Dha!!! Mbona tunamkosea Mungu, Mungu ametuumba wanadamu ametupa maharifa harafu mnananunua roboti wa kuwakaribisha na vijana wako mtaani hawana kazi, si bora ungeniajiri hata Mimi nipate hiyo hela, kwani manyumbani mnakaribishwa na roboti!! Inaumiza sana 😭😭
Au Mimi sijui uyu si unaweka spika inakuwa imerekodi mazungumzo na nahisi anazingumza one way yeye ndo mtaaji Sasa movement ya mkono si unaiweka tu jinga kweli
Ujinga mwingi hivi hujui kama Saudi Arabia wana roboti wamelipa mpaka uraia ama ni Kufuru wakifanya watanzania tu? Kama hujui katarute Sophia the Robot utajua
Zanzibar tulikua hatujui km masanam ya kusema yanaitwa robot.Sie tulikua nae znz miaka ya 90.wa Africa wa mwanzo kufanya robot..lilikua linacheza nyimbo ya inde...akiitwa Joyce wo wo wooo....cjui tu aliishia wapi Joyce wowowoo.
Kuna mfanya biashara mmoja katika mahojiano yake aliwambia wandishi wa habari hivi nyinyi kweli munaogopa covid 19 musiogope sio Hatar ogopeni AI yani ogopeni Akili bandia ambazo hizi robots Mr amesema Hazijaja kuchukuwa kazi za Watanzania zimekuja kuwa saidia watanzania Dah! 😢😢😢
Huyo robot ana kazi gani hapo na kwanini awe wakike izo milion 50 nipesa zetu ama hio nizawadi kutoka nnje embu tuambieni mana hatupni faida yake ni ujinga na matumizi mabaya ya pesa zetu tuelewesheni na mseme izo pesa zimetolewa na nani
hata sijui nikwanini nimeangalia huu upuuzi sasa itasaidia nini kwawananchi ambao mnatumia majasho yao kodi zao mkatengeneza huu ujinga wananchi watafaidika.nanini kwenye huu ujinga
Yani dah viongozi wetu kuna mkaka kwenye report maalum amepatwa shida ya macho kila mbunge akitoa laki laki mtmsaidia sana kuponye na kuokoa maisha yake
I don't know much yawezekana hatujafahamu zaidi ... lakini hii ajira angepata mtu yoyote hamuoni kama ingesaidia kiujumla ni mawazo yangu tu hyo million 50 imenifikirisha sana.
Milioni 50 kutengeneza upuuzi, mwisho nchi itajaa masanamu, na hizo milioni 50 jee zingewekezwa ktk jambo la maana yangenunuliwa madawa au jambo lolote lenye manufaa kwa umma lkn sio upuuzi kama huo mwisho mtayaabudu
Barabara za mitaa nimbovu,vijiji havina maji,wananch wanaish kwa shida hiyo milion hamsini mngetutengenezea barabara yetu ya chanika kutoka nguvu kaz kwenda vilobo senta nimbovu hakuna gar linalopita bajaji pkpk nishida mnatuwekea mdoli tumfanyeje ,wenzen wanachukuwa midoli wanamaendeleo .
Hapo CCM Wanaona Wamefanya Jambo Kuuuuubwa Kuleta Robot La Kukaribisha Watu Bungeni. Alafu Hata Aibu Hamna Mnasema Lina Thamani Ya Millioni 50 Wakat Wananchi Vijijini Hawana Visima Vya Maji na Barabara Ni Mbovu Kila Kona na Shule Hazina Walimu, Kwa Ufupi CCM Mnakera Sana Yaani"
@@BakariMtangenangekwani wewe ni msafi ..mbona wewe una Vimeo vyako kibao tu ...tunaangalia potential ya mtu na uongozi wake..unajua kabisa deep moyoni mwako asingeruhusu vitu kama hivyo...ni ujinga...kuhusu utakatifu hakuna mwema ila BABA mbinguni pekeake
Hakika hakuna kilichosalia Tanzania.Wasomi mkop WAPI mpaka mletewe midoli na namwuone ni kawaida kila kitu kuiga wazungu TU.midol ni ya watoto sasa watu wazima wamerudi Tena utotoni daah.sio Kwa Kwa hiyo hatua mliyofikia jaman.
Hivi robot zote tunazo ziona kwa wenzetu Nizar kiwango hiki? Mbona watu wanatengeneza roboti zinatembea kabisa hili mmeliwekea mataili ndo milioni hamsini 😂😂😂😂 haina maana kuendelea na maroboti tukazane kuzaa milioni hamsini ×5 mh hapana kuna ulaji
Mbona.wakubwa mnaveri sana viongozi watanzania uko bado sana barabara za miji navitongohi vyetu ni vibovu nchi nzima harafu.mnatuletea midori kweli hivi mnapo.enda.nchi za nje huwa mnajifunza nini.kwenye miji yao hivi keli vitongoji vyetu vya miji yeti.iko sawa.au.mnajifilhisha nyie tu kwa kweli mnaidhi.sana
Yani nimekubali nchi hii umasikini hauwezi kuisha yani watanzania tunaangaika alafu ela inatengeneza marobot😱😭😭😭😭😭😭
Angewazabua makofi Ndio wangeona digital nzuri sana
Dha!!! Mbona tunamkosea Mungu, Mungu ametuumba wanadamu ametupa maharifa harafu mnananunua roboti wa kuwakaribisha na vijana wako mtaani hawana kazi, si bora ungeniajiri hata Mimi nipate hiyo hela, kwani manyumbani mnakaribishwa na roboti!! Inaumiza sana 😭😭
Safi sana Mr Mashaka kazi nzuri ya Taifa
msemaji mwenyewe kavaa wani leusi daa pumzika salama mzee magu tusha pigwa uku
Ila uyo magu ndio mnamuona alikua mtakatifu kumbe yy ndie alikua mpigaji hatariii
Uyo shaman analimaje wakati anatairi za begi.
Au wa shamba atafungwa tairi za trekta
Kwel lilikuw linahitajik kwa sas....mnaharib pesa kumbe mpk mliongoz baada ya kuset lijiongoze lenyew sas c bora muajir tu watu
Ok vizuri sana KBS nimashindishano ya robot au atavitu vingine unawenza ukabuni nakunja nacho
Hizo hela mngesaidia kuchimba visima vya maji vijijini wananchi wanateseka sana kwa kodi zao kutumika kweny vitu visivyo na faida it's useless indeed
Acha upumbav nchi inapambana mshenzi mkubwa we shenz kabisa
Au Mimi sijui uyu si unaweka spika inakuwa imerekodi mazungumzo na nahisi anazingumza one way yeye ndo mtaaji Sasa movement ya mkono si unaiweka tu jinga kweli
Mnatumia Kodi zetu vibya wakati tunashida sana huduma za Afya Grama kubwa sana
Jamani hii si SANAMU mliyoitengeza wenyewe, halioni halisikii mpaka mliongoze wenyewe. Unasalimia SANAMU kweli Bungeni, hii elimu yenu imekufa
Robot yupo slow sanaa kama anacontroliwa na Ana matairi
Enye wakuu wa nchi.kweli apo mmemkosea mmevuncha amri ya pili ya mungu .kutoka.20.4-6.tubuni araka sana
Yaaani hii nchi ni hatar, barabara nyingi hazijawa na rami mnaharibu pesa kwa vitu visivyoeleweka😢😢
Mungu atusaidie tu kwa hili kwakweli😢
😂😂😂😂 Inchi imenunua computer kwa zaidi ya millions 50 faida ya hizo degrees ni zipi?
Maguli utrudi lini nchi imesha uzwa uku alafu wananchi wako hatujapewa hata mia baba njoo utudaidie
Kufuru ,mvua zitakua kama Kwa Nuhu, Kwa nini msitengeneze trecta isiyotumia deleva
Ujinga mwingi hivi hujui kama Saudi Arabia wana roboti wamelipa mpaka uraia ama ni Kufuru wakifanya watanzania tu?
Kama hujui katarute Sophia the Robot utajua
😂😂😂 ndio maaan m nasema mkubwa ananizid umri tu ila fkra n tofauti
Libaya had sura, R.I.P JPM😭
Sasa linafaida gani ?
Naapo muandae Sheila mtu asiingie bungeni adi ampe mkono uyu mbunge robot
Zanzibar tulikua hatujui km masanam ya kusema yanaitwa robot.Sie tulikua nae znz miaka ya 90.wa Africa wa mwanzo kufanya robot..lilikua linacheza nyimbo ya inde...akiitwa Joyce wo wo wooo....cjui tu aliishia wapi Joyce wowowoo.
Kuna mfanya biashara mmoja katika mahojiano yake aliwambia wandishi wa habari hivi nyinyi kweli munaogopa covid 19 musiogope sio Hatar ogopeni AI yani ogopeni Akili bandia ambazo hizi robots Mr amesema Hazijaja kuchukuwa kazi za Watanzania zimekuja kuwa saidia watanzania Dah! 😢😢😢
Tumeshaona robots bora zaidi ya huyu mdoli wenu, vijana wanahitaji ajira sio kupoteza pesa kwa kutuletea mdoli.Hii ni ndogo sana
Mnazingua kweli watu tuna shida lukuki mnatuletea robot
Huyo robot ana kazi gani hapo na kwanini awe wakike izo milion 50 nipesa zetu ama hio nizawadi kutoka nnje embu tuambieni mana hatupni faida yake ni ujinga na matumizi mabaya ya pesa zetu tuelewesheni na mseme izo pesa zimetolewa na nani
Good
Nina MASHAKA na Mkurugenzi, Bwana MASHAKA. Anatia MASHAKA kwa kweli. Na hilo roboti la 50M+.... Nina MASHAKA nalo. Au nyie hamna MASHAKA....??
Yan Hilo doli ndo mnanunua million 50🤔🤔🤔at least io ela ingejenga zahanat wat wakasaidika
Robot lenyewe Lina sura mbaya!!!😮😮.
Kuliko kuwekeza kwa binadamu kwanini muwekeze kwa misanamu yenu 😢
Nadhani tuwachimbe biti wote wanaopiga picha na huo ujinga,wakirudi tuwapige chini kwa kuwa hatukuwatuma kufanya ujinga kwa kodi zetu.
Nchi inaingia hasala kwa sababu ya watu wasio waaminifu (wazalendo) robot gani hii ya milioni 50 hela ni za kuchezea
Kama midoli ya dukanii Kwa Jonijo😂😂😂😂😂😂, haki ya Mungu tutaona mengi
hata sijui nikwanini nimeangalia huu upuuzi sasa itasaidia nini kwawananchi ambao mnatumia majasho yao kodi zao mkatengeneza huu ujinga wananchi watafaidika.nanini kwenye huu ujinga
Hatujawaaambia tunataka maroboti!!!!😅
Yani dah viongozi wetu kuna mkaka kwenye report maalum amepatwa shida ya macho kila mbunge akitoa laki laki mtmsaidia sana kuponye na kuokoa maisha yake
Yaani kijana utengeneze software tanzania utegemee kuiuza ulaya🤣🤣acheni kudanganya watu basi.🤣😂
Hamujui mnalolifanya Akiii
Yaani nchi hii watuwabatengeneza miungu yakuchonga isiyonafaida badala yakufanya mambo ykudaidia masikini nawagonjwa
I don't know much yawezekana hatujafahamu zaidi ... lakini hii ajira angepata mtu yoyote hamuoni kama ingesaidia kiujumla ni mawazo yangu tu hyo million 50 imenifikirisha sana.
Milioni 50 kutengeneza upuuzi, mwisho nchi itajaa masanamu, na hizo milioni 50 jee zingewekezwa ktk jambo la maana yangenunuliwa madawa au jambo lolote lenye manufaa kwa umma lkn sio upuuzi kama huo mwisho mtayaabudu
Barabara za mitaa nimbovu,vijiji havina maji,wananch wanaish kwa shida hiyo milion hamsini mngetutengenezea barabara yetu ya chanika kutoka nguvu kaz kwenda vilobo senta nimbovu hakuna gar linalopita bajaji pkpk nishida mnatuwekea mdoli tumfanyeje ,wenzen wanachukuwa midoli wanamaendeleo .
Madudu kumi hayo yote ni ya nini chimbeni visima na mjenge mahospital hiyo pesa ni nyingi sana Binadam wenzenu hawana maji huko vijijini
Ni moja ya maarifa kuongezeka lakini mpaka leo wazee huduma ya afya ipo juu mno mpaka sasa hapo mnasaidiaje?
Hapo CCM Wanaona Wamefanya Jambo Kuuuuubwa Kuleta Robot La Kukaribisha Watu Bungeni. Alafu Hata Aibu Hamna Mnasema Lina Thamani Ya Millioni 50 Wakat Wananchi Vijijini Hawana Visima Vya Maji na Barabara Ni Mbovu Kila Kona na Shule Hazina Walimu, Kwa Ufupi CCM Mnakera Sana Yaani"
Yesu anakuja upes sana ,hayo yote yalitabikiwa sasa yanatimia.
anko magu asinge ruhusu huu ujinga sasa hao maroboti yanafaida gani kwa wananchi yanafaida gani kwa masikini
Ww sema halina faida ila anko wako magu hakua msafi km unavyofikilia
@@BakariMtangenangekwani wewe ni msafi ..mbona wewe una Vimeo vyako kibao tu ...tunaangalia potential ya mtu na uongozi wake..unajua kabisa deep moyoni mwako asingeruhusu vitu kama hivyo...ni ujinga...kuhusu utakatifu hakuna mwema ila BABA mbinguni pekeake
Sio kila kitu ni kwa ajili ya masikini hii ni faida kwa ajili wanaopenda technolojia
Hiyo milion 50 mgemchukua kijana wa kitanzania mkampeleka nje ya nchi akasome badae aje kuwafundisha na wengne
Hayo ni matumizi mabaya ya pesa milioni hamsini duhh!
Robot la kidyudyuuu 😂😂😂
Kweli tutaona mengi
Acheni useee...
Mungu anaangalia tu. IPO siku
Watu wanashida mpaka kwenye kope hamoni siyo
Kweli nyakati za mwisho zimefika
Sasa robot ifundishe, ilime, nk wanadamu watafanya nini???!
Mil 50 ni trekta moja zuri kabisa. Huu ujinga tuwaachie wenye matrekta mengi.
Kwani watanzania mlitoa mawazo yenu ya kutaka roboti?ni wangapi tunasema katiba mpya ni sasa,
Kwa Tanzania lazima awe mwizi
Sasa hyo milioni 50 ya robot hyo hera ingetengeneza hata barabara za mitaa si hata mungu angewashukuru
Hivi ile midori tunayo ivalisha nguo tukiunga Unga hakitoki kitu
😂😂😂😂😂😂😂
Sijuh hata nacheka nn😂😂😂😂
Hakika hakuna kilichosalia Tanzania.Wasomi mkop WAPI mpaka mletewe midoli na namwuone ni kawaida kila kitu kuiga wazungu TU.midol ni ya watoto sasa watu wazima wamerudi Tena utotoni daah.sio Kwa Kwa hiyo hatua mliyofikia jaman.
sasa hii kitu Ina faida gan aise kwanza Ina twasira ya mzungu sasa apo pakoje c wangemuweka rangi ngumu nyeusi
Sijui
Hovyo kabisa. Pumbavu sana
hovyoooo.nibora. kiama kinge kuja muda huu tu ili hizi nyege zenu ziishe kikao chabajeti kodi za wananchi huo uelewa mngejenga kwenye familia zenu
Hii nchi naama haki ya mungu 😂😂
Robot anakiburi huyu,😂😂😂😂
Apo kwanza nchekeee
Hivi robot zote tunazo ziona kwa wenzetu Nizar kiwango hiki? Mbona watu wanatengeneza roboti zinatembea kabisa hili mmeliwekea mataili ndo milioni hamsini 😂😂😂😂 haina maana kuendelea na maroboti tukazane kuzaa milioni hamsini ×5 mh hapana kuna ulaji
Uo ni mwanzo mzee
😂😂😂
Sijawahi ona upuuzi kama huu loooooo😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
R. I . P Magu
Hiyo pesa imetoka wapi mfukoni mwa mlipa kodi hivi linafaida gani hilo kinyago?
Amna kitu hapa tumepigwa
🤣🤣 HAKUNA KITU HAPO SASA ROBOTI YAKUTAMBUA TU SI BORA MNGEFUGA HATA JINI
Watachukua nafasi za kazi za watu
Kazi iendelee
Hapondipo tutazidi kulia ajira hamna dah,,,,😢
Munampa Maji lkn😅
Robot anakuja kufanya nn Tz wanadamu tufanye kazi Kwa mikononi yetu mikono hii ulipewa na Mungu ili ifanye kazi
Mnachezea pesa iyo pesa ni nyingi mno linatufaidisha kwa kipi mh
Akuna kitu apo roboti gani atikisi mdomo wala kope yoyote miguu hana shepu n ya chumaa apa watanzania tumepigwa
Mbona mzungu?
Mbona.wakubwa mnaveri sana viongozi watanzania uko bado sana barabara za miji navitongohi vyetu ni vibovu nchi nzima harafu.mnatuletea midori kweli hivi mnapo.enda.nchi za nje huwa mnajifunza nini.kwenye miji yao hivi keli vitongoji vyetu vya miji yeti.iko sawa.au.mnajifilhisha nyie tu kwa kweli mnaidhi.sana
Ila hii inch tunapigwa!
Roboti mwenyewe Bibi tayari
Kama kaprogramiwa tanzania mbona hajui kiswahili anataka kuongea kizungu
Mbona mbaya na kichwa chake kama gongonda
Chekeleeni tu ATI ubunifu ipo siku mtakoma na hayo maroboti yenu
Profesa wa kununua badala ya kutengeneza watakusifu wauza roboti sio watanzania
Huu Mdori ni Mzuri
wasilibake sasa
Ningepewa Kaz ya kufagia hapo kmnipe 1M. Mngekuwa mmeniwezesha miaka 50 aisee ... Duuh
Upuuuzi tu
Ss maskin tuna teseka kwa shida ya umeme Ku Kaya kata
Nchii tunaitaji maombi nafikra zaviongozi wanuo muogpa mungu tumekuwa taifa tunalo kulupukia kufañya vitu visivo namsaada kwawananchi ndomana hata mitandao tumekuwa watumiaji wavitu vibaya maana hatuna Shelia zakubna watu watumiavi vibaya naomba viongzi wekeni Sheria Kali nchi yetu isiwe jalala zamatumiz mabaya zauchafu wamataifa mengne
Iyo pesa SI mungenipa Mimi zinge zaa
Polen akina Eunice maana hapana
Eunice, mavazi ya kitanzania, ngozi mzungu.... Mmmh!
Yaa kaz gani sasa marobot yaje kutuua barabarani huko .unaliambia mm sio mwizi linakupiga tu