Hongera ndugu mungu akubariki mimi naitwa stanley b lujo minikotegeta hivininavo ongea nawewe nikokindani leo nimepata ajari mara mbili leoleo wiokujakunichukua baadayakupata ajari nimepatanaye ajri tena nahitaji maombiyako
Asee brother mungu akupe maisha malefic iliuzidi kusimulia matendo yake na ushuhuda mkuu ,vianzi tunakupenda na tunakushukuru sana kwa Mch:Mwakipesile tunakupenda sanaaaa kwa huduna yako nzuri
Hongera sana
Tunazid kubarikiwa
Amazing song🎉🎉
Huu wimbo umekuwa mzuri ajabu hadi nimeurudia kuimbisha nmeupenda ubarikiwe mpendwa
WE ACHA TU Bruno wewe! umejuaje? Yesu akuinue zaidi, umenigusa sana
Hakika wewe acha tu Mungu anatundea mengi ya ajabu, Asante kwa ujumbe mnzuri 🙏🙏🙏
Hongera sana kwa KAZI nzurii brother kayenzi mungu akupe hatuja nyingine zaid
Hakika ni kwa neema tu weee acha tu kweli Mungu katika mbali
KAZI NZULI.MUNGU AKUTUNZE KAMANDA
Hongera sana wimbo umenigusa saana huyu Yesu we acha tu amenitendea mengi ya ajabu
Amen ufike mbali sana kaka yangu ❤❤❤much love
God bless you my brother wimbo wangu kwa wakati huu
Yaaan ni machozi tu
Daah kaka angu kweli yesu huyu wee acha
Kwa kweli upendo wake wa ajabu oooooooh good job ubarikiwe mtu wa Mungu
Am speechless...YESU we ni mwema...we acha tu
Balikiwa sana kamanda wa yesu injili isonge mbele
Ile mbio nimetoka nayo TikTok baada ya kusikia huu wimbo,wewe acha tu🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana... asante
Huyu YESU ni mkubwa sana
Glory to jusus sure upendo wake kwangu ni wahajabu
🌹🌹🌺🌺pokea maua yako Mungu azidi kukuongoza katika kuifanya kazi yake
Amenifanya mtu katikati ya watu keep growing and be blessed
Hongera kaka yang@ Bruno Kayenzi
Kazi nzuri ubarikiwe sana mtumishi
YESU ni mzuri kwetu
Keep it up brother God bless you 🙏
Amenii Mungu niwajambu anatuwazia yario mema ubarikiwe babangu naMungu akubariki Sana💥💥💥💥💥💥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌟🌟🌟🌟⭐⭐⭐⭐⭐⭐🌟🌟🌟🌟🌟🌟⭐⭐⭐🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥☀☀☀☀☀☀☀☀☀
wow such a great song ,,,,u are doing good #enyewe yesu tosha
Nguvu za mungu zipo when you believe ,I love the song
Amen
Ubarikiwe san, mtumishi Bruno kayenzi, YESU azd kuktunza wewe na familia yko kwaajl ya ufalme wake
Good kazi njuli sana
Mungu akubariki sana nafarijika kila nikiusikiliza huu wimbo
Yani siwezi kusimulia 😭😭😭😭😭
Love from Uganda 🇺🇬
Barikiwa
Wimbo mzuri sana barikiwa mtumishi endelea zaidi
Sw Mtumishi ubalikiwe sana, uyu yesu we acha tu.
Bonge la wimbo,video kali sana, Barikiwaa sana mtumishi🎉🎉
Mimi nakuelewa sana mtumishi wa Mungu
❤❤gospo yangu pendwa..Mungu akubariki hadi Ushangae mtumishi waMungu
Hongera sana zaidi umejituma barikiwa san
Huyu Yesu we acha tuu! 🙏 amenitendea mambo makubwa na yaajabu mno maishani mwangu. Yaani hii ni nyimbo yangu kabisaa, barikiwa mno mtumishi wa Mungu 🙏
Hongera sana mtumishi kwa ujumbe mzuri. Bwana azidi kuiangalia huduma yako na kukwinua katika viwango vingine.
Kabisa nineema ya ajabu kumubariki kaka yetu hata sisi pia tunabarikiwa
Dahh hii sin ya kwenye jeneza mbona inatisha sana
Barikiwa
Ubarikiw sn mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe sana my brother, kazi nzuri sana, we acha tu
God please you
It's so uprifting...you are going far
Amen
Hongera kaka ake, ila iyo ya kuingia kwenye jeneza ni kali
Safi Sana kaka kazi njema sana
MUNGU aendelee kukutumia 2:31 brother message inagusa sana hongela sana👍
Nimechelewa kusikia huu wimbo lakini nimebarikiwa moyo, vile vikao sikuizi havifanyiki nisipokuwepo😢😢 huyu yesu we acha tu 🙌
Amen
Kwanzaa nilishangaa amefariki nikaanza kulia kumbe wimbo wacha tu
Hii imeenda
Wimbo Pendwa, Asnte Yesu Kwa kuendelea kunitetea Maana nakuona ktk Maisha yangu kiasi ambacho skutegemea .
Mungu azidi kukutumia Mtumishi
Kazi nzuri! Ubarikiwe 🙌🏼
Hongera sana
Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu 🔥 🔥
Wau, glorrrrrrrrrry 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Kutoka Msalala_kharumwa apa,
Toka umeutambulisha huu wimbo nimekuwa mtu wa kurudia rudia kuusikiliza Mungu akupiganie mtumishi 🙏
Amina
Barikiwa sana Mungu akubariki 🎉🎉
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Bruno Kayenzi, nimesikia huu wimbo nimebarikiwa sana
Amen
Amenifanyia Mambo makuu we Acha tu
Asante mtumishi kwakutupa matumaini huyuu yesu acha tyuuuu
Hakika asante sana Yesu.
I love the song.God bless you
Amen
The best video ever ....high creativity ....Mega congrats Brother Bruno
Wimbo umenigusa 😢😢 barikiwa kaka
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU
Daaa kutoka group Moja hivi nakupata ujumbe umekuwa faraja kwangu ❤❤
Barikiwa
Barikiwa sana my bro Mungu akwinue kiwango
Njoni Muone huku kuna DUNDO limeachiwa 🔥🔥🔥
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
Woow 🎉powerful 🔥🔥🔥more Grace 🙏
Emeni
Hongera ndugu mungu akubariki mimi naitwa stanley b lujo minikotegeta hivininavo ongea nawewe nikokindani leo nimepata ajari mara mbili leoleo wiokujakunichukua baadayakupata ajari nimepatanaye ajri tena nahitaji maombiyako
Hongera kaka yangu kwa ujumbr huuu
Song was powerful
Barikiwa sana mtu wa Mungu
Barikiwa sana pastor huyu YESU wee acha tu.
Wimbo viwango sana huu
Du mungu mwema
Wow! ❤❤❤
Powerful Song
Barikiwa sana kaka nimeisubiria sana kaka,yaani nabarikiwa sana kupitia huduma yako
Blessed brother
Video ya kijasiri sana hii kwenye jeneza tena!.Aaaa Ed Media mmetishaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu ni mwema ametutoa mbali......we acha tuuuuuuu
Weachatu
Amen
Mungu azidi kukuinua ninapo usikiliza huu wimbo ninatokwa namachozi kwasababu Kama umeniimbia mm kwakweli weachatu🙏🙏
Mungu akazidi kuku tendea
Karibu kwenye UZINDUZI
Naudownlod vipi huu wimbo nimeupenda.
Vidmate
Ongera Sana, Kaka Ang kazi nzury 🔥
Asee brother mungu akupe maisha malefic iliuzidi kusimulia matendo yake na ushuhuda mkuu ,vianzi tunakupenda na tunakushukuru sana kwa Mch:Mwakipesile tunakupenda sanaaaa kwa huduna yako nzuri
Amina Mwana wa MUNGU
Mtumishi wa Mungu Bruno kazi yako ni njema sana Mungu akupe hatua nyingine tena katika huduma yako🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Amina
YESU HANAUPENDELEO KUMBUKA KUNYENYEKEA ILI UKWEZWE ZAIDI MIKA 6:6 BY PASTER KEPHAR SWAKALA UZAO MTEULE
Amina
Amina ♥️♥️🙏
amen mtu wa Mungu ujunbee unaishiiiii
Huyu Yesu aki sina cha kumshukuru
Be blessed
Asante Mtumishi wa Mungu
Mtumishi wa mungu hongera kwa kazi zako uwa kwa kweli hunitia moyo mungu aendelee kukutumia Kama vile apendavyo
Hongera Kaka Bruno kazi yako ni njema ❤❤
Amenii
Kazi.yako.duniani.haijaisha.duniani