Ww msanii unajitambua san na toka umeanza kuimba mpk sasa hujawahi kuvaa kipini wala kikuku yani msanii bora hadhi yake haishuka nakukubali Ay wape semina webzako wanaoweka makalio wazi alaf ni watoto wa kiume je tuwaeleweje na vikuku kuvaa.hongera sana kaka
Nataman Siku nikuw mkubwa niwe kama wew mwana muzik bora usie toka kwa kiki za piki piki 😂tz ingeliku na watu 10 kama wew na king Kiba haki ya mama Tz ingekuw bora zaidi Big Up san AY 🙏🙏🙏🙏🙏
One of the few musicians we have in Tanzania talented and very bright, this is the legend wacha wale wakunywa pombe za kienyeji bado wanajiita ma legend
Mbona wasanii wakisasa wasige watu km kina Ay no scandle no kujidai no kiki mavazi ya heshima maneno yakukoma ila kina fulani juzii tu kwenywe game na wako kwenywe mitandao na kiki na scandle punguzeni ma role model ni km hawa nakina professa jay big up to u people
Naomba kuuliza jamaa amesema yy ni mkaz wa marekani akimaanisha ni amechukua uraia wa marekani ambayo inakubali dual citizeniship wakat huo huo yy ni raia wa Tanzania ambayo haikubali dual citizenship imekaaje iyo? Ina maanisha jamaa ana passport ya marekani na Tanzania wakat mmoja kwa apa bongo inaruhusiwa??
Iko permanent resident, yani anaruhusiwa ku ishi marekani, alakini bado hajapata citizenship. Kama uko permanent resident unapewa green card. Na hiyo green card unaweza nunua nyumba uko, kuna ma advantages nyingi, alakini hauwezi piga kura. Ukisha pata ile green card, ukitaka pata citizenship na passport ya uko, ita chukuwa miaka tano, ao ukiowa mmarekani inachukuwa miaka tatu
Mtu yeyote anawezakua mjasiliamali kokote duniani. Haijalishi anakoisha as long as analipa ushuru mwisho wa mwaka. Hongera sana Kaka AY na familia. Nialike housewarming I'm in LA 🙈
@ackson shadrack i dint go to school my dear so stop torturing yourself ooh ati my grammar 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 hapa sio shule. Kama ulisoma shukuru sio kutusi wenzako
Mwandishi ungemuuliza,anaposema kuwa ana permanent residence kule je amepewa uraia? Ukiwa mwandishi lazma uulize maswali ya wasikilizaji wako sio maswali yako. Dogo leo umeniangusha.
Acheni ushamba nyinyi Music Entertainment, sio kwamba na mchukia AY No sema napenda kuwapa somo wa africa ambao wapo nyuma kidogo msimsifie mtu kwakua wabongo wengi atupendi mafanikio kuyatangaza cz roho zinauma wengi wetu atuna bro @Ay tangaza mafanikio yako ikiwezekana jirbe lps kabisa ili huwe star duniani No entertainment hakuna ustar.. 😜🇩🇪
Sasa we Diamond kaa apa bongo ukiwadharau waliokunyanyua ukajiona umeshinda na wew ndo wee. Mwenzio uyo apo mjengo marekan na still the same hana majivuno wala kashifa mbaya as u unaeona ushaushinda ulimwengu
Watu mnacoment kwa akili za kuku sana,hivi wakati Ay anaanza sanaa au anawika kulikuwa na social network? Music wa sasa unataka uwe ulivyo kwa sababu ya globalizeshen achen akili mgando,hapa yenyewe mnaangalia hii interview kupitia youtube na sio redio au tv,amken nyie kupitia mitandao ndio biashara ya music ilipo sasa! Ay ingekuwa ni kipindi hichi cha globalizeshen wakati anatoka na Aman wa kenya tungejua vyote! Sasa msiseme wana privacy hao hawakukuta mitandao waliishi kwenye casset na redio
Charlie Junior Bila shaka unaielewa vizuri hisoria ya AY, je alianza biashara ya mziki lini na mitandao ya kijamii (social media) ilianza lini. Elewa kuwa na mwenza kama Aman siyo scandal ni hitaji la kimaumbile. Issue tabia, maadili na mwenendo wa mtu jamii inauchukuliaje?
@@kingswebe3251 hakuna aliewah kujitangaza yeye ni bora labda umtangaze wewe! Kinachofanya mtu awe mkubwa na aonekane yeye ni zaidi ya wengine ni mafanikio,mafanikio ya music yanajengwa na tuzo,shows,viewers,brand na kukubalika! Sasa mimi na wewe nani bwege bwana swebe? Wewe akili zako ziko kwenye makalio! Halafu nikusaidie tuu maisha ya sasa ya sanaa ya music 75% pato lake ni social network so hawa akina Ay kama hamuoni scandal au mambo yao ni kwa sababu wao waliwika kipindi cha analojia
@@sylvesterkameo5412 alianza saa kwenye miaka ya 2000 baadae akawika kwenye kundi la east coast team,sasa kipindi hicho kulikuwa na facebook,istagram au mtandao wowote? Leo watu wanajua chidi ni mwathirika wa unga kupitia social network,leo watu wanajua maisha ya akina daz nundaz kupitia social networks! Hebu turudi kwenye mfumo wa tape uone kama tutajua tabia na maisha ya wasanii
Huyu sio mtu wa majivuno kama wengine na ana mafanikio makubwa sana,,,,Hongera sana kaka you are my role model!!!!
Mnyakyusa wa kwanza hasiyependa kujisifia, much luv legendary
Ww msanii unajitambua san na toka umeanza kuimba mpk sasa hujawahi kuvaa kipini wala kikuku yani msanii bora hadhi yake haishuka nakukubali Ay wape semina webzako wanaoweka makalio wazi alaf ni watoto wa kiume je tuwaeleweje na vikuku kuvaa.hongera sana kaka
Ay be my king of hip hop and my role model
Hawa ndo vioo vya jamii sasa. Ay, Mwana FA na Prof J. Very reserved, decent and selfless.
Uko vizuri sana,, shavu mzigo kweli duniani hakuna mwembamba..
*AMBWENE YESAYA* nakukubali sana brother
AY hujawahi kunikera aise,thanks brother!!!
kama unamkubali ambwene yesaya.. gonga like
Hamna star yoyote wa mzki na filamu dunian nnaemkubali kama Ay
Nakupenda Sana Brooh A to the Y
Ila we unajielewa sana bro big up
Malez ya mama zao ndio maam wapo hiv
KENYA tunakukubali AY.Salute kwako
Jmn mbon me hamlike koment zang
Acha kunichekesha unataka like? Utazipata usijali...
Weka kiki zako alafu tuku comment
baraka sylvester sawa tutalike usijali
Respect kwako Ay
@@fratemushi vp
Yatakikana kuwe na tuzo za wasanii wanaojiheshimu na wasio na kiki kama hawa, hongera sana AY
Huyu ndo star,hana kujionyesha km hawa wa ma star wa sasa
Salehali Saleh hawa wa sasa miaka 5 ijayo mziki wao utakua husikiki
Salehali Saleh star ,a icon
Fateni nyayo za Ay ni mstaarabu na hana majivuno na maringo na kujivuna, Allah akuweke broo
kwaiyo mnamaanisha mondi anajivu?
Sasa Mondi si mtu wa sifa za kijinga.
Mungu mbeya kaibarik kwa kila kitu kamtoa ay .saiz tupo mbion na reyvan.... Mungu akubarik .sana ila lud nyumban broo mbeya wamekumis
Hongera san familia yamisifa iige kwako kweli ww unapesa
Nataman Siku nikuw mkubwa niwe kama wew mwana muzik bora usie toka kwa kiki za piki piki 😂tz ingeliku na watu 10 kama wew na king Kiba haki ya mama Tz ingekuw bora zaidi Big Up san AY 🙏🙏🙏🙏🙏
Queen Salma hana majivuno,Msiri,anamiliki nyumba marekani ,hapa wakina Fulani ingekuwa big deal,kiki
@@rosemaiko9405 wacha tu best safari tu yakwenda huko wanafanya matangazo kama wanakwend pepon 😂
Nakukubar sana AY wewe ni tajir lakin hauna majivuno mzee wa Commercial
Ay ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nakukubali sana ..... Wale wenzangu umeona nn nyuma ya Ay
One of the few musicians we have in Tanzania talented and very bright, this is the legend wacha wale wakunywa pombe za kienyeji bado wanajiita ma legend
Hatari sana G baba hauna majivuno c kama wale kina yakhe big up bro
The guy inspire me a lot
The realist person 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Brother mwenye heshima yake kwenye hili game shikamooo.
Me nakuelewa sana kaka unaheshima yako kwakweli hujickii kiukweli me nakupenda mungu aendelekukusimamia
Mbona wasanii wakisasa wasige watu km kina Ay no scandle no kujidai no kiki mavazi ya heshima maneno yakukoma ila kina fulani juzii tu kwenywe game na wako kwenywe mitandao na kiki na scandle punguzeni ma role model ni km hawa nakina professa jay big up to u people
Ukisha pata basi tena dunia yote yako.anajiheshimu sana jirani yangu huyu
@@m.mmarckus6298 mungu atamlinda na ampe kizazi chema inshaallah na awe jirani mwenywe manufaa kwenu mtaani
Siyo jirani yangu kimtaa ni mkoa kati ya Mbeya na Iringa
@@m.mmarckus6298 okey but we all pray for the best to him he is so respectfull
@@mamadoublem353 powa
Namukubal xn bro AY hana Kiki
ay uko vzr my kaka mungu azidi kukuongoza wewe na wasanii wenye tabia njema km yk haswa wa zamani
Miongon mwa watu makin na wanaofaa kuigwa bro nakupa no 1..like kama tuko wte mdau
Nimekuelewa AY uko vizuri
binafsi namuelewa sana AY
Nakukubali Ay ...
Hongera kaka muzk n safar na umefika mbali.
Huyu ndo jz Wa tz
Ila hawa wasanii wazaman walikuwa poa san ila wa sikuhiz sijui wanajikuta heshim zao mbov tu 😂😂😂😂😂
Faidha Myovela Hamna lolote wapo tu kushindana wala si kutengeneza mziki
Faidha Myovela sana
Hawa ndo wanamziki wanajua kipi wanafanya sio kutwa kushindana eti unafanya ili umkomoe fulana yaani jaman. Big up wasani wa zaman mnajielewa mnooo.
Ay ana pesa
Now anafanya mziki kama entertainment tu.
Iko
Ebby Ramadhani ndio maana yake
aisee Ambwene, comments karibia zote vijana wanakupa mashavu. umetisha.
sawa kk nakukubali san ww so mt wa matangazo nakuelewa san piga kimy kimy maisha yanaenda
Heshima kwako bro unafaa kuigwa we ni kimya kimya
Unajielewa sana bro.unajiheshimu sana.huna scandle
appreciate dat much bro
Ongera sana kaka Ay
Yesayaaa
Uko vyema sana big up
LEGENDARY
Yukogo mbali na skendo
Love you broo
heshima yako mkuuuu
Congratulations broo
Naomba kuuliza jamaa amesema yy ni mkaz wa marekani akimaanisha ni amechukua uraia wa marekani ambayo inakubali dual citizeniship wakat huo huo yy ni raia wa Tanzania ambayo haikubali dual citizenship imekaaje iyo? Ina maanisha jamaa ana passport ya marekani na Tanzania wakat mmoja kwa apa bongo inaruhusiwa??
Keneth Adonia Swali zuri.
Inaruhusiwa
Iko permanent resident, yani anaruhusiwa ku ishi marekani, alakini bado hajapata citizenship. Kama uko permanent resident unapewa green card. Na hiyo green card unaweza nunua nyumba uko, kuna ma advantages nyingi, alakini hauwezi piga kura. Ukisha pata ile green card, ukitaka pata citizenship na passport ya uko, ita chukuwa miaka tano, ao ukiowa mmarekani inachukuwa miaka tatu
Mtu yeyote anawezakua mjasiliamali kokote duniani. Haijalishi anakoisha as long as analipa ushuru mwisho wa mwaka.
Hongera sana Kaka AY na familia.
Nialike housewarming I'm in LA 🙈
Ay 🔥🔥
Major moves kaka mkubwa salute
good brother, sio unanunua nyumba unaanz hii nimemnunulia mama, sisi inatuhusu nini, jibu sahihi kabisa mipango yangu mwenyew.
Kamnunulia mama yeye Kenda kupanga alivyokuwa na akili nyingi.
If there's one true guy n learned in TZ is AY n his frnd mwana FA #downtoearth kujielewa/kujitambua mmmh i like his style
Just use swahili. Poor grammar
@@acksonshadrack8616 wew kiboko 🤣🤣🤣✋
@ackson shadrack i dint go to school my dear so stop torturing yourself ooh ati my grammar 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 hapa sio shule. Kama ulisoma shukuru sio kutusi wenzako
Vijitu vingine bhana vinajielewa kinoma,lione kwanza 😅😅😅
nakupenda sana kaka
Ngoma nikamsake nmdai ngoma huyu jmaaaa
Hujawi niangusha my schoolmate Ifunda iyooooo
Wangeiga mfano wa Ay hawa waleo wasinge lumbana akil za mziki zilikua zaman ....
Kama unaamini AY ni legend gonga like
yuko sawa
Big up 👍
Watu wanaojielewa, kina AY, FA, Ali Kiba hawana ushenzi
na diamond
Ongera bro
hongera sana brooo
Mzee wa Commercial AY
apewe heshima yake?
Big up
pa1 bro
Hakuna msanii kama ww so heshima kwako brother
twambombo yesaya barida sana huyu jamaa hanaga misifa kama digigi wengine sana broo
AY nimsaniii ambae anaejitambua kwaza apendikiki zakwenye mitandaoni
Piga kelele kwa star,hajitangaziii,Pesa kama zote,Maisha kama yote
Mwandishi ungemuuliza,anaposema kuwa ana permanent residence kule je amepewa uraia? Ukiwa mwandishi lazma uulize maswali ya wasikilizaji wako sio maswali yako. Dogo leo umeniangusha.
Heshma kwko mzee wa commercial hiphop
American kyusaaaaaa
Umenifanya nimkumbuke complex
good
wanaosema diamond anapesa wapo wapi huyu hapa king rion hajion hana majivuno
kwanza co mbongo uyo
hta mie sio mbogo
Kaka ujawai kosea
nataman cku moja kina diamond waige mfano kwa gwiji huyu wa mzk tz mana katulia sana hana kiki za kijinga kabisa ndomana amefanikiwa
Ramadhan Mahongole sanaas
Wamfate awape mbinu zake,
Hata siku moja huwezi kuwa fulani,,,unabaki kuwa weweee!!!
gonga like kama unakubali
Acheni ushamba nyinyi Music Entertainment, sio kwamba na mchukia AY No sema napenda kuwapa somo wa africa ambao wapo nyuma kidogo msimsifie mtu kwakua wabongo wengi atupendi mafanikio kuyatangaza cz roho zinauma wengi wetu atuna bro @Ay tangaza mafanikio yako ikiwezekana jirbe lps kabisa ili huwe star duniani No entertainment hakuna ustar.. 😜🇩🇪
Mzeee wa Ko ko Meshoooooooooo...Heshima kwako haya ndio wasaniii ma lejendariiii sio wa sasa ujinga ujinga tuu...
Mkazi wa kule maana yake he is no longer Tanzanian! He is an American!
Ay mbona muongo mm ni mkazi hapa usa wewe hauna nyumba huku umepanga
Good brother wc success
Jay Z Wa Tanzania
Sasa we Diamond kaa apa bongo ukiwadharau waliokunyanyua ukajiona umeshinda na wew ndo wee.
Mwenzio uyo apo mjengo marekan na still the same hana majivuno wala kashifa mbaya as u unaeona ushaushinda ulimwengu
hta yy anayo kwa madba c mbya
Nahisi wewe ndiye tajiri msanii wa kwanza
🇹🇿🇹🇿👊🏻
mzee wakomesho 100
Watu mnacoment kwa akili za kuku sana,hivi wakati Ay anaanza sanaa au anawika kulikuwa na social network? Music wa sasa unataka uwe ulivyo kwa sababu ya globalizeshen achen akili mgando,hapa yenyewe mnaangalia hii interview kupitia youtube na sio redio au tv,amken nyie kupitia mitandao ndio biashara ya music ilipo sasa! Ay ingekuwa ni kipindi hichi cha globalizeshen wakati anatoka na Aman wa kenya tungejua vyote! Sasa msiseme wana privacy hao hawakukuta mitandao waliishi kwenye casset na redio
Charlie Junior Bila shaka unaielewa vizuri hisoria ya AY, je alianza biashara ya mziki lini na mitandao ya kijamii (social media) ilianza lini. Elewa kuwa na mwenza kama Aman siyo scandal ni hitaji la kimaumbile. Issue tabia, maadili na mwenendo wa mtu jamii inauchukuliaje?
Wewe ndo una akili mgando bwege we kunasiku ushawahi skia A.Y akijiita yeye ni bora kuliko wengine kama akina nanilii..!
@@kingswebe3251 hakuna aliewah kujitangaza yeye ni bora labda umtangaze wewe! Kinachofanya mtu awe mkubwa na aonekane yeye ni zaidi ya wengine ni mafanikio,mafanikio ya music yanajengwa na tuzo,shows,viewers,brand na kukubalika! Sasa mimi na wewe nani bwege bwana swebe? Wewe akili zako ziko kwenye makalio! Halafu nikusaidie tuu maisha ya sasa ya sanaa ya music 75% pato lake ni social network so hawa akina Ay kama hamuoni scandal au mambo yao ni kwa sababu wao waliwika kipindi cha analojia
@@sylvesterkameo5412 alianza saa kwenye miaka ya 2000 baadae akawika kwenye kundi la east coast team,sasa kipindi hicho kulikuwa na facebook,istagram au mtandao wowote? Leo watu wanajua chidi ni mwathirika wa unga kupitia social network,leo watu wanajua maisha ya akina daz nundaz kupitia social networks! Hebu turudi kwenye mfumo wa tape uone kama tutajua tabia na maisha ya wasanii
diamond stop womanizing ungekua mbali sana
Wala hamgikii mond
Mnyakyusa wa kwanza hasiyependa kujisifia, much luv legendary