Mmhh mm kiukwel nadate na mtu miak3 now bt tunajuan kwa pic tuh hta videocall hatujawah kuongea na sio kma anakaa mbali… ankaaa krb yan sio kwa kupanda bus wala boti Ila daladal tuh unfka😢 na nampend Sanaa
Mmmh,,thats too hard...kudate na mtu for all those years...mi naona ni ngumu aisee...mayb useme niwe namfahamu but yupo mbali..xo long distance rlship lkn siyo hiyo ya kutomfahamu kabisaaa.
it refrect my childhood love i date a deef girl our love was so strong even though people were laughing at me i never experienced kind of love like that our love ended when she and her family had a trip to cannada i missed her so much but for now i have grown more than 15 years withouth date any girl iam still waiting for her till now but i dont know if she remember me now i missed her so much even though by now she is well and i wish her happy life😍😍💌💌💌
Nimechelewa jamaniii haya tunasikiliza hapa asante mwamba tunainjoi tuuu unajua sana kutufurahisha nilikumis sana ❤❤❤❤
Wa kwanza leo mapema sana naombeni like zangu na mimi ila bro @E7Bits uko vizur sana bro keep hard and God Bless U
Asante sana
Wa piliiii kulike uwiiiiiiiiiiiii@izkonka gonga like twende woteeee❤🎉
Yan mm naweza kuona watu wengine wanatafsiri lakn hawawezi kufikia kwa Huy kaka ❤❤
Mimi hapa niliweza na imenitokea 2013 nilimpata kwa kukosea namba nikaja kumuona 2017 na ndio mke wangu na tuna mtoto 1 😂😂😂😂 life bhn
Huyu ni mimi kabisa. Mapenzi hayaangali chochote kile moyo ukishapenda umependa broh
Kakubal sana mwamba ujawai fel yani wewe kwa tz one 🔥🔥🔥 plz guys apewe like zake jamaniii
Mashaallah usikante tama mung yiko na wewe 🙏
Kibongo bongo hata penzi la dar na Arusha miezi miwili mingi washanbreak uyu kachiti dah😂😂😂😂
😂😂😂
Hii nayo n kwel😂😂
Noma sana, Nigeria mmenishinda tabia😅,mbona hamna kazi mbovu 🙌
For the first time nimekuwa wa kwanza nipeni like zangu🎉
🙌🙌🙌
Msimulizi upo vivuri unajuwa sana❤️🔥
Mmhh mm kiukwel nadate na mtu miak3 now bt tunajuan kwa pic tuh hta videocall hatujawah kuongea na sio kma anakaa mbali… ankaaa krb yan sio kwa kupanda bus wala boti Ila daladal tuh unfka😢 na nampend Sanaa
Leo nimecomment kwa mara ya kwanza jamaa story zako nzuri snaa 👏
Asante sana
Msimuliaji hana plesha , kisukal, maralia , UTI, half ni mwembmb mn sio Kwa pumzi hiyo nahis ukimaliza unakunywa lita nzima ya maji
😂😂😂😂😂😂😂😂😂umejua kunivunja mbavu zangu eti nn
Oyaaaaa, hii Kuna muda inakuwa km inataka kukutoa machozi, na Kuna muda inakuletea furaha kamili, SALUTE e-7 bits
Kabis 😢😅
Ndio hii mm imenikuta mpk saivi nina mahusian na m2 ambae sjahaw kumuon sura😢😢😢
Hata mie
Daaah jmn nmeenjoy sana hii mv imenfunza mengi😊
Wakwanza leo like zangu plz💪💪💪
🙌🙌🙌
Pamoja zee la kutune🙌🙌
Bro nmeangalia kaz zako zooote zimeisha sasa imebak kuw nasubir mpya so..uwe unatoa back to back plz
Kwel asee naingia UA-cam kisa yy😢
Haina noma
Mm pia nasubili xana
Wow napenda move zako❤❤❤🎉🎉🎉
Sema nn Kaka unatucheleweshea ckuizi tupe kama mwanzo kila cku vitu viwili
Ntajitahidi
Brother we ni top top nakubali sana
🙌🙌🙌
Mmmh,,thats too hard...kudate na mtu for all those years...mi naona ni ngumu aisee...mayb useme niwe namfahamu but yupo mbali..xo long distance rlship lkn siyo hiyo ya kutomfahamu kabisaaa.
Napenda move zako ongeza bro
Asante sana
Kwaresma hii ninyimeni likes mpate dhambi 😂
🙌😂😂
@@e7bits_tz kaka kazi Yako ibarikiwe 🙏
Kaka jitahidi kutoa move tufike 100000
Wonderful movie and I like it❤
If God sai yes no bode ken sai no
Mzigo wa 🔥🔥
Super commentator 💪 sema nnakukubali sana... Sometimes Niki watch ivi inakua ni basi Haina haja ya kuchek full movie
Am the one today zee la kutune e7bits magic🔥🔥🔥🔥🔥
✌✌✌
Waaa Kwanzaa likes zanguu team😂😂
🙌🙌🙌
Unatoa vitu vikali sana mnyama❤😊
N😂😂number moja nipeni like zangu
🙌🙌🙌
Niko hapa sipitwi main yangu pita na blood diamond
Nakukubali sana upewe mauwa❤❤❤❤❤❤🎉
Nzuri sana nmeipenda mkaka anamsimamo adi raha
Mapenzi ya zamani sana hayo 😂😂😂 yaani mpaka usiku full kuchat na mtu hamjawahi kuonana
😂😂
kaZi zko bro zipo pow san like hap
Pamoja sana
Nzuri nimeipenda hii jamani ❤
Umetisha blood
Pamoja sana
Wa kwanza nipeni maua yangu😂🎉
Chukua🙌🌸
Unajuwa bloo much blessed🎉
Thanks so much
Kazi nzuri 👏👏
Hii movie ni nzuri sana🎉
Moto 🔥
Unyama Sana hii🎉
Shukrani sana Mungu🎉🎉🎉 awatanguriye kwasimurinzi ❤
Jaman like hata kumi tu
Wow❤❤❤
Mwanangu sikudai hata mia hujawahi kucheza na mb za mtu
Jamaa yup vizur 😂😂
Nme penda ak dj mungu akuzidishie wallah😂😂😂 ati kumbe ni white
Wakwanza leo nipewe like zangu 😂😂😂😂
🙌🙌🙌
Dah tushkuw adicted na hiz mamb jmn dah so poa 😢
Cjui kaniwahi wapi huyu jmn 😂😂😂
Yani sahiv ikipita bila jamaa kutoa movie siku inakuwa jau sana nkubali sana e7bits🙏🙏🙏🙏💪💪💪
Ku dat inawezekan mawasilian yako imar kil kitu kinaenda.
Jamani hii nitamu sana ❤❤
Kak hun baya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mimi hapa wakwanza, Uyu jamaa nimwaminifu sana
Hahaha babaaa mzgo hunaeleweka kinouuumaaa sana san 🎉🎉
Si tunatka mipinduko bro😂
Hii ni movie kihualisia hamna hii😂😂😂😂 weeh
Kazi nzuri saana kaka unatafsiri vizuri saaana
Dah hii ni bonge moja la movie yan 🔥🔥
Ewaah hii ntaichek night nikiw nimetulia ,nimekuj ku comment tu kwanz 😊
😂😅
@@e7bits_tz Jitahid uwe unatoa kila siku jana nimesubil weeh, lakn wap 😁
Imetufunza riziki kamaniyako niyakotuu haivutwi kwakamba 😂
Pita na movie ya fhe oath nigerian❤
Ema pole na hongera marafiki siyo watu wazuri japokuwa ulichangia kususa ndo vera kapata chansi ila usirudie siku nyingine
Oya Konkaaa Walete Katiiii 😂😂😂😂
Hii movie n mzuri lakini ni wengi awawezi hvo
Kaka ubarikiwe sn kwakuwailimisha watu uharisiya wamaisha 😢😢😢
Raha sana❤
Duuuuuuh,eeee....
Hiii balaaa
All the way from Zenji#Marashi ya Karafuuu🔥🔥🔥🙌🙌
Riziki ya mtu huwezi iziuia hata iweje
Napenda unavosimulia,, unajua sana 🎉❤
Kisichoridhiki hakiriki hatari😂😂😂
Waooooh nimewapenda
Nan yuko seriously 😒 tu date mpaka ntakapo rudi Tanzania kwasasa nipo njje😂❤
Niko hapa mamaa uko tayar
Niko hapa mamaa uko tayar
@@johnnchora3215 niko tayr ndio
Mm mana pia cpo tz 😂😂😂
@@SalhaNurdin sawah sasa wew c mdada na mimi ni mdada ilaa tunawez kua Frend’s
Inawezekana iyo broh konka 🙋🤗
Na kukubali mwana
Woooooow ❤❤❤ nzuri saaana msimuliaji uko vizuri sana 🎉🎉🎉
cjawahi pitwa hata cku 1 na video yako
Waga natuma maokoto kwa ex wangu ambayo yuko mbali sana❤❤❤❤❤❤❤ lakini nimependa sana film zako
Wow jameni nasikia nampenda utu mwanaume
WA 39 from Muscat ❤❤❤❤
Aah! Nikaz kudet na mtu usiyemjua
Nimeenjoy kinoma 😂❤❤❤❤
10/10. ❤. This is a best
Umetisha mzee baba
Iko vizur sana
it refrect my childhood love i date a deef girl our love was so strong even though people were laughing at me i never experienced kind of love like that our love ended when she and her family had a trip to cannada i missed her so much but for now i have grown more than 15 years withouth date any girl iam still waiting for her till now but i dont know if she remember me now i missed her so much even though by now she is well and i wish her happy life😍😍💌💌💌
Ikampiga Usoni 😂😂😂
Duuuh safi sana
❤❤❤❤❤🎉
Mbona kawaida tu, mm naweza
😂😂😂Kali kinoma
Yeah inawezekana ila sio kwa wabongo😂
Dah hii kali🎉🎉🎉🎉
Brother unajua
Kazi kazi
Jamani mzigo mtamu
Salute mkali
🙌🙌🙌