Yalaiti Episode 1| Baada ya Shilingi Series

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @Mwanamkuu-c6c
    @Mwanamkuu-c6c 3 дні тому

    Kazi zuri sana

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 3 дні тому +3

    Jamani siamini Roma Asante sana kaka etu kwa kutukumbuka

  • @fielfrederico4962
    @fielfrederico4962 13 годин тому

    Denis sijakuona ukhu Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 🎉🎉🎉.
    Gostei muito do vosso trabalho.
    Lakini naomba SHILINGI ihishe.
    👏🏿👏🏿👏🏿

  • @ancillarneema
    @ancillarneema День тому

    Roma watuletea utamu baada ya mwaka😂😂😂😂🎉🎉🎉haya mashabiki wa shilingi kujeni😂😂😂❤❤❤❤

  • @majaliwamussa1343
    @majaliwamussa1343 5 годин тому

    Namuona mototo mzuri Edna

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 16 годин тому

    Kazi nzr

  • @SelemaneIssa-vr7po
    @SelemaneIssa-vr7po 3 дні тому +2

    Leo nimewai jamani naomba like kwanza

  • @majaliwamussa1343
    @majaliwamussa1343 5 годин тому

    Mlitukosea sana kutomalizia shilingi

  • @deamber775
    @deamber775 День тому

    Mwendelezo lini

  • @NarizadiMigosi
    @NarizadiMigosi 2 дні тому

    Msi ikwamishi Tena Kama shiling plz na wapenda san❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 День тому

    Shukran sana

  • @NishimweAloys
    @NishimweAloys 2 дні тому +1

    Hiiiii kalìiiii kbc🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MadundoRecords
    @MadundoRecords 22 години тому

    💯💯🔥🔥🔥🔥

  • @monicamwende4319
    @monicamwende4319 2 дні тому

    Asante sana Roma,,natumai hamtapotea tena kama shillingi

  • @mwakaathuman5637
    @mwakaathuman5637 День тому

    Nipo ndani ya yalati

  • @Bugana414
    @Bugana414 3 дні тому

    Hii story ni nzuri sana,...director hii tamthilia haikai ya kupigana so usipotee njia ju tamthilia ya kupigana ni uongo ulio wazi....

  • @AhmedKOMBO-w2c
    @AhmedKOMBO-w2c 3 дні тому

    Hiii kali shilingi imekwam wap kwan

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 18 годин тому

    Mmmmh mbona hamkumaliza shilingi

  • @Farthun
    @Farthun 3 дні тому

    Roma asante tulikumiss jamni one love 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @abdihamzah
      @abdihamzah  3 дні тому +1

      Ahsante, niliwamiss pia

    • @RehemaMasunga-ml7kt
      @RehemaMasunga-ml7kt 3 дні тому +1

      ​@@abdihamzahshilingi season 2 haikuisha lakini

    • @abdihamzah
      @abdihamzah  2 дні тому

      @@RehemaMasunga-ml7kt i know

    • @RehemaMasunga-ml7kt
      @RehemaMasunga-ml7kt 2 дні тому

      @@abdihamzah sasa ndio utuwekee maana sisi wengine simu zetu ndio kila kitu wala haina haja ya king'amuzi.

  • @Mohamedishabani-om8qf
    @Mohamedishabani-om8qf 3 дні тому +1

    Shida ya hii chanel ni moja2 story zenu mara nyingi zinaishia njiani mpaka tunakosa motisha ya kuangalia coz tunajua kabsaaa mtaishia njiani
    Mnakosa viewers kwa sababu hiyo

  • @aishadakio7237
    @aishadakio7237 3 дні тому

    ❤❤❤

  • @raphaelsimiyu7601
    @raphaelsimiyu7601 3 дні тому

    Vipindi viwili kwa siku siyo mbaya juu naona tunako alekea ni patamu

  • @majaliwamussa1343
    @majaliwamussa1343 5 годин тому

    James kilopolopo

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 3 дні тому +1

    Jamani huyu mbona kama ni jamali wa the story books au nimemfananisha

  • @FanuelMtemi
    @FanuelMtemi 3 дні тому +2

    Kwani tunaangalia live 😂

  • @vikiElena
    @vikiElena 2 дні тому

    Mutuleteye shilingi jamani mbona ivyo

  • @tanzanianhappy60
    @tanzanianhappy60 2 дні тому

    Kwani.shilingi.ndo.imeisha.au

  • @apaelmbise635
    @apaelmbise635 День тому

    Gutale 😅