Hujaelewa. In kwamba Yule binti anaponda vya wengine, wakati yeye pia anauza fake. No uongo hizo products hachukui pharmacy it’s just around deira kwenye duka za wahindi na wapakistani. In UAE, pharmacy hazina hiyo setup anawaonyesha huko she’s lying na nyie mnamwamini. Tembea ujionee. Mimi na kuishi kwangu huku sijaona pharmacy zenye hiyo setup halafu pharmacy hawauzi wholesale na kupata dawa huku lazima uwe na prescription from dr.
@@NanaaHaji-qr1rk hunijui we unaijua biashara wewe??? Acha kubwabwaja watu wanapata faida mara 10 niffer anapata faida mara 3 kwa hiyo watu waendelee kupigwa? Acha ushabiki wa kijinga angalia profile yangu ndo utajua nakuzaa
Mama P mtu wangu saana uwa namuelewa saana kitambo❤❤❤
Well said mama p,maua Yako umeongea kama mtu mzima anavyopaswa kuongea Kwa busara,bigup
Nyie mnaomchamba mbona kaongea vitu fact sana wivu unawasumbua afu wenzenu wanapiga helaa
Maman p karibu atowe machozi . I love youuuu your self Jacklin wangu .🇧🇮💕🇧🇮
Kweli mama p ww ndio mama bora ❤❤❤
Kuna baadhi hawaja muelewa jack lakini wana crush alicho kisema❤❤
Ndio mama P ❤️
Sikiliza Nifer usiogope Mungu yuko pamoja na wewe.piga kazi
Safi sana mama P
Mimi namuelewa sana mama P niffer anatakiwa kuwa makini na hizi biashala zake yani ni changanyikeni😢😢😢
Uko vizuri Sana ujaongea vibaya na wala ujamkandia
Nampenda mama p❤❤
Safi sana dada mtu
Go Niffer wala usiwaze
Watasema sana😂😂😂
Sasa ninyi mnaomlaum wolper mbona m sjaona kama kamkandia mtu Zaid kajiweka tu kati kuepusha shari
Mnaosem jaongea pumba co kwer kaongea vzr tu nawala hajampiga majungu , hivi ni biashara ndo inavyokuw ni mapambano tu
Na kwanini wakufuatilie kama una gari au huna kwani bila gari huwezi ishi? Sisi wabongo tuna upumbavu sna
Yaani unapoongea kujifanyiza mpole nakumbuka mlivoenda Kula na JB afu ukaweka inzi kwenye chakula ili msilipe😂😂😂😂😂
😅😅😊😊Sasa si movie
Acha uongo wewe
😂😂😂
Wewe ni mm 🤣🤣🤣
Ilikuwa move tu
jack uko vzr wewe ni mama unaejitambua na nimependa unaishi kwa raha zako na sio kuwafurahisha watu
💪 & congratulations
Kwani Ile range imeenda wapi?
Umeongea vizuur sana dadaangu nakupenda❤
Wallah uko vizuri❤❤❤
Kweli Niffer Bebe star
My role modol
Much love you 🥰🥰
Safi sanaaa🥰🥰🥰
Acha kusema uongo ukuwai kumtapeli hamo kumbe unatembea narichie heti upendi uobgo
Kabisaaaa
Hao watoto wana baba?
Tunakusame mama P 😂😂😂
Niffer ana wapelekesha mjini 😂😂😂
Mhaya yule watamkoma😢😢
Kwaiyo kama kuna mtu anauza sabuni za baby Johnson basi wengine inchi nzima wasiuze?
Hujaelewa. In kwamba Yule binti anaponda vya wengine, wakati yeye pia anauza fake. No uongo hizo products hachukui pharmacy it’s just around deira kwenye duka za wahindi na wapakistani. In UAE, pharmacy hazina hiyo setup anawaonyesha huko she’s lying na nyie mnamwamini. Tembea ujionee. Mimi na kuishi kwangu huku sijaona pharmacy zenye hiyo setup halafu pharmacy hawauzi wholesale na kupata dawa huku lazima uwe na prescription from dr.
Nakupendea hivyo we dda unsemaukweli
Wote wanamuogopa kwanini wafanyabiashara wa bongo hawajiamini? Wewe kama unauza product nzuri kwanini ukose amani.
Jacklyn Wolper Hana hekma wala busara kwa maneno yake hayo, hadi sura lake limekuwa zito halina nuru kwasababu ya wivu wake kwa Niffer.
Mbona hajaongea baya
❤❤❤
Unaongea pumba kila mtu apambane kutafuta.❤
Jamani siaillikua naigiza tu😅😅
😂niffer umeonyeshewa vidole unajua maana. Ya vidole hinyo
Wa bongo. Hatupendani swala renyewe harina hata uzito watu wenyewe wamerikuza kama mnauza feki msiambiwe. Wario panik wote wanavipodozi feki
Falaa sanaa
Huu ni ujinga biashara huria hii huwezi kumkataza mtu kuagiza vitu kisa we unafanya biashara?? Mnapandisha beiiii Niffer kawakomoa mwacheni
Hv unaelewa apo anaongea nn😂uyu anaonhea kiutu uzim km bdo ww mtt hutoelew
@@NanaaHaji-qr1rk hunijui we unaijua biashara wewe??? Acha kubwabwaja watu wanapata faida mara 10 niffer anapata faida mara 3 kwa hiyo watu waendelee kupigwa? Acha ushabiki wa kijinga angalia profile yangu ndo utajua nakuzaa
Hapo unakuta ujawah fanya biashara ya kuuza ubuyu huwezi elewa mchezo tulia
Hawajielew wanaomlaumu wolper
Mwacheni nifa
Adi nawewe unampiga majungu
Wewe acheni kila mtu atafute ugari binti anajitafuta ila mnavyommanda
Anazungumza nonsense alafu ukimuona utasema mwanasheria yaani anajitia ujuwaji alafu hajui chochote
Hicho anachokunywa ndo tatizo
Nataman nipate tumeric kutoka kwako
Kwa manjan gan bhn ww
Nishamkanya na kijini chake nimemuandalia 😂😂😂😂😂🙌
Mimi ni Shabiki wako kutoka Hollande
Wivu tu
Roho mbaya tuu
The sio unnecessary😊
😂😂😂😂😂😂lol
Kumbe umesikia na wew
Sio unnecessary!!
Amekosea sana
Nani kaalibika wewe yulebibi alokua Ana muandama yeye uso kamuaribu nani shenzi nyinyi
Halqfu unaenfa kununua kwake si utakuwa hivyo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂