Tunakupenda sana kicheche ila kumbuka na madili ya nchi🇹🇿 yetu nijukumu letu watanzania kuyalinda ukiwemo na ww kicheche hivyo katka kazi zako zingatia na maadili hayo ndo, maoni yangu kwako kicheche
Content kama hii sio nzuri kicheche kwa sababu watoto tunaozaa na kulea wanaangalia na inakuwa picha au mafunzo mabaya kwao .Tafadhali jaribu utengeneze content ambayo haitaharibu maadili na desturi zetu na hata dini
Jamani! Watu wamekazania màadili maadili!, sahihi lakini Sio kila muvi lazima uitazama pia ishu ya watoto kuitazama, si kosa la kicheche bali we mzazi / mlezi! Kwanini umwachie mwanao aangalie
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 unatuchukuliaje washabiki wako au ndoo tayari ushaona unatumudu?? m nakufatilia sana sema huwa siyo mpenzi wa comment ila kwa hii movie umenikwaza
WAKATI TUKIWA TUNAANDAA TAMTHILIA MPYA, KWA SASA NITAKUA NAWAPA SHORT CLIP KUWACHANGAMSHA KIDOGO MASHABIKI ZANGU MSIBOEKE
Huna bays
Kazi nzuri sana kaka
Yani haichoshi hatari sana
😂mtu wa maana Sana ww
Attention
Tunakupenda sana kicheche ila kumbuka na madili ya nchi🇹🇿 yetu nijukumu letu watanzania kuyalinda ukiwemo na ww kicheche hivyo katka kazi zako zingatia na maadili hayo ndo, maoni yangu kwako kicheche
Perfect🎉🎉🎉
well spoken
Duu maadili 0 basata where are you
The truth
Hapa Umepitiliza Sana Mzee
Ala kicheche na idyoi comédie zako leo, milikya Misha miss comedy zako kama ya leo. Thanks your groupe kicheche comedian.
Like father liké son aita kwisha bila sja cheza ndani yaiyi Season nyipya ❤❤❤ sijuwi unasemaje brother kicheche ❤❤❤❤❤
Nalombalike zangu much love from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wakwanza kutoka dubai kazi kazi ❤❤❤ tu akupenda kicheche kazi nzuli🎉🎉🎉❤❤❤
Umeshawasili mjini vyema saaana💫💫 nakuamini kicheche from Burundi hapa 💯💯 Nipeni like zenu wadau team kicheche oyeeeeeeeee
Na mimi napenda nyama 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@kicheche
Oyooooo Leo ni Leo tunaanza na kichupa kipya🎉🎉
Kazi zuri kicheche kwakweli nukukubar kabisa
Waombe like mnaboa 😮😮
Tena sana
Iyi kali ya mwaka 😂😂😂😂
Love from Rwanda 🇷🇼 ❤️ uyundo kicheche sasa hap ndotunahataka
Mimi hapa babaaaa
Namkubali kicheche leo m wakwanza naomba like zangu
Kecheche simamisha iyo movie Haina mafunzo yoyote kwajamii asa watoto
Sasa nani amekwambia tunataka mafunzo
Mafunzo yanapatikana shuleni mbwa wew😂
Towa Part2 Baaaabaaaaa.... mafunzo hatutakiiiiiii......
Kwani ww unatafutiyaka mafunzo kwenye comedi ??? Una shangaza San? Akuna mafunzo kwenye comedi APA mwendo kucheka tuh😂😂😂
Lenyewe funzo usiangalie utaota
😂😂😂kicheche Niko apa wa kwanza like zangu ♥️♥️💞💞
Oyaaaa kwa mala ya kwanza nimewahiiiii like kwangu
Kitu kinachokera ni kila mtu anaomba like
Usimpe tuuu😂😂😂
Ata mm inanikera badala ya kuwapongeza na kuwasuport n kuomba tu likes
@@3malis 😂😁😂
Content kama hii sio nzuri kicheche kwa sababu watoto tunaozaa na kulea wanaangalia na inakuwa picha au mafunzo mabaya kwao .Tafadhali jaribu utengeneze content ambayo haitaharibu maadili na desturi zetu na hata dini
Number one from 🇧🇮🇺🇸
Umenifuraisha sana heti case ya otimbi unampelekea natimbiliyo😂😂😂😂❤mbwa kicheche
KAMA unamkubari kicheche nikuone😂🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂 mbwa kicheche babaaaaaa, letaaa kazii
Kicheche mbwa ww umetisha sana😂😂😂
King of washerati mbwa wewe😂😂😂😂😂😂
Iyo kicheche umerudi sasa ❤🎉
Sema kicheche izo cripsi sio good kwa maadili ya nchi yetu fanya video amabzo zipo good ud
Na peperusha bendara ya Congo froom Bukavu 🇨🇩🇨🇩
Kicheche noma sn 😂😂😂
Wa kwanza from Zanzibariiii
Wakwanza mbw 😅😅😅mimi
Hihi itakuwa kali kweli, acha tuendelee kuhisubiri, team kicheche twende na likes.
Daah kiche kwl mtu😂😂
Popo mbili zavuka mto 😂😂😂😂😂😂
Jamani! Watu wamekazania màadili maadili!, sahihi lakini Sio kila muvi lazima uitazama pia ishu ya watoto kuitazama, si kosa la kicheche bali we mzazi / mlezi! Kwanini umwachie mwanao aangalie
Hongera zako kicheche Na kikosi chako 🌹💪
Leo wakwanza ni mimi nipeni like zangu tim kicheche
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 unatuchukuliaje washabiki wako au ndoo tayari ushaona unatumudu?? m nakufatilia sana sema huwa siyo mpenzi wa comment ila kwa hii movie umenikwaza
Kumbe queen na zuena mlinyoa kweli 🤣🤣🤣,, I thought ni filters 🤭🤭,, Queen wachekesha na kipara🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈
😂😂😂 eeeh adi nilimwona live alinyoa kweli
Mmm uumkwaka niwako kbs 🎉🎉
Hahahahahaaa 😂😂😂😂😂 kichecheeeeeeee
😂😂😂😂😂😂😂😂 kicheche mwehu weeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
I made my day from cuba😂😂😂😂
Kweli kicheche niki chaa 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂hii kali usichelewe sana basi tunasubiria kwa hamu
Tunaagiza lamba lamba tunaletewa like father like son 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 yaaani unge ifanya iwe hata refu kidogo kicheche pleas nime ipenda sana❤
Kenya 🇰🇪 twaipenda😅😊
Ahaaaaa❤ what I was waiting back to comedy
Kicheche hana akili hata kidogo😅😅😂
Kicheche jamani haa wewe kaka bwana😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉Noma sana 😂😂😂😂😂 like back
😅😃😅😃 umetishaa
More love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 to kicheche
😂😂😂😂😂😂😂
Popo mbili zavuka mto
Kicheche noma sanaaa😂😂😂
Number one🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂😂😂😂😂kicheche jmn daaah😂😂😂 futa limetulia hilo😂😂😂
kiukwely bora hii baba kicheche manake ile ya uchawi mpka huyo mama nilikuwa namwota daah kubabake 😂
Mi na baba popoo mbili zavuka mto😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 kicheche nakukubali toka 🇺🇲
Naku kubali sana kicheche❤
Hatali sana hii🤣🤣🤣🤣🤣kicheche noma
Endeleza baba hii kalii sanaaa
😂😂😂😂aki kicheche😂😂😂😂
Yaani!😂😅
Tutakususa mbwa ww😂😂🎉🎉
Nipeni mauwa yagu🎉
😂😂😂😂😂😂😂mtu na baba yake nivichaa kweli😅
😂😂😂😂😂 kicheche bwana
Kazi nyingine bhana
Kicheche we ni hatari 😅 Umbwa www😢😢😮😮😮😮
❤❤❤
😂😂😂😂😂 nyaaamanyamaaa ,tunapenda nyamaaa
Kesi ya otimbi umpelekee natimbilioo 😂😂😂.. eeeh good job mbwa kicheche❤❤
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Mbwaa usherati
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
Mzee Mogadishu kashaharibiwaa akili na kicheche aisee sio Kwa ilo cheko lakee,...😂
ila mtu na mwanawe bhanaa😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌👋
Baba wa hovyo mtoto wa hovyooo
Fanya kazi apa mwana like father njo miye mwana
😂😂😂😂😂😂 sasa na najikuta nikiseka
Kicheche akili huna😂😂😂
Kicheche ishia hapo hapo. Tuleteee movie nzur bhna
😄😄😄😄😄😄😄sinaa mbavuuu
😂😂😂😂😂😂eti mzee anabananga makalio,aki nyie watu
❤❤❤🎉🎉bigg up san
Baba pewa mauwa😂😂😂🎉🎉🎉
Dah kichechee jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
This is love From mozambique 🇲🇿❤🎉
Weeeh😅😅😅 king of usheratii😂😂😂😂😂
Kicheko Cha baba sasa😂😂😂😂
ahahahahahhahahahaaa saut zinafanana 🤣😅😅😅😅😅😅 LIKE FATHER LIKE SON😅😅😅
😂😂😂😂😂team kicheche pita na like apa
Gud job bro kicheche keep it up
Mashabiki wote tuungane kulinda maadili ya Tanzania
ATUTAKI MAADILI MBWA WW
Kicheche, hufiki mbinguni 😂😂😂😂😂
Sawa fanyeni chapuu
Msijifanye hamjasikia kubana makalio wakati wa kusaga.....😅😅😅💔
Iyi ni ujinga Maraba. Sipendi hata kidogo 😊
Pumbavu zenu nimecheka kishenzi 😂😂😂
Zangu sekunde Tuu Baba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂