niliumia Sana ulivyo kuwa ktk wakati mgumu lkn sasa nafarijika kama umepaona ulipo jikwaa na kusimama na kujipangusa vumbi na kuamua kusonga mbele Asante kwa wote walio msaidia na kusimama tena,
safi ray c umeongea maneno ya maana Sana Tena nawe pia roho safi umemuelezea diamond mashallah bila chuki walahi mngu akuongoze nawe pia upate zaidi maisha mema
Piga kazi Ray C kuolewa siyo lazima au fasheni wanavyofanya wengine siku hizi. Usiangalie hayo kamwe watakutumbukiza, kumbuka anaefurahia mafanikio yako ni mama yako tu au niseme wazazi wako. Mungu kwanza, kazi sana.
Ray C kumbe unauelewa mkubwa sn,bifsi nashukuru kuelewa umuhimu wa Diamond kwenye mziki,wenzio wanashindwa kumpa heshima yk kwasbb ya chuki,fitina majungu,visilani nakumfanya Cmba chochote,nakuvunja moja,ikiwa wao hawana historia yyt kwny mziki Solute Ray C.
Yaani nimerizika kwa majibu yako kwa sababu sikujuwa kuwa unaweza jibu kama umejibu na kwa kubuali kizazi kipya, kweli vijana wana chapa kazi na wa mawazo marefu sana😅nime comenti kutoka Congo/uvira kama ningelikuwa na uwezo basi ningelimuunga msani wangu aje afanye mziki Tanzanie alafu arudi tena!
Wewe rayc naona una akili unajua kuwa kupigana ndio kupata,mfano huo wa diamond Ni kweli anapigana ndo maana anapata,wenye wivu utasikia eti Freemason,waache waendelee kulalamika,mwenzao halali wenyewe kutwa wanaongea na muwazia maovu,
I think for u every time my ray-c .endapo uko kwenye game nda zidi kuwa mshabiki wako.i'm Christian from Congo Goma city
moja rayc nimekubal imemkumbuka mungu pili hujaficha ukwel kuhusu diamond
niliumia Sana ulivyo kuwa ktk wakati mgumu lkn sasa nafarijika kama umepaona ulipo jikwaa na kusimama na kujipangusa vumbi na kuamua kusonga mbele Asante kwa wote walio msaidia na kusimama tena,
Hapo ray c umeongea vizuri kuhusu mondi ndiyo Mana wasanii wengine wanaona wivu wamebaki tu kunugunika
Nilikuwa bado sija kufahamu lakini kwa hii,point ni kweli kabisa.Diamond Platinum, kweli nimufanya biashara mkali,Ray C,daaaaaaa
uyo.Dogo namkabali sana nitangazaji mzr Sana anakipaji na. pia maswali yke anajua kuoji vzr kazi nzr Sana dada c safi Sana unawapa nguvu vijana
Ray C we miss you from Kenya come back gal
umeongea vzur hujakosea ray c hata kidogo safi kabisa m/mungu akuongoze my sweet, luv u ray mmmwaaaa.
Beautiful gal, thank God u are back.Wala usibanduke! Endelea kutoa vibao motomoto.
Mungu aendelee kukuimarisha Ray C. Endelea kumtumaini na kumtegemea
wow nakukubali sana ray c mungu akubarik na upigane kufanya kazi nzur penda sana my dada more
Nakupenda sana ray c Mimi pia nakuja huko najifunza mengi kutoka kwako napenda ngoma zako pia
nakukubari Ray c.nakupenda sana pia napenda kazi zako.nakumbuka nyimbo yako ile uko wapi nikufate
love sn Ray c mungu akulinde mamy piga kazi mungu yupo usikate tamaa
Hongera dada may God bless you . A lovly testimony for change
Jamani unga m.baya yaani huwezi amini huyu dada alivo kua lkn Alla amvue yeye na vizazi vyetu ishallah
Interesting interview, big up dada RayC, keep it up Madam!
This interview has made me love u so much ray c ur so smart nd straight shooter u talk the truth
safi ray c umeongea maneno ya maana Sana Tena nawe pia roho safi umemuelezea diamond mashallah bila chuki walahi mngu akuongoze nawe pia upate zaidi maisha mema
vizuri sana umetupa mfano mzuri na Meno yenye kutujenga tuwache wivu na tuwe roho safi sana
swadakta
bigap sana Ric
Piga kazi Ray C kuolewa siyo lazima au fasheni wanavyofanya wengine siku hizi. Usiangalie hayo kamwe watakutumbukiza, kumbuka anaefurahia mafanikio yako ni mama yako tu au niseme wazazi wako. Mungu kwanza, kazi sana.
I love you Ray C u talk real.. hauna wala wivu ..penda sana wewe
Ray C kumbe unauelewa mkubwa sn,bifsi nashukuru kuelewa umuhimu wa Diamond kwenye mziki,wenzio wanashindwa kumpa heshima yk kwasbb ya chuki,fitina majungu,visilani nakumfanya Cmba chochote,nakuvunja moja,ikiwa wao hawana historia yyt kwny mziki Solute Ray C.
I miss you ray c...ni mpenzi wangu.
Wow don't give up sweetheart, we love you
Have always, i'm still and will always be your biggest fun.and i'm happy how God is working in your again after going through such a hard time
Ndicho nachokuombea diku zote ray c.
Unajua yakuwa nakupenda sana mamy
Love you 💞 Ray c wish you all the best sweetheart
nikweli sashivi watu tuwe na hasila na maisha nakupenda sana dadyetu
Questions perfectly answered. Much love Ray C
duh kweli MUNGU wetu amekubadilisha kabisa Dada yetu na hakika utafika mbali
Ray c kwa kweli ni mzuri sana
She Is humble(humbled), maybe something had to happen..! God works in mysterious ways
Mungu akusaidie ufanye vizuri kwa awamu nyingine hii tunakuamini
Nakupenda sn rayc keep it up mungu akubariki
wow ray c unanipa moyo kichizi
Yaani M/mungu mkubwa dugu akuvue tena nailobalaa alilokuvua ili uendelee na kazi
We miss u Rayc come back our gal
love you Rayc, uko vzuriiiii
kati ya wasanii wazuri ninaowakubali tukiachana na Mondi baba Tifa aka Chibu, ni wewe na Saida karoli, mpo vizuri sanaaaa,
Nimeikubari iyo unanimaliza Reyc upon juu sana
nakupenda saana rayc ukiwa na show yeyote ntajichanga mpaka nije
nakupenda sana mdada piga kazi
Unga ilitaka kukuharibu ijapo kuwa una akili safi Ray C,well said👏👏👏
big up ray God bless you 🙏
,ray c nakupenda sana
Kumbe huyo mdada mswahili kabisa, amazing
Nimekupenda unajitambua RayC
Naona wewe ujui tena muziki, ujui wasanii walio itangaza tz. Wewe ni diamond tu
asante sana #RayC mungu akusimamie tunakupenda Sana dada etu
Hassanova junior mungu amsimamie Kwa music??
Rehema Alu...Shangaa ww
Safi sana mdada Mungu akubariki sana.
Ray c unaongea sana una maelezo mengi kushinda maswali
Mungu akuinuwe tena dada
mazee na kuombea Kila la kheri ray c usirudi tena nyuma kabisa
Good news my sister ray c love you so much
my number one I beg zaa mtoto ray c...huo urembo wako, macho yako uyaache duniani siku moja ukitangulia mbele za haki
Amina Suleiman hapo umeongea Dada maisha tunapita jamani
Amina Suleiman h
nice
James Chamoto55
yani ray c unanifirahisha...a very honest opinion
Duuuh dada yangu yako nimekubali majibu yako!
Love u mingi ray c umeongea poa sana
Dada hongera you are not selfish
mungu akubariki sana ray c
nakkbali sana ray c
we ndo kboko yao
ray c wew mzuri San nakupndaaa
Nimekubali xana alichosemaa dada yetu kwamba mond ndiye kafunguwa njia hamna ubixhii n ukweliii wenye point
Tumuombee asahau unga kabisa
umeongea vizuri sana ray c.
umeongea kwl kbc ila kuna miji2 hapa bongo ni roho mbaya 2 ila wataerewa 2 mond and wcb fire fire
Yes, sister kaza buti urud kama zaman nakuomba my sister
kweliii kabisa nimependa alichokiongea ray c
Like my eyes👌I love u
love u ray c
Ray c nakupenda
mungu akujaalie ray c
Uko vizuri ray c
WW unaongea vizuri diamond anajituma sana ndomana kafanikiwa wenye wivu wanasikia vibaya kwa ajili yake eti ni freemason
dats real our Legendary c6
Uko vizuri dada unaongea kweli
nakupenda xna ray c sanaaaa
nikweli kabisa mondi katufikisha mbali sana kimuziki katoa changamoti kubwa sana
Sis ray c uko vzury
Nakupenda sana mdada
Good Ray. C
nakupenda dada ryc
pendasanaaa Dada 🙋🙌🙋🙋🙌
Nakupenda Sana dada
jamaaa upo vizuri sanaa
god bless u my friend
Are we just gonna ignore the fact that interviewwer is very cute??
love u sanaaa
Yaani nimerizika kwa majibu yako kwa sababu sikujuwa kuwa unaweza jibu kama umejibu na kwa kubuali kizazi kipya, kweli vijana wana chapa kazi na wa mawazo marefu sana😅nime comenti kutoka Congo/uvira kama ningelikuwa na uwezo basi ningelimuunga msani wangu aje afanye mziki Tanzanie alafu arudi tena!
hongera
Saf sana ray c,
adili mwadilifu hapo sawa
Saaaafiiii ray C in simbaaaa
Ukosawa rc hongeraaa
respect my sister
you are beautiful nakupendana sana na yimbo yako yote
love you
uko sawa
nooma sana rayc
ray c penda sana wwe
Wewe rayc naona una akili unajua kuwa kupigana ndio kupata,mfano huo wa diamond Ni kweli anapigana ndo maana anapata,wenye wivu utasikia eti Freemason,waache waendelee kulalamika,mwenzao halali wenyewe kutwa wanaongea na muwazia maovu,
😥😥😥mm nalianga sipendi mtu amuingilie diamond namjua aliko tukea 😫😫kapambana Sana Baba tee muacheni ale Raha zake
we love u
ray c safi sana