GOODBLESS LEMA AKIAMSHA BASUTI AENDELEZA KILIO CHAKE KWA VIJANA WA BODABODA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 8

  • @SamsonWaite
    @SamsonWaite 5 днів тому +2

    Tunataka katiba mpya

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 5 днів тому +2

    Mim huyu jamaa namkunali Sana anaongea ukwer kwenye vitu japo anapingwa

  • @Noelkitoi
    @Noelkitoi 4 дні тому +2

    Sisi kama vijana tuko tayari kwa Shari ccm msifungie wana habari mama samia ni mzanzibar anauza Tanganyika anajenga Zanzibar pamoja mawaziri na wabunge wa ccm

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 3 дні тому +1

      Tupp tayaliiii kama Kenya tu tumechoka kbs💪

  • @suleimanmbarouk3682
    @suleimanmbarouk3682 5 днів тому

    Wewe Lema huna ageda ya kisiasa. Wewe si mwanasiasa wewe ni msomi tu

  • @bilid4128
    @bilid4128 5 днів тому

    Mh Lema,Tufanye kazi gani tofauti na boda boda? Tanzania hii?

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 4 дні тому +1

      Elewa kiswahili serikali ilitakiwa kufungua viwanda kwawingi kuongeza maarifa naajira

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 3 дні тому +1

      ​@@abubakarimussa9131Safi kbs jibu jepesi sana japo Katiba mpya ingeleta majibu mapana zaidi japo wengije hawaelewi nini maana ya Katiba mpya