Jennifer Mgendi Chai Moto Part 1
Вставка
- Опубліковано 26 січ 2025
- Jennifer Mgendi Chai Moto Part 1
Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
Huyu dada namukubari sana kama naww unamkubali gonga like yako hapa.
Mariam Mwambungu
Chai ya moto jenipha part 2
Nan bado anamcheki uyu dada kwa mwaka huu me namkubali saaana kama na we unamkubal gongaa likeee
Zainabu Haruna kwel
Zainabu Haruna vip tup pamoja as
Anakubalika
Zainabu Haruna
Sara winner shalifa mpemba
Nakupenda Dada Jenifer move zako nzuri zinamafunzo mungu akusimamie YESU akakubatiki uingiapo na utokapo
Video eksi
Ubarikiwe sana Dadangu Mungu akuongoze katika Uinjilishaji wako
🎅🎅🎅🎅🎅
👕👙👔👗🎽
Santa is coming!
Napenda xn mov zako da Jenipha,kweli zinanifariji na Mungu akubariki sana..
Mungu akubariki kwamafundisho mazuli
Du hii Move nzuri sana❤❤❤❤
nakukubali sana dada yangu Mungu akubariki ktk kazi zako
Hata na mim na mpenda sana uyu mdada
Movie nzur sana 🥰
Ame ni bariki sana uyu dada , ubarikiwe sana jeni,pole sana kwa yote una pita ndani
Mung akubark dad napend sn muv zk😍😍😍😍
Kwa kweli Jenipha namkubali sana nani mshabiki mkubwa wa huyu dada
Hosea Mmbaga w
Andrew Alphan mimi from kenya
Hosea Mmbaga mm pia namkubari sana tu
AMEN
Mm namkubali uyo Dada Jennifer yaan anaelimisha mpaka najisikia raha kuangalia filamu zake
Asante sana dada napenda movie zako
Nakupendaga sana film zako zinamafunzo sana
Hongera dd nzr sanaa
Jennife yuko vizuri au sio likee
Ilo duka la nguo wananunua wasaaaniii imagine suit ya afu 50 laki 3😂😂😂😂😂
asanta sister nimeikubarry na nimejifunza kitu
Carlos Elias anaimba vzr bigapu kwake
Jennifer nakukubali sana na mm nishabiki wako sana tunaomba movie ya wema ni akiba bg up mgendi
Napenda xana dadagu Jennifer movie zako zinanijaz
Nimeipenda Sana hasa mama kauvaa uhusika vizuri sana mko vizuri nyote hongereni
Haby Tuli
haloooooo uzuri mtaji mjini kazikwenu mnaosikiliza mashoga zenu
Nakupenda sana jenipha
Mungu akubaliki
Muvi zako zinafunfisha sana
❤❤❤ mm nipenda sn
hongera dada jeniffer naomba movie ya baba jackie
hahaha kama umeona dati kavaa laba gonga like
Jenifa upo vizur San my love ❤️
Jeni plz come back to the game
mungu aendelee kukuongoza kutuletea movie nzuri zenye kuelemisha dada jenifer
Duh hii cd inanitoaga machoz kah inaumiza
Daah Kuna movie niliangalia mda mrefu kwer ya mdada alikua anaitwa angel kwenye hiyo movie aliolewa na mbeba mizigo kwao wakamtenga mama ake akawa anaiba vitu ndani anamoekekea mwanae naomba mniambie inaitwaj jmn
nzuri sana
ubarikiwe xana dadagu
Wau nc movie jenii waenda mbali sana
Nice movies
chai moto
Good movie
Wajomon nomaaaaaa
Jeniph nakukubali San dad daaaah
naomba movie ya the lost Adam pls
nice movie ilike all movie from jenifa mgend
Unajua sana
Nice dada Jenifa
Beautiful nice sana
da!! good upo vzr dada at!
Nzuri
nakupenda.sana.muvizako.zinamafundisho
Q. The
Nc dada
Mimi napenda sana move zako
Jamani tunaosoma comment kabla ya kuangalia move kuanza tujuane
daahhh cmu kama kipande cha mhogo.picha zuri xana yenye mashairi mema...,x
Buzulug
Yani kama wanawake wote wangekua wambea hivo dunia ingeisha
Brillian Nangila nice
Mv nzuri
Jennifer nazipenda sana movies zako songambele mama
Hahahaha my rib simu kama kipande cha.....
nice movie
Betty Angano M
Betty Angano noma sana
safi sana
Penda sana dd jennifer
Movies nzuri sana
pamoja sana jenipha
nakupenda sana Dada
nimeipenda sana
Good
Yeeeerrrrrrr
I love the kids nice movie
Thank you
movies nzuli sn Jennifa mngendi
no oh hunijulishi yuko juu ::) u yu
naomba movie ya wema ni akiba
Jenifa. mgendi
Nami cjui Kama naweza kupata mke Kama wewee dada
Love are coutesry tough
Jennifer, upo juu unaweza
Huyu wifi Yuko yani atahalibu kila kitu
napenda san nyimbo zako na muvi
Ongera dada
Songa mbele mama
uko vizr sn Dada me mshbk ek jen
Nice 1
napenda movie zako mgandi
was
miriamu mukyombwe
Mariam Suleiman vb
sf sana
nipoa sana
g
good
marafiki.siowazuri
huyo mwananke anaharibia mwenzake anaishi kwa furha
Daaah yan kweli lafk mnafki🙄🙄
tamu sana
Fibi Oko tiba vghgyg
Fibi Oko h
unafanya vzur
mimi.kila.mwaka.lazima.nimuangalie.huyu.mdada.maana.muvi.tamu.muno
naulizia movie yako inaitwa ma mkwe naitafuta ila sijaipata naomba please unitumie natakakuyimalizia
IPO mbn my ni nzuri balaa
suri sana
Ncy movie
yule dada ni sheeda
yule dada ni sheeda
Ft
unatisha San dadaa jennifr
Hahahahaha simu hiyo kama kipande cha.....
Huyu wifi mtu na uku yupo ahahahaha
shwari
Sana
Penda sana wewe
Subira Charles Darwin
Medikisanga
jeniffer nakukubal sana tu unatoa vitu venye akili
helena sozigwa Hsjsjmnatuburudisha tulio mbali
ndioo
mambo vp
Burudi@@MnyadamuamweziAsili
hahaha kama umeona dati kavaa laba gonga like
movies nzuli sn Jennifa mngendi
Kanumba
nakupenda sana Dada