DAY 1// JE WAKRISTO WANAFAA KUSHIKA SIKU SABATO? GITHURAI 45

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @VictorNdiwa-mh3qn
    @VictorNdiwa-mh3qn День тому

    Napenda sana mafundisho pastor Ndacha. Mafundisho yake yameniconvinced hadi nimekuwa mfuazi wa kristo.

  • @mainiyanyoka254
    @mainiyanyoka254 6 днів тому +1

    Thank alot bnd team be blessed alot for your message🙏

  • @Blessedboi8019
    @Blessedboi8019 6 днів тому +3

    Congolese bado wako kwa kiza. Masomo hawana

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 3 дні тому

    Vizuri sana walimu wetu ktk RDC ❤❤

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 День тому

    Wa congo niwazayifu sana hawajuwi biblia wanateteya uongo tuu

  • @rajinkalisia1730
    @rajinkalisia1730 5 днів тому +1

    Walimu wa congo wameshindwa na Mada.

  • @kangamule2167
    @kangamule2167 5 днів тому

    Wasabato hakili zimefunikwa nakitamba cha musa, si mmi ni bibilia waje kwa chirist watajwa nakuewa vizli sana

  • @MugishaBonheur-p9d
    @MugishaBonheur-p9d 5 днів тому

    Ndacha ni mwalimu wangu alakini mambo yasabato hatuelewani vizuri😂

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 4 дні тому

    Yani mnaosali jumapili mmesha logwa na shetan hamelewi kabisa jaman

  • @LimbienBrother
    @LimbienBrother 5 днів тому

    Kwa injili ya namana ihi vita ahiwezi kwisha kongo

  • @pascalkalama
    @pascalkalama 5 днів тому

    Hawa wahubiri wa congo nawa hurumia ak wamepotea pasipo kujua wamepotea

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 5 днів тому

    Roho Mtakatifu atawafundisha wa Kongo

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 6 днів тому

    Wa Congo wameshindwa hii mada

  • @yohanaMarco-e4j
    @yohanaMarco-e4j 5 днів тому

    Hii dunia kweli yesu yupo karibu kurudi hivi kweli kwa akiri ya kawaida tu umeshindwa kujua siku ya ibada ni ipi? Simple kabisa

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 День тому

    Wa congo wataenda mbinguni bila sheriya 😂😂😂😂 hiyi ni uongo usio nakipimo ha wawatu wa nasoma biblia gani???😂😂😂😂😂😂😂

  • @LimbienBrother
    @LimbienBrother 5 днів тому

    Cameraman awe anaonesha pande zote

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 6 днів тому

    Amina watumishi

  • @kangamule2167
    @kangamule2167 5 днів тому

    Paulo anasema amuli kumi azituwusu, je sabato ayipo? Nini nyiee wasabato

  • @AnziziAbudo
    @AnziziAbudo 4 дні тому

    🤣🤣🤣 wakristo wamiumana leo

  • @FredrickNyangweso
    @FredrickNyangweso 6 днів тому

    kweli shetani amewatoa majeshi yake hata hawa wacongo wamepotea hivi hawa na mwakemwa wa tazania

  • @daudimwambelo4154
    @daudimwambelo4154 6 днів тому

    Ndacha na timu yake ni waongo azipiti siku nyingi ataku mwislam

    • @PTLPMTV
      @PTLPMTV  6 днів тому

      Wewe bado uko kwenye Usingizi,ndoto Ni Tamu. Utaamka tu

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 6 днів тому

      Wewe unaota kweli

  • @bausifarouk1798
    @bausifarouk1798 6 днів тому

    Sabato means saba