THREE PHASE NA UMEME WA VIWANDANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @MKANYIA
    @MKANYIA 5 місяців тому +2

    Mkuu, katika fundisho hili umegusia jambo ambalo huwa nalihitaji sana na tena sana kulifahamu ila hujalifundisha kabisa mchoro wa umeme, nakuomba sana unifundishe kuhusu mchoro wa umeme unachorajwe! Natanguliza shukrani zangu za dhati!

  • @paulodesmoni6226
    @paulodesmoni6226 5 місяців тому +1

    Mungu azidi kukubariki na aendelee kukupa moyo huo huo wa kutusaidia kupata haya madini adhimu kabisa mwalimu!!

  • @JohnnyEmanuel-n7r
    @JohnnyEmanuel-n7r Місяць тому

    Teacher nimekuelew san 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ramadhanhaji8076
    @ramadhanhaji8076 4 місяці тому

    Uko vizuri broo nakubali iyo somo

  • @AcramNyakunga
    @AcramNyakunga 5 місяців тому

    Eng somo zuri nauliza kwann tutoe mcb afu ueke isolator kwa nn zisitumike zote

  • @hamissultan6496
    @hamissultan6496 5 місяців тому

    Asante sana mkuu ili somo ni zuri sana

  • @GodsonGotfrid
    @GodsonGotfrid 5 місяців тому

    Nakukubali sana wangu

  • @emmanuelwilliam1515
    @emmanuelwilliam1515 5 місяців тому

    You are very Good teacher 🔥🔥

  • @amosshumbi4777
    @amosshumbi4777 28 днів тому

    Je nikifunga kwenye kituo cha mafuta chenye pump tatu utaungaje maana pump ni za single

  • @AbdulNgamba
    @AbdulNgamba 3 місяці тому

    Nakuelewa sana

  • @lastborn7542
    @lastborn7542 Місяць тому +1

    teacher asante sanaa unaeelewekaa zaidi ya mwalim wa darasan, kila siku channel yako imekuw kama chuo changuu

  • @maanjeelectronicsservise6131
    @maanjeelectronicsservise6131 5 місяців тому +1

    Kaka vp hv kila phase inakua na voltage ngapi kwenye 3phase mana umesema total voltage 415

  • @Aman-l6e
    @Aman-l6e 3 місяці тому

    Teacher nashukuru san Mungu akulinde make kwakwl mim sikuaw najua chochote kuhusu three phase ila kwasas naelewa nini maana ya neno three phase najins ya kuweza kuuhendo asant sana teacher Dua zangua zifike kwako wengine wawez kupat vitu zizuri kam hiv

  • @JumaKisam
    @JumaKisam 5 місяців тому +1

    Three phase earth

  • @FIDELOTIENO-t8e
    @FIDELOTIENO-t8e Місяць тому

    Isolator of how many Amperes

  • @OdrickNdeme-zr1tr
    @OdrickNdeme-zr1tr 5 місяців тому

    Nakubal teacher wng

  • @yarseenmolly
    @yarseenmolly 18 днів тому

    Sasa tichaa je kweny chuo chako mwanafunz akimaliza anapatiwa cheti na pia hiyo garama ya malipo unalipa kwa awamu au

  • @ahmadbihaytv4460
    @ahmadbihaytv4460 5 місяців тому

    Kiukweli hiyo kitu siku moja ingenikuya nilijifunza kitu kikubwa sana upo upo vizuli sana siku ntaku tafuta upo vizuli

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 5 місяців тому

    Mwalim ahsante kwa darasa hili nilikuwa nalisubiri kwa hamu lakin swali huwa naona mashine nyengine zimefungwa na contactor,relay vp hapo

  • @JUMAKAZUNGU-o4x
    @JUMAKAZUNGU-o4x 5 місяців тому

    hivi hiyo uliyoiita isolator ya motor bdio hiyo pia inaITWA OVERLOAD RELAY?

  • @ButoyiShamila
    @ButoyiShamila 4 місяці тому

    Jinsi gani unaweza kusoma
    Wiring za viwandani na kutengeneza ya kwako?

  • @mkamiwambura9268
    @mkamiwambura9268 5 місяців тому

    inaa rilah.....

  • @BenedictoNdaheze
    @BenedictoNdaheze 5 місяців тому

    Three phase haichimbiwi earth

  • @BernadethaExsaver
    @BernadethaExsaver 5 місяців тому

    Ok

  • @Msafirimakini
    @Msafirimakini 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Msafirimakini
    @Msafirimakini 5 місяців тому +1

    I’m the first

  • @SurprisedMacawBird-qh7dg
    @SurprisedMacawBird-qh7dg 4 місяці тому

    Lakini mkuu una mwandiko mbaya😂😂😂😂

    • @darasalaumeme7421
      @darasalaumeme7421  4 місяці тому

      @@SurprisedMacawBird-qh7dg halafu wenye miandiko mibaya ndo Wana miliki pesa 😂

    • @emmanuelthomas1078
      @emmanuelthomas1078 Місяць тому

      Ila wee kama ni mwanume ntashangaa sana maana unamwandiko wa kike🙄

  • @BenedictoNdaheze
    @BenedictoNdaheze 5 місяців тому

    Three phase haina earth

  • @safarismelectricalservice6239
    @safarismelectricalservice6239 5 місяців тому +1

    mbona haujibu mesej whatsap

  • @BenedictoNdaheze
    @BenedictoNdaheze 5 місяців тому

    Three phase haina earth

  • @BenedictoNdaheze
    @BenedictoNdaheze 5 місяців тому

    Three phase haina earth