Sheikh naomba kuuliza kuhusu haya mafuta ya nywele(hair food)katika utengenezaji wake(ingredients)nilisoma nikaona muna na Alcohol nikawa na wasiwasi kuyatumia ila mwanzo nilijipaka bila kujua.alieniletea asema haina neno.Je ni vp vp hapa maana manywele ndio hayo makavu yaambiwa yalainisha.naomba utuelimishe sheikh wetu maana hizi mafuta mithanganyo yake mingi na matembo Subhanallah
Basi sheikh tuambie du'aa za kuzuia mwizi
Mkono kwa mkono mpk peponi tuko.pamoya unshaallah
Jazaka llah
Allah akuhfadh kwa darsa zako...insha Allah akupe khusnul khaatima
ameen
Mashaallah
Sheikh naomba kuuliza kuhusu haya mafuta ya nywele(hair food)katika utengenezaji wake(ingredients)nilisoma nikaona muna na Alcohol nikawa na wasiwasi kuyatumia ila mwanzo nilijipaka bila kujua.alieniletea asema haina neno.Je ni vp vp hapa maana manywele ndio hayo makavu yaambiwa yalainisha.naomba utuelimishe sheikh wetu maana hizi mafuta mithanganyo yake mingi na matembo Subhanallah
Ina alcohol ndan usitume mpenz
twashukuru kwa mawaitha yako mazuri
Subhanallah
Nimecheka jamani huyo panya vipi
Shehe unaweza kunitumia namba zako za whats up?
+254772611120
mtanga ndo nn
Mussa Shabani mchanga
Mchanga
Mtuzi ndio mchuzi
Huyo mtume aliyeruhusu kufuga mbwa kwa ulinzi hakujua kama kuna kumtegemea Mungu shekhe?
Nadhani Ni kwa sababu yeye alishatanguliza kua hapendi
Naomba kujuzwa, mtanga ndo nn?
Akisema "mtanga" ,,,anamaanisha mchanga,,,turab تراب kwa lugha ya kiarabu.
Mashaallah