Mashallah new subscriber here, I really like the way you cook I watched some of your videos too but this one leaved me no option but to comment on it yama choma is my favorite dish and I thank you again for making this video I am learning a lot from you 🇸🇴🇰🇪🇺🇸👍❤️
Nyama kilo moja, chumvi kiasi kitunguu swaum na Tangawizi 1 tbsp, garam masala 1 tsp, pili pili manga 1tsp, manjano 1 tspn, na chili flakes 1 tspn, limau kipande
Your recipes are amazing 😋😋😋 I had to subscribe today am tired of following you from a distance . I have tried most of it recipes but mkate wa sinia ilini bwaga Mara tatu 🤣
Thank you so much for your support, mkate wa sinia huwa uko tricky sana haki, hata mm wakati mwengine hunibwaga. Najua ni hapo wakati wasaga tu ndio ukikosea waaribika, jaribu ku soak mchele 2 days maybe itakua easy kwako.
If you would like to watch this video in the English language 👉ua-cam.com/video/_tlljqwHpXM/v-deo.html
Upo vizuri napenda usafi wako na upishi wako pia Mungu barikiwa Sana mama la mama😘
Ameen. Shukran sana
Asante sana dada Kwa recipe hii ya mishkaki. Frying pan ni nonstick au frypan yeyote tu unaweza tumia
Yoyote inaeza dear. Karibu sana
MashaAllah MashaAllah habbty hy idea yakuchoma napan yn daahh hongera
Shukran sana
Aki si umenitamanisha mishkaki😋😋 they look so yummy
🤣🤣🤣pole sana mpenzi
Tajiri hunaga bayaa nimekula kwa macho Wallahy😂😂😂
🤣🤣🤣Shukran na pole
Mwanangu anacheza ngoma zote tumboni baada ya kuona hii video 😋😋😋
🤣🤣🤣Mwambie atulie
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 sio kwa utamu huo 😂😂
Easy and amazing recipe, can't wait to try this 😋👌
Abundant ly it looks above a table urs most consequently J
Thank you
Mashallah tamu plse naomba tuletee mkate wa nazi shukran
Shukran sana, insha'Allah nitaleta
Safii Sanaa!! Naipenda post zako ty dear Tajiris kichen I'm pleased n happy watching ur channel from Tanga Tanzania
Asante sana ndugu yangu. Na salimia jamaa za Tanga sana, waambie nawapenda wote.
Walkumsallam wa rahmatullahi wabarakatuhu my love 😍 💞 Ishallah nta penda tupike wotee 💖
Ameen insha'Allah 🥰
Mmmmmhhhhhh mashaallah nitajaribu maana sio kwamate hayo yalio nitoka
🤣🤣🤣Pole sana na utaipenda
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 kama umekosa lemon sinaweza weka vinegar
@@AishaAli-lk7gh Ndio na pia sio lazima .
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 asante sana my dear
Salam alekum mashaallah ❤
Asante kwa mapishi mazuri always
Karibu sana dear
Ume onja sana bana 😂😂😂😂😂 mashallah
Hii nimependa safi kabisaa😋👍
Asante sana😊
nice
😮wow mashaallah
asante sana wafunza vizuri.
Shukran sana dear
Mashallah new subscriber here, I really like the way you cook I watched some of your videos too but this one leaved me no option but to comment on it yama choma is my favorite dish and I thank you again for making this video I am learning a lot from you 🇸🇴🇰🇪🇺🇸👍❤️
Your welcome my dear, thanks for support 😘
Wow this Soo delicious,makes me want to have this Right now
Thank you so much for your support hun, will send you some through UPS 🙈
Nice one, Ma Shaa Allah
Shukran
Nyama kilo moja, chumvi kiasi kitunguu swaum na Tangawizi 1 tbsp, garam masala 1 tsp, pili pili manga 1tsp, manjano 1 tspn, na chili flakes 1 tspn, limau kipande
Hi Tajili,talent ly,ian the happiuest to get of ur information of mishikaju sweetly, urs most sincerely H
Thank you so much for your support, really appreciate.
Waooo wantamanishaa
🤣🤣🤣😋
Salam alekum vp Hali yako mshaàllah
Waaleikum musalam Alhamdhulilah
Mashallah ❤❤❤
Would appreciate English version too. Looks yummy.🙏🏽
Thank you so much 😊
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 please do an English version if possible sis 💕💕💕 food looks beautiful!
Melanin candy. This one ua-cam.com/video/_tlljqwHpXM/v-deo.html
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 shukran my sister 💕💕making this tomorrow!!
😋 yummy...this i must try.
mashaallah ❤
MashaAllah jazakilllah sister
Ameen kwa sote 😘
Yummy mashaallah sis😜
Thank you sister 😘
Best open in uk
It looks so tasty. Masha allah
maashaallah nice sana
Shukran sana 😋
Woow mate yanidondoka
😋
Asante sana
MashaAllah looks so tests
Thank you
Perfect kitchen
Mashallah nice..Yummy
Shukran
Salàm alekum mashallaah
This is easy to do!!!
Ooh yeah
MarshaAllah ❤️❤️
Mm naitaji namba kwa dalasa zaidi
Nice one!
Thank you
Your cooking recipe are always on point keep up . Kwanza where are u located would love to visit and get more teachings if you dont mind
Thank you so much for your support, really appreciate. Locate in the USA
Kumbe ulitutoroka 😝😝..waiting for more and more
Allow me to ask here about biriani..what makes the rojo delicious?? What is a must have ?
@@stanleyotieno5557 The spices, just follow the exact recipe and you will see.
@@stanleyotieno5557 Yeah 🙈
mashaalah nnatamani sana
Pika sasa🙈
Yatamanisha... Mate jamani yanidondokaaaaaa.
Shukran sana
Looks good. Can’t wait to try this recipe!! What type of beef did you use for instants, sirloin or ribeye steaks?
Thank you so much for your support, I normally used both of that.
Hyo njano ni ile rangi ya cha kula au
Turmeric
Hapana hii ni turmeric kama kiswahili huifahamu
Vijiti vinapatikana wapi
Maduka ya vyakula
😋😋😋😋😋😋
Oh my lord. Looks so tasty! Please send me some here in Canada! :D
Will do asap 🤣🤣🤣 Thanks for watching
This looks amazing, what ingredients were used for the sauce please 😀
Thank you so much, ok will send the video asap.
Antonia Katula. ua-cam.com/video/QPvaiRdjV6E/v-deo.html
Nicely 5o talk by u urs most reliably H
😍😍😍
Excellent ly to hear from by it officially urs most ly J
Thank you
Nakukubal Sana Dada angu
Mimi nakupenda zaidi
na huku msa kuna mahali waenza funza mtu akitaka kuona vyenye wapika.
Sipo Msa niko USA
Salam alekum
2:33
Shukrani
Karibu
Zapendeza sana
Asante sana
Thank you my friend 👏
Most welcome
mitamu
Nahitaji somo lako
Ndio hilo sasa🙈
Hello
Your recipes are amazing 😋😋😋 I had to subscribe today am tired of following you from a distance . I have tried most of it recipes but mkate wa sinia ilini bwaga Mara tatu 🤣
Thank you so much for your support, mkate wa sinia huwa uko tricky sana haki, hata mm wakati mwengine hunibwaga. Najua ni hapo wakati wasaga tu ndio ukikosea waaribika, jaribu ku soak mchele 2 days maybe itakua easy kwako.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 thanks dea I will keep on trying mpaka niwe perfect
Pambeee
😂🤣🤣Kabisa
Salam alekum mashaallah ❤
Mm naitaji namba kwa dalasa zaidi
Sina darasa