BIMA YA AFYA YAZUA TAHARUKI, MKURUGENZI AJITOKEZA KUJIBU HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @sweetiemimiy9416
    @sweetiemimiy9416 Рік тому +6

    Shida iliyopo ni hawa watoto chini ya miaka 5 ambao bado hawajaanza shule. Kusema waandikishwe bima za wazazi. 612,000 mtu anaitoa wapi kama 50,400 ilikuwa shida. Na kusema watatibiwa hospital za Serikali bure. Uko mahospitalini tuliamua kueka bima ili kuepusha kero usumbufu na matatizo yaliyopo. Unaenda foleni ya Dr masaa 4 bado vipimo hapo bado dawa unaambiwa nenda pharmacy nje kanunue. Waboreshe sawa Ila hili kundi kwanza ndio kundi lenye kipindi Cha mtoto kuumwa Mara kwa Mara. Sasa kuliondoa kwenye bima nikusema tuzike watoto wapungue.

  • @Kidia-yt3bm
    @Kidia-yt3bm Рік тому +7

    Madhara ya kuuwa hii bima ya toto afya vifo vya watoto vitaongezeka,mkurugenzi kama Nia Yako ni kuwafikia waTanzania wengi zaidi kwa nini unaiuwa hii package ya toto afya ambayo imesheheni watoto zaidi ya laki 2?kwa wale wenye makampuni ya bima binafsi fursa hiyo anzisheni package hiyo 54,000*200,000=Billion zaidi ya kumi na watoto wote hawataugua fursa hiyo,mkurugenzi umechemsha

  • @amanisharutiely5535
    @amanisharutiely5535 Рік тому

    Naomba mimi pekeangu mniangalie kwajicho la karibu niendelee kuwalipia watoto wangu kama awali tafadhali

  • @rehemajuma2202
    @rehemajuma2202 Рік тому +3

    Bima ni kero sn,unakuwa mwanachama huna make au mume labda walishafariki,huna wtt wadogo unabaki peke yako tu unakatwa hela kibao wakati mwingine ndo unawajukuu hali mbaya wazazinwao jawna uwezo bado hawtaki uwakatie bima,wakubwa walipoona wakwe zao wanawapa gharama za matibabu wameruhusu wakwe waingia nchi mbaya sn hii yaani bima ninshida,bima za vifurushi ndonwizi hatari huduma nyingi unalipia tu hela

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 Рік тому

    Nimewaelewa sana labda kama mtu ujasikiza vizuri lakin mwanzo hata mi nilipinga

  • @loishiyemollel8071
    @loishiyemollel8071 Рік тому +2

    Vipi kuhusu wazee na watotk chini ya miaka mitano ?

  • @graceanasolomon665
    @graceanasolomon665 Рік тому +2

    Iv mnajua kama kuna masingle na wananchi wahali yachini wangapiiiii uku mtaani ? Aisee hiinchii puuuh

  • @abeljohnkassanga1415
    @abeljohnkassanga1415 Рік тому

    Lakini hata hawa wa miaka 0-6 nao wangekubalika kuhudumiwa.

  • @evedianasaile4772
    @evedianasaile4772 Рік тому +1

    Atutaki jamaniiii mbona mpo ivo mamasamia angalia wajukuuzako jamani tanzania ya mchongo🧐🧐

  • @atifdullar6332
    @atifdullar6332 Рік тому +2

    Kuna Watu hawana uwezo wa hizo laki 3

  • @edsonjoseph5383
    @edsonjoseph5383 Рік тому

    50400 ilikuwa n shughul kulipa na kund hili la watoto chin ya miaka 5 ndio wanaougua mara kwa mara na ndio mnatoa bima ya mtoto hii kamat inatakiwa ijitafakar na ikae tena chin hapo kuondoa bima hiyo kwa watoto wa chin ya miaka 5 ndio kutachochea kuongezeka kwa vifo vya hao watoto jaman na kingine hii kuiondoa 50400 mmeangalia maisha halis ya mtanzania jaman

  • @apazmunisi2133
    @apazmunisi2133 Рік тому

    uwiiiii Tz mnatupeleka wap jmn? pamoja na kuungwa watt kwa pamoja mashuleni basi ruhusuni mtt mmojammoja pia aweze kujiunga

  • @rodaananias6541
    @rodaananias6541 Рік тому

    Kwahy kama mm siwez lipa bima yangu, mlichokifanya sio vizur kabisa, acha tuendelee kuteseka vyenye mwanzo havikos mwisho,. Nyie viongozi tambuen kuwa wengine ss hatujiwez kilipia kama familia ndio maana tunalipa ya wott, ila kama mumeamua hivyo, naiman watoto wenu ndio watakuwa na bima ila sis masikin acha tuzidi kuteseka

  • @emanuelmaro875
    @emanuelmaro875 Рік тому +2

    Sisemi chochote cz yamenikuta,,, hospital za serikali hakuna dawa, utaambulia panado,

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Рік тому

    Kwani Kuna ulazima Gani wa kukusanya watu kwenye makundi? Acheni mawazo ya kuvuna hela kupitia bima

  • @mauaabdulrahman6272
    @mauaabdulrahman6272 Рік тому

    Mi sjaelewa jamani naomba kueleweshwa Ina maana Sasa hivi mtoto wa miaka 10 kumfungulia bima ya 50400 hawakubali mpaka akasajiliwe shule au?

  • @tolutolu2970
    @tolutolu2970 Рік тому

    Kiukweli hii bima aiji kutusaidia. Na munahisi sisi wote ni waajiliwa

  • @kiluwaselemani4246
    @kiluwaselemani4246 Рік тому

    Kwa galama gani inamaana tunalipaje.

  • @norascomulenzi222
    @norascomulenzi222 Рік тому +1

    Gharama ziko juu bhana hata , Azishawishi watu kujiunga na mashariti yao kibao

    • @mohamedsaid2882
      @mohamedsaid2882 Рік тому

      Ndugu hamna mtu ananufaika na maisha yako wakwanza zaidi yako menyewe hii sio lazima

  • @andrewmziray1535
    @andrewmziray1535 Рік тому

    Hakuna nia njema hapo usumbufu huduma zenyewe mbovu

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Рік тому

    Kwenye hili serikalini in mefanya ukatili kwa watoto, na madhara yake yatakua makubwa

    • @kiluwaselemani4246
      @kiluwaselemani4246 Рік тому

      Nakuunga mkono Victor Jems maana nia yao sijui nn wanatuibia nina sh ngapi za kugawa kwa bima ya kila mtoto

  • @emmanuelchiza7733
    @emmanuelchiza7733 Рік тому

    Bima ya afya ni usumbufu tu mkurugezi asema lengo ni kutunisha mfuko NHIF na nssf zipo kwaajili ya unyonyaji tu

  • @emmanuelchiza7733
    @emmanuelchiza7733 Рік тому +1

    Ulisema tutakukumbuka kwa mazuri wala sio mabaya, ona sasa watoto wadogo wasio kuwa na hatia wanataka kuwauwa kwa kuwanyima bima ya matibabu toto afya iliyo ianzusha wewe baba JPM

  • @frankkimaro3477
    @frankkimaro3477 Рік тому

    Kiukweli Mimi binafsi naamini ukiwa nabima ukaugua ukaenda hospitali zetu utakufa,ila kama unae ela kesh umepona.iyo bima ni yauduma ya daktar,dawa je? Ni lazima ukanunue.

  • @loishiyemollel8071
    @loishiyemollel8071 Рік тому +1

    Unakwenda hosp na bima ya afya ,ukiwa unaumwa ,magonjwa zaidi ya tatu ,unapewa paracetamol ,kafe mbele

    • @tabletennis6296
      @tabletennis6296 Рік тому

      Ni kweli na tatixo hili ni kwa bima hii tu ya NHIF bima nyengine unapatiwa kila kitu

    • @yusufismail3116
      @yusufismail3116 Рік тому

      Tatizo sio bima bali ni hospitali uliyokwenda kupata huduma.

    • @tabletennis6296
      @tabletennis6296 Рік тому

      @@yusufismail3116 mbona kama unatumia britam au stragies unapata huduma zote zilizopo hospital hapo?

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 Рік тому

    Nimewaelewa sana labda kama mtu ujasikiza vizuri lakin mwanzo hata mi nilipinga