Kamatakamata ya Wahamiaji haramu US inatisha! Video ya watu wakikimbia yasambaa, Trump hana huruma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @CJ-vd9wn
    @CJ-vd9wn 9 днів тому +65

    Napenda sana viongozi wa namna hii, anatekeleza sheria yuko sahihi

    • @migando7950
      @migando7950 9 днів тому +10

      Kwakua huna jamaa yako alokwenda kutafuta riziki

    • @HadijaRajabu-pr9di
      @HadijaRajabu-pr9di 9 днів тому

      ​@@migando7950Afrika hakuna ridhiki?

    • @CJ-vd9wn
      @CJ-vd9wn 9 днів тому +7

      @migando7950 riziki Gani wewe Si afuate taratibu za nchi husika ndo uzamie?

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 9 днів тому +8

      ​@@migando7950Fata sheria usizamie 😂😂😂😂

    • @BimHamdi
      @BimHamdi 9 днів тому +5

      Roho mbaya tu na uchawi

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 9 днів тому +26

    Home is the best welcome back 🔙 home👊👊

  • @RobertChacha-si1js
    @RobertChacha-si1js 9 днів тому +35

    Rudini tupambanie katiba mpya na mabadiliko maisha Bora yako hapa hapa tu shida ni mifumo ya ovyo ndio inatutesa

    • @funny_times4905
      @funny_times4905 8 днів тому

      kweli mwanang, mtu anakimbilia nchi ya watu na kuwanyima fursa na haki zao, warudi bongo tusaidiane kuiondoa serikali ya kififsadi madarakani

    • @KhadijaMasoud-d2z
      @KhadijaMasoud-d2z 7 днів тому

      Wapambaniaji wenyewe ww mboe na lisu😂😂 nyie ndo ovyo kabisa

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 9 днів тому +27

    Mungu atawalinda madam wanatafuta riziki zao na familia zao

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 9 днів тому +2

      Ni kwa njia haramu lakini.

    • @Bilifilmz
      @Bilifilmz 9 днів тому

      Hamna haramu ni ufala tu, wao mbona wanakuja kwa njia halali na wanafanya uharamu huku​@@rumdeesonsoa1811

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 9 днів тому +2

      Kuna sheria ujue kila nchi

    • @idinado-wk3lx
      @idinado-wk3lx 8 днів тому +2

      Wafate haki nasiyo kwenda kinjume na Shelia ya Nchi Kwaiyo ivyo ndio Mimi napenda Kwa sababu nihatali katika nchi

    • @rasvegas8991
      @rasvegas8991 8 днів тому

      Utumboo unaongea wew unajuaa wanafany biashara gn

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 9 днів тому +33

    Home is the best🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @dicksonmoses9330
      @dicksonmoses9330 9 днів тому

      Wakiwa huko huingea shit juu ya africa wakije home tulime tukenge nchi zetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de 9 днів тому +1

      Roma rudi tu sasa

    • @gloriaamase9764
      @gloriaamase9764 8 днів тому

      Yes

  • @JamesKahamba
    @JamesKahamba 9 днів тому +21

    Mimi hua ninapenda sana mtu mwenye misimamo kama hawa

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 9 днів тому +27

    Ndio nilikuwa nakimbia hapa ,hawajanikamata nishafika goba ,mungu mwema

    • @AyoubHajj
      @AyoubHajj 9 днів тому +4

      😅😅😂
      Wee jaaama noma sana karibu goba me nilikuwa Los Angeles
      Asaivi nipo mti pesa

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 9 днів тому

      Sasa si ungesubili upewe lifti kuliko ulivyorudi kwa mguu😅😅😅

    • @Osm90-m3j
      @Osm90-m3j 9 днів тому

      😂😂😂😂😂fla wwe

    • @jumakhamis226
      @jumakhamis226 9 днів тому

      😂😂😂😂😂

    • @prityhawanurdiny8237
      @prityhawanurdiny8237 9 днів тому

      😂😂😂😂😂😂 jaman

  • @davidjoseph1143
    @davidjoseph1143 9 днів тому +33

    Viongozi w africa tuache urafi mpka watu wanakimbia kwao kisa nyie ona sasa wanapata tabu dah

    • @KampangaKampanga
      @KampangaKampanga 8 днів тому

      Kwani unadhani wahamiaji haramu niwaafrica tu ? 😅

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde 8 днів тому

      ​@KampangaKampangaasilimia60 ni waafrica kutoka nchi za africa magharibi na kusini mwa jangwa la sahara kma ethiopia somalia.. wahamiaji haram wanaokamtwa hapa bongo wengi wao hua wanaelekea mataifa ya ulaya kwemda kutfta maisha bora hapa ni kama njia tu ya kupita.. wapo walio fanikiwa wengi tu kwa njia hizo na waliofaikiwa kwa njia hizo ndo hufanya walio wemgi waamini hta wao watatoboa kwa njia hizo za kuzamia.. libya ndo kituo kibkubwa cha kusafirisha waafrica wanaoenda kutfta maisha bora ulaya kwa njia ya kuzamia

    • @davidjoseph1143
      @davidjoseph1143 7 днів тому

      @KampangaKampanga naongelea wanaonihusu tu .

  • @tukuswigaikasu5227
    @tukuswigaikasu5227 8 днів тому +8

    Yuko sawa. Waache kuvamia nchi za watu bila utaratibu..

    • @henrystanley4077
      @henrystanley4077 6 днів тому

      Sbb haijakutokea wewe,huo ni wivu watu wameenda kutafuta maisha tena wanapambana sana na sio kucheza hlf leo warudishwe watupu

  • @Liberatus-k2c
    @Liberatus-k2c 9 днів тому +10

    Safii sana ❤❤❤❤❤❤Sasa national 🇺🇸 🌎 🇺🇲 🇺🇸 🌎 🇺🇲 ya gold

  • @MohamedMunif-k5w
    @MohamedMunif-k5w 8 днів тому +4

    😂😂😂😂😂 Safi Sana babu traaa

  • @HansChuma
    @HansChuma 9 днів тому +11

    Ah!mm sioni ajabu mbona hata huku inatokeaga yote maisha siokwamba et ajaabu au ndio kusema watu watakufa au kuuwana kawaida tu hiyo....hauna document utarudishwa😂😂😂😂

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 9 днів тому +14

    safi sana mtakataaje kwenu nyinyi uvivu wa kulima tu

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 9 днів тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 9 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @gladnessfinda7534
      @gladnessfinda7534 9 днів тому

      🤣🤣🤣🤣daaaahh!!

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 9 днів тому

      @@gladnessfinda7534 warudi kwao tuuu, Tanzania hapa zaidi ya 50% ya ardhi haikaliwi, warudi nyumbani tuuu

    • @salimmoha7962
      @salimmoha7962 9 днів тому

      ❤❤​@@gladnessfinda7534

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 9 днів тому +7

    Nikujitafuta tu 😢 jamen

  • @chindemasoftware
    @chindemasoftware 8 днів тому +5

    Nakumbuka Montepiez-Nanhupo. Mozambique, wakati watu wakifanyiwa ambush 😂😂😂😂😂

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 8 днів тому +4

    Africa yangu😢

  • @RajabujumaNalyogo
    @RajabujumaNalyogo 9 днів тому +5

    Nilikuwa nakimbia aisee sijakamatwa nishafika Mbande mungu n mwema

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 8 днів тому +4

    dj.smaa Mimi mtazamo wangu .unajuwa Mwenyezi Mungu ni Mjuzi inaweza kuwa wanawaondoa wahamiaji ili adhabu ikija waadhibiwe wao tu. Ktk nchi yao

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 7 днів тому

      😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 днів тому

      We umesema, hao watu walikuwa wanafanya kazi Nani atawafanyia hizo kazi? Well watawaingiza wengine ili waje kuwafanyia kazi. Watu wabaya kama wezi,majambazi na ma rapist wangewaondoa haraka Sana lakini sio innocent people

  • @florencekombe5503
    @florencekombe5503 9 днів тому +16

    Kwa Africa viongozi wanawaangusha Sana watu wao

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 9 днів тому +15

    WARUDI TU MAKWAO 👏👏👏 WANAACHAJE NCHI ZAO

    • @MariamIbrahim-h7p
      @MariamIbrahim-h7p 9 днів тому +1

      Achakusema ivo

    • @GudilaAkaro
      @GudilaAkaro 9 днів тому

      Huo ndo ukwl mchunguu ​@@MariamIbrahim-h7p

    • @AishaOmaromar-w2t
      @AishaOmaromar-w2t 9 днів тому

      The idiot doesn't know what they're talking about.

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 9 днів тому

      ​@@MariamIbrahim-h7pukiona hivyo yupo kwao
      Hajui umuhimu wa kutok
      Sisi tulio nje ndiyo tunajua

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 8 днів тому

      Safi trump

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 8 днів тому +16

    Sasa wanakimbia nini nikitendo chakuuza na kukusanya virago muhimu kwea paper njoo kwenu upige kura mitano tena😅😅

  • @nchambikuyi3111
    @nchambikuyi3111 8 днів тому +3

    Hao watu wanakumbushwa kuthamini kwao na kuwa wazalendo wa nchi zao, kwani wengine wanajisahau na kuzisaliti nchi zao kisa wako ugenini. Kwa Hali hiyo wanapaswa kurudi na nguvu mpya na Ari mpya ya kupambana katika kuendeleza nchi zao.

    • @ngangabaraka323
      @ngangabaraka323 8 днів тому

      hakuna asiye penda kwao tatizo ni fumo wa chi nyingi za africa unafanya watt kwenda Kwenye
      Nchi zany mfumo mzur kidogo wa furs

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 9 днів тому +8

    Wakwanza Adui sio trump Niviongozi Wetu Ambao watu wanakbilia nnje kusaka maisha

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 9 днів тому +5

    😭 si poa kabisa afadhali upewe hata mali zako uuze😭😭😭😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥹🥹🤣🤣🤣🥹🥹🤣🥹🤣🤣 Serikali iwasaidie wapewe hata pesa zao zilizo kwenye mabenk

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula 7 днів тому

      Mali gani, wengi wanajitafuta,na kujenga nyumba na,ardhi nchini mwao,

  • @02boysmusic12
    @02boysmusic12 8 днів тому +5

    Mwambie Roma arudi kabla ajaingia kwenye mikono ya immigration 😅😅

    • @hilalkindy7699
      @hilalkindy7699 8 днів тому

      Hajaingia Kwa njia za haramu yupo kihalali TU documents zote zipo mzee

  • @AshuraSaid-f2g
    @AshuraSaid-f2g 9 днів тому +15

    Tulio nje ya nchi ndo tunaelewa sio tu marekani hata Oman kwa sasa so sad 😢

    • @FxL_87
      @FxL_87 9 днів тому +1

      Oman pia kimenuka?

    • @SifranLove
      @SifranLove 9 днів тому +4

      Ndio watu wajue nyumbani ni nyumbani tu,

    • @AntidiusMutta
      @AntidiusMutta 8 днів тому +1

      Fanya mrudi home

  • @Osm90-m3j
    @Osm90-m3j 9 днів тому +3

    Uzuri sina ndugu mi nacheka tu 😂😂😂😂

  • @HamisSaidi-h3u
    @HamisSaidi-h3u 4 дні тому

    Mpaka Mseme Kenge nyie Simlikua Mnajudai hoo! Tupo Marekani 😂😂😂😂

  • @yvesyveldinhomzee.5682
    @yvesyveldinhomzee.5682 7 днів тому +1

    Iyo ni ukweli mzee sky
    Niko hapa USA 🇺🇸 Hali ni mbaya mzee

    • @sadarasued3432
      @sadarasued3432 7 днів тому

      Mi niko West Africa, inabd nitunze nauli😂siasa zinabadilika

  • @johannesjoseph7496
    @johannesjoseph7496 8 днів тому +2

    Welcome back home

  • @salimalmughairi1634
    @salimalmughairi1634 8 днів тому +2

    Nilikuwa naangalia wanao kimbia kama na mage kimavi yupo kwenye hizo mbio😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 8 днів тому

    Go East Go west Home is the Best. Mwenda Tezi na Homo Marejeo Ngamani.✌️

  • @Thegossipermediatz
    @Thegossipermediatz 8 днів тому +1

    Gustavo contaro contaro😂😂😂😂😂😂

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 5 днів тому

    Makemboi w marekani wamefikiwa daah kwkweli halingumu 😂😂😂unarudi nyumbani kama uliyevuliwa nguo mbona inauma🤦

  • @fahdihasnuu9034
    @fahdihasnuu9034 9 днів тому +8

    Daah kibaya zaidi wakirudi uku dsm hawana zaidi ya nguo na begi lakini sio mkwanja

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 9 днів тому +10

    😂😂😂uyu mzee nampenda sana

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 9 днів тому +3

      Utampenda Sana mbaka pale atakapo kufikia na wewe kwenye angle Yako!😮

    • @adamdaudi6191
      @adamdaudi6191 9 днів тому

      😂

    • @khurlainashly5686
      @khurlainashly5686 9 днів тому +1

      @@Oldskulgemini9991 amna tatizo kurudi home mbona fresh tu kasoro angekua anauwa ao anawapa kifungo camaisha ndio tatizo ila kurudishwa nyumbani mbona fresh tu 💃

  • @uwasekanimba4115
    @uwasekanimba4115 8 днів тому +1

    Sana hali mbaya huku

  • @Naseebmauzo
    @Naseebmauzo 9 днів тому +3

    Wakwanza jamani like zangu

  • @Rehemaally-v4s
    @Rehemaally-v4s 9 днів тому +3

    Hyu rais ni mshenzi sana watu mnamsifiaa hyu mbwaa mungu amlaani

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 9 днів тому +3

      Akuna cha kumlahani ni nchi yao kwanini tukimbie mataifa yetu na kwenda kwenye mataifa ya watu wakamatwe wote pumbavu waludishwe waje kujenga mataifa yao ilo tu.

    • @Rehemaally-v4s
      @Rehemaally-v4s 9 днів тому

      @RamadhaniMohamedi-de2vc mie sijasema kuhus watu warud makwao mie nasemea yy alisimamisha vita gaza ashv awaambia watu hams waondole ili yy ajengee nikty amcho sii cha kukwwli wameshindwa vita ashv wanataka wawatoe watu wa Palestine pia ashv anatakaaaznishe vita misr na jodar na bd gaza sema ndoo hvy

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 9 днів тому

      Ni wote tu washenzi sana

    • @PaulNdauka
      @PaulNdauka 8 днів тому +1

      ​@@Rehemaally-v4sUnaandika andika tu ..hueleweki kabisa

    • @CANIVATZ
      @CANIVATZ 8 днів тому

      Trampu nimshenzi sana tena sanaa

  • @AhmedMuhammad-b5n
    @AhmedMuhammad-b5n 8 днів тому +1

    Big up Mr TRUMP

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 7 днів тому

    Sasa wanakimbia nn😢😢wasiyorud kwao.

  • @NgasaniTV5425
    @NgasaniTV5425 9 днів тому +2

    Elewa neno Kuanza upya Mwanangu. Daa inauma sana binafsi najalibu kukivaa hiki kiatu. Daa basi 2 😂

  • @anniemallagi
    @anniemallagi 7 днів тому

    Yale yale ya south Africa 😂😂😂😂

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 8 днів тому +1

    Ata huku kwetu Tanzania wanahitajika watu kama hawa mana wahamizi wapoowengi

  • @mamy8220
    @mamy8220 8 днів тому

    Mungu tu awalinde wafike salm😢😢 ndomana nyumbani ata hatuhapendi tufanye vyashara ata ndogo 🥺🥺

  • @POLITICS_WAR_DIPLOMACY
    @POLITICS_WAR_DIPLOMACY 9 днів тому +2

    Marekani sio kimbilio tena sky

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 9 днів тому

      Hakuna nchi ambayo haifanyi hivi Kwa illegal migrants
      Uko Kwa watu halafu uko kwenye makundi ya wizi,drugs,wabakaji, hufuati Sheria halafu wakuache

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 9 днів тому

      Kwn Tanzania inaruhusu wahamiaji haramu? Hamna nchi duniani inayoruhusu wahamiaji haramu.

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 9 днів тому

    Safi kabsa waludi kuleta maendeleo kwenye mataifa yao

  • @btylove1870
    @btylove1870 8 днів тому

    Mmh wabongo kwa kukuzaga mambo😂😂

  • @HanceMagazi
    @HanceMagazi 9 днів тому

    Safi sana awa ndo viongozi 😅😂😂😂 afu wamiaji halamu ndo uwa magaidi

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 9 днів тому

      Wewe Mwenyeo Ni Gaidi, Hata Kuandika KISWAHILI Hujuwi."HALAMU" Ndonini!!!¿😉😉

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 6 днів тому

    Mimi hapa kidogo naona kuna usawa unakuja make kuna baadhi ya nchi kupata visa tu ni ngumu ya Marekani hata kama una vigezo vyote na apo unakuta mtu anaenda tu kusoma afu anarudi ila kuna nchi mweee yani akitaka tu kwenda visa chap mara moja. Kuna baadhi ya viongoz walopita marekani walizirahisishia hizi nchi za africa kwenda huko na zingine ndo ivo ndo maana kuna Wakenya na wanigeria wengi marekani

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 8 днів тому

    Duh ngoma ngumu 😢

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 8 днів тому

    😢😢

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 8 днів тому +1

    Kumeanza kuchangamka...mmh

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 9 днів тому +7

    wamefanya America kama jalala warudi wajenge nchi zao pumbafu kabisa

  • @EzekielTv49
    @EzekielTv49 8 днів тому +4

    Me nahisi watapiga nyumba kwa nyumba pia,,,kiukweli kabisa sio roho mbaya maana inatakiwa iwe legal

  • @Aishatheboss117
    @Aishatheboss117 7 днів тому

    Mange mwaka huu atajua hajui dhuuu🤣🤣🤣

  • @BrayanNassary
    @BrayanNassary 7 днів тому

    Jamaa anajua kuchangamsha dunia

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 9 днів тому +2

    Hao wenyewe wanaowakamata wenzao ni wahamiaji haramu sema wamejipenyeza kwenye serikali

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 9 днів тому

    😂😂😂😔😔😔 this is so wild

  • @AbuuHoya
    @AbuuHoya 7 днів тому

    Rudini kwenu mbona tz unatoboa ukishindwa toboa maisha unatoboa masikio

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 9 днів тому +1

    Kwahiyo Roma mkatoliki yupo hewani any time anatua JK Nyerere AIRPORT waandishi jitaalisheni kumpokea msaani sasa sijui mabegi yake kapewa au ndihivyo anarudishwa kama alivyo kwenda ndi anavyo Rudishwa kweli maisha nimtihani pia nifumbo nimeamini usicheke mamba kabla hujavuka mto maisha nikama gwaride ukisikia nyuma geuka wakwana ashakua wamwisho mungu tusaidie mwisho mwema assalamualaikum 🇹🇿🙏🇹🇿🙏

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 9 днів тому

      Umeambiwa wanakamatwa wahamiaji Haram sio kwawenye vibali

  • @GREATESTHITSREPLAYY
    @GREATESTHITSREPLAYY 9 днів тому +2

    Goodbye American Dream

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 8 днів тому

    🏃🏃🏃🏃

  • @GwessoEdwinGwesso
    @GwessoEdwinGwesso 9 днів тому

    Nipo huku mnifate😢

  • @hassanmkangwa2062
    @hassanmkangwa2062 8 днів тому

    Maisha hayapo Marekani peke yake. Kuna China, Holland

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 6 днів тому

    RUDINI KWENUUUU😂😂😂😂

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 6 днів тому

    Sasa mbona wote wajeshi

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 6 днів тому

    Hapa ndipo ninapomkataa DT baada ya kumkubali hapo awali...huu ni ubaguzi na sikubalinu na hili.Hayo ni maumivu tena mau kwa wote

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 9 днів тому

    Home sweet home

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 8 днів тому

    😂😂😂 wakalimee

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 9 днів тому +2

    Ata Mimi sicheki na kima huu mwaka mpya bhana

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 4 години тому

    Ni BORA nchi yao iwe safi hata tanzania samiaangefanya hiv

  • @MwanaHussein-s2n
    @MwanaHussein-s2n 7 днів тому

    Kila mtu kwaooooo

  • @Maya-bm9bu
    @Maya-bm9bu 9 днів тому

    Safiiiiii

  • @zahakiosward1575
    @zahakiosward1575 9 днів тому

    Nashangaa sana nkisikia kuna mtanzania alizamia huko anaacha nchi nzuri kiasi hiki

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o 9 днів тому

      ​@@israelmwasotajina lako lenyewe ni Israel unafikili utaelewa thaman ya uzuli wa Tanzania unapoona watu wanaomba Kua raiya wa Tanzania hujiuluzi??

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 8 днів тому

    Sasa mali zao
    Vipi

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 7 днів тому

    😂😂ila Trump kiboko😅

  • @Urmillar
    @Urmillar 9 днів тому

    Saudia pia ni hivo

  • @IsakoKino
    @IsakoKino 9 днів тому +1

    Murudi kwenu 😂😂😂😂

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 9 днів тому +2

    Kila MTU akae kwao...

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 9 днів тому

    Kama ni mtu alikua hakapata kitu😂

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 6 днів тому

    Nigeria wapo zaidi ya 3000 na Kenya ni zaid ya buku

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 9 днів тому +1

    Roma safari hiyo😂

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 9 днів тому

      Daah sijui umefikilije mwamba nimecheka kifala sana 😂😂😂😂

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb 9 днів тому

      @@zaidiissa3714 uwaga wanajisahau safari kweli mwamba trump acheki na kima 😃

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis 9 днів тому +1

    Tutamuona Roma soon😂😂

  • @latifarichard3370
    @latifarichard3370 9 днів тому

    Duuh kama sisi huku South African

  • @hassansela1393
    @hassansela1393 8 днів тому

    Kina wakazi warudi😂😂😂

  • @simeonbizzy3885
    @simeonbizzy3885 8 днів тому

    Kama digidigi?????😅😅😅😅😅😅😅

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 8 днів тому

    msilauma viongozi wa nchi jilaum nyie wenyewe na tabia zenu unataka kiongozi akulete chakula mpaka nyumbani kwako wakati kazi zipo za kufanya wewe unataka upate mwanaume akuweke kimada ndani ma sim nzur gar uvae vizur mfanya kazi ndani sababu una matako unaona dunia nzima umeipatia nakuweka mapenzi mbele na pombe kuza ovyo bila plan kufikiria maisha yako kwanza nini mbele yako nyie kupenda sijui boy friend wang mpenzi wang alafu mnakuja kulaum serikal zetu sababu ya ujinga wenu mung ilinde Tanzania yang anae Fanya ujinga wake ale shida zake nasio kuitupia lawama serikal yang mama yetu mingine mia chukua mama🙏

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 9 днів тому +2

    Kama south Africa sasa

    • @SebaProcess
      @SebaProcess 9 днів тому

      Ni nchi zote wahamiaju haramu hawaitajiki

  • @EzekielTv49
    @EzekielTv49 8 днів тому +2

    Hakuna cha imani,,,waingie kila sehemu maana huko kwenye mahekalu ndo huwa wanakimbilia kujificha

  • @KhadijaMasoud-d2z
    @KhadijaMasoud-d2z 7 днів тому

    Duh hakuna tofauti na ubaguzi

  • @RynoFire-w8k
    @RynoFire-w8k 8 днів тому

    Warudi tu kwao jaman hayo yote yanini

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 9 днів тому +1

    Waafrika warishangria sana ushindi Donald Trump leo mnachezeshwa kiduku😂😅

    • @bonita329
      @bonita329 9 днів тому

      Mwenyewe hapa nawashangaa wanavyo huzunika wakati walijua haya yote yatatokea

  • @OctavianAchimpota
    @OctavianAchimpota 8 днів тому

    Likiisha hili mwambieni Burnaboy AENDE Sasa kutumbuiza 02 alafu ajaze 😂😂😂

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 8 днів тому

    hii ngima bando mbichi acha sisi tukae pembeni alfu tutaona mambo yatakavyo kuwa ndani mpaka nje ya....

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 9 днів тому

    mambo ya south africa ayaa jmn

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma 9 днів тому

    Mimi ndio maana nimezaliwa TZ na nitafia TZ

  • @Naseebmauzo
    @Naseebmauzo 9 днів тому +1

    Huyu mshua sio poa

  • @BlackpopiiiPopii
    @BlackpopiiiPopii 8 днів тому

    Sasa huku wakirudi lzm hasira zao wazielekeze kwenye uxhaguzi wa maandamano😂😂😂

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 9 днів тому

    Jiulize kwanini nguvu kubwa kuzuia wahamiaji angali sisi tunawakaribisha na kuwapa nafasi kubwa kwenye mataifa yetu.ck za mbeleni watatutawala pote watakua na haki zote Africa