JUMA NATURE ANAONGEA YOTE | SAKATA LA KULIPWA LAKI TANO | MAISHA YANGU YANA SIRI NZITO | MUZIKI
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#SNR #JumaNature
yani mimi hata ajibu tofauti mi nampenda sanaa juma hana mambo mengi
Hata mimi tatizo letu wabongo tunaprnda kuangalia Taswira ya mtu wa ya nje, kuliko alichonacho mtu
Ukipata bahati ya kuwa na Damu kama ya Juma Kassim Nature Kiroboto ya kupendwa pasina sababu basi unakuwa umefanikiwa sana kwenye njia zako kimaisha.
Juma nature you a legend bro
Juma nature mbna kmya sana toa nyimbo moja
Long Live Nature. You are a legend. Peace.
The music doesn’t stay longer in the loop, compared to dinosaurs years because of the accessibility, now is faster compared to wayback. It is also instant gratification generation.
Juma Nature ! Legend !
Milard Ayo ni Role Model Wa Watangazaji Wengi Sana Tanzania! 👏
Mahmudaat kurasini temeke hiyo. Dooh long time
Juma kassim kiromboto ww ni namba Tanzania mzima
Msaka tonge no1.TM Dj🎉Nature!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Juma nature
WASANII WAZAMANI DHARAU ZIMEWAZIDI, NDOMANA WANAPOTEA, SASA MTU ANAKUJA KWNY INTERVIEW KUBWA KAMA HII LKN ANAKUJA AMELEWA, NDOMANA INTERVIEW YOTE HAKUNA HATA SWALI MOJA ALILIJIBU KWA UFASAHA
You must don’t anything about American artists then
Nature Nature Nature Nature Nature
kuna dem anakuita
Wapi hiyo
Sir Nature 😀🙌
Me ata smuelewi uyu Mzee…. Anaulizwa A anajibu Z
Tatizo lako sema tu haujakaa na wahuni ukajuwa kiswahili chao,kwahiyo kumuelewa Nature mpaka ujifunze kuishi na wahuni
Mbona wengi wanamuelewa lakini wewe kwako tu ndio tatizo
Mimi nasema hivi nyimbo zote zinadum mile na mile
Aisee, ulevi wa bangi, pombe na madawa ni hatari sana. Unaulizwa A unajibu B! Hiyo sauti tu inaashiria hali si hali kichwani
✌️👊👍.
Interview mbovuuuuuu😢
Acha pombe sauti imeisha
Kazeeka kweli 😂😂😂
Gongo si mchezo
Linavuruga sana 🤣🤣🤣@@jnote9283
Ukienda jera serikali inatakiwa ikuhudumie halafu unaikosesha raha😂
A.T au I.T nature umepita mbio hapo xna..😢😢
Wajina
Nasikia sauti ya uteja tu! Yani uyu na chi benzi maongezi Yao yanafanana duu! 😂😂😂😂
hiyo ndo sauti ya nature
Nature 😂anachanganyaga mada balaa kwny kuelewa swali😂😂😂
Yupo stimu
Mmezaliwa mwaka gani Nyinyi mlitaka msikie story za sinta sio km mkivyozoea ameongea maisha namasomo nabila kuelewa haya ht basi ndio nyie maselemani
Tuhadithie ww bas ilikuwaje ikapatkana tmk maana yy ajatoa jibu sahihi. Acha ushamba ww mm namjua nature kupita ivyo unavyojua boya ww
Mtangazaji unazunguka uliza kwanini show za wasafi festival tnc wapo yeye mbona hayupo
Nishidaaaaaaa
He looks sober today?
Jina kubwa nature
Yani nature swali jengine jibu jengine😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Kiroboto legend
Huyu siyo bure ,hayuko sawa kuna kitu anatumia kinamchanganya
Kwa mawazo yako !!!😅😅😅 Ila vip amekuj kuomba msosi kwako !! Au ndo kumekucha tena kutoana akili !!!
Yule tambwe wa wasafi ni bro wako nini....kaka
Acheni kuiga saut za watu wengine
hapo kamuiga nani sasa
...ASA NDO SAUTI LAKO LIWE LA KUKWARUZA..???..kero sana mtu anaongea km chura sauti yake.....
Juma Saut vp duuu umerogwa
Pombe tupu 🙄 mtu unaulizwa mbagala wapi unajibu masaki karibu kuliko osterbay
Unajua wewe mtt nature umelewa au vp
huyu jamaa kazeeka sasa
Hakuna jibu alilojibu ni kubwabwa2
Watoto gani juma kawazaa wanamiliki mamilioni guys?
Kkkk vijana bana vichwa vyenu ulizeni watoto wake ndio chege fidq sifiki kwa kina mbosso ndio mana ya watoto
Hajamaanisha WATOTO wa kuwazaa kimwili ni kimuziki, Nature ana wasanii wengi amewasaidia kufika walipo sasa, japo hata Ku wa inspire kuingia kwenye Muziki
Kiloboto mkongwe