Hersi Said awapa ofa wazee Yanga kwenda kuitazama mechi Chamazi
Вставка
- Опубліковано 30 кві 2024
- Rais wa Yanga amewapa ofa wazee watimu hiyo kwenda kuitazama mechi yao ya CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Tabora United.
Hersi ameagiza wazee hao kupewa tiketi na usafiri wa kuwafikisha Chamazi. - Спорт
YANGA yangu naipenda paka naumwa hii inshu ni wananchi kolo au dunduka fc ayakuhusu
heshima kwenu nyote hongereni sana
Nimeipenda sana wazee wanavofurahia maisha
Hongereni sana kwa kuthamini
Sawa mbili sheh, kula oga subiri mechi update burudani ya wananchi
HII. NDIO. Yang
Swala la kufungiwa kusajili naomba mlimalize mapema tunaenda kwenye usajili
We kolooooo acha wivu na wewe kawasifie na madundukaa hayooooo😮😮😮😮😅😅😅😅😅😅😅😅
Hii ndio Yangaaa bhn
❤
Saa mbili
Hamkuzungumzia habari za usajiri hapa huwa viongoz wanachemka sana
Kwani dirisha limefunguliwa
Hongereni viongoZi
Mechi saa ngapi wadau
2-15
saa mbil na nusu
Mechi inajulikana wiki nzima mtu anauliza hivi kweli we Yanga au unapenda vitu vingine na siyo Yanga mechi saa 7 usiku
Saa mbili ma nusu
Saambili kamili
😂😂😂😂😂
Kkkkk ira utoporo bwana wanapenda sifa
Timu maumivu na mateso, unateseka ukiwa wapi ? nguruwe fc.