ALELUYA MSHUKURUNI BWANA NA C SAASITA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH CATHEDRAL DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @RichardMosha-dl1wz
    @RichardMosha-dl1wz 5 місяців тому

    Mungu awabarikii kwa kazii nzuriii imeimba vizuriii sanaaaa ❤

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 3 роки тому

    Naaam.....hiki Sasa chakula Cha roho....Mungu awabariki kwa injili hii......

  • @simonmusyimi906
    @simonmusyimi906 Рік тому

    Kazi safi sana.. organist 👏

  • @edwinnickolas805
    @edwinnickolas805 5 років тому +2

    Huu Ndio uimbaji wa kikatoriki,saafi saana Mungu awabariki.

  • @comwijage
    @comwijage 4 роки тому +2

    Mmeuimba vizuri sana
    Sauti tulivu.
    Asanteni kwa kunibariki.
    Mungu awazidishie

  • @specialfaustine2979
    @specialfaustine2979 4 роки тому +1

    Jamani hicho kinanda mie kinanimaliza kabisa. Shukrani sana kwa album nzuri ajabu hii. Mungu awabariki sana

    • @fredyjoseph998
      @fredyjoseph998 3 роки тому

      Duh Mwenyezi Mungu ampokee .mwl.Charles saasita mbinguni..mbarikiwe Sana wanakwaya..Uimbaji huu ndio ukatoliki wetu Amina sana

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 3 роки тому

      Hii kinanda itakua imedonolewa na mtu mwenye weledi na Hilo dude.....Mungu amewapa vipawa Hawa wamsifu kwa ukuuu wake

  • @elizabethwanyonyi609
    @elizabethwanyonyi609 5 років тому +1

    Kwaya hii nzuri sana!Sauti bora na nyimbo tamu.Mungu awabariki.

    • @kftstjosephcathedral
      @kftstjosephcathedral  5 років тому

      Amina sana ndugu. Mungu akubariki pia. Karibu tujumuike pamoja katika utume

  • @gabrielakaroli9066
    @gabrielakaroli9066 4 роки тому

    Nice song❤👏👏

  • @revocatuskatto7293
    @revocatuskatto7293 5 років тому +2

    Nice song barikiwa san

  • @danielmatemu9698
    @danielmatemu9698 4 роки тому +3

    RIP C. SAASITA

  • @benekatare3948
    @benekatare3948 5 років тому +1

    Designer wa hizi nguo za wakina Mama ni nan?

    • @kftstjosephcathedral
      @kftstjosephcathedral  5 років тому +1

      Tumsifu Yesu Kristo. Asante kwa kutazama wimbo wetu. Designer ni mwanakwaya mwenzetu hapa akishirikiana na kamati nzima ya sare ndio walidesign hizo nguo. Tafadhari subscrine like na share kama bado hujafanya hivyo. Asante

    • @benekatare3948
      @benekatare3948 5 років тому +1

      @@kftstjosephcathedral nitamuhitaji siku moja ili kutudizainia mm na Kwaya yetu.

    • @kftstjosephcathedral
      @kftstjosephcathedral  5 років тому

      Sawa. Tuwasiliane