UTAPENDA WIMBO WA KILUGHA WAHAYA WALIVYO MWIMBIA KARDINAL RUGAMBWA KWAYA MT. KIZITO MAKUBURI -DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi wakiimba Wimbo maalumu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani kwa Mungu, kuteuliwa kuwa Kardinali, Mwadhama Protas Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora.
    Misa Takatifu ya kumshukuru Mungu imeandaliwa na Familia pamoja na Marafiki aliosoma nao Mwadhama, Raha ya Utume kushirikiana 💒

КОМЕНТАРІ •