ABORDER FRIDGE AB-75 ANALYSIS (MCHANGANUO WA FRIJI/JOKOFU ABORDER AB-75)
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Video by Electronics Trading Point Limited (C)2020
Brand: ABORDER
Size: 125L
Current Price: @ 490,000/=
Warrant: 3years
CONTACTS
Call/WhatsApp: 0689811697/ 0753148658
Email/baruapepe: info@electronicspoint.co.tz
sales@electronicspoint.co.tz
electronicspoint@gmail.com
Instagram: / electronics.point
Video Manufactured And Marketed By Electronics Point. All rights reserved.
Asante Sana kwa maelekezo mazuri
Asante kwa mrejesho mzuri
Hiyo Bei gani
Kwann friji linakadisha kwa mda kiddogo linastaki na moto unapita taa inawaka ila aliungulumi ukilizimaa kwa masaa mawili linaemdelea na kazi Nini shida
Bei gani
Karibu WhatsApp 0753148653 kupata sample na bei za fridge zilizopo.
NambA zenuxx
Beh gani mm nataka
Friza yenu bei gani
Koo inafaa kuizima au inatakiwa kuwa on Kila wakati au unaweza kuizima mfno vinywaji vimekuwa vya baridi,kwa ubora wa matunzo
Fridge ni Automatic itajiwasha na kujizima kama baridi ipo ulipopanga kwenye regulator. Unaweza usizime fridge kwa miaka.
@@electronicspoint7 naomba Bei please
@@elizasemadege-yp7df Karibu WhatsApp +255689811697 kupata sample na bei zake
@@electronicspoint7 usipozima umeme siunaenda sana tueleweshe vzr kwa hili
Shida hamsemagi bei
Karibu Instagram: instagram.com/Electronics.Point kupata sample na bei zake. Au wasiliana nasi kwa 0689811697
Bei gani ukifika muleba
Karibu WhatsApp +255689811697 kwa mawasiliano zaidi
Unauzaje bei yako
Karibu WhatsApp+255689811697 kupata sample na bei za fridge zilizopo.
Bei mkubwa
Karibu Instagram: instagram.com/Electronics.Point kupata sample na bei zaidi. Au wasiliana nasi kwa 0689811697
Mnauza shilingapi
@@electronicspoint7 bei sh ngapi
Vp huna firij ya Bei ndgo
Zipo. Karibu WhatsApp 0689811697 kuona sample zilizopo
Ni nzur Sana,je naweza pata Kwa 450,000?
Hi! Karibu WhatsApp 0753148658 kuona sample na kuweka order yako
Bei gan
Karibu Instagram: instagram.com/kupata sample na bei zaidi. Au wasiliana nasi kwa 0689811697 call/WhatsApp kupata huduma zaidi
Hello
Ulipotezea funguo ya fridge unaweza kuweka kitasa kingine
Me nahitaji frizer
Karibu WhatsApp +255689811697 kuweka order yako
Naipataje hiyo fliji..?
Karibu WhatsApp 0689811697 kuweka order yako
Bei gan fliji
Karibu WhatsApp +255689811697 kupata sample zilizopo na bei zake
Bei zake inaanzia shingapi
Bei zinaanzia 280,000 na kuendelea. Karibu WhatsApp 0753148658 kuona sample zaidi na kuweka order yako
Bei gani
Bei yake kwa sasa ni 530,000/-
Call/WhatsApp 0689811697 kuweka order yako
Bei gani unauza
Kwa sasa ni 530,000. Karibu WhatsApp 0753148658 kuona sample zaidi na kuweka order yako