🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • TAARIFA MPYA USIKU HUU BALAA! MENEJA WA KIBU APINDUA MEZA, AMESAINI YANGA? ISIKE AFUNGUKA MAZITO UMEONA?

КОМЕНТАРІ • 33

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 2 місяці тому +3

    Acha kupiga stori za Kichwanaji...haww Ubwela walintukana sana huyo dogo ....walichamga pesa za kusmsaidia Fei kulioa deni., walmrubuni Morrison ....kwa hiyo watulie tu maana chokochoko waliizitengeneza wenyewe na ngoja ziwatafune

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 2 місяці тому

    Kama tatizo la fei mlimpigania na akafanikiwa basi kibu mmpiganie

  • @Saidaabdu
    @Saidaabdu 2 місяці тому

    Aende zake, kwani kibu kuondoka Simba, Simba inaisha,Simba ipo pale pale tunaso mbele Simba 🔥🔥🔥🔥🔥💯 moto

  • @jamaldeenmakenga
    @jamaldeenmakenga 2 місяці тому

    Meneja yupo wapi

  • @ChristopherAgrey
    @ChristopherAgrey 2 місяці тому

    Nabado tutawanyoosha sana kamauliuwa kwaupanga naww utauwawa kwaupanga tulien sindano iingie ambae alikuwa anaweza mashambuliz nimmoja tu apo Simba mliopo nimidomo tu nipop tu ndokifalu

  • @jamaldeenmakenga
    @jamaldeenmakenga 2 місяці тому

    Bado hamjasema

  • @AloyceSiwingwa
    @AloyceSiwingwa 2 місяці тому

    Kibu alilipwa deni lake la mkataba wa miaka miwili ya nyuma,kibu hajasaini mkataba mpya , ndo maana viongozi wanajikanyaga, siwatuonyeshe mkataba unaopigiwa kelele,au akaunti waliolipia?

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 2 місяці тому

    Wew michambuzi mjinga Sana kwa fei mbona hamkumsema hivyo Bali mliona yanga wabaya acha udunduka

  • @Jumasadala-c7y
    @Jumasadala-c7y 2 місяці тому

    Uzaifu wa tff ire kisema busara itumike duniani hii hakuna ipo TSNZANIA 2

  • @RamadhaniChediel
    @RamadhaniChediel 2 місяці тому +1

    Hayo ni mawazo Yako, mm naamini kapombe, shabalala na Ngoma wanatosha kabsa kuwaambukiza hawa wachezaji wapya wa Simba uzoefu na kujiamini.Wachezaji wazuri Wala hawahtaji muda mrf kuingia kwenye mfumo wa kocha! Let's wait and see.....

  • @henericolinda
    @henericolinda 2 місяці тому

    Kibu kalibu sana yanga usitumikie timu uchwara

  • @michaeljames403
    @michaeljames403 2 місяці тому

    Majini ya yanga yanawatesa. Mlishangilia kwa FEI tulieni liwapate

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 місяці тому

    Njoo yanga kwawatu wenye pesa zao usafiri wa angani kibu siyo basi sisi yanga wareti nene karibu baba

  • @rweyemamurweyongeza4879
    @rweyemamurweyongeza4879 2 місяці тому

    Mbona kwa Fei hatukuwaona mnatetea huo uovu. Mwacheni Kib ande hana akale maisha anakojua

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 2 місяці тому +1

    Fyokofyoko zènu yqkirokea simba mnafyukunyua yanga mnabana nanii wndeleeni mtapata mnachokitaka

  • @mtumwakhamisi
    @mtumwakhamisi 2 місяці тому

    Mbona utitaja yanga tuuu bila ya kuzitaja klab zingine za ligi kuu

  • @peterkibiriti5601
    @peterkibiriti5601 2 місяці тому

    Kwenu inauma

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 2 місяці тому

    sasa hakuna utani wajadi simba na yanga leo kunachuki za yanga na simba wivu wa mafanikio

  • @ChristopherAgrey
    @ChristopherAgrey 2 місяці тому

    Tutawatafuna mpaka mseme malipo dunian sombingun

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 місяці тому

    Mnakosea mnapailenga yanga pekee. Ligi ya Tanzania imekuwa sana misimu hii. Kila timu inapambana.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 місяці тому

    Yanga hawana mpango na mchezaji wa golli moja, nyie hayo ni ya kwenu na mpambane wenyewe kwa wenyewe.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 місяці тому

    Upo sahihi kabisa huyu anaenda Yanga amedanganywa. Wala cy Norwai

  • @ramadhaniiddi9930
    @ramadhaniiddi9930 2 місяці тому

    Kibu unaonabkafanya kosa la fei hamkuliona.

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 місяці тому

    Makolo mpaka mseme mwakahuu mpaka mtapike nyongo

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 2 місяці тому

    yanga hii ni timu ya wababe Putin kiduku

  • @rosenyoni6426
    @rosenyoni6426 2 місяці тому

    Aende tu hata ukoyanga hatakuja kutuujumu clab

  • @MaikoIddy
    @MaikoIddy 2 місяці тому

    Unaongea utumbo sasa kibu na zingel wap na wap

  • @rosenyoni6426
    @rosenyoni6426 2 місяці тому

    Haende zaketu ukoyanga hataujumu mechi

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 2 місяці тому

    Kumbe ww mchambuzi ni mshabiki

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 2 місяці тому

    leo hii mnakiona simba wajinga walifurahia utovu kwa fei leo simba mwacheni huu niujinga leo tuache huu utaratibu uendelee na tuwachangie wachezaji watovu wa ndhamu mlizani litakua kwa yanga tu

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 2 місяці тому

    sasa hakuna utani wajadi simba na yanga leo kunachuki za yanga na simba wivu wa mafanikio