Dah!!' Tar 27 9 2023 nimetoka kuisikia kwa jiran nimerud ndani nimeamua kukumbuka nyimbo zake na kuziplay tena.aendelee kupumzika kwa aman mariam nyie ni muda sasa tangu kafariki hata mtoto atakua kakua
Wallaahi mola ndiye ngao pekee dadaa pumzika kwa amani Mariam khamis tunayaona dadaa tunatendwa ila mola ndiye ngao pekee na kama si yeye madhira ni mengi pumzika kwa amani Mariam 💐💐
2023 Bado IPO juu mungu akupumzishe pema peponi na wote waliotangulia mbele
Yenu nyuma yetu🙏🙏
Huyu dada alikuwa na sauti yenye kuvutia kwenye kuimba Kama unamkubali weka like yako hapa ili twende pamoja 2021
Yani nilikuwa nampenda ila ndio ivyo😢😢
@@Monaish___mooon ndio hivyo vizuri huwa havidumu, tulimpenda ila mungu amempenda zaidi
Nakumbuka dida shaib aliumia sana kwenye huu msiba daaa mungu awalehem mbele yenu nyuma yetu saizi mtoto wako atakua mkubwa sku nyingi sana
Kama na ww umemmisi dada marimu kama mm naangalia wimbo mzuri 2022 mungu amsamehe kila baya lake gonga laiki kwa wingi kwangu👏👏
2024 lkn Bado Iko 🔥🔥🔥 yaani enzi hizo ndo kulikuwa na taarab wallah Allah ampe kauli thabit 🙏🙏
Wallah naupenda huu wimbo hadi basi sauti kinanda
Yan uyu dada anatoka kufanyiwa operexen amefarki anatoka yeye kitandani naingia mimi kufanyiwa nilikua naigopa sana mungu akupe kaur thabit
Mtoto wake alikuwa hai?
Sauti tam lawama nimezoeya r.i.p mariam nyimbo zako zote nzuri sana
😘😘🙏🙏Mungu akupunguzie adhabu ya kabl mbeleyako ndg hatakama aupo bado nakupenda tuu😘😘😘👌
Kabisa maana huyu dada nilikuwa nampenda na ntazid kumpenda
Mwenyez mungu ampunguzie adhab ya kabri
Dah!!' Tar 27 9 2023 nimetoka kuisikia kwa jiran nimerud ndani nimeamua kukumbuka nyimbo zake na kuziplay tena.aendelee kupumzika kwa aman mariam nyie ni muda sasa tangu kafariki hata mtoto atakua kakua
Sana lkn mapenzi ya mungu
Wallaahi mola ndiye ngao pekee dadaa pumzika kwa amani Mariam khamis tunayaona dadaa tunatendwa ila mola ndiye ngao pekee na kama si yeye madhira ni mengi pumzika kwa amani Mariam 💐💐
R.I.P ...Allah amlaze mahala pema salama....bado nyimbo yke yaskizwa na za kuelimisha
R.I.P nyimbo zako daima hazisahauliki milele weka na wimbo wa mti wariziki uko kwa mungu
Sauti nzuri, lawama sio mzigo kuvumilia na weza kwa vile nimewazoea
Amina daa muungua akusamehe makosayako dada
Maryam Allah akupunguzie adhabu ya kaburi mimi bado nakupenda saut yko tu mashallah ulikuwa 🙏❤
Mungu akusamehe makosa yako na akupe yaliyo na kheri uko uliko tulikupenda sanaa
Hinoma
Hikali
Mpaka ukukwetu Congo
Lubumbashi
Twaipenda
Alafu hp mbona alikuwa km mjamzito maskini😢
@@zainabuabduly7905 ndy alifariki kwa ajili ya uzazi ALLAH ampokee na ampunguzie adhabu ya kaburi 🙏
@@hanifaally4694 lnalilah wainailah rajiuun,
@@hadijaabbas2192 🙏
Sauti ya mauzo jaman ardhi inakula vingi jaman R.I.P MARIAMU
Wimbo wa kupendeza, Mariam. Mungu akurehemu pahali pema peponi. Yako duniani yamekamilika, Mashaallah! Dr. Ogeto International
Mungu akulaze maharipema peponi.
Alooo mpaka unasinzia hii noma
Maryamu unaniumiza sana ila kila nafsi itaonja kifo mungu akusamehe makosa yako ulituburudisha nakutuelimisha sana maryam
Allah amuondoshee adhabu ya kabri huyu dada nakumbuka alikufa na uzazi
Kumbe ameisha kufaa 😭😭😭🥰🥰🤔
Machozi Maesha tangu 2008
@@antoniamanikana8854 no amefariki mwaka 2011
Mariam amefariki November 2012 muwe na uhakika sio mnalopoka tuu
@@antoniamanikana8854 2012
Monyezi mungu akuondoshee adhabu ya kabuli daima tutakukumbuka 😢😢
Mwenyez mung akupe kauri thabiti
Daaah rip Mariam 😭 nacheki taarab hiii leo trh 29/4/2022 nimemis sana sauti yako dada Mungu akupunzishe salama 🙏🙏🙏🙏
Allah akuhifadhi pema kipenzi 😭
Allah akuondolee adhab ya kabri Mariam
2024.nyimbo znaish hz jaman
Innalilah wainnailahi raaajiun Allah akusameh makosa yko
Mungu akurehemu dadq
Tuwekeeni na wimbo aliouimba mti Wa liziki upo kwa mungu
nani anasikiza 2020❤️❤️
Mm hapa maana nampenda sana
Nyimb zuri xn
2021nani anaangalia wimbo mzuri
Mimi kila mwaka now 2022 naangalia kwani mashaili yake ynaishi katika uhalisia naupenda sana huu wimbo
Uuuu wimbo mzuri nakukumbuka sana mam mungu akusamehe
Mungu akupe kauri thabiti akupunguzie adhabu yakaburi
Lawama si mzigo dah😭 rest in peace wajina wangu Allah akupunguzie adhabu za kaburi.
Du!Rip mamu mwenye sauti yako munu akupe kauli thabiti huko uliko😢😢
Nani anasikiliza 2021
😢😢😢😢😢 pumzika kwa amani dada
Mungu akulaze mahala pema
Mungu amsamehe makosa yake tumuombee kwa mungu ampokeee
Mamu ulikuwa na kipaji cha kuimba na kupendwa na watu
Mungu ampumzike mariamu
yan hii nyimbo huwa nikiskiliza machoz huwa yananitoka
Allah akupe kauli thabit
Yaani mzuri zaidi ya nini
Mamu pumzika kwa amani maneno uliyatupa dada
Allah akurehemu na alikunjue kabri lako
2024bado ni 🔥🔥🔥😭😭
Mungu akusamehe dhambi zako
Mungu alaze Manali pepon aminna
Best malidadi
Kazi yamungu haina makosa bd tunakupenda
Kizuri hakidumu
Mungu awe nawe
Mariam unaniumaa kama vile tulikua tunafahamiana😭
Innalillahi wainnailah rajihun Allah ukufanyie wepesi
Punzika kwa amani❤❤❤
2021
2/2/2022 rest in peace Maryam
Nimependa sana hii tarabu
Duuh mariam
Dunia mapito
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Wimbo mzurisana
Asante tam San hiii jmn
Mwalimwengu ndivyo tulivyo
Misichoki huuwimbo
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Madina haji
2022 #RIP Mariam
10/9/2024 bado inabamba
Nice
Huyu dada alitulia kwa kweli
Safi ndugu zangu
Naomba ile nyimbo ya Mwamvita Shaibu ya Kalamu ya Rahmani haifutiki
Dah😢
Innalillahi wainnailah rajihun sisi sote ni wamwenyezi Mungu nakwake tutarejea
Kweli❤❤🙏🙏
R.i.p mariam
😥😥😥😥
Here she was pregnant 🤰 😓😓😓 dah mungu akupe kauli thabit
❤❤
❤❤❤
Mume wa mtu sumu sio wote wanakubali.. ulipigwa na kitu mizigo hadi kifo. Ungempata mime wa pekee yako(lambda ungekua hai
Ameee
Nimeiludia hii leo ter 1/12/2022
Ndio nasikilaza hapa my dear
Kizuri hakidumu