MWANANCHI DAY | Yanga yamkumbuka marehemu Yusuf Manji, yatoa zawadi kwa familia yake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #YangaDay Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, marehemu Yusuph Manji pia amekumbukwa na zawadi imetoka kwenda kwa familia yake. Aliyeipokea ni mwanaye ambaye pia ametoa neno la shukrani kwa Wananchi.
    FT: Yanga 2-1 Red Arrows
    Ni Siku ya Mwananchi LIVE #AzamSports1HD
    #SikuYaMwananchi #WikiYaMwananchi #MwananchiDay #YangaDay #WeHuogopi #NyieHamuogopi #YangaSC #RedArrows #YangaRedArrows

КОМЕНТАРІ • 11

  • @DarKopo
    @DarKopo Місяць тому +5

    Nimelia sana nimekumbuka Manji 😢dah dunia ni mapito

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt Місяць тому +2

    Rest in peace Our Legendary MANJI 😢😭🙏

  • @JumanneGwitaba
    @JumanneGwitaba Місяць тому +1

    Ni hatari manji wetu

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 Місяць тому

    😢😢rip yanga umeiacha mikono salama

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Місяць тому

    Apumzike kwa amani

  • @allysunday8614
    @allysunday8614 Місяць тому +1

    Mmeshapiga mafataki saa hizi ndo mmeshtuka hamjasimama kumbukumba kifo cha mwekezaji wenu... Aibu kubwa sana