Familia ya Brian Kimani yaamua kuacha mwili hospitali hadi watakapopata pesa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Familia ya Brian Kimani, mvulana mdogo aliyefariki katika hospitali ya Getrudes hapa jijini Nairobi baada ya kuugua saratani ya damu, imeamua kuacha mwili wake katika hospitali hiyo hadi itakapopata fedha za kulipa deni la shilingi milioni kumi na moja nukta tisa.

КОМЕНТАРІ • 10

  • @citizensnews.
    @citizensnews. 4 роки тому

    HATA KAMA HIYO PESA JAMANI NI ALOT.WACHANENI NJA WAO TU GOD WILL COME THROUGH

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm3381 4 роки тому

    Okey wamekwamilia maiti wataifanyia ???? God will see you through 😭😭

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 4 роки тому +2

    Maadam mumeshamfanyia maombi hakuna haja y kulipia mamilioni y pesa .....hata mkilipa hakuna kitu kitachange wacha wazike wao n maiti y jamia

  • @beatricelichoti1650
    @beatricelichoti1650 4 роки тому

    Kenya kupenda pesa, namber 1

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 4 роки тому

    Wapi sonko?

  • @t.c7915
    @t.c7915 4 роки тому

    Luck of affordable healthcare.. if there was this uncontrolled bills would never happen

  • @consolataakwabi7321
    @consolataakwabi7321 4 роки тому

    saa wanataka pesa na mtoto amefariki...God..see ua people

  • @shikuliz4134
    @shikuliz4134 4 роки тому

    I wish bob collymore was still alive he could have help this family

  • @kingpharaoh6981
    @kingpharaoh6981 4 роки тому

    Kenyans mnapenda vitu za free sana. Get good insurance with death insurance for your family muache kusumbua watu.

  • @johnmbugua6499
    @johnmbugua6499 4 роки тому

    Hahaaa siwezi lipa kwani nitachukua ikanisaidie nanini