NYIE SNS HAPO MME NILENGA MIMI KABISAAA KWAN HAWA NI MAJIRANI ZANGU KABISAAA HALAFU NINACHO KIKUBALI NINYI NI FANCY WA KILA MMOJA AISE HAMNA UBINAFSI WALA ZARAU KWAKWELI MUNGU AWABARIKI SANA ALLY MASUBI 🙏🙏🙏 HENRY MWINUKA 🙏🙏🙏 DJ SMA 🙏🙏🙏 YULE DADA WAKWA LYIMO🙏🙏🙏 NA WENGINEO NILIO ASAHAU 🙏🙏🙏 AHSANTENI KWA UTU WENU MUNGU AWABARIKI SANA KARIBUNI ARUSHA SANA PIA
Wanangu ndugu zangu watz wenzangu wengi wenu ni vijana mtajitafuta na kutumia Kila mlichonacho kufikia baadhi ya MALENGO yenu Leo si wahukumu ila nawakumbusha jambo moja tu NENO LA MUNGU LINATAKIWA KUHESHIMIWA japo nyakati izi nazo zipo katika maandiko ila kukumbishana ni muhimu na pia baya zaidi kumchezea roho mtakatifu ni mbaya baba la baba Mathayo 12:31-32 Kwa sababu hiyo, nawaambieni, watu watasamehewa dhambi na kufuru zao zote, lakini hawatasamehewa dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu. Tena, asemaye neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa, lakini yule asemaye neno la kumpinga Roho Mtakatifu, hatasamehewa, wala katika ulimwengu huu, wala katika ulimwengu ujao
Yaani wanangu tujichetue kote ila matani na anayekupa uai na pumzi anayetulinda daily na kutubeba na madhambi yetu mengi kiburi uzinzi uasherati wizi ufisadi maovu yote yakutisha tumuachage aliko ila tuombe rehema ili tusipitwe kadri nyakati za mwisho zikikaribia ni mbaya itakuwa aseee tuombe atusaidie na sio kumtania Tania Mungu uyu mwamba ataniwagi uyu wazeeee 😭😭😭 akikasirika akibaki kitu ndugu ZANGUNI tumwogope Mungu tumwogope wadau afananishwi na chochote huyu Muumba wa mbingu na nchi tusije tukapigwa upofu tukashindwa kujua tutokaje uko Kati baba la baba
Yaani ingekuwa wamedhihaki kitabu cha wenzetu wa upande wa pili, yaani hizo vurugu zake Tz pasingetosha. Cha kujifunza wale wa upande wa pili ni kuvumiliana na kuchukuliana maana sisi sote tu wamoja kwa aliyetuumba
Kuna wakuu wako huko wametunga had bibilia inayokubali ushoga je hao ambao wametunga mashairi yao tu bora wapi .Ndo ujuwe kuwa bibilia si kitabu cha mungu ni cha watu wenye uwezo wa kuondosha maandiko wasioyataka na kuweka wanayotaka kulingana na fikra zao.Mlikosea Zaman tangu mlipoambiwa linakuja agano jipya mkakubal kulipikea bila kuuliza linakuja na mtu gn?
Una elewa unacho sema au usema kwakuwa ume sikia wakubwa zako waki sema dini zinge kuwa na maana hata ndoa zisinge vunjwa ndomana una funga ndoa kwenye dini chet kina tolewa na serikali na anae vunja ndoa ni serikali kwasa babu dini sio kitu cha ukweli ni uwongo hata iyo bendera ulio weka hata unge jua maana yake usinge weka
Mnafanya kitu hatari bila nyinyi kujijuq kwa mfano sasa mmeanda wakati mnataka kuingia langoni nafsi yako itakuwa inaongea ni nini ni huo uchafu mnaouongoe kweli turudi msalqbqni Bwana anawaita acheni haya mnayoyafanya mbele kuna garama na kilio kikuu mtakumbuka haya maneno msipo tubu
NYIE SNS HAPO MME NILENGA MIMI KABISAAA KWAN HAWA NI MAJIRANI ZANGU KABISAAA
HALAFU NINACHO KIKUBALI NINYI NI FANCY WA KILA MMOJA AISE HAMNA UBINAFSI WALA ZARAU KWAKWELI MUNGU AWABARIKI SANA
ALLY MASUBI 🙏🙏🙏
HENRY MWINUKA 🙏🙏🙏
DJ SMA 🙏🙏🙏
YULE DADA WAKWA LYIMO🙏🙏🙏
NA WENGINEO NILIO ASAHAU 🙏🙏🙏 AHSANTENI KWA UTU WENU MUNGU AWABARIKI SANA
KARIBUNI ARUSHA SANA PIA
Wanangu ndugu zangu watz wenzangu wengi wenu ni vijana mtajitafuta na kutumia Kila mlichonacho kufikia baadhi ya MALENGO yenu Leo si wahukumu ila nawakumbusha jambo moja tu NENO LA MUNGU LINATAKIWA KUHESHIMIWA japo nyakati izi nazo zipo katika maandiko ila kukumbishana ni muhimu na pia baya zaidi kumchezea roho mtakatifu ni mbaya baba la baba
Mathayo 12:31-32
Kwa sababu hiyo, nawaambieni, watu watasamehewa dhambi na kufuru zao zote, lakini hawatasamehewa dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu. Tena, asemaye neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa, lakini yule asemaye neno la kumpinga Roho Mtakatifu, hatasamehewa, wala katika ulimwengu huu, wala katika ulimwengu ujao
Mmetisha baba
Umetisha sana aww🇰🇪🇨🇭🇬🇬
Daaaah bange mbaya jamani 😂😂😂😂😂
Shikamo Arusha yangu ♥️♥️♥️♥️🔨🔨
Bwana YESU awarehemu,awaokoe muwe watumishi wake kweli
Ila bangi ya Arusha
Yaani wanangu tujichetue kote ila matani na anayekupa uai na pumzi anayetulinda daily na kutubeba na madhambi yetu mengi kiburi uzinzi uasherati wizi ufisadi maovu yote yakutisha tumuachage aliko ila tuombe rehema ili tusipitwe kadri nyakati za mwisho zikikaribia ni mbaya itakuwa aseee tuombe atusaidie na sio kumtania Tania Mungu uyu mwamba ataniwagi uyu wazeeee 😭😭😭 akikasirika akibaki kitu ndugu ZANGUNI tumwogope Mungu tumwogope wadau afananishwi na chochote huyu Muumba wa mbingu na nchi tusije tukapigwa upofu tukashindwa kujua tutokaje uko Kati baba la baba
Hii hatarii nimecheka leoo😂😂😂😂😂😮😂😮😂😮😂😮😂😮😂😮😂😮😮😂😮😂😮😂😮😂😮😮😮😂😮😂😮😮😂😂😂😂😂😂😂
Nimechekaa sana😂😂😂
Bablai Mungu atukuzwe bablai Mungu ni mmoja tuu
Bwana Yesu awarehemu,awaokoe kwenye moto wa milele
😢😢😢
🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Sio sawa kudhihaki biblia
Kwani Biblia maana yake ni nini?
Mbona ni riwaya tu hii 😂😂😂
Good point 😢😢😢😢🤲🤲🙏🏼🙏🏼
We vip 😊
Bangi ya Arusha kiboko
ishi maisha yako hawajakosea wametumia sanaa yao
Haleluyaaaaa wana sns woteeeee😂😂😂
Daah waduduuuuu, 😂😂😂
Banging😢😢😢😢😢😢 hiyo
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kama nawaona wenye dini zenu mnavyoteseka😂😂😂
Ila Bangi 😅😅😅
😂😂😂😂wadudu official wanaakili nyingi sana
Hawana akili yyt bali ni ujinga bangi zinawasumbua.
AFU NI USHAMBA
😂😂😂😂😂😂kumbe mpaka ya kichuga ipoo😂😂😂
Aaah kudadeq
dah ila nangi
Nimecheka sana et kitabuifungwe😅
Washenzi kabisa😂😂
Nyooo😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤
Kwenye maombi mmetisha😂😂😂😂
Shika rabo shika😅😊😊
Ukimaso share moko mlango wa jero be nao unabonga😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌chuga sihami...
😂😂😂
Ila bangi😂
Sasa naanza kumuelewa LEMA mtoto wa kiongozi yoyote anakubali mtoto wake aitwe mdudu?
Muda Wa sadaka jaman 😁
😂😂😂
Yaani ingekuwa wamedhihaki kitabu cha wenzetu wa upande wa pili, yaani hizo vurugu zake Tz pasingetosha. Cha kujifunza wale wa upande wa pili ni kuvumiliana na kuchukuliana maana sisi sote tu wamoja kwa aliyetuumba
Hiyo ni dini ya utapeli ndio maana inadhihakiwa
Kuna wakuu wako huko wametunga had bibilia inayokubali ushoga je hao ambao wametunga mashairi yao tu bora wapi .Ndo ujuwe kuwa bibilia si kitabu cha mungu ni cha watu wenye uwezo wa kuondosha maandiko wasioyataka na kuweka wanayotaka kulingana na fikra zao.Mlikosea Zaman tangu mlipoambiwa linakuja agano jipya mkakubal kulipikea bila kuuliza linakuja na mtu gn?
Bila kuuliza linakuja na mtume gn nyie mkapokea sasa jiandae na agano linakutaka uwe shoga linakuja ( New testament)maana nyie kizungu mnakiabudu eti
Hahaha😂😂😂😂😂kitunyo
Dah siku wakija kujitambua hawa nakufa😂
😂😂😂
Mlango wa 40
n vzr kuchekesha but next time wasilete utani kwenye maswala ya dini
Una elewa unacho sema au usema kwakuwa ume sikia wakubwa zako waki sema dini zinge kuwa na maana hata ndoa zisinge vunjwa ndomana una funga ndoa kwenye dini chet kina tolewa na serikali na anae vunja ndoa ni serikali kwasa babu dini sio kitu cha ukweli ni uwongo hata iyo bendera ulio weka hata unge jua maana yake usinge weka
@@BarnabasFabiani me naona ata ww unatumia matope badala ya akili sa maoni yangu yanakuhusu nn na bendera imekugusa wp au shobo2 mikazo zero
@@ozilraven8442 dini ime kuharibu sana
@@BarnabasFabianiShika adabu mpuuzi wewe
Unaleta ujinga kwenye Imani
Na Neno la Mungu
Puuzi kabisa fanyeni ujinga kwenye mambo yenu mengine
@@zebedayokatamaduni9676 mungu yupi ume pigwa wewe akuna mungu ndomana kilakitu una fanya ww hakuna alicho fanya mungu
Aloooh hawa jamaa akili kisoda 😂
Hapa bange zinahusika
Arusha ni nchi ndani ya nchi ya Tanzania
Vijana wa arusha wa hovyo sana😅
Pastor goraniani goraa 😂
Mnafanya kitu hatari bila nyinyi kujijuq kwa mfano sasa mmeanda wakati mnataka kuingia langoni nafsi yako itakuwa inaongea ni nini ni huo uchafu mnaouongoe kweli turudi msalqbqni Bwana anawaita acheni haya mnayoyafanya mbele kuna garama na kilio kikuu mtakumbuka haya maneno msipo tubu
@janethKamazima we enyewe unae zambi ya atari
😂😂😂😂mbaya tu
Mlango wa jero unabonga
Wana vuta Cha Arusha
Machizi ya Kenya yameamia a town 🤣🤣🤣🤣
😂😂
Can't you act without making mockery on priesthood
Mlango wa 40 mstari wa mkuu wa mkoaaaaaaa😂😂😂😂
Mlaniwe namfe kabla yawakatiwenu goma nyie
Ila wadudu😅
Kwenye maombi mmetisha😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂