EXCLUSIVE: MO ATHIBITISHA KUMSAJILI MPANZU |FREDY ,ONANA HATARINI KUTEMWA |SIMBA MPYA NI KUFURU...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @BirinaSakhoo-gr4eo
    @BirinaSakhoo-gr4eo 2 місяці тому +3

    Tunamhitaji sana hyo kijana maana ni kijana mzuri sana simba nguvu moja

  • @SalehOthman-e7q
    @SalehOthman-e7q 2 місяці тому

    Asante mo kwa kutupatia mpanzu kweli ww mo waiipenda simba ,mchngo wetu sis washabiki ni kuhakikisha kila mechi tunajaza uwanja,,by baba ajmli sizini pemba

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 2 місяці тому +1

    Big app Simba Nguvu Moja

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 2 місяці тому +2

    Mpanzu furaha ya simba bado Feisal Zanzibar finest

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 2 місяці тому

    Hii ndo data sport tunayoitaka, yes wachambuzi wa viwango! 👊

  • @ElizabethEmmanuel-nj1oi
    @ElizabethEmmanuel-nj1oi 2 місяці тому

    Mo unafeli wapi mlete Elie mpanzu

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 2 місяці тому

    Tuna msubili kwa hamu Elia mpanzu

  • @MwakasegeShukuru
    @MwakasegeShukuru 2 місяці тому

    Deal done

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 місяці тому

    Mo dewij tunaomba tuletee Mpanzu nimwamba kwelikweli boss tunakuamin .

  • @themiracles1
    @themiracles1 2 місяці тому

    Ivi kumbe usajili haujafungwa?

  • @SalehOthman-e7q
    @SalehOthman-e7q 2 місяці тому

    Mo ebu wape watakacho hao ,,kma mawe unayo ebu fanya kweli baba mo sisi mpanzu tu nashida nae

  • @hassanmakame4382
    @hassanmakame4382 2 місяці тому

    Hii mediya ni yakisenge kabisa taarifa zenu nizakubuni2 juz2 mmesama dili la mpanzu limeingiliwa na yanga

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 місяці тому

    Kwani siulisema anaenda yanga tuamini lipi tusimamie kwenye lipi????

  • @nasibumsuri4155
    @nasibumsuri4155 2 місяці тому

    Tunamtaka mpanzu tupo tayari kuchangia

  • @MosesNgao
    @MosesNgao 2 місяці тому

    Lakini nyie mlisema ataenda yanga tuwaelewaje?

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 2 місяці тому

    Onana ni bora kuliko Fredy bora aondoke Fred

  • @mohammedgulamali8849
    @mohammedgulamali8849 2 місяці тому

    Sawa usajili mzuri. Lakini bado mimi sina imani na MOHAMED. HUSSEIN. Na Shomari kapombe. Hawo wa urafiki wa jirani na Chama. Na Chama ame hujumu sana Simba. Huyu Chama alikwa Ana mhaba na yanga ndeio yanga walikwa wana pita kwa Chama kuhujumu Simba. Naomba viongozi wafikeriye hawo wawili.

  • @abdallahmwinyi2106
    @abdallahmwinyi2106 2 місяці тому

    Ubaya ubwela udungu umara

  • @abdallahmesso7732
    @abdallahmesso7732 2 місяці тому

    Acha umbea wako na majungu haha huo wasiwasi wako unatokana na nini au na w😮ewe ni mshilikina

  • @BamBam-q6l
    @BamBam-q6l 2 місяці тому

    Nikua naulizia batii izo nazipqtaje

    • @sportsdatatv
      @sportsdatatv  2 місяці тому

      0782055044 piga kwa maelezo zaidi

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje 2 місяці тому

    Aondoke Fred tulimpenda ila mpanzu tuna mpenda zaidi