AwuuTV || KANUNI MUHIMU ZA UWEKEZAJI WENYE MAFANIKIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Kwa nini uwekeze? Unawekeza kwenye nini? Una maarifa gani? Umeandaa mazingira gani? Umeandaa gharama gani? Unatumia nguvu gani? Kwa muda gani? Msimamizi ni nani? Soko lako ni lipi? Unajifunza kwa akina nani? Jifunze sasa kanuni muhimu za uwekezaji wenye mafanikio (‪@AwuuTV‬ Benevolence)
    #uwekezaji #mafanikio #tanzania #biashara #kilimo #ufugaji

КОМЕНТАРІ •