Nimeskia habari ya madeni, adi nikakumbuka kuna muda nilikua na mkopo benki ilifikia kiwango cha mmi kutoroka nyumbani ninaenda kushinda mtoni, kisa na Maana wasije wakanikuta nyumbani jamani eee madeni sio mazuri yanakukosesha amani furaha unakua kama mkimbizi
Amen, pastor masanja
Nakubari sana pasta masanja
Amen, ubarikiwe mchungaji Masanja!
Barikiwa pastor masaja
Ameen Mchangaji
Kweli umetishaa Kwa somo La leo mchungaji nilijuaga unaigiza tu kumbe upo serious mjomba ,karibu Kapunga tena
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
Asante kwa kutusaidia mchungaji
Ubarikiwe,
Twende tukahuburi na mwashikamile
Ujumbe mzito sana nimeupenda
Aminaaaa
😆😆😆😆😆
Ameeeeen!
Amina
Umesema kweli Askofu.
Amen 🙏
😁😁😁😁😁Amen Amen 🙏🙌👏❤ dawa ya deni ni kulipa
Ameeen
Amina pastor masanja
iyokitu yenye inaninginia shingoni mwako inamaana ngani?
Amina madeni nidhambi
Amen
🤣🤣🤣Amina nimejifunza sana hili somo na nimebarikiwa sana
Piga kaz kamanda.
Nakupenda sana mkandamizaji nikombali ningeamia kanisani kwako
Kweli kabisa
Nimeskia habari ya madeni, adi nikakumbuka kuna muda nilikua na mkopo benki ilifikia kiwango cha mmi kutoroka nyumbani ninaenda kushinda mtoni, kisa na Maana wasije wakanikuta nyumbani jamani eee madeni sio mazuri yanakukosesha amani furaha unakua kama mkimbizi
Ni kweli kabisa
@@leonidamayala1010 duuuh 🤔🤔🤔
Nice
Kwanza,kudaiwa na bila kulipa ni dhambi,wote mdaiao lipeni haraka,mema yote utendayo yanakuwa si kitu kama unadaiwa
😂😂😂
Hahahahahahaha
Askofu gwajima hayupo kwenye video
Wenye macho wameshaelewa anamaanisha nini
Wakafanye kazi na kutoa sadaka kwenu na wakipata shida hamuwasaidii munajinufaisha nyie wenyewe tu. Ama kweli dunia duara.
Muongo mkubwa wewe
@@doreenchacha7692 Uongo wangu upi kwani watu hawatoi sadaka tena za kulazimishwa? Wanaolalamika ni wengi uliona wapi mtumishi maskini wewe.
Amina
Amen
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu