Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Ndoto kutimia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 сер 2024
  • Hii ndiyo taswira iliyompa msukumo msichana mmoja kutoka Meru kubandika picha zake katika picha za maeneo ya kitalii nchini China kwa kutumia mbinu inayojulikana kwa kimombo kama photoshop. Seveline Kinya amekuwa akitamani kutembea nchini humo kwa muda mrefu lakini hakuwa na uwezo. Kwahivyo akaamua kubandika picha hizo na kuziweka katika mtandao wake wa facebook ili ajihisi kama ambaye ametembea nchini uchina. Hatua hiyo ilisababisha kuvuma kwake katika mitandao ya kijamii. Na huku wengi wakimcheka, mfanyibiashara mmoja mjini Nairobi aliamua kumsaidia kutimiza ndoto yake.
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.co...
    / citizentvkenya

КОМЕНТАРІ • 11

  • @delozulu2830
    @delozulu2830 8 років тому +1

    May God bless Mr Sam Gichuru for making this girl dreams come true amidst all the meme's mockery of her on social media. 🙌😊

  • @janetkairu1950
    @janetkairu1950 8 років тому

    asante sana Sam Gichuru God bless you

  • @tabithaelamae9745
    @tabithaelamae9745 8 років тому

    beautiful story.

  • @Utadowot
    @Utadowot 8 років тому

    Go girl and have a blast!!!

  • @divabaibe3094
    @divabaibe3094 8 років тому

    she was all over media wow God is Great

  • @rwarutumo
    @rwarutumo 8 років тому

    Indeed Vision has a language. .

  • @honmichaelkaroba2128
    @honmichaelkaroba2128 5 років тому

    Sam God bless you so much

  • @ALI-su8ro
    @ALI-su8ro 8 років тому

    be blessed Sam

  • @marymuthunga5314
    @marymuthunga5314 8 років тому

    dreams are valid

  • @adelobeidi7945
    @adelobeidi7945 8 років тому

    this girl deserves the trip

  • @edykinpaul1984
    @edykinpaul1984 8 років тому

    nglo hup 😂