Part 2. SABABU ZA KITAALAMU, KWANINI Pi NI UTAJIRI UTAKAOTIKISA SERIKALI ZOTE DUNIANI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 9

  • @wavetv_tz
    @wavetv_tz  12 годин тому

    Mwalimu Maduhu (PicoinTz) anaeleza kwa kina sababu za kitaalamu kwa nini Pi inakwenda kuleta utajiri kwa watu wengi duniani na anaelezea zaidi kuhusu Blockchain na Cryptocurrency kama sehemu ya Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, akifafanua kwa nini Pi Network ni mradi halisi na si ubabaishaji. Anasisitiza umuhimu wa kuifuatilia na kuendelea kuichimba (mining) kabla haijaanza kutumika rasmi.
    Anatoa mfano wa Bitcoin, ambayo ilianza bure lakini wengi waliibeza. Leo hii, Bitcoin moja ni Tsh milioni 200! Sasa, Pi Network inakuja kama Stable Coin yenye thamani inayokadiriwa kuwa $314,159 kwa Pi moja ASawa na milioni 800 za kitanzania🚀 na Imepangwa kuanza kutumika rasmi ndani ya robo ya kwanza ya 2025, (Jan,Feb & March 2025.) na tarehe inaweza kutangazwa muda wowote kutoka sasa. Usichelewe, chukua hatua sasa! ⏳🔥
    #PiNetwork #BlockchainRevolution #CryptoFuture

  • @EdwardMasegela-ki2yw
    @EdwardMasegela-ki2yw 2 дні тому

    Mjomba nimekuelewa sana na umetulia mungu akubariki!!

  • @KEFRINEENOS
    @KEFRINEENOS 3 дні тому +1

    Asante sana kaka Tena huyo mchungaji aliyekuita kanisani kwake huyu anayo hekima kwa Mungu na washilika wake congratulations 🎉🎉🎉🎉

  • @CatherineWanjiru-n1g
    @CatherineWanjiru-n1g 2 дні тому +1

    Ukweli mtupu❤❤

  • @IddiAthumani-t2l
    @IddiAthumani-t2l День тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ShijaLugata-v5i
    @ShijaLugata-v5i 2 дні тому

    xhda wa2 weng ha2jui,, 2na2mia cm ze2 for nonsense issues cha kufanya 2saidieni kwa ku2pa elimu jamani

  • @aBjofarm_tz
    @aBjofarm_tz 3 дні тому +1

    Wow! Huyu jamaa anaelewa anachokiongea, mwenye sikio na asikie…

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 2 дні тому

    Manajisumbua tuuu
    Bitcoin usifananishe na pi.

    • @libandaonline5358
      @libandaonline5358 2 дні тому

      Kumbuka mmiliki wa hizo sarafu ni mtu mmoja,,,sas sijui unawaambia wanajisumbua ki vip