Wazee Yanga Wampeleka Eng:Hersi Mahakamani Na Kushinda Kesi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imetoa amri ya kuachia ngazi kwa Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake na kuondoka klabuni hapo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.
    mi
    Inaelezwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi la Wazee wachache waliowahi kuwa Wazee wa klabu hiyo kipindi cha nyuma kupeleka mashitaka Mahakamani likidai uwepo wa Viongozi wa sasa wa Yanga Sc ni batili na haujafuata Katiba ya Club hiyo.
    Kutokana na Wazee hao kushinda kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inamaana kuwa Rais wa Yanga Injinia Hersi na Viongozi wenzake wanatakiwa kuachia ngazi na kukabidhi Ofisi kuanzia sasa.
    Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne (hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club hiyo.
    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imetoa amri ya kuachia ngazi kwa Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake na kuondoka klabuni hapo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.
    Inaelezwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi la Wazee wachache waliowahi kuwa Wazee wa klabu hiyo kipindi cha nyuma kupeleka mashitaka Mahakamani likidai uwepo wa Viongozi wa sasa wa Yanga Sc ni batili na haujafuata Katiba ya Club hiyo.
    Kutokana na Wazee hao kushinda kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inamaana kuwa Rais wa Yanga Injinia Hersi na Viongozi wenzake wanatakiwa kuachia ngazi na kukabidhi Ofisi kuanzia sasa.
    Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne (hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club
    #yangasc #simbasc #simbasctanzania #simbatanzania #yanganasimba #yangatv #yanga #yanganaazam #yangalive #yangalife #yangascmedia #ligikuu #ligikuutanzania #ligikuutv #ligikuutanzaniabara #ligikuuyanbc #ligikuunbc #ligikuubara

КОМЕНТАРІ • 2