SISI WATANZANIA TUMECHOKA NA USHENZI WA UKABILA HAPA KENYA,,,MKOME KABISA,,,PALAMAGAMBA KABUDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025
  • Don't forget to SUBSCRIBE and click the notification Bell🔔 to get instant updates when a video is uploaded. Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. THE BEST OF THE BEST NEWS CHANNEL,,,RELIABLE,,,IMPATIAL,,,BALANCED ONLINE NEWS CHANNEL FOR YOU,,,ENJOY WATCHING AND THANK YOU FOR FOLLOWING US NEWSLIFE TV KENYA IS THE BEST ONLINE NEWS CHANNEL FOR POLITICAL NEWS,,,,,DONT MISS THE NEXT VIDEO BY JUST SUBSCRIBING FOR A NONSTOP 24HOUR NEWS CHANNEL
    REACH US THROUGH newslifetvkenya1@gmail.com #trendingnews #dailynews #newslife #uhuru #ruto #newslife #KenyaDecides2022 #KenyaElections2022

КОМЕНТАРІ • 480

  • @bobmacoti4130
    @bobmacoti4130 5 років тому +38

    How many have watched this speech hundred times like me... What a wonderful speech and wonderfully spoken Kiswahili...

  • @bencroacademy
    @bencroacademy 5 років тому +41

    This is how God sends people to warn a Nation. Kenya... Kenya please lets sit keenly and listen.... silently to these wise words

  • @jennefergikonyo8322
    @jennefergikonyo8322 5 років тому +19

    Wah,hii ndio kiswahili sanifu,a great warm speech

  • @dr.maryngunyi8325
    @dr.maryngunyi8325 5 років тому +3

    Amazing AMAZING AMAZING!!!!! Hon. Kabudi you have said it all!!! Mungu akubariki sana zaidi!!!!

  • @felixakhobe6293
    @felixakhobe6293 5 років тому +38

    I have watched this speech more and more

  • @hemantraval6125
    @hemantraval6125 5 років тому +1

    Asante sana Ndugu ...tungeomba ukae muda kidogo nchini kwetu. ....na utoe mafunzo ya siasa ya maendeleo. ....na uwafunze mazungumzo za amani na siyo za kutusiana na kutumia kifua. ...I hope all will take note of this magnificent speech .. and the underlying sarcasm that he dishes out to the miscreants of our country !!!

  • @fredricknicholaus1010
    @fredricknicholaus1010 5 років тому +8

    HE Kabudi umetupatia heshima kubwa sana Tz. Personally Kenya is my second home land 🇹🇿🇰🇪

  • @ericksonsosion7044
    @ericksonsosion7044 5 років тому +20

    ameongea kama watu milioni moja ,God bless you sir for your concerns about Kenya.

  • @bensonmogaka93
    @bensonmogaka93 5 років тому +17

    you are the best peace maker after koffi annan,.your wisdom words are valid

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 5 років тому +22

    Jamaa chuma kweli. Excellent minister Kabudi.

  • @AliHasan-eg5co
    @AliHasan-eg5co 5 років тому +17

    We need leaders like you, I like your speech 👌👌❤️

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 5 років тому +16

    Ahsante Sana mheshimiwa kabudi nimekubali Ombi la mtu mzima ni lazima.

  • @nickmwas8211
    @nickmwas8211 5 років тому +6

    His confidence is just amazing...Perfect Kiswahili..and perfect English with vocabularies! Calm and composed..and lessons that Kenyans politicians should learn from,,Thank you Bwana Waziri!

  • @phrankonyango4895
    @phrankonyango4895 5 років тому +31

    This is what i call linguistic intelligence, bravooooo

  • @graciakinyanjui6937
    @graciakinyanjui6937 5 років тому +23

    Eloquent Swahili speaker... he real excited the crowd...

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 5 років тому +9

    Nobody made a good speech like you sir you made the day more happier

  • @g.kgichogo4370
    @g.kgichogo4370 5 років тому +15

    A united Kenya means a united East Africa. Amen and be blessed sir

  • @de-solenza5218
    @de-solenza5218 5 років тому +27

    Wakenya mmeongozwa toba leo 😀😀😀🙏

  • @phrankonyango4895
    @phrankonyango4895 5 років тому +21

    This speech is absolutely superb

    • @maureenbisieri6776
      @maureenbisieri6776 5 років тому

      Well said👍👍

    • @HANDOLOH
      @HANDOLOH 5 років тому +2

      I have thought about this years ago. It made me think that with more education,especially university education, Kenyans would slowly by slowly shun tribalism. However to my utter shock and disappointment our universities are the very manufacturers of the scourge of tribalism! Hence we are now miles away to dismantling our tribal cocoons and we will go down to the abyss, to the lowest it can get,for us to realise how important unity is! It took some countries wars for them to unite,other countries like former Yugoslavia opted to go separate ways. Whether Kenya will ever be unite as one language might unfortunately be too long a shot to call in our lifetime. The culture of selfishness and short-sightedness plus inward looking characteristics are here to stay. From where we have reached only way now is to abolish tribes but who can support that?

    • @maureenbisieri6776
      @maureenbisieri6776 5 років тому

      @@HANDOLOH I totally agree with you

  • @samsonmasira1480
    @samsonmasira1480 5 років тому +28

    honestly ur speech is perfect.

  • @onyikoolita8654
    @onyikoolita8654 5 років тому +15

    The heights of statesmanship... Hon Palamagamba Kabudi.

  • @judynjerimwaura943
    @judynjerimwaura943 5 років тому +10

    Thank you for great speech! Hope they (leaders) will heed

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 років тому +21

    Mwenye lugha yake ya Kiswahili huyo Professor 👨‍🏫 Kabudi 😅😅

  • @generalsin5296
    @generalsin5296 5 років тому +5

    He brought the Swahili humour with him 😄 love from 🇺🇬

  • @tondaaugustine919
    @tondaaugustine919 5 років тому +28

    Next president of Tanzania

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 5 років тому +28

    Greatest speech from TZ Minister of Greatest African President Magufuli

  • @prof.oduoroduor6471
    @prof.oduoroduor6471 5 років тому +15

    u can talk the whole day and al sit to listen.. a very strong message indeed...

    • @peterpanyika6810
      @peterpanyika6810 5 років тому

      Kabudi you are humble but very confident.You deserve to be considered for presidecy.Huna hila Wala mawaa katika kazi zako.

  • @justinzefania5277
    @justinzefania5277 5 років тому +1

    Safi Sana father naongera

  • @alphamasaf154
    @alphamasaf154 5 років тому +33

    If Kenyans can't listen to such sound advice and heed..then we are beyond repairs

  • @damslandscapeworksadams6793
    @damslandscapeworksadams6793 5 років тому +3

    Mimi ni MTANZANIA..lakini ninge penda kutoa maoni yangu kupitia hotuba ya waziri wetu prof kabudi,ambae amejaribu sana kuwaeleza madhara ya ukabila...mwalim nyerere baba wa taifa la tanzania aliwahi kusema ukabila sio sifa ya kujivunia wala hauna maana yoyote kazi ya makabila ni kufanya matambiko tu ya kimila ...lakini kwa maana ya maendeleo hayana faida,..kwaiyo acheni ukabila muwe kitu kimoja kwa maslai ya taifa la kenya...

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 років тому +1

      dams landscape works adams dams landscape works adams kweli kabisa, na aliendelea kusisitiza kua ukabila UKIOTA MIZIZI mtajikuta mnaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe tena humohumo kwenye K ABILA lenu
      Maana kama ni. Wachaga kwa mfano utasikia wanaanza kuuliza tena MCHAGA WA WAPI? Mwisho wa siku tunaendelea kubaguana mpaka mnajikuta mnafika kwenye makundi ya WENYE NAVYO vs WASIONAVYO humohumo kwenye Kabila moja
      So generally UKABILA hauwezi KUWAACHA WATU NA VIZAZI VYAO SALAMA

    • @georgeodhiambo598
      @georgeodhiambo598 5 років тому

      Mlikuwa na bahati kubwa zaida kwa kuwa na Nyerere kama mwanzilishi wa Taifa lenu. He impacted excellent values in Tanzania and the fruits are there for all to see.

  • @estherkibui2371
    @estherkibui2371 5 років тому +12

    Wow 👏👏😁kongore kwa nice speech...but i need kamusi😀

    • @stevek8318
      @stevek8318 5 років тому

      Unaandika laini mbili tayari unakosea? Na ukiandika ukurasa moja au kitabu?

    • @estherkibui2371
      @estherkibui2371 5 років тому

      @@stevek8318
      Am telling u swahili ni ngumu kwangu

    • @mustafamazin2730
      @mustafamazin2730 5 років тому +1

      Esther Kibui kongore jamani huyu ni mwanaume

    • @estherkibui2371
      @estherkibui2371 5 років тому

      @@mustafamazin2730
      😅👍alafu

    • @sammwanza4402
      @sammwanza4402 5 років тому

      Esther Kibui hivi Kenya hamjui Kiswahili kweli

  • @ezekielosiemo9171
    @ezekielosiemo9171 5 років тому +7

    Good advice. Thank you.

  • @paulkaranja3099
    @paulkaranja3099 5 років тому +39

    Tz wAmekomaa kisiasa hapa kwetu ni ukabila na ubinafusi

    • @hanifaali9526
      @hanifaali9526 5 років тому

      Paul Karanja kabisa

    • @wakandaboy9846
      @wakandaboy9846 5 років тому +2

      Paul Karanja Bora ukabila lakini huyo Anaongeaa hivyo lakini Akiwa huku ni tofauti kabc

    • @HANDOLOH
      @HANDOLOH 5 років тому +2

      However they still don't have the freedom of the press and opposition is still more dangerous there than in Kenya so l am not sure they are ahead democratically. They are ahead when they talk in unison but when someone opposes confusion takes over!!

    • @musakihama5480
      @musakihama5480 5 років тому +2

      @@wakandaboy9846 ktk maisha yangu cjawahi ona mtz bwege,fala na mpumbavu anayeona ukabila ni bora kwa kutumia akiri ndogo ya tofauti ya kisiasa,kama ww.umeniharbia kabisa cku.

    • @mathiasmsese6128
      @mathiasmsese6128 5 років тому +1

      Acha uongo we mamruki. Huyu jamaa ni mzalendo ila manyumbu hamuwezi jua mnaolala kwa kikopi na kupesti kwa kufuata upepo

  • @gloryk.73
    @gloryk.73 5 років тому +30

    Seems we should import our leaders from Tz. Rusheni mawe, nimeenda hivi nitarudi kuyaokota nijenge nayo nyumba.

  • @hashimsalim1203
    @hashimsalim1203 5 років тому +8

    Kma kweli wakenya wanasikia na wasikie. Wanakuja kutuomba kwa uzuri wetu. Tuna inchi nzuri BT tunaiharibu. Jamani tuache. Kudhulumiana. Mungu hapendi.

  • @rachealnjoroge8324
    @rachealnjoroge8324 5 років тому +4

    That was awesome hope the politicians have heard it n will do as you have said.Leaders needs to listen to this over n over so that they can understand how Kenya is important.God help them to take kenya serious than themselves.May the wisdom of God be upon them all.Love my country kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pamoja twaweza.

  • @raykim6420
    @raykim6420 5 років тому +1

    Speech ya kibabe ya hon. Prof. Palamagamba kabudi Ni excellent and smart one receive my esteems congratulations

  • @OumaOduori
    @OumaOduori 5 років тому +15

    Wengine juzi wamejaribu kujieleza kwa Kiswahili bungeni,lakini tulishudia vioja si haba.Kongole Kabudi.Kiswahili chako chazuzua waja si kidogo

  • @shemoganga7289
    @shemoganga7289 5 років тому +3

    I have watched the speech thrice...what a blunt, coherent and honest message!

  • @nanimkenya1015
    @nanimkenya1015 5 років тому +6

    we thanks you my brother from other motherland Tanzania, I thank you again, to give open eye to our Kenya politicians who are busy demolishing Kenya coz of there benefit. even us Kenyan we see so but we have nothing to do? we depend only God to rule our country.

  • @moonermuhammad420
    @moonermuhammad420 5 років тому +18

    I love this man. I literally cried. Live up to the expectations of Kenyans 😭

  • @denniscadam8118
    @denniscadam8118 5 років тому

    Sounds like a proper leader with lots of integrity and respect. Can't think of anyone in our existing system that compares. I like Dr Ekuru Aukot though, looks like someone who can bring proper change and leadership to the country. My vote will go to him. If you are the smart and patriotic kind yours will too.
    Surprised that anyone can downvote such a speech. Goes a long way to show the ushenzi in some of our people who would rather listen to tibiim and tangatanga type of messages with no sense in them that points to development with accountability. God help us

  • @calvinceochieng1023
    @calvinceochieng1023 5 років тому +1

    Because of Hon Kabudi
    Kwa hakika nimetamani kujifunza kiswahili, zaidi ya yote misamiati.
    Hotuba inayo elimisha tena ni onyo!

  • @FrankBoozerFitnition
    @FrankBoozerFitnition 5 років тому

    Kikosi kazi..Task force..Shukran kwa kunifunza kiswahili..

  • @marymutavi5446
    @marymutavi5446 5 років тому +13

    Kenya watu hujiona special sana,wengine wamejiweka Kua wao dio kusema,n no more.upuzi mtupu

  • @johnmbugua4923
    @johnmbugua4923 5 років тому +1

    VERY PROUD OF YOU MINISTER KWA KISWAHILI CHAKO KIZURI .TRUE AFRICAN HERO. HAPA WATU WANASUBUKA TU KUONGEA LUGHA ZA KIGENI.

  • @kevinwachira4617
    @kevinwachira4617 5 років тому +27

    We should learn from our neighbours Tanzania do away with tribal politics and become one people 👏👏👏👏👏👏

    • @annemuoria0893
      @annemuoria0893 5 років тому

      🙏

    • @maureenbisieri6776
      @maureenbisieri6776 5 років тому +3

      I absolutely agree this madness of tribalism is horrific it must end

    • @georgeodhiambo598
      @georgeodhiambo598 5 років тому +3

      Perfectly correct but the tribalism problem is deeper than its manifestation in politics. Tanzanian long accepted that communicating in local dialects in public is against the spirit of Tanzanianism and is frowned upon. Kenyans on the other hand seek comfort in communicating in tribal dialects, regardless of the environment. Exclusive "them vs us" is strong among Kenyans. We needed and still need a nationalistic, intelligent and philosophical benign dictator to beat it out of us. We are so shameless about our tribalistic tendencies that we even happily conduct public office affairs in ethnic languages. We are too deep into tribalism.

    • @maureenbisieri6776
      @maureenbisieri6776 5 років тому +3

      @@georgeodhiambo598 I absolutely agree with you on this 👍👍.I'm just wondering who the hell is goin to come in n destroy this tribalism?? Shamelessly even after the foreign affairs minister askd these politicians to do things right ohh my Gosh they stil went ahead in two diferent counties showing their fangs n clearly showing tribalism hvn the audacity to say wewe ngojea this tribe is watchn 2022 🤔🤔was watchn in shock dear GOD will this really end i doubt any sooner unless a miracle happens.its just a sad n horrible situation

    • @wilbertchafumbwe4353
      @wilbertchafumbwe4353 5 років тому

      @@maureenbisieri6776 surely

  • @dr.maryngunyi8325
    @dr.maryngunyi8325 5 років тому +10

    Tanzania’s support for Kenya is UNEQUIVOCAL Good weather & BAAD WEATHER! True BLOOD RELATIVES!!!!!!

  • @annemuoria0893
    @annemuoria0893 5 років тому +1

    A hilarious 💬from our brother from another country 👏...may we Kenyans and especially leaders make use of it and put it in to a practice for a better change in our country 🙏

  • @alecmuhoho535
    @alecmuhoho535 5 років тому +1

    Very powerful and inspiring Speech relevant to Kenya and all African Countries

  • @nancynjoki5267
    @nancynjoki5267 5 років тому +6

    Hivo mmesikana yule atajaribu kugawanya kenya mungu umuathimbu

  • @suejean6160
    @suejean6160 5 років тому +21

    Important lessons.... I pray for togetherness in our beloved country Kenya

  • @marymutavi5446
    @marymutavi5446 5 років тому +6

    Kenya pride imewasonga,let's change

  • @Queen-yf7my
    @Queen-yf7my 5 років тому +17

    Wakenya wanapiga makofi bila kufaham chocho😁😁😁😁😁😁😁eti nikuonesha ungwana

    • @grammamresh8848
      @grammamresh8848 5 років тому

      Aki😂😂😂😂

    • @dsasaas4896
      @dsasaas4896 5 років тому

      Kiswahili ni kingumu😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @godblessjrtz.8652
      @godblessjrtz.8652 5 років тому

      Si mnasemaga kiswahili ni chenu?

    • @Queen-yf7my
      @Queen-yf7my 5 років тому

      @@grammamresh8848 😁😁😁😁😁woi ghai nimecheka vibaya

    • @Queen-yf7my
      @Queen-yf7my 5 років тому

      @@dsasaas4896 bt wako radar atleast wamepongezi kitu ata hajaelewa.. dunia simama ni shuke😁😁😁😁😁

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 5 років тому +18

    Undugu 🇰🇪🇹🇿 udumishwe daima.Kumbe BBI ina lete heri! Mgeni njoo Mwenyeji apone.

  • @kamobochoir5729
    @kamobochoir5729 5 років тому +16

    Uyu jamaa amenifunza makubwa sana tuwache kubaguana tufikirie maendeleo

  • @xxaccxaxcc9893
    @xxaccxaxcc9893 5 років тому +6

    May God c u thru for our United Kenya without tribalism

  • @Mataikayo
    @Mataikayo 5 років тому +2

    Wah, kiswahili mufti kabisa mbka saa zingine inabidi aongee English ndo waelewe maana zaidi, kudoz!!! #onelove🇰🇪🇹🇿

  • @mohameda.i.baranyikwa6551
    @mohameda.i.baranyikwa6551 5 років тому +1

    Pongezi to all Kenyans. Kenyans and Tanzanians are sisters and brothers. No doubt Kenya is an economical engine of our potential UNITED STATES OF AFRICA. Viva Africa!

  • @johnmbugua4923
    @johnmbugua4923 5 років тому +9

    MINISTER KABUDI .KWELI WAAMBIE KWASABABU HAPA KUMEJAA UJINGA YA UKABILA.

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 5 років тому +20

    Kenya for sure is the engine of EAST AFRICAN economy 🙌🏼
    growing up sikua najua kama Tanzania kuna viwanda 🤣🤣🤣maana kuanzia sabuni ya kuogea (geisha,imperial , ya kufua (OMO, jamaa) mafuta ya Kimbo, kanda mbili (bata) Colgate.....you name it all
    VYOTE VILIANDIKWA made in Kenya 🇰🇪
    Tanzania na kenya na zaidi ya ma jirani
    Infacts these borders were just created by our colonizers to divide us
    It’s high time we focus kwenye maendeleo ya Africa mashairi ki for the betterment of the generations to come
    Mungu ibariki Afrika
    Mungu ibariki Afrika Mashariki na watu wake 🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🙏
    Huku 🇹🇿🇹🇿TUNASEMA
    KABILA LETU NI :TANZANIA na LUGHA yetu ni KISWAHILI 👌

    • @njndox7252
      @njndox7252 5 років тому

      Stop blaming others if you can't help for your self!

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 років тому

      njn Dox we umepotea njia naona, ngoja nikusitiri maana hujielewi, NKT

    • @samasob8233
      @samasob8233 5 років тому +2

      Ask yourself why made in Kenya? and then ask yourself if the Kenyan government benefited at all from industrialization? They were all British companies! They are until today, unless we start producing our goods and names on products, it will alway be Bata, geisha, colgate, blueband, cerelac, and all..... at least kimbo was local but

    • @amoslukyaa5792
      @amoslukyaa5792 5 років тому

      Glorious n,
      Usinichekeshe, yaani kwa akili yako ya ajabu unafikiri Omo,Imperial, Colgate nk ni viwanda vilivyo jengwa na kumilikiwa wakenya wazawa! Yaani huna habari kwamba hivyo ni viwanda vya Waingereza na Wamerikani - nyie mnaletewa ingredients na concentrates mchanganye, hakuna mnacho zalisha pale zaidi ya kupaki finished products kwenye vifungashio Basi - kitu ambacho mnaweza kujivunia kwamba mnazalisha na kusindika ni maziwa ya KCC ya familia ya Kenyatta, Chai inayolimwa na kusindikwa Kericho na Limulu, Kahawa, Sukari inayo zalishwa Mumiasi, basi.
      Bottom line is: hapa naona unataka kuikejeri Tanzania kiaina unafikiri hatuna akili ya kubaini lengo lako hasa, fanya mambo yako ya kukuingizia kipato sio unaleta dharau zako za kijinga hapa

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 5 років тому

      Vipo sema sio vingi kama vya Kenya.

  • @salavynick6888
    @salavynick6888 5 років тому +5

    Ahsante maana umekuwa mwalimu wa lugha ya kiswahili kwa hawa wakenya bure kabisa
    Yani nyani haoni kundule wambie hata wengi wetu tumevumilia kuitwa wakenya kwa sabu ya ukabila
    wengine hujiona kuwa wa maana kuliko wengine....sikio la kufa halisikii dawa!

  • @stevek8318
    @stevek8318 5 років тому +27

    Wakenya watumwa wa desturi za kwao. Eti kuongea kiswahili ni ukosefu wa elimu,

    • @hanifaali9526
      @hanifaali9526 5 років тому

      Steve Kaputa ati kuongea kingereza ni ufahari, ambao ni lungha yao waingereza, bara uraya hawaongei kingereza wanaongea lugha yao tu.

    • @macksonjuma5180
      @macksonjuma5180 5 років тому +3

      Tupo tunao ongea lugha nzuri sana lakini wengi wetu ni hao wanao Sema kuongea kiswahili ni ukosefu wa elimu

    • @emmanuelraphael2358
      @emmanuelraphael2358 5 років тому +6

      And remember that this guy is a professor na look at his Swahili speaking capacity, you Kenyans mnatakiwa kuacha kudharau utamaduni wenu Swahili ndio lugha ya Africa acheni kutukuza kingereza

    • @augustuss4503
      @augustuss4503 5 років тому +2

      @@emmanuelraphael2358 wakenya wanamatatizo , nimeishi ulaya toka nikiwa kijana mdogo ninaongea fluently English na fluently swahili, wakenya wanatharau utamaduni wao, speaking English is not a measure of intelligence.

    • @emmanuelraphael2358
      @emmanuelraphael2358 5 років тому +1

      Augustus S kabisa rafiki hilo ni tatizo kubwa na wanatakiwa walimalize sasa hivi otherwise wataendelea tu kua watumwa wa tamaduni za wazungu

  • @nanimkenya1015
    @nanimkenya1015 5 років тому +22

    infact I used to ask that question, about how many tribes are in Tanzania. that great to hear from you brother that you don't have affection of tribes. myself I love humble Christians in Tanzania.

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 років тому +2

      nani mkenya there are over 120 tribes over here
      Ukisikia Mtanzania anaongelea ukabila ujuwe ni maswala ya UTANI WA JADI , other than that unaweza kaa na mtu hata usijuwe Kabila lake
      Mf mimi huyo Waziri hapo sijuwi kabila gani 🤣🤣🤣na staki hata kujua

    • @musabakari8599
      @musabakari8599 5 років тому

      About 120

    • @levinasalmon1090
      @levinasalmon1090 5 років тому

      nani mkenya .....in Tanzania we have 120 tribes

    • @nanimkenya1015
      @nanimkenya1015 5 років тому

      we were having 42 tribes in history books, but they have add Hindus as a tribe now we are like 44-45 tribles, for us if we stop reading history, then tribe will be less for us, but by now oh

    • @samasob8233
      @samasob8233 5 років тому

      Christianity is tribalism too my friend. Sasa unaogopa ukabila halafu unataka ukabila wa kidnini? angalia how cristianity spread to the world?!!!! By the sword my friend, by the sword! Na uislamu je? ni hivyo hivyo! So please people try to keep your religious or tribal affiliations to yourselves, thank you

  • @jasperetale6916
    @jasperetale6916 5 років тому +13

    Mjadala wa BBI :wapumbavu watatumia hoja ya nguvu, wenye hekima watatumia nguvu ya hoja. Chaguo ni lako.

  • @Pondamare
    @Pondamare 5 років тому +29

    Many of you here are just focused on the Swahili. Have you heard him speak English?

    • @rehemamiriam588
      @rehemamiriam588 5 років тому +5

      Francis Grinz perfect English

    • @shafiuyologwe7623
      @shafiuyologwe7623 5 років тому +3

      He speak English sometimes because he needed to deliver his message effectively coz there ar some people's who ar not understand Swahili language u know I'm say

    • @calvoh9715
      @calvoh9715 5 років тому +5

      ...........our support for kenya is unequivocal and without quid pro quo.....

    • @HANDOLOH
      @HANDOLOH 5 років тому +3

      @@calvoh9715 actually l never knew Tanzanians still wish the best for Kenya. Truly we are brothers!!

    • @adam_speech-languagepathol11
      @adam_speech-languagepathol11 5 років тому +3

      @@HANDOLOH Why were you strongly negative like that? We are brothrens. We love you. The personal conflict that usually some people have is failure to comprehend the reality. They think that time is static! NO! Time is rushing forward, not even static or going back. You guys have been leading the East Africa, and off course you're leading, to some aspects the content of Africa and in the World, simply be cause of the great creativity, freedom of thought and hard working of Kenyans. MUCH appreciations!! Tanzania has discovered that as well, now we're excelling together, let's hold our hands together or let's to the highest heights. We're brothers.

  • @ericmugambi29
    @ericmugambi29 5 років тому +11

    Aibu kwa wale walikuwa wanamsuta kiongozi wa senate mbele ya mgeni kama huyu lakini yote tisa amewafafanulia namna ya kuishi kama madugu,muache siasa za ukabila na milengo tofauti.Kongole kwako Bwana kabudi

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 5 років тому +15

    vifaaa vya JPM atakama J asipo huzuri vijana watafanya ka yeye.

  • @motomoya8463
    @motomoya8463 5 років тому

    Ujumbe mzito kweli kweli.
    Hadi Uhuru emapishwa kkkkk, safi sana Tanzania.
    Yamkini amzungumzie hata Kagame.

  • @graciesuerealityshow5806
    @graciesuerealityshow5806 5 років тому +4

    Very well spoken

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 5 років тому +7

    Kabudi uko vzur baba

  • @poulkiarie254
    @poulkiarie254 5 років тому +14

    Mjasiri kama joseph kaguthi wa nyumba kumi,kongole kabudi.

  • @jjajaregen
    @jjajaregen 5 років тому +27

    this is so hard on me because surely our swahili teachers failed us? all this words like 'kongole, shari, shere, uhasama, where were they?

    • @emmanuelyambo4143
      @emmanuelyambo4143 5 років тому +1

      Wegesa Jane kamusi dada

    • @adam_speech-languagepathol11
      @adam_speech-languagepathol11 5 років тому

      It's not only to you, Wegesa, even to me. We're not even commonly using those kind of terms in TZ, as well. Therefore this great scholar of TZ, is lecturing us together. Hahahaaa

    • @مونيشاكاتشؤ
      @مونيشاكاتشؤ 5 років тому

      Wakenya wajifanya wasoma sana

    • @pepchallanga3626
      @pepchallanga3626 5 років тому

      Were not yet invented 🤣🤣

    • @samatarali9471
      @samatarali9471 5 років тому

      😁😁the man is blessed i wonder which schools he went to ,any biography book of these man he is an african treasure.i have checking all his speeches after this bombshell of speech at bomas.literaly spellbound amazing

  • @magimagi234
    @magimagi234 5 років тому +26

    I need to learn Swahili from Tz.

    • @peterchula1990
      @peterchula1990 5 років тому +1

      Karibu

    • @rajabmnyimwa3126
      @rajabmnyimwa3126 5 років тому

      Njoo nikufundishe wewe mtoto mzuri kutoka KENYA, tena ukinipendaza nitakuoa kabisa.

    • @magimagi234
      @magimagi234 5 років тому

      @Rajab Hapo kwa ndoa, apana.

    • @rajabmnyimwa3126
      @rajabmnyimwa3126 5 років тому

      @@magimagi234 sasa kwanini hautaki wakati ndio utakijua vizuri tukiishi kama mke na mume.

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 5 років тому

      Margret I am ready to teach you unconditionally, you are warmly welcome anytime you feel like coming.

  • @kingsolo4977
    @kingsolo4977 5 років тому

    kwakweli mungu ameweka maneno yahekima ju yako prof kabudi, kwahakika unastahili kwa maendeleo ya taifa na afrika kwa ujumla

  • @erickwillium1101
    @erickwillium1101 5 років тому

    Tnx xo much new president of Tanzanian

  • @sadockpeter5459
    @sadockpeter5459 5 років тому +1

    I personally appreciate the humbleness of president Kenyatta! May God bless him and Odinga as well

  • @faithkagendo1506
    @faithkagendo1506 5 років тому +12

    What a good speech.let's practice what he has said.

  • @martin-bm321
    @martin-bm321 5 років тому +1

    Daaaah nimemkubali mheshimiwa waziri Palamagamba kabudi

  • @cooldaddy5884
    @cooldaddy5884 5 років тому +2

    Raila Kenya is more important than you,Uhuru rise up kenya,Ruto God who have called you to save Kenya please do so.Very nice words.

    • @yussuphmwiwindi9445
      @yussuphmwiwindi9445 5 років тому

      cool daddy perfect 👌

    • @georgeodhiambo598
      @georgeodhiambo598 5 років тому

      No, he didn't say God had called on Ruto to save Kenya. He said God had called on Ruto to serve Kenya. Our Tanzanian brothers and further southwards have an accent when speaking English such that to a Kenyan ear "serve" pronounced by a Tanzanian may sound as "save". You have to travel and interact with them to understand this.

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 5 років тому +6

    Eti in Kenya ni Kipsigisi, in Tanzania ni Mtanzania.!! 🤔🤔 !?

  • @wanguikwaruiwarui3463
    @wanguikwaruiwarui3463 5 років тому +5

    Wow that man oh my God very encouraging message and advice

  • @Desamz23
    @Desamz23 5 років тому +15

    Kiswahili Kitukuzwe

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 5 років тому +15

    Kenya hapo mumeoga. Tanzania wako mbele kwa lugha ya kiswahili

    • @stevenogolla6160
      @stevenogolla6160 5 років тому

      kwani kiswahili ndio huweka chakula kwa meza?

    • @monkeysula8756
      @monkeysula8756 5 років тому

      @Abdirahman mohamed, the audience is fully packed with illiterate politicians hu only speak their dialect some of us kenyans speak very good swahili and if u chek the statistics we are even better than TZ

    • @romanusfikiri3194
      @romanusfikiri3194 5 років тому

      @@monkeysula8756 thats not true yani haijawahi tokea kenya tukuzidi kiswahili,njoo bongo uone nzima ni kiswahili tu tofauti na nyinyi,kidogo watu wa mombasa ndio wanaongea kiswahili fasaha na lafudhi kama ya bongoland.

  • @niominiomi3334
    @niominiomi3334 5 років тому

    Mungu awa bariki. Tafadhali Afrika yote..ni United States of Afrika. Asante sana Waziri wa kutoka Tanzania. Salimia Raisi Magafuli. Maelekezo🤣😍

  • @makalijackson1018
    @makalijackson1018 5 років тому +2

    Tanzania ndio nchi pekee inayokuwa kwa kasi East Africa ..ubaguzi wa makabila na siasa vimeichafua kenya.rais Magufuli ndio rais bora Africa

  • @grammamresh8848
    @grammamresh8848 5 років тому +32

    Fellow Kenyans, where did we gt our Swahili from? Wht do we speak?

  • @hashimsalim1203
    @hashimsalim1203 5 років тому +1

    Wakati nyerere ililete ujama Tz. Kenya ililete ubinafsi. Na nyerere alisema hii ubinafsi munapanda mbegu mbaya. Ambae ndio inalete shida Leo.

  • @moussa7836
    @moussa7836 5 років тому +1

    Mwenye sikio asikie.....

  • @maggiekui301
    @maggiekui301 5 років тому +7

    Hope some of the leaders who knew themselves are aware of what they did..,,do they know they took an #oath??

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 5 років тому

    Mzee wangu pale nyuma hotuba inamkolea mpaka miyayo inamuamka. 😁😁😁 Hatupendi mgombane bandugu ba Kenya ndani ya Kenya. 💖

  • @graciesuerealityshow5806
    @graciesuerealityshow5806 5 років тому +3

    Kenya yeeeeeeeeeeee

  • @otinglasuji
    @otinglasuji 5 років тому +5

    Tell them!!!!! It's not a must that their covenant is how Kenya has to be ruled. Kenya is big it doesn't need only 2 tribes it needs all of as Kenya.

  • @gugruman8919
    @gugruman8919 5 років тому +3

    I wish I could meet Tanzanian President and his Foreign minister. They have some things that I feel I should instill in me.

  • @fredricklemiso6191
    @fredricklemiso6191 5 років тому +2

    He is the best narrator

  • @eddiemend9250
    @eddiemend9250 5 років тому +2

    Hiki ndio kiswahili bwana Wakenya Karibu mfunzwe

  • @setuzamunyazikwiye388
    @setuzamunyazikwiye388 5 років тому

    Powerful speech

  • @godfreymajagi1867
    @godfreymajagi1867 5 років тому

    Ujumbe mzuri, naamini umefika sehemu sahihi., ninavojua Wakenya wengi wanapenda kuzungumza Kaswahili tofauti na Waganda., Mkenya ukimuongelesha Kiswahili atapenda kujua hata kama hajui, ataomba uongee taratibu., ila jaribu ivo kwa Mganda, atakukimbia, waganda wengi wanaamini katika Kiganda na kizungu bac, hawapendi kuongea kiswahili.,

  • @erickjoseph8876
    @erickjoseph8876 5 років тому

    Really so amazing this juu Tuwe sote kitu kimoja

  • @johnndambuki21
    @johnndambuki21 5 років тому

    Objective and mature speech, honest and sincerely delivered. I trust the wise among these will embrace it.