🔴LIVE: MKESHA WA HINA YA ZUCHU NYUMBANI KWAKE

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 19

  • @nyirandagijimanashamila6230
    @nyirandagijimanashamila6230 7 днів тому +7

    Zuchu uko juu juu juu zayidi mtoto wa adidja kopa ungini pirate asante sana nimeshituka nami naceza nimeburudika alafu nilikuwa n'a miss darlini

  • @alexandrucarmen3185
    @alexandrucarmen3185 6 днів тому +2

    Mzee wa ngenga anatalent kubwa sana anaimba live bila stop na sauti haikatai❤❤❤❤❤❤

  • @ZuwainaSd
    @ZuwainaSd 6 днів тому +3

    Dada darin ww unaroho safi sana

  • @NasoloNgomoni
    @NasoloNgomoni 5 днів тому

    Saidia ww❤

  • @Sulha-r7u
    @Sulha-r7u 7 днів тому +1

    Wee zuchu kwani kila wimbo mpaka mfanye mamidomo kuyagonoa,mnakera mpk stail imekinaisha,maana ilianzia kwenye mapiano sasa hivi umeshalemaa na bwana wako...Mond

  • @TAKASAMEDIA
    @TAKASAMEDIA 6 днів тому

    Safi nimependa

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 6 днів тому +1

    Hinna hii anaolewa yeye? Au vipi? Sijaelewa

  • @AishaOmaromar-w2t
    @AishaOmaromar-w2t 6 днів тому

    Huenda tuko na ndoa iko karibu bilashaka

  • @AishaOmaromar-w2t
    @AishaOmaromar-w2t 6 днів тому

    Jamani manyash nyash😂

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 7 днів тому

    ❤❤❤

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 7 днів тому +1

    Ushamba mtupu
    Kama Huna chakufanya kuliko kuchezea pesa kwa ujinga, nakukumbusha saidia watoto yatima

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 7 днів тому

      Ina mn anaolewa ?nauliza jmn

    • @rahmaidd8818
      @rahmaidd8818 6 днів тому

      Kasaidie WEWE na unaweza kumps Ushauri Bila kumzodoa Cha msingi we katafute hela idiot

    • @nyandatesther6045
      @nyandatesther6045 6 днів тому

      Wewe si uwasaidie jamani

    • @princessmimi4404
      @princessmimi4404 6 днів тому +1

      Namhurumia mke wa babu iddi idriss kitaa 😂

    • @AishaOmaromar-w2t
      @AishaOmaromar-w2t 6 днів тому

      Wewe umesaidia wangapi siupambane na umakini wako

  • @FatmaHusein-o8w
    @FatmaHusein-o8w 6 днів тому

    💕💕