Tatizo, kanisa hili au mtumishi huyu anatangaza na kuwauzia DVD za kishetani (Freemason) wa kristu. Mafundisho yake ni kama mtu aliefanya theologia. Mahubiri ya huyu mtumishi ni makavu, hakuna nguvu ya Roho Mtakatifu ndani. Siku za mwisho, hawa watumishi, waongozi wa aina hii, wamezuka wengi saana. Wanahubiri ki dunia wala sio ki roho. KUWA MACHO (Be Watchfull).
hujaelewa wewe maana ya kuuzia watu izo DVD ni kwamba watu waweze kufahamu ili wajiepushe nayo na waweze kujua ukweli ulivyo na nguvu za mashetani si ati anawasajili ama anawaingiza kwa freemason
This sermon is touching 😮😮😮
Amen Mungu akubariki mtumishi nashukur kwa neno
You are a family councilor pastor, God bless you, tunakupenda
Umetusaidia sana pastor ndoa zetu nyingi Zinaokolewa kutoka tz
ubarikiwe sana pastor.mafundisho ni mazuri sana.
asante mchungaji
Nashukuru pastor
Mafundisho mazuri
Amen
Tatizo, kanisa hili au mtumishi huyu anatangaza na kuwauzia DVD za kishetani (Freemason) wa kristu.
Mafundisho yake ni kama mtu aliefanya theologia. Mahubiri ya huyu mtumishi ni makavu, hakuna nguvu ya Roho Mtakatifu ndani. Siku za mwisho, hawa watumishi, waongozi wa aina hii, wamezuka wengi saana. Wanahubiri ki dunia wala sio ki roho. KUWA MACHO (Be Watchfull).
hujaelewa wewe maana ya kuuzia watu izo DVD ni kwamba watu waweze kufahamu ili wajiepushe nayo na waweze kujua ukweli ulivyo na nguvu za mashetani si ati anawasajili ama anawaingiza kwa freemason
if u don't understand the message don't comment.
Unataka afufue wafu ndio roho au anene kwa lugha..na alie soma maandiko...mtaishi kwa neno
mahubiri yaayohusu uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoyapitia na ushetani wako unaotaka kutuelezea yanaingia wapi hapa
Mafundisho yako sawa niwewe haujaelewa mafunzo ya familia.jifikirie wewe ndugu