Brigadia Mwita Marwa (Kamanda Kambale) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Hapa alikuwa kashapandishwa cheo na kuwa Meja Jenerali na kupewa jukumu la kuongoza Brigedi namba 207 na 208 kwa pamoja. Huku mdomoni akiwa anavuta Kiko na kushangiliwa na wananchi walipoingia katika mji wa Jinja nchini Uganda baada ya vikosi alivyoviongoza kuuteka mji huo. Aliongea kwa muda mfupi na waandishi wa habari wa kimataifa na kuwajulisha kuwa wana taarifa kuwa Idi Amin na vikosi vyake wamekimbilia katika mji wa Arua, na wao walikuwa njiani kuelekea huko ili kumaliza kazi. Hii ilikuwa ni mwezi April mwaka 1979 wakati wa vita kati ya Tanzania na Uganda.

КОМЕНТАРІ • 7