Mungu awabariki,sana sina cha kusema ila kwa hichi mulichoamua kufanya kita impact watu wengi sana kwenye nyanja tofauti trading,business,mindset n.k Hakika brother mnajua MUNGU awabariki msichoke kutoa mambo valuable kama haya🙏
Video hii inafundisha sana......Sikumoja lazima niwe community member, Nnaipenda forex au nnahitaji kuijua forex zaidi kwasababu kuu mbili nna interest na online market, lakn pia forex imekua ikinibadilisha mtazamo na nnaona kabisa kupitia forex najikuta nnakua mtu tofauti na bora zaidi kuliko kitu chochote ambacho ningekifanya kinifundishe , now nnasoma vitabu , nna routine, nnajitambua tabia zangu ambazo zinanirudisha nyuma sikuzijua kabla , kwahyo nnahis forex co biashara tu bari inakuandaa kua mtu bora na atakaeshinda nyakati zozote za changamoto kwenye maisha
Hii video inanionyesha dhahiri safari ya IFX ya ku IMPACT MILLIONS is real and i & you who read here we must be impacted from IFX contents. Be Blessed Amrysaly na team yako. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Thanks bro Amirslay hapo katika cycle ya un conscious incompétent > Conscious incompétent >valley respair then kuingia katika conscious compétent hizi stage zimekiwa ndio misingi mikuu ya kuquit kwa traders wengi mno, maana trust ukiquit na umeshafikia stage ya Conscious compétent trader pengine inaweza pelekea kuwa looser katika kila business !! Bro nimekufuatria sana umekuwa mtu wa too research katika mambo mbalimbali ya hii business,,, congrats 🎉😊
Am leaving this comment here as one of "VALLEYS OF DESPAIR " VICTIMS ...am going to watch this video as much as it means to stick in my head, am going to do what it takes to get over "valley of despair" ....Thank you amrisaly,..am going to be accountable 📌
Nina ndoto kubwa ya kufanikiwa kwenye biashara/forex lakini changamoto zimekuwa nyingi. Ujumbe wako ulinipa nguvu mpya ya kuendelea. Ningependa sana kuwa sehemu ya bootcamp yako ili nipate mwongozo sahihi. Niko tayari kujifunza, kujituma, na kuthibitisha kuwa ninaweza kufanikiwa. Asante kwa kuhamasisha wengi kama mimi!
Ujumbe wako umenigusa kwa namna ya kipekee, na kwa kweli ni somo la thamani kwa yeyote anayepitia changamoto katika safari ya forex au hata maisha kwa ujumla. Uvumilivu wako na imani yako ni ushuhuda kwamba ndoto kubwa hazifi kwa sababu ya vikwazo, bali zinachipuka kupitia bidii na moyo wa kutokata tamaa. Endelea kung'aa, kwa sababu nuru yako inawaongoza wengi kama mimi. Nakutakia kila hatua yako iwe na ushindi mkubwa na safari yako izidi kuwa ya kutia moyo kwa wengi.
One of the best video never seen before..Anyway 1.UNCONSCIOUS INCOMPETENCE 2.CONSCIOUS INCOMPETENCE 3.VALLEY OF DESPAIR 4.CONSCIOUS COMPETENCE 5.UNCONSCIOUS COMPETENCE NOTE:Apeche,Alolo😂😂😂
YES,THE ONLY WAY IN IS OUT,THE CAUSAL,AND THE CREATION REALMS UNTIL WE MAKE THE UNCONSCIOUS CONSCIOUS ,as IT WILL DIRECT OUR LIFES AND WE WILL ACCEPT EVERYTHING THAT IS HAPPENING TO US AND WE WILL CALL IT "FATE"
Nilipew chance ya kulipia kidogo kidogo ili ikikamilika nipewe access ya full mentorship lkn nikakwama njiani,, this time nimejitafta adi Tsh 500k.. Mwenye access na master anifanyie jambo nipate access, on the way nitakuwa nalipia 🤝👊
Mimi ni Mfanyabiashara ila nimejifunza mengi zaidi ya Biashara na pia nimekuwa Motivated sana juu ya Forex, i really need to dig down kujifunza Forex kiuhakika kupitia Intelligence FX 🙌🏾
Somo makini sana big up sana bro amrisally umetoa funzo kubwa sana na imekua bahati kubwa kulipata katika umri huu uliyoyaeleza wengine wanaenda nayo na kushtukia umri ukiwa umeenda sana Ubarikiwe sana kk mkubwa
Another one🔥 (in Dj khaleed's voice) very inspiring brother and one of the things to learn kutoka kwako ambacho ni kikubwa mno & i look up to ni Katika vitu ambavyo unachagua ktka siku na saa yoyote ni kuwa na information na maarifa sahihi🔥🔥 una evolve humo ndani kma dunia kwenye muhimili wake. Hizi nondo ni imara sana and generational span mithili ya nondo za kina stoic, aristotee. Thumbs up bro #lets impact millions🚀🚀🚀
Hii imeniamsha sana najiona kama nipo kwenye njia ambayo natembea kwa kubahatisha na sehemu nakoenda lkn kupitia intelligenceFx najiona nkibadirisha mwelekeo wa maisha yangu nimetafuta mentor sio chin ya wawil lkn mpaka sahv sion kitu walichonibadirisha lkn nina imani kubwa sana kupitia intelligenceFx
nimeirudia hii video mara 2 maana ndio ninachokipitia sahizi, i will never quit kwasababu anything kinachohitaji mafanikio kinahitaji sacrifice, either money, muda au power so choose your path, bigup bro umebadilisha mindset yangu kwenye forex
Ubarikiwe sana kaka maana umeongea Facts nying sana ambazo n uhalisia na watu weng watatoka gizan na kupata mwangaza kupitia mission to impact millions💪
Umetisha sn san mkali. Nipo kweny ich kiwand Kwa mda Sasa na izo phase zote nimepitia na nimeona usingz Kuna mda unalala tu kwa sababu upo lkn sio poa forex sio rahis paka kuwa profitable. Be blessed
Safari ya kuanzisha kitu kipya maranying huwa sio rahisi. Ningumu kuelewa hii safar mpya ninayoanza itakua na ugumu kiasi gani,how long it’ll take for me to get to the end point. Binasi sikuwah,na sitafikiria kuquit FX trading and this video imenifanya nijione kua niko katika njia iliyo sahihi kabisa. Be blessed Amrysal.🤝
Sema braza umeeleza vzur san yaan vitu vyote vinaanzia kwenye mentality the way you thing ndo unaweza change something umefocus na change of mentality amby ndoninabadilisha kila kitu love you so much
Mi sio mtu wa kucoment but hii video imenifanya nifikirie trade career yangu tofauti na mwanzo endeleeni kutuletea video nyingine kuna vyakujifunza vingi sana humu
Breathtaking Lesson Learnt! The road to success is the same you just have to tune yourself in the required speed and surround yourself with the right set of people. Intelligencefx is one them!
Really passionate about learning Forex trading, but financial constraints have made it tough to access quality courses. I'm committed to putting in the work and using the knowledge to not only improve my skills but also share what I learn with others in the community. I believe this course could help me achieve my goals and create long-term growth. I’d be so grateful for the opportunity to learn from the best! 🙏
Northing to say brother but thank you for sharing this extraordinary message God bless you.
Mungu awabariki,sana sina cha kusema ila kwa hichi mulichoamua kufanya kita impact watu wengi sana kwenye nyanja tofauti trading,business,mindset n.k
Hakika brother mnajua MUNGU awabariki msichoke kutoa mambo valuable kama haya🙏
Video hii inafundisha sana......Sikumoja lazima niwe community member, Nnaipenda forex au nnahitaji kuijua forex zaidi kwasababu kuu mbili nna interest na online market, lakn pia forex imekua ikinibadilisha mtazamo na nnaona kabisa kupitia forex najikuta nnakua mtu tofauti na bora zaidi kuliko kitu chochote ambacho ningekifanya kinifundishe , now nnasoma vitabu , nna routine, nnajitambua tabia zangu ambazo zinanirudisha nyuma sikuzijua kabla , kwahyo nnahis forex co biashara tu bari inakuandaa kua mtu bora na atakaeshinda nyakati zozote za changamoto kwenye maisha
Ahahaha pambana Mzee acha kuota ndoto za mchana
Giving up is not an option, at right time, right information is KEY. Be blessed brother.
Right information
Thanks for sharing ❤
Sharing is caring thanks brother
What a video, 🔥
Powerful 🔥🔥🔥
Hii video inanionyesha dhahiri safari ya IFX ya ku IMPACT MILLIONS is real and i & you who read here we must be impacted from IFX contents.
Be Blessed Amrysaly na team yako. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Thanks bro Amirslay hapo katika cycle ya un conscious incompétent > Conscious incompétent >valley respair then kuingia katika conscious compétent hizi stage zimekiwa ndio misingi mikuu ya kuquit kwa traders wengi mno, maana trust ukiquit na umeshafikia stage ya Conscious compétent trader pengine inaweza pelekea kuwa looser katika kila business !!
Bro nimekufuatria sana umekuwa mtu wa too research katika mambo mbalimbali ya hii business,,, congrats 🎉😊
Hii video inaenda kufungua njia kwa watu wengi
The real mentor in forex globally
Am leaving this comment here as one of "VALLEYS OF DESPAIR " VICTIMS ...am going to watch this video as much as it means to stick in my head, am going to do what it takes to get over "valley of despair" ....Thank you amrisaly,..am going to be accountable 📌
Nina ndoto kubwa ya kufanikiwa kwenye biashara/forex lakini changamoto zimekuwa nyingi. Ujumbe wako ulinipa nguvu mpya ya kuendelea. Ningependa sana kuwa sehemu ya bootcamp yako ili nipate mwongozo sahihi. Niko tayari kujifunza, kujituma, na kuthibitisha kuwa ninaweza kufanikiwa. Asante kwa kuhamasisha wengi kama mimi!
Ujumbe wako umenigusa kwa namna ya kipekee, na kwa kweli ni somo la thamani kwa yeyote anayepitia changamoto katika safari ya forex au hata maisha kwa ujumla. Uvumilivu wako na imani yako ni ushuhuda kwamba ndoto kubwa hazifi kwa sababu ya vikwazo, bali zinachipuka kupitia bidii na moyo wa kutokata tamaa. Endelea kung'aa, kwa sababu nuru yako inawaongoza wengi kama mimi. Nakutakia kila hatua yako iwe na ushindi mkubwa na safari yako izidi kuwa ya kutia moyo kwa wengi.
hii video ni funga mwaka kwa kweli mzee umenigusa sana, ALLAH akujalie tu yani haya ni zaid ya madin.
One of the best video never seen before..Anyway
1.UNCONSCIOUS INCOMPETENCE
2.CONSCIOUS INCOMPETENCE
3.VALLEY OF DESPAIR
4.CONSCIOUS COMPETENCE
5.UNCONSCIOUS COMPETENCE
NOTE:Apeche,Alolo😂😂😂
Mapema sana kula nondo za mentor kama mentor
Kaka respect,unajuwa paka unajuwa tena,nimejifunza kitu asante
Tupe maujuzi na Mungu aendelee kukubariki uwe na moyo huo huo
encourging and it is moving
Thanks imapcting millions
hii video inagusa uhalisia tunaopitiza na zaidi inafungua macho na kutupa mwanga na uelewa wa nini cha kufanya. God bless you bro
Aims to get education & impact millions
Must must to reach the aims God bless 🙏
one among powerful content i watched in 2024
Umeongea vizuri, na kwa uhalisia zaidi!!. Congratulations brother 👏🏽
Impact the millions
YES,THE ONLY WAY IN IS OUT,THE CAUSAL,AND THE CREATION REALMS
UNTIL WE MAKE THE UNCONSCIOUS CONSCIOUS ,as IT WILL DIRECT OUR LIFES
AND WE WILL ACCEPT EVERYTHING THAT IS HAPPENING TO US AND WE WILL CALL IT "FATE"
impact millions
Daaaah ni usiku, na nilichokipata kimefika katika wakati sahihi
May God bless you man💪🏾💪🏾💪🏾
Nilipew chance ya kulipia kidogo kidogo ili ikikamilika nipewe access ya full mentorship lkn nikakwama njiani,, this time nimejitafta adi Tsh 500k.. Mwenye access na master anifanyie jambo nipate access, on the way nitakuwa nalipia 🤝👊
Mimi ni Mfanyabiashara ila nimejifunza mengi zaidi ya Biashara na pia nimekuwa Motivated sana juu ya Forex, i really need to dig down kujifunza Forex kiuhakika kupitia Intelligence FX 🙌🏾
Video nzuri sana brother,madini ya kutosha na napenda kukuomba jaribu kufupisha Video zako brother, asanteni kwa madini....👑
Hii ndo mwisho wa maneno nmekuelewa sanaaaa
Somo makini sana big up sana bro amrisally umetoa funzo kubwa sana na imekua bahati kubwa kulipata katika umri huu uliyoyaeleza wengine wanaenda nayo na kushtukia umri ukiwa umeenda sana Ubarikiwe sana kk mkubwa
Level of Seriousness and Displine.
Let's keep impact millions 🔝
Another one🔥 (in Dj khaleed's voice) very inspiring brother and one of the things to learn kutoka kwako ambacho ni kikubwa mno & i look up to ni Katika vitu ambavyo unachagua ktka siku na saa yoyote ni kuwa na information na maarifa sahihi🔥🔥 una evolve humo ndani kma dunia kwenye muhimili wake. Hizi nondo ni imara sana and generational span mithili ya nondo za kina stoic, aristotee. Thumbs up bro #lets impact millions🚀🚀🚀
Thanks master!🔥
Hii imeniamsha sana najiona kama nipo kwenye njia ambayo natembea kwa kubahatisha na sehemu nakoenda lkn kupitia intelligenceFx najiona nkibadirisha mwelekeo wa maisha yangu nimetafuta mentor sio chin ya wawil lkn mpaka sahv sion kitu walichonibadirisha lkn nina imani kubwa sana kupitia intelligenceFx
nimeirudia hii video mara 2 maana ndio ninachokipitia sahizi, i will never quit kwasababu anything kinachohitaji mafanikio kinahitaji sacrifice, either money, muda au power so choose your path, bigup bro umebadilisha mindset yangu kwenye forex
Asante kwa somo zuri
discipline Emotional ni changamoto kubwa kuliko mtaji
Impacting millions
"Nothing comes easy, and giving up is not an option."
Nashukuru kwa maarifa yako 👏
Ubarikiwe sana kaka maana umeongea Facts nying sana ambazo n uhalisia na watu weng watatoka gizan na kupata mwangaza kupitia mission to impact millions💪
Big mind🧠🧠🧠
I was feeling like a brother talking to me …My favourite video in this year
Wakwanza hapa ❤❤❤❤❤
MY BEST FX VIDEO OF THE YEAR
Amazing 👏
Umetisha sn san mkali. Nipo kweny ich kiwand Kwa mda Sasa na izo phase zote nimepitia na nimeona usingz Kuna mda unalala tu kwa sababu upo lkn sio poa forex sio rahis paka kuwa profitable. Be blessed
Bro u changed my mind nishajua nakosea wapi na natakiwa kufanya nini
Thanks Master
thanks sana kaka
nmepata kitu ambacho kitanisaidia sana
LEVEL OF EMOTIONS DETERMINE LEVEL OF SUCCESS IN LIFE. LACK OF KNOWLEDGE RESULTS TO EMOTIONS.
Hii video nimeitazama kwa makini sana aisee itabadili maisha yetu sana sana bro ubarikiwe sana bro Amr
The journey to impact millions is very lit and promising🎉
Intelligence Fx to the moon
Safari ya kuanzisha kitu kipya maranying huwa sio rahisi. Ningumu kuelewa hii safar mpya ninayoanza itakua na ugumu kiasi gani,how long it’ll take for me to get to the end point. Binasi sikuwah,na sitafikiria kuquit FX trading and this video imenifanya nijione kua niko katika njia iliyo sahihi kabisa. Be blessed Amrysal.🤝
The video Quality is crazy 🎉🎉
Respect Broo, ila sisi wengine ndoo Beginners kbsa
God bless you sana bro🫂
Maneno ya Dhahabu bro Thank you so much.... Mungu akubariki uendelee kutupa hizi nondo bro 🙏✊
Kazi nzuri 👍
Much helpful
We appreciate 🙏🏽
Mmoja wap katika journey ya forex . Hii imekuja muda sahihi kwangu vilivyo ongelewa vyote vimenigusa directly . Let's impact millions
Mungu akubaliki sana brother, hakika unazidi kutubariki
Always 🧠
Hii video ina shule kubwa sana katika maisha.
Nimengalia more than two times Ili nielewe zaidi... But what I can say this video is the best💪😇
Sema braza umeeleza vzur san yaan vitu vyote vinaanzia kwenye mentality the way you thing ndo unaweza change something umefocus na change of mentality amby ndoninabadilisha kila kitu love you so much
Amazing
Ifx turn to my favourite ❤🎉
Imenifany nijione ni mjinga xan kwakuwa sikuwa na mshaur wa trade kma ww bro but now I'm never give up
Much respect to the Community
Learned alot about changing on how to obsever and learn things
Much appreciation
One day i will be part of the communitty members at intelligence fx 💯
That's big .
mapambano ni mengi ❤🎉
Mi sio mtu wa kucoment but hii video imenifanya nifikirie trade career yangu tofauti na mwanzo endeleeni kutuletea video nyingine kuna vyakujifunza vingi sana humu
daaah aisee this video is very insightful na ni zawadi kubwa sana kwenye forex industry. barikiwa sana brother🙏🙏🙏
Hii video umeitengeneza wakat sahhi sana 🎉Allah akubarik
Breathtaking Lesson Learnt!
The road to success is the same you just have to tune yourself in the required speed and surround yourself with the right set of people.
Intelligencefx is one them!
Nimeipenda sana hii 🎉
Vidio hii nimejifunza ku invest kwenye maalifa zaidi, discipline, kujitambua, ipo siku nitakuwa member
🙏🙏 thanks mentor
thanks brooo my power is now up niikumbuka kuhusu UNCONSCIOUS COMPETENCE
Impact Full
Great job🔥🔥
Hii video lazima nii download dah hili jamaa linaakili mpaka linakera❤
Tunajivunia kuwa na watu kama nyie kaka 🇹🇿🔥
In the proccess of impacting millions
I wish to be IFX member one day 🙏
Really passionate about learning Forex trading, but financial constraints have made it tough to access quality courses. I'm committed to putting in the work and using the knowledge to not only improve my skills but also share what I learn with others in the community. I believe this course could help me achieve my goals and create long-term growth. I’d be so grateful for the opportunity to learn from the best! 🙏
Keep impacting millions bro , unatuwakilisha vyema vijana na taifa kiujumla katika forex industry tunamenge yakujivunia na kujifunza kutoka kwako
God bless you broh
Og sana
Appreciate bro✌
Aisee!!! brother... maneno yako yamenichoma kwenye moyo 🤕
Vijana hakika ni vema kupambania ndoto zetu huyu jamaa apewe maua yake ni mwlimu mzuri sana
Incredibly insightful 🔥 na imeniongezea kitu kikubwa sana.
More blessings my brother mung aendelee kukupa afya njema undelele kutu fumbua mind set zetu ❤