BM was a player with a special born talent.. l wish him all the best wherever he is.. l miss him at SIMBA SC.. he still got that special talent to play for SIMBA SC
Uongozi angalien kwa umakin zaid achaneni na habar za nje ya uwanja angalieni ndan ya uwanja nn anakifanya for now is a best player in NBC premier league and simba sports club.
Aliyoyafanya simba morisson utopolo hajayafanya hata robo yake team ya simba aliikubali sana huyu jamaa alikua akicheza kwa jasho na damu akijitoa sana kwa club yake. Kuliko kule utopolo hajafanya hata theluthi yake sijui lile team halitaki anajilazimisha tu basi ilimradi apokee mkwanja aendeleze maisha yake tu yaende basi😃😃😃
Nawaza itakuwaje kule south Africa kama Morison hatoenda hakuna anaebisha kuhusu ubora wa Morison Kwa Sasa na Simba hii Simba hakuna mfungaji wa uhakika au Mtuu wa kuingia ndani ya box wa uhakika isipokuwa Morison kunapengo kubwa sanaa litaonekana kule Africa kusini ila mungu ndio mpangaji wa Kila kitu
Je Morrison Ndiyo Mchezaji Bora Wa Simba Kwa Sasa?? Comment NDIYO/HAPANA
Ndio
ndio
Ndio
Ndio
Haina shaka
Jamaa anajituma sana🔥🔥🔥
BM was a player with a special born talent.. l wish him all the best wherever he is.. l miss him at SIMBA SC.. he still got that special talent to play for SIMBA SC
We really miss him dude love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dodoma 08
Morrison anajua Sana🔥🦁🦁
No 5 ,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥jmn
Best player of the year for Simba this season
Kioindi champito tu hiki huwezi Amin babra anaakili sana mbona Bado yupo sana2 Simba bm3 Wala msiwenahifu
Uts true this good player wa Yanga mwaka huu
@@ashtarmaliki7210 haaaha yupo simba Yanga
Super benard morisson
Super bro saana Yanga wamevuna
Anajua sana ball,apunguze mambo flan nje ya uwanja
But mchezaj bora wa simba( so far)ni inonga,kwa mtazamo wang
Who is here 2025 mimi naona hata kama hiii leo tukimleta hatutakosea huyu jamaa anajua ❤❤❤😅😅😂
Ntamkumbuka Sana uyo kiumbe 🦁
Uongozi angalien kwa umakin zaid achaneni na habar za nje ya uwanja angalieni ndan ya uwanja nn anakifanya for now is a best player in NBC premier league and simba sports club.
Great job
WelcoM Back Ynga
Super..
Dah tutakukumbuka sana mwamba
Jamaa yuko fiti
Morison yuko sana na msimuache kwa garama yyt kwa sabb simba saiv hawana mbadala wake..
bm3 ni player mzuri
Jamaa yupo vizuri Ila tukumbuke alitubamiza vibaya alivyokuwa yanga fc, hahaha safi
Super bernad
90% MAKOLO WAMEKILI BM3 🔥🔥🔥
Anaujua sana mpir
Mchezaji mzuri sana I wish aendelee kuwepo,
sasa kwanini kuweka sound track ya huzuni lakini
Siii ameondoka 🤣🤣🤣🙆
Umeona mm mwenyewe imeni pain sana
😢😢😢❤
uko vzr kiuchambuzi homeboy
Aliyoyafanya simba morisson utopolo hajayafanya hata robo yake team ya simba aliikubali sana huyu jamaa alikua akicheza kwa jasho na damu akijitoa sana kwa club yake.
Kuliko kule utopolo hajafanya hata theluthi yake sijui lile team halitaki anajilazimisha tu basi ilimradi apokee mkwanja aendeleze maisha yake tu yaende basi😃😃😃
Yanga mwaka hu itaua j2
Nawaza itakuwaje kule south Africa kama Morison hatoenda hakuna anaebisha kuhusu ubora wa Morison Kwa Sasa na Simba hii Simba hakuna mfungaji wa uhakika au Mtuu wa kuingia ndani ya box wa uhakika isipokuwa Morison kunapengo kubwa sanaa litaonekana kule Africa kusini ila mungu ndio mpangaji wa Kila kitu
Ni kwel kabisa ilaa bado Mimi kwa upande wangu ninayo Imani kwa sakho.Banda.kibu.jiymson. tukifuzu hii atua tunachukua Hili kombee
Naomben ushaur mm napenda kutoka moyn nicheze mpira nhaz za chin nacheza but nataman nifikie malengo naomben dukuduku zenu 🙏
Kipaji kimeenda kufia utopolo, Chama nae kaenda kumalizia siku zake za mwisho.
Mtajuta kumfahamu morson
Sana tu
Hapana katukosesha ushindi sana uyo fala
No doubt anajua
Sont nationalité
Hakika aliitumikia Simba kikamilifu 😂😂
Jamaa mwamb
WAKILI MSOMI
Bm3 ni mtu atarii sana
Morisson abaki asiondoke simba
Na mwaka huu mtakereka Saana Daima mbele nyuma mwiko
Ila wanasimba tutamkumbuka sana katusaidia mechi nyingi sana hawa viongozi wetu sijui ilikuwaje
kuna tetec eti ameshamwaga wino kule club jirani kabla miezi 6 ya mkatabaa wake kuisha.. if true manake msimu ujao ataichezea young African. je?...
je Simba sc mshajipanga once mkimkosa Morrison?
Yuko vzur kimataifa amesaidia sana
Mwamba sana huyu
sio mchezaji bora
Clips za keizer chief hujaweka na zile za Timu kiba vs Timu Samatta
siwezi sema ndio au hapana lakiniii ndo kiboko yao😅😅😂
Messi from Simba hahaha
Dah yupo yanga saivi 😒😒😒 nilimkubali Sana huyu mwamba
Viongozi wacheni hasira namaamusi mabaya mtakuja kujuta baadae kwani huyo nibora sana kuliko watakao kuja Kwan tunajuwa hao watakao kuja hatuwajuwi kuweni makn fanyeni arudi simba
siku mofissoni akiacha maliza mkataba asio rudi simba nahamia azamu
Hamia sasa. Timiza ahadi
Nani kamureta.morison.tanzania.yanga.tamu
Huyu jamaa ni chibiko
Aende Sauzi
Amekufa.siku gani
Kwani.makoro.wanasemaje.yanga.tamu.kaka
Ww sio wa kuacha wakuongeze mshahara utuletee makubwa
Bm3 mwmba
Bado tunakutaka baba
ua-cam.com/video/8ftBrVfyijU/v-deo.html
MODEL ANAEWATOA JASHO DIAMOND PLATNUMZ na JUX 🔥🐉
Tatizo dish limeyumba
Sote tumeona ubora wake
Efua