
    @khamistv6138 11 місяців тому +1

    Para kumi ndio nini yes

  • @MohamedRugamana
    @MohamedRugamana 11 місяців тому

    Yesu anajuwa kuendesha Tractor?

  • @ayubumalingu6215
    @ayubumalingu6215 10 місяців тому

    Yesu wa Tongaren, he came back to earth to grow sugar canes instead of taking people to God...
    Any way he is a funny , confident and lovely man.

  • @shukrishuu9672
    @shukrishuu9672 11 місяців тому

    Alisahau kuwashow Uchafu ya miwa hu make petroli huko Brazil🇧🇷.. Orezo ameskia hio.. Ndo huyo mm

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 11 місяців тому +5

    Kazi ipo wala si ndogo loo hawataki kabisa kufa hamu Ramadhani kazi unayo Allah awanyoshe njia ya haki

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 11 місяців тому +3

    yule wa nazareti alikuwa dundi seremala huyu tongareti ni mkulima

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 11 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂