WAKE WENZA{ SEASON 4) EPISODE 8 FINAL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 кві 2024
  • #Bhailam#Naomy#comedyplus#2024#
    ⭐⭐ Disclaimer
    This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
    For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
    Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
    Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
    Subscribe hapa : www.youtube.com/@ComedyPlustz...
    Subscribe hapa : / @bhailamkhan
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 779

  • @ComedyPlustz
    @ComedyPlustz  3 місяці тому +318

    Ahsanteni sana wote mliochangia Episode ya mwisho ya wake wenza.Mungu awabariki sana kuwa na moyo huo.

    • @nadzuamrema5837
      @nadzuamrema5837 3 місяці тому +8

      Pia nyinyi asanteni snaa kwa kutuletea filamu yetu

    • @user-st2ig6ds3f
      @user-st2ig6ds3f 3 місяці тому +2

      Asanteni na nyie pia kwa kutumia tukaiona mwisho ❤

    • @user-gp6fw7nh8e
      @user-gp6fw7nh8e 3 місяці тому +2

      Cm yako ndo tatizo

    • @sheylahpeter
      @sheylahpeter 3 місяці тому +2

      Jina LA wimbo please

    • @ComedyPlustz
      @ComedyPlustz  3 місяці тому +11

      Wimbo Tutaupost kesho ​@@sheylahpeter

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 місяці тому +44

    Mlioanza mke mwenza adi final mko wapi jmn 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇸🇦🇰🇪♥️♥️♥️♥️team strong hoyeeeeeeeeee

  • @KirivoloKakule-hu7ge
    @KirivoloKakule-hu7ge 3 місяці тому +127

    Muda wote nilikua naangalia sioni wake wenzu afadhali leo imetoka, likes zenu wote mulo shiliki mwanzo hadi mwisho tuone kama tupo wangapi🎉🔥🔥

  • @sadcome3213mapenzi
    @sadcome3213mapenzi 3 місяці тому +138

    Wa Kenya Hoyeeee nmefika yani sichelewi kabsa haya gonga like tukimalizia wake wenza❤❤❤

    • @KhabibtyUmmiKhabibtyUmmi
      @KhabibtyUmmiKhabibtyUmmi 3 місяці тому +3

      Wa kenya tupo tumejaa tele❤❤❤ tz nawapenda sana

    • @user-ib1gv8dq2r
      @user-ib1gv8dq2r 3 місяці тому

      Asanten sana team Bailam kw kazi mzur mloiyonesha ila episode ya mwisho saut ndo haina

    • @user-ib1gv8dq2r
      @user-ib1gv8dq2r 3 місяці тому

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @hassankalu540
      @hassankalu540 3 місяці тому +1

      Tupo pamoja

  • @RehemaKatana-hb4ei
    @RehemaKatana-hb4ei 3 місяці тому +78

    Watatu kutoka Kenya wapi likes 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @abuilfatbeka1122
    @abuilfatbeka1122 3 місяці тому +80

    hongereni sana kwa funzo hili naomba niseme jambo kwa NAOMI kama sio MUISLAM basi vazi la KIISLAM linakupendeza sana naomba allah subhanahu wataala akuonyeshe njia sahihi na uifate kupitia uhusika wako kwenye tamthilia hii .
    AHSANTENI NYOTE WASHIRIKI WA HII TAMTHILIA.
    NAOMI NIMEKUPENDA MNO.

    • @NatashaOmar-mo4fn
      @NatashaOmar-mo4fn 3 місяці тому +7

      Kweli kabsa Allah amuongoze aingie Katika dini ya haki in shaah Allah

    • @SalmaZainab-nh5id
      @SalmaZainab-nh5id 3 місяці тому +1

      Aamiin

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 3 місяці тому +2

      Amiin

    • @user-ie6lz6gl5d
      @user-ie6lz6gl5d 3 місяці тому +2

      Asanteee sanaaaaa Kwa timu yoooooooteeee hongereni sanaaa Kwa kipaji

    • @faudhiashaban789
      @faudhiashaban789 3 місяці тому +1

      Hiiilii ni funzooo kubwaa mimi ni stability wa woteeee ilaa naomy mariam nawapenda sanaaaa mmewezaaaaaa

  • @user-fk8vn8pi9l
    @user-fk8vn8pi9l 3 місяці тому +15

    Kweli .kitu smart sana ....asandeni pia waingizaji wote ... Kazi Zuri kabsa ❤❤❤❤❤much love from Kenya .....Ngoma ya mnganga uendelee basi

  • @luckylucky7153
    @luckylucky7153 3 місяці тому +24

    Haya ndo mambo Sasa sisi ndo mashabiki zenu shukuran sana kwakutuletea hama hii movies bhalam nakukubali sana

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 3 місяці тому +17

    Asante sana ubarikiwe bhailam kazi mzuri mno tumejifunza mengi big kwema nawapenda nyote ❤️🥰❤️ sema jojo kila nikikuona nakuwaza kwenye my love😂😂😂😂😂😂

  • @mamudequeen
    @mamudequeen 3 місяці тому +7

    Naomi si uwe muislamu shoga yngu ❤❤❤❤

  • @user-by3ll9ge7y
    @user-by3ll9ge7y 3 місяці тому +17

    Kazi nzur sana nimefrah kwakweli
    Allah azidi kuwapa nguvu katika filam

  • @mlongomlongo6680
    @mlongomlongo6680 3 місяці тому +53

    Wenye tunagaliya tukiwa ugaibuni tukiosha hamamu tukutane hapa tumalize wake wenza 😊😊😊😊😊😊

    • @helinasubila987
      @helinasubila987 3 місяці тому

      ❤❤❤❤ hapa sana

    • @user-qr6wq9kk6c
      @user-qr6wq9kk6c 3 місяці тому

      ❤❤ nime saau matusi ya mwanabu aki iko poa imeishaje jamani😢😢😢

    • @cabylake2320
      @cabylake2320 3 місяці тому

      ❤❤❤😊

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 3 місяці тому +27

    Wa 5 leo , Naombeni Like na mm 😢😊😂

  • @DinahNish-bm9sr
    @DinahNish-bm9sr 3 місяці тому +34

    Napenda waislam wanavyo fanya ibada jmn hadi raha

    • @user-ji6cp1ng8g
      @user-ji6cp1ng8g 3 місяці тому +6

      Slimu mpendwa wangu ufate dini ya haki

    • @user-bo1ew3xq6w
      @user-bo1ew3xq6w 3 місяці тому +2

      Karibu sana kusilmu bure.

    • @user-fl7mr4dt1p
      @user-fl7mr4dt1p 3 місяці тому +1

      Karibu Sana mdogo wangu Allah akuongoe na akisimamie ammin

    • @Bintiade1922
      @Bintiade1922 3 місяці тому

      Hata ww waaweza fanya ibada hukatazwi kwa Iman yako

    • @DinahNish-bm9sr
      @DinahNish-bm9sr 3 місяці тому +1

      @@Bintiade1922 sio kwamba sifanya nimesema napenda wanavyofanya waislam

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 3 місяці тому +15

    Mashallah mmetuletea final episode 👏 thnks

  • @audrickiranzi2810
    @audrickiranzi2810 3 місяці тому +25

    Burundi🇧🇮 people please like zenu

    • @Pmida6943
      @Pmida6943 3 місяці тому +1

      Ndi aha 🇧🇮🇧🇮🤜🏾🤛🏾♥️♥️♥️

    • @seigneurdieu9351
      @seigneurdieu9351 3 місяці тому +1

      Tupo ❤❤

    • @user-py5hz5qb8j
      @user-py5hz5qb8j 3 місяці тому

      🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @emmanueliusemmanaimablecic2243
    @emmanueliusemmanaimablecic2243 3 місяці тому +14

    Wa kwanza kabisa , nipeni liké zangu

  • @shafiethecompatriot2377
    @shafiethecompatriot2377 3 місяці тому +8

    Ahsante kwa yote jamani
    Nawashukuru saana.
    From Uganda 🇺🇬.
    SHA5FIE 🌠 THE 🌠 COMPATRIOT

  • @nemahk2361
    @nemahk2361 3 місяці тому +9

    Bhailam hongera sana ww pamoja Na team yko❤❤❤❤

  • @Winleizerabdy
    @Winleizerabdy 3 місяці тому +11

    Kazi nzuri nashukuru sana mi binafsi

  • @user-pv5xn6vc1w
    @user-pv5xn6vc1w 3 місяці тому +6

    Nimefurahi sana kuioyona finally Ep asanteni sana muwe na kazi nzuri baada ya hii 🎉🎉🎉🎉🎉👏👏👏👌kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-my1vi6wv9h
    @user-my1vi6wv9h 3 місяці тому +18

    Hongeren saan uongoz wot sisi tunawapenda❤❤❤🎉🎉 kwa kutupa finally

  • @user-ss8zw7ep1z
    @user-ss8zw7ep1z 3 місяці тому +6

    asanteni sana bailam na ukumbi wako wote Kwa filamu hii ya wake wenza❤❤❤❤

  • @user-yu4tt8hx6q
    @user-yu4tt8hx6q 3 місяці тому +4

    Nachukua furusa hii niwashukuru sana wana wake wenza woote niwape hongera kwa kazi yenu nzuuuri mno.naipenda sana tamdhiria yenu nipo zangu kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nawapendaga bure tu.

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 3 місяці тому +4

    Asante sana nyinyi wote mulioshiliki kwa kudupa mafunzo mazuri tunawashukulu sana ilikua pambe mumedufulahisha mno mutuandalieni vitu vizuri tena tuko na nyinyi sambamba maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @garirehema767
    @garirehema767 3 місяці тому +12

    Asanteni sana kwa kazi nzuri

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 3 місяці тому +5

    Mzee simba mwenyewe anatembea kama hiyo simba😂😂😂😂😂😂😂😂sai ni wakati ya familia yetu kulipa uzuni bye 👋 ♥️ 🤣 😂 ❤️ 😆 😂😂😂😂😂😂😂😂 natumai tumejifunza jambo hapa ndungu zangu wa comedian tv 😂😂😂😂😂😂😂😂yangu ni kusema tu asante na mmenifunza sana nisiwai kata tamaa katika maisha nami nitamtetea babangu kwa kila jambo nakupenda sana babangu allah akupe umri mrefu inshallah 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋 👋

  • @MercyNaliaka-ke9lm
    @MercyNaliaka-ke9lm 3 місяці тому +5

    Nimejifunza mengi kupitia hii episode aki Allah awabariki mashallah

  • @lailahmohamed6749
    @lailahmohamed6749 3 місяці тому +2

    Hongera Sana kwa tamthilia yenye mafunzo mazuri. Mungu awabariki nyote. ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JanethJoseph-tq2ns
    @JanethJoseph-tq2ns 3 місяці тому +3

    Imenigusaaa sana Jaman 😢😢, kwanzia mwanzo hadi sasa hongereni sana 🙏♥️♥️

  • @Riamaproduct
    @Riamaproduct 3 місяці тому +2

    Kwakweli hii ilikuwa nzuri sana hongereni mungu awaongoze muendelee kufanya vyema zaid

  • @zainabmussa-jz2ys
    @zainabmussa-jz2ys 3 місяці тому +4

    Asanteni sana kwa kutujali nawapenda mnaweza kinoma noma

  • @user-fe8od1uw4j
    @user-fe8od1uw4j 3 місяці тому +2

    Wake wenza imetoka mbali san mungu awabariki sn kwa kz yenu .tuko pamoja lshaa allah🤲🤲🤲

  • @veronicakhamisy
    @veronicakhamisy 3 місяці тому +2

    Hongereni sana kwa funzo nime jifunza kitu na mov ni ipendayo ime isha vzr sana

  • @FabriceShandwe
    @FabriceShandwe 3 місяці тому +2

    Mubarikiwe sana kwa mafundisho yanayo patikana kwenye filamu hii, yameninifunza mengi. Mzee Simba uko star mkubwa sana, Mariam umecheza vizuri sana, Bailam tunasubiri kali zaidi ya hii. Ila wake wenza imechukuwa na fasi ya kwanza kwenye internet na kwenye mchezo zote nilishaka wahi ona.

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 місяці тому +4

    Wacaweee mze simba karudi mpya kabisa haya twende kazi sasa kukomesha maaduwi zetu funal imeingiya asanteni sana washirika wa wake wenza kwamafunzo mazuri natumai mutatuleteya nyingine nzuri kuzidi iyi❤❤❤🎉🎉🎉

  • @marcellinemayuto
    @marcellinemayuto 3 місяці тому +4

    Yani congratulations movie nzuri sana tumejifunza kitu apo 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 3 місяці тому +5

    Lakini mjomba wa my love AKA bwana hamza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu mzee huwa cute kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,

  • @user-le8bg9md9c
    @user-le8bg9md9c 3 місяці тому +2

    Wow hongeren kwa mafunzo mliyotufunza team bailam

  • @1czay
    @1czay 3 місяці тому +2

    Mzee hamza unakatabasam flaani ❤❤to much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-sy9cu5ef5q
    @user-sy9cu5ef5q 3 місяці тому +1

    Wow Asante sana kwakutuletea mwisho muzuri sana nimefurahi kumuona mzee simba kapona napia Familia imerudisha furaha 😂😂❤

  • @SeleIddi-gj9fu
    @SeleIddi-gj9fu 3 місяці тому +4

    Well done Kazi Nzito na Nzuri
    Keep it up

  • @Aminahlamranl420-hw2ie
    @Aminahlamranl420-hw2ie 3 місяці тому +2

    Ahsanten kwa kaz nzr. Tuleteeni nyengn

  • @HadijaHusen-od2bw
    @HadijaHusen-od2bw 3 місяці тому +1

    Jamani nimechelewa ila so sana kazi nzuri sana comedy plus

  • @user-yg9hj8ps2h
    @user-yg9hj8ps2h 3 місяці тому +3

    Nami mwengine amependa hii part ya mwisho mzee simba na familia yake mashaallah

  • @gihungaselemani8727
    @gihungaselemani8727 3 місяці тому +3

    Season ya wake wenza n somo kwa kila mtu Asante comedy plus kwa hii season

  • @MariamAli-eh6bw
    @MariamAli-eh6bw 3 місяці тому +2

    Tanashukuru sana kuona final jamani mungu awa bariki from Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @A.moses_24
    @A.moses_24 3 місяці тому +3

    Hongereni saan team comedy plus kwa kuifunza jamii katika hali tofauti..ukwel kwamba kazi imefanyika kwa uwez n maarifa ya upekee kabsa hongeren saaaana🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @user-rl4cf6tc5n
    @user-rl4cf6tc5n 3 місяці тому +4

    nimefurahi sana kumwona mzee simba kurdi kwenye hali yke ya kawaida

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 3 місяці тому +2

    Asante Kwa kutuhitimishia final yetu Mwenyezi mungu awatangulie Kwa Kila jambo unalolipanga.....kama nawe ni shabiki tafadhali gonga like ili tuende sawa huku tukiwsachia maua yao🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EugenieKwizera-bg8jr
    @EugenieKwizera-bg8jr 3 місяці тому +1

    Kazi nzur san Bhailam, na mzee Simba Mungu aendeley kuwap ujuz na uwigizaj wazaid napend san kufatia comedy plus from buja

  • @defranco3100
    @defranco3100 3 місяці тому +3

    mwanzo mzuri na mwisho mmeupatia u guys deserve a gift🖐

  • @user-id6mn3mv8z
    @user-id6mn3mv8z 3 місяці тому +1

    Duuu mwisho mwema jaman,hakika apandaho mtu ndicho avunacho tujitahidi kutendabyaliyo mema mwisho tutauvuna wema wetu,Mchezo mzuri sana barikiwa kwa kutuelimisha na ktufunza pia

  • @SarahAimedy-us7if
    @SarahAimedy-us7if 3 місяці тому +1

    Nîme aza nayi Nîme maliza nayi liké zangu apa🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @user-bn7xc5mn7v
    @user-bn7xc5mn7v 3 місяці тому +2

    Bhailam moto fire 🔥 congratulations nyote mulioshiriki❤

  • @petersige5802
    @petersige5802 3 місяці тому +1

    Shukurani sana wapendwa Mungu awajalie mtoe kazi nzuri nyingine

  • @NiyonkuruAnissa
    @NiyonkuruAnissa 3 місяці тому +8

    Wakwanza leo😅

  • @Twinscouple-uo6pr
    @Twinscouple-uo6pr 3 місяці тому +6

    Wa kwanza jameniiii like zenu mnipe

  • @HaluaKaschana
    @HaluaKaschana 3 місяці тому

    Wooh ahsante saana Wana comedy plus mmefanya Kaz nzur sana..kaschana ktoka kenya

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 3 місяці тому +1

    Nimechelewa ila niache coment asante sana bailam na team nzima tunawapenda sana❤

  • @muhammadamir2901
    @muhammadamir2901 2 місяці тому

    Bwana Hamza na team yako hongera sana kwa kazi nzuri umeupiga mwingi, Bwana hamza ndo uzuri nkuchane wanyanyavandu 😅👏

  • @fayojarso3777
    @fayojarso3777 3 місяці тому +1

    Mzee na bailam asante sana,god bless you, tafadhali mimi naomba nyinyi anzani tamthilia mpya hapa, siku karibu, mimi kutoka kenya,

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 3 місяці тому +1

    Tunawapenda sna Asante sna kwa kutupa movie nzuri sana kama hii hakika tumejifunza sna tuko pamoja ❤❤❤🇹🇿

  • @user-tk6fe6ve6z
    @user-tk6fe6ve6z 3 місяці тому +1

    Jamani ilivyo nzuri sitaki iishe kabisa mashaallah tabaraka irudiwe tena au iyendelee jamani yani ni nzuri kweli

  • @user-zz9uy8xo8i
    @user-zz9uy8xo8i 3 місяці тому

    Mm wamwisho jaman Asanten sana dada zangu na kaka zangu kazi nzuri sana kweherin

  • @fayojarso3777
    @fayojarso3777 3 місяці тому

    Asanteni sana, mimi nataka kuomba nyinyi plz, tamthilia ya mchawi na tamthilia ya shetani usicheze hiyo ni mbaya sana,hata mwenyezi Mungu ataki plz, tafadhali chezeni tamthilia ya kuchekesha watu plz,

  • @esthermoraa9701
    @esthermoraa9701 3 місяці тому +2

    Asanty sana team kipindi Kwa kazi nzuri nawapendaaaaa

  • @HawaBakari-bs4yo
    @HawaBakari-bs4yo 3 місяці тому

    Muhimu tyuu ni kuendelea na kazi nzurii kama hizii ndugu zangu 🎉🥳🥳🥰♥️

  • @user-vs1gw5ps9h
    @user-vs1gw5ps9h 3 місяці тому +1

    Simba kawakomesha jaman😂😂😂dinyo ndo balaaa kabisa dah wake wenza inafundisha mambo meng sana

  • @user-vo4cu7ue4e
    @user-vo4cu7ue4e 3 місяці тому +2

    Mzee Simba 🎉❤🎉❤🎉❤ Wewe Na Familiya Yako Mauwa 💚💐💚💕 Yenu Hayo Ahahahahaaaaa Kazi Nzuri MAKOFI 👏👏👏 Kwenu 👉 TAFADHARI 🙏 Sijasahau Kinywaji Tafadhari Hicho🍾🥂

  • @ShamyScholastiqueMatadi
    @ShamyScholastiqueMatadi 3 місяці тому

    Tuna shkr sn kwa kazi zenu zuri Allah awajalie mfike bali Naomi Na mkumbali sn

  • @hafsahmassemoh3598
    @hafsahmassemoh3598 3 місяці тому +1

    Had nikajiuliza au Mm ndo cmu yangu hailet wake wenza😂😂😂😂 ongeren sana,, mara paap inaendelea season 5😂😂😂utaskiaje labda 😂😂

  • @eunicemagolo4028
    @eunicemagolo4028 3 місяці тому +1

    Toka episode 1 Hadi mwisho,sijapitwa na lolote , nashukuru Sana team wake wenza kwa furaha mliotupa ,naombeni nyingine Kama hyo ila ningependa mzingatie muda,kiukweli muda ni mchache sana

  • @user-oj1dv7ci1v
    @user-oj1dv7ci1v 3 місяці тому

    ❤❤❤❤ nawapenda sana mzee simba na timu yako kwakweriii mnafundisha sana

  • @mamudequeen
    @mamudequeen 3 місяці тому +2

    Jojo hongera shoga 😂😂❤❤❤❤❤

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 3 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana lakin kisasi mda mwengine tumshukuru mungu tu yeye ndio mlipaji zaidi.

  • @rubyrung8808
    @rubyrung8808 3 місяці тому +2

    Tunashukur tumeanza salama tumemaliza salama nawapenda team mzee simba mpoo😂

  • @zenaabuubakar1894
    @zenaabuubakar1894 3 місяці тому

    Mashallah keep it up kwa kazi mzuri mmetupa fundisho mungu akuzidishieni vipaji muje mufanye movie nyengine nzuri yenye fundisho kwa Jamii kila la kheri

  • @JojoJose-tp7pj
    @JojoJose-tp7pj 3 місяці тому +4

    Duuuh leo nimewahi kweli sunaona mulikuwa mumetukosea😢😢😢wakati tupo mashabiki wenu 😢😢

  • @MulasiMikwa-hc8rg
    @MulasiMikwa-hc8rg 3 місяці тому

    Wow kazi nzuri sana we really enjoyed the story mwanzo mwisho❤❤

  • @estheralex8579
    @estheralex8579 3 місяці тому +1

    Asante kwa movie yenye mafunzo manzuri na maonyo ya kutosha pendekezo tunaomba muiunge yote kuanzia episode ya kwanza Hadi ya mwisho muiweke UA-cam ili ujumbe uweze kufika Kwa pamoja Kwa pamoja be blessed a lot...Kuna moyo wa mariamu na Naomi jaman nimewapenda bure maana licha ya kupitia magumu lkn mlikua mnaweza kufanya kitu ❤❤❤

  • @LatifaIrakoze-dl3yi
    @LatifaIrakoze-dl3yi 3 місяці тому

    Asanteni sana kwa episode ya mwisho ya wake wenza tunawapenda sana sikutamani iishie hapa nilitamani ienndelee 😢

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 3 місяці тому +1

    Natoka kumchamba Bhailam Instagram kumbe huku ashachiaaaaaa 😂😂😂nisamehe kaka Bhailam hatimae tumefika tamani ya move yetu pendwa Alhamdhullilah,,twasubiri kazi yenu nyengine ,,kwa wake wenza tumejifunza vitu vingi mno natoa shukran kwa team nzima wausika na mashabiki kwa ujumla tufanye subra tusubiri kazi mpya

  • @zaharaidd8445
    @zaharaidd8445 3 місяці тому

    Shukran comedy plus kwaku tuburidisha kwa hicho kipindi chote...kazi Safi we can't wait for another bang 👊salute watu wangu👌💪kudos 🇰🇪🇰🇪

  • @user-bf1vf8pb8g
    @user-bf1vf8pb8g 3 місяці тому

    Nilipeda sanaaaa nilifata molipoanza hadimwisho Asante kwamafunzo

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 3 місяці тому +1

    Hongereni washiriki wote tumeburudika pamoja na kuelimika ule wenza 🔥🥰💐💐💐💐

  • @user-yz6ff1ed9i
    @user-yz6ff1ed9i 3 місяці тому

    As salam alaikum!
    Niwashuru sana ndugu wapendwa kwa elimu yenu mungu awalipe kila la rheli! 🙏

  • @ruksmohaa7071
    @ruksmohaa7071 3 місяці тому +2

    Mzee hamza nakupenda buree babangu

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂mwanakulifind mwanakuligate tatu talaka

  • @user-jf3qz3il3u
    @user-jf3qz3il3u 3 місяці тому

    Much love from saudia Arabia really appreciate that kazi nzur sana ❤❤🎉

  • @faudhiashaban789
    @faudhiashaban789 3 місяці тому

    Hiiiii movies mmewezaaa mmezishundaa zoteeee mashaallah mashaallah mashaallah mtoeee zingineee bolaa zaid 🎉🎉🎉🎉 hongereeen sanaaa❤❤❤❤❤

  • @user-yw1gs1en8l
    @user-yw1gs1en8l 3 місяці тому +1

    Ila janeth wajina wangu umenifurahisha San ndo kuuguza mgonjwa hivo 🎉😂

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 3 місяці тому

    ❤❤❤❤ ilove his kwasa yote wanasitahili athabu kweli lakini ndiyo aaa nimefula yangu yote wagapi tulisigoja athabu ya ndiyo😂😂😂😂😂😂 mimi kutoka kenya hagoleni sana sana kazi safi

  • @hamarosylvano9500
    @hamarosylvano9500 2 місяці тому

    One of my favourite programs. Pongezi wanafilsmu wote. I loved each and every actor ❤️ ♥️ 💕 💙 💜

  • @mishiabdu2773
    @mishiabdu2773 3 місяці тому

    Mashaallah nzuri sana inasisimua🥳🎉🎉 🎉😊 Allah awafanyie kheri kwa kila hatua mnazo piga❤️❤️

  • @belitomanuel6240
    @belitomanuel6240 3 місяці тому +2

    Umezinguwa😂 babahake mbona sauiti haisikiki?

  • @jeffyasin2977
    @jeffyasin2977 3 місяці тому +6

    Wa kwanza

  • @minanietienne-sz8xu
    @minanietienne-sz8xu 3 місяці тому

    Kazi nzuri sana kwa nyinyi wote

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 3 місяці тому

    Ongereni team nzima mmetuelimisha, burudisha na ujumbe umetufikia.tunatarajia mazuri zaidi❤

  • @EsperanceNzeyimana-wu8ks
    @EsperanceNzeyimana-wu8ks 3 місяці тому

    Ahsanteni sana nyinyi wote nawapenda sana from Burundi❤